MISUKOSUKO, Bongo movie Part 3A ( Full Movie )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Director MSETO,
    Movie inayojumuisha | mapigano | mapenzi | usaliti |
    Ni misuko suko ya kimaisha, inayowapata askari katika kazi nzito ya kuilinda haki na amani ya taifa letu.
    SUBSCRIBE Kwa movies nyingine kali kutoka hapa mseto.

ความคิดเห็น • 417

  • @mapenzitz
    @mapenzitz  4 ปีที่แล้ว +92

    Subscribe Chanel hii, share, like, kisha comment chochote hapo chini 👇👇👇👇

  • @fistonmpaka4012
    @fistonmpaka4012 ปีที่แล้ว +18

    tuna weza kufata ichi nzima kwa iyi movies nzuri kutoka Tanzania Arusha 🇹🇿💪🔥♥️🥰🥰

  • @asifiwefungo163
    @asifiwefungo163 4 หลายเดือนก่อน +11

    Tunao iangalia 2024 Gonga like hapa🎉

  • @pascaljoseph1075
    @pascaljoseph1075 2 ปีที่แล้ว +5

    Jaman tanzania j plus anajua kutengeneza story ya movie japo kwa sasa kuna bavo anajitaid kwenye action lakn huyu mwamba hafai

  • @clemomwangi1945
    @clemomwangi1945 ปีที่แล้ว +5

    Movie zenu nazpenda ziko poa n maadili kwa ajili y jamiii yetu naeza wajoin aje

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 9 หลายเดือนก่อน +5

    Sijui alifikiria nini mpaka akaiwezea hivi

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wakin lulu washakuw wakubw lakini mpaka sasa nikionaga hapa kwenye cake natoa machozi enzi za juice 150

  • @DASKOBOY-ij2ot
    @DASKOBOY-ij2ot 5 หลายเดือนก่อน +15

    2024 bado nko apa gonga like ukienda....

  • @elizabethtsingaya4491
    @elizabethtsingaya4491 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda sana auncle j plus ,move xake nipoa sana huwa ana acts kiaskari kweli

  • @makelelebosco567
    @makelelebosco567 ปีที่แล้ว +6

    Kipindi bongo movie inaitwa bongo movie🙌🙌

  • @yasintamichel7249
    @yasintamichel7249 3 ปีที่แล้ว +13

    2021 mpo maana so kwa muvi hii

  • @godfreyezroni1107
    @godfreyezroni1107 ปีที่แล้ว +2

    Bonho mob ya sasa ingekua kama hi ingekua raa sana daah

  • @hillzshavee7041
    @hillzshavee7041 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hiii angeifaNya km Series

  • @AllyRajabu-q2o
    @AllyRajabu-q2o ปีที่แล้ว +3

    Daaah me mpaka kesho Bado naziangalia

  • @ZaitunKushasha-vk7bu
    @ZaitunKushasha-vk7bu ปีที่แล้ว +2

    I ,napenda sana msukosuko palipo na jplus

  • @Lumegilemukata
    @Lumegilemukata 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa sana,umetuludisha nyuma kidogo🙏🙏

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaan move za zaman zote ni nzuri yaan hadi raha 🤗🤗🤗🤗🤗💪💪💪👌👌👌

    • @mwalimkarrsa7509
      @mwalimkarrsa7509 2 ปีที่แล้ว

      I. Appreciate

    • @edsonattu5154
      @edsonattu5154 ปีที่แล้ว

      @@mwalimkarrsa7509nzuri sana

  • @masungamwandu4960
    @masungamwandu4960 3 ปีที่แล้ว +4

    J plus uko vizur sana napnda movie zako

  • @mohamedmjeni4760
    @mohamedmjeni4760 2 ปีที่แล้ว +5

    Jplus lasting ungekuja hapa Kenya ili usage mafunzo polisi

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 2 ปีที่แล้ว +4

    Vibahasha kama Vibahasha vinapita tu kwa RPC sio poa ayo mambo yapo uko kwao Rushwa aitakufa walahi

  • @richardjuma7708
    @richardjuma7708 4 ปีที่แล้ว +14

    Vero anaongea kama mgeni kutoka nje ya nchi

  • @tabynas4485
    @tabynas4485 3 ปีที่แล้ว +6

    Mdada anatoa swagaa 😅😅😅😅

  • @alicemom3619
    @alicemom3619 2 ปีที่แล้ว +4

    We dada bora ujikalie tu pembeni mwamba halainiki

  • @MwanahamisMlombo
    @MwanahamisMlombo 9 หลายเดือนก่อน +2

    aichuji hii move tamu sana

  • @mohamednunda6034
    @mohamednunda6034 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaa nikwl jamann muv iyo kitambo kwl yan

  • @fistonmpaka4012
    @fistonmpaka4012 ปีที่แล้ว +1

    Asante mista jeplac kwenye iyi movies tuna weza kufanya ichi nzima wana iyi penda sana 🔥🥰🥰💪

