Mama Mwali Part 1 - Madebe Lidai & Koreta Mkemangwa (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2018
- Mama Mwali Part 1 (Madebe Lidai, Koreta Mkemangwa) Nabii Mswahili Madebe Lidai
Watch Part 2 Here: • Mama Mwali Part 2 - Ma...
Watch Part 3 Here: • Mama Mwali Part 3 FINA...
CAST: Koreta Mkemangwa, Muhogo Mchungu, Sabrina Marijani, Juma S. Fimbo, Madebe Lidai
SCRIPT & STORY: Madebe Lidai
EDITOR & DIRECTOR: Madebe Lidai
PRODUCER: Juma S. Fimbo
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #MadebeLidai
Kama unamkubali madebe gonga like
Madebe mmwamba wa kuigiza bongomovies TZ ✍️❤️. MADEBE DØN🦾🦾
Nice movie apa Kenya kila mtu Ana watch Madebe Lidai....big up broo
Eunice Mariga
Madebe noma anarudisha heshima ya bongo movie,,
penda sana madebe yaan nilikuwa cpend move za kibongo lkn madebe amenifanya nivutiwe sana na move za kibongo kila la kher madebe nakukubal sana mwenyez mungu azid kukuongoza
salmada njou
Ukwl sana nimekuja hapa sababu madebe
Gud san madebe unawez
Haha Hatamimi aiseee
@@manoahTv98 kuduki
maadili yanazingatiwa na huyu jamaa anauishi uafrika ndani ya utanzania wake
Anauishi uatrik
Natokea Kenya 🇰🇪 lakini mimi kazi yako Madebe naaminia keep up good work 👍
Uko vizri kaka ake nakukubali Sana'a umecover nafasi ya kanumba kwa upande wangu umeziba pengo kbsaaaa😍😍
Sio kuziba pengo Bali madebe ni madebe tu na k ni kanumba tu yaani hayo ni majembe mawili yalio kua job but moja lilotutoka R I p knmb , penda sana L P kwa ujumla.
msungo,hulka, joka la kijiji , mwali, big up to u bro made be,
Me nilikiwaga cpend kabisa bongo movie 🎦 #Madebe amenifanya naanza kuvutiwa nazo
Haaahaaa noma bongo movie madebe yuko vizur
Jasiri
Kwel ndugu
Mara waaaa kamroesha hhhhhhh
Komando
Mwenyezi Mungu azidi kuwa nawe katika kazi zako father madebe lidai
Madebe madebe madebe mwaka unao fata tusipo chukua zile tuzo za azam kila idala tumekamilika saaana mungu akutangulie madebe nmekuita Mara 4
Madebe unanikamat kwa movies zako
Madebe moto wa kuotea mbali kwa misemo yako hongeraa sanaa
Jacque
Samwel
Cxcvhijopnae
Nakusalute madebe u a the best actor ever existed ❤❤❤
Nazielewa move zako nimetoka kuangalia msungo sasa niko na Mama mwali.. Big up xana kaka
dah af wewe
Noma xana m.lidai
Move yako ya kufulu ni balaa,inafundisha sana
Heeee kalata
😂😂😂😂😂alf Madebe bhana😂😂😂nimecheka sana yani ivyo vituko vyako😂😂😂😂
Fasihi ya kiswahili
Ongera sana kwa filamu zako yani umeniteka siwezi kulala bila kutizama kazi unazozifanya Allah akuzidishiye
Upo vema sana kwenye misemo skupngi ningekuwa mgawaj watuzo zote ningekupa
Madebe unanikosha sana na kazi zako
Wakwaza from Kenya wapi like plz
Juhud n sehem ya maisha na maisha bila juhudi n km mpira bila refa itakua vurugu tupo bro mungu akupe umri mrefu na wenye mafanikio ili tuzid kupata furaha mashabiki wakooo
Brother madebe weunajua atar Kaka jitaid uzid kutupa flaha
🤣🤣🤣🤣Madebe utakuja niua na vituko😁leo kavaa suspender🤣🤣siku ya ngoma uling'ara kinoma.movie ni nzuri sana🙏🙏
Filamu kutoka inchini Burundi
th-cam.com/video/7dC5gvdVliU/w-d-xo.html
Napenda sana video zako najifunza mengi pongezi endelea ivo mungu akupariki sana
Amazing video
Nasoma koment kwanza ndo niangalie
Noma sana 2po pa1
Kweli we mpumbavu sasa wajificha kwenye nyazi na baisikeli imebaki wapi aki mnanibamba sana napata safi nikiwa hapa Iraq
Kweli unapendeza sana made be lidai
Hilo la mtoto kutegeshwa ndio litafika haraka kuliko yote mimi ndio ninaeongoza hapa kijijini kwa kupeleka habar za kusisimua madebe we kiboko😁😁😁🤣🤣
Mimi move za kibongo sizipendi ila napenda style ya madebe mi naona sio kama wale wengine namuona kanumba no.1
Nice madebe
Mwanangu soma babaako siunaona weee somaaa baba ako siunaona 😁😂😂😂😂 hakokawimbo kameniludisha hapa
Madebe shikamoo unajua buan nataman niigiz naww
Mmmhhh!!mama anajisifu alianza umalaya akiwa mdogo
Simba
Hongera sana mhogo mchngu kwa ubnif wako na kkgongea like Mimi Kombo waura
😂😂😂😂😂😂
Madebe hongera kwa kazi kubwa mungu akupe maisha marefu maana tamthilia zako zafundisha zaelimisha za badilisha jamii wewe ni Bora katika walio Bora!! Nakutakia kaz njema!!