  • @ashrafhamza9988
    @ashrafhamza9988 4 ปีที่แล้ว +5

    Dah nzur sana sijawah kumchoka sp jeplas

  • @ezekieljohn4725
    @ezekieljohn4725 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaani ni kaliiiiiiiii mpaka nasahau kula

  • @stanleymtweve893
    @stanleymtweve893 2 ปีที่แล้ว +5

    nakukubali. kamastan😢

  • @zebedayomasaka3192
    @zebedayomasaka3192 2 ปีที่แล้ว +3

    iko vzr

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 ปีที่แล้ว +7

    Fabrizio🥰🥰

  • @ftomaftoma8135
    @ftomaftoma8135 ปีที่แล้ว +3

    Movie safi sana

  • @SalehRamadhani-u2r
    @SalehRamadhani-u2r 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nahikubar sana hii move

  • @AdijaYasini
    @AdijaYasini 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naipenda mpaka leo

  • @erastikanoni7824
    @erastikanoni7824 3 ปีที่แล้ว +2

    Naitwa erasto kanoni nimpenzi wa bongo muv ira muvi yafondeshrn pt2 siipati jamani nisaidien junio namkubar sana

  • @bonifasigeorge4091
    @bonifasigeorge4091 4 ปีที่แล้ว +5

    Tatadhari tunaomba muwe munatuwekea za bongo action pekee maana tunateseka sana kuzipata (wekeni Bad boy inaitwa Killer )

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt ปีที่แล้ว +2

    He jaman ka fablizo kalijua kabaya jamani😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 2 ปีที่แล้ว +2

    Big up kw xn i say nawoch move nikiw kenya i love so much j plus nomaaaaa movie zako i say napenda xan kuwoch by the way kun movie naitaji kuona part 2 topic yake ni"the foundation msingi please please please naitak xan cijaipat naitamani xan kuiona please big up kw xan ila naixubir niipate the foundation msingi part 2 please please please

  • @aronmbunda6603
    @aronmbunda6603 2 ปีที่แล้ว +5

    Very nice

  • @imannykhalifa5646
    @imannykhalifa5646 4 ปีที่แล้ว +5

    Sio poa iyi kazi mzuri Broo big up

  • @idrissaabeidy2413
    @idrissaabeidy2413 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtt wa r.p.c hajui kuongea anafoka tu Kama Eminem bby bby hazijuagi kabisaaaa

  • @brysonmwakina
    @brysonmwakina 3 ปีที่แล้ว +5

    This movie is the best 😍😍

  • @sssssgggj2155
    @sssssgggj2155 2 ปีที่แล้ว +3

    Live👍💪⚽🇯🇲

  • @Ahmad-c9l1r
    @Ahmad-c9l1r 5 หลายเดือนก่อน

    Ili jamaa kubwa Lakin linakimbia sana yani kwel mazoez ni afya ❤

  • @CSWafrica
    @CSWafrica 4 ปีที่แล้ว +13

    umetisha mseto...ngoja niwashtue wana wafanye kusubscribe

  • @AshaSalum-x9q
    @AshaSalum-x9q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiiiii movie inafundisha vitu vingi ikiwemo viongz w selikal wanashilkian n majambz 😅😅😅

  • @paulkazimili4443
    @paulkazimili4443 ปีที่แล้ว +2

    Hizi movie hazimalizi utamu

  • @techbay8694
    @techbay8694 2 ปีที่แล้ว +2

    Ataki cabo delegado

  • @kanezavanessa1793
    @kanezavanessa1793 4 ปีที่แล้ว +2

    Waooooooo.mseto
    💪💪💪💪💪👍👍👍👍👌👌👌

  • @mariamgalmariam6222
    @mariamgalmariam6222 4 ปีที่แล้ว +3

    mziki uko juu sana ila kazi zuri sana

  • @iyaamoding8945
    @iyaamoding8945 ปีที่แล้ว +1

    Still watching in 2023

  • @YombomgataSengelema
    @YombomgataSengelema หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ noma san iyo move

  • @ezekiakasebele9452
    @ezekiakasebele9452 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka mbari sana

  • @athumanilwayo3950
    @athumanilwayo3950 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up Sana👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨

  • @RtyRty-oq1yh
    @RtyRty-oq1yh 2 ปีที่แล้ว +2

    Watch saudi Arabia 2022 /22:42

  • @sindanosamson5144
    @sindanosamson5144 ปีที่แล้ว +1

    2o23 pamoja sana

  • @jacklinemwacha7897
    @jacklinemwacha7897 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana

  • @bateobenedicto8567
    @bateobenedicto8567 3 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la picha.

    • @immajohnson9871
      @immajohnson9871 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe ulikuwa waangalia nawe saiz

  • @DaudyMathayo
    @DaudyMathayo 4 หลายเดือนก่อน

    J prs ni mwamba 😮😮😮😮

  • @mtotowabibi7749
    @mtotowabibi7749 2 ปีที่แล้ว +2

    2021 mwishoni kabisa

  • @JamesMakasi
    @JamesMakasi 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @atundulwangela9693
    @atundulwangela9693 4 ปีที่แล้ว +2

    Nime.chukuru sana.iko.frech.uzindi.nahipendaka.sana.

  • @muaminmabii5107
    @muaminmabii5107 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukovizur mwamba unatisha

  • @fredyadam9492
    @fredyadam9492 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubal san

  • @RajabuSelemani-y3v
    @RajabuSelemani-y3v 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari umetisha

  • @selestinimbezi7345
    @selestinimbezi7345 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii movie inspector Eva ndo cjamwona angekuwepo nahic ingenoga sana

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 7 หลายเดือนก่อน +2

      Isingenoga maana ingemlazmu kucheza scenes za mapenz na J plus kama ilivyoishia kwa Misukosuko part 2,

  • @EdgarSaimon-z7i
    @EdgarSaimon-z7i ปีที่แล้ว

    Saw nakubar

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 ปีที่แล้ว +6

    sichoki kuangalia hizi movie teukee na double J

  • @BonifasiAmosi
    @BonifasiAmosi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa hawa watu ni noma hiv kwa sasa hawafanyi kaz?

  • @BanjaminRomwadi
    @BanjaminRomwadi 14 วันที่ผ่านมา

    bado wapo. watukaa kamahawa

  • @jahaomary7353
    @jahaomary7353 2 ปีที่แล้ว +3

    Good movie

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉❤ more more jebls

  • @sabbihntungu4813
    @sabbihntungu4813 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba jpluss 💪 2022

  • @NowelyJohn-sb3qm
    @NowelyJohn-sb3qm ปีที่แล้ว

    Yessssssssss

  • @mwagogomohamed8340
    @mwagogomohamed8340 10 หลายเดือนก่อน +1

    Double j part 4

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 4 ปีที่แล้ว +2

    Mov mzr sana ongereni

  • @msafirichristopher9475
    @msafirichristopher9475 6 หลายเดือนก่อน

    Kafanya kaz nzur sn

  • @DominicMulwa-x5o
    @DominicMulwa-x5o 6 หลายเดือนก่อน

    Ata Mimi tangu mwaka wa 2015 Hadi wa Leo 2024 naitazama.

  • @rebekaalphonce3131
    @rebekaalphonce3131 ปีที่แล้ว +3

    Good

  • @richardjuma7708
    @richardjuma7708 4 ปีที่แล้ว +3

    Kitale kitalee kitalee mungu mkubwa

    • @adamjohn9714
      @adamjohn9714 3 ปีที่แล้ว +2

      Jplus alitakiwa apewe uaskari live

  • @RenaldaMsuya-s1f
    @RenaldaMsuya-s1f 8 หลายเดือนก่อน

    Bado tunaendelea nayo 2024

  • @niyubahwearchel9368
    @niyubahwearchel9368 4 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana movie za master

  • @gabysalva3542
    @gabysalva3542 หลายเดือนก่อน

    Na comment 2024🥰😊

  • @TingaJoseph
    @TingaJoseph 2 หลายเดือนก่อน

    Yuko sawa

  • @hamischubwajumanne2269
    @hamischubwajumanne2269 3 ปีที่แล้ว +2

    Cali sana

  • @moteknomiles4689
    @moteknomiles4689 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuh hawajamaanishida

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 6 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba Misukosuko part 1, na Seba;
    Na Double J, part 4 ya J. plus

  • @HusseinAyoubKijazi
    @HusseinAyoubKijazi 5 หลายเดือนก่อน

    Hiv j Blas yupo kweli

  • @Abdillah-qr7it
    @Abdillah-qr7it 4 หลายเดือนก่อน

    Me niko live naicheki siichokiiii leo tarehe 10.05.2024

  • @GODSFOUNDATIONMISSION
    @GODSFOUNDATIONMISSION 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji phone ya especta tuwalisiane

  • @pauloluhende2490
    @pauloluhende2490 3 ปีที่แล้ว +2

    jeburasi hajatowa tena

  • @mankamushi9007
    @mankamushi9007 3 ปีที่แล้ว +1

    Video

  • @ismailjuma-x2b
    @ismailjuma-x2b 8 หลายเดือนก่อน +1

    2024 tujuane

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 5 วันที่ผ่านมา

    kuna ile ya kwanza hujaweka part two

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa awa wote waigizaj wamepoteana

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic ปีที่แล้ว

    2023 in

  • @DuncanAcwamu
    @DuncanAcwamu หลายเดือนก่อน

    ikosawa

  • @KARUNGUYUSUPH
    @KARUNGUYUSUPH 27 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba basi ya double j part four

  • @joshuamlungu8610
    @joshuamlungu8610 4 ปีที่แล้ว +2

    Erick zake

  • @PaschalPaschal-l6i
    @PaschalPaschal-l6i 2 หลายเดือนก่อน

    Nampa sarut serialised imtazame himpe hata cheo cha uwaskali

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c หลายเดือนก่อน

    MZEE MAGARI APO WAMOTO VIBAYA