Madebe twakupeda sana kama wakenya mungu akupe maisha marefu yamejaa furaha na amani🙏🙏😂
Hii ulikuwa move yakwanza kuangalia yamadebe duh ilikuwa powa Sana sichokagi kuangalia hii move
Ur the best of the best real tlk kipaji unacho akuna mwingine tz take from me
Madebe amenyata watakuibia baiskeli mbavu zangu mieeeeeee. Sitaki mie umbea in action
lp media mpo kikazi,sio kuuza sura
kweli lidai,hii nchi kuna watu wanatembea uchi,nchi improve kibiashara,tangaza ndoa,wenzio wanatangaza mtaji,ukipeleka barua sh.50000 mahali sh.2000000.
Khalid Majoki nc
Masha Allah movei ninzuri sana
Kaziii nzuriii na haya ndo maisha halisi ya watanzania sio kila siku kwwnye ma office makubwa NA magari ya kifahariiii
Medi
Jinsi gni wanawake mulivo tuweza kidume unakiwagia maji hta hasira hana bali ni furaha 2 kwake duuuu hii moto
Upo gud sana Mzee baba
Hahah hyo style ya ktembea kama jogoo umeuaaaa
Namkubali made be kino a, nakupe tatu mwanangu.
Nzuri tunapenda DRCongo 4/06/2019
Huyu ndo mwigizaji tulobakinaye hapa Tanzania walobaki wanacopy na kupaste
nakupenda sana madebe
Tamu sana
Noma sana madebe
Nitaendelea kukupa heshima zangu kwa kazi zako zote salti mzee baba kaka madebe
Uko vizuri kwa misemo big up
Made be nifundi
Madebe wewe ndo Steven Kanumba wa sasa. Hongera kaka. 🥳🤗
Hao wamama apo kwa pombe daa wanakaa walevi WA ukweli kabisa Yani jicho jicho nyanyaa
Asante naitaka movie ya kufuru ya madebe lidai
Furaha Khamiisi
Mamb
Asante naitaka movie ya kufuru ya madebe lidai
P
Kaz nzuri sana
Safi. Madebe
Madebe tuachie katatuka please naomba🧕🧕tupo mbali sisi from Omani t
Lat wewe patatuka ishatok my wangu mie aisha mpambanaji mwezio my
ndugu madebe kwa misemo yako unanifurahisha sana mungu akusaidie sana
Wacha weee mwanamke ubunifu kungwi ananifurahisha
Safi. Kaka. Madebe
Madebe upo vizur movie nzurii ila hiyo suruali hapo kati sijaelewa 😂😂
Safi sana mr madebe
yaan movie zako nzuri namisemo yote hiyo unapata wapi maanaaaaaa
Siti Lashid bora wew umewaza ivo yani ana misemo utazani anakitabu ana kisoma
Jamaa anamaster ya kiswahili
nice movies😘😘😘
hahahahaa madebe wewe noma me nakukubali san
sana madebere
Madebe hii ngoma mwengo wako sijapendezwa kwakuwa umeact Kama unajifundisha kazi Kwan uoni Kama mwenyewe umeteseka kutengeneza hualisia
Mungu awasimamie lp media
Dah kwa kweli bwan unanifurahisha sana misemo yako inanivutia San inshallah
Sana bro umetisha kazana bro
😂😂😂😂😂😂 nabiii uko Sawa muvi nzuri Atari mbavu zangu mm
Hizo nyuso za wa mama duuu
Kaz nzr brother madebe
Nakubar madebe upo vzur
Kwan kuna Mama mwali ngapi zinanichangnya madebe
Nakukubali madebe
Nakupendaa madebe jaman simuon chanuooo
Fasihi ya kiswahili 👏👏👏
Kungu amekuja hapa amekukuta haupo
Ivi hiyo sentensi ipo sahihi kweli
madebe uko juu
Hongera xana madebe
Movie nzuri part 2 plz
madebe nakubal xn movie zako xn usem xn unwza mkuu
🎉 ❤❤❤🎉🥀💅💅💅 madebe jinihaz dunia nzima
Mtego wa mwizi hanasi askari duu ha haaaa
Ni jiniyaz madebe atali
kaz njema kaka
Madebe umenifanya kuipenda san snema madebe mungu akupe maixha malef man,
Nampenda madebe anaigiza yani yupo kiuwalisia
Upo vizr misemo yako inamafundisho sana
Nice one
#Fantastic✅✅✅
the special one .....madebe lidai
nakakubali sana madebe
Ayii madeb xio kwa tembea iyo jamn kwl jin umelipatia mpumbav
duuuu mpaka uninja unaujua
Dj tumbo am here kuangalia nice film 📼
Sana madebe,umetisha
Ni filam gn ya mabede yasema utuheshim ss wanaume wenye baskel zetu
Bona hii movi kufuri aipo utubu
Shukurani sana
Hujawahi kukosea ktk move zako zote
Mbona sikuelewi
love you madebe
Hii movies nikiboko
Madebe tunaomba mama mwali part 4