KIJANA TAJIRI ALIJIFANYA MASIKINI ILI APATE MKE BORA | DESTINY TO LOVE YOU | PART ONE |Love Story ❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 291

  • @DoreenKaimenyi-km6ux
    @DoreenKaimenyi-km6ux 10 วันที่ผ่านมา +42

    ❤❤❤leo nimewai mapema team strong usipite bila kunipa like jamani🎉nawapeda sana😊

    • @user-dj1fk4ue2x
      @user-dj1fk4ue2x 10 วันที่ผ่านมา

      Done 👍

    • @MaryElizaElizabeth
      @MaryElizaElizabeth 10 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤❤❤😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @SammySifuna
      @SammySifuna 5 วันที่ผ่านมา

      nice series am happy with you people

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 9 วันที่ผ่านมา +12

    niwambie tu kwamba kelvin ni mtu hatari sana anapokuwepo kwenye muvi yoyote ,anajua vibaya mnoo , very good kelvin ,you are the best always

  • @Mohamedishabani-om8qf
    @Mohamedishabani-om8qf 10 วันที่ผ่านมา +21

    Mtoto Tina kajipodoa kapodoka kweli😅😅😅😅

  • @user-rz7kv9pn8m
    @user-rz7kv9pn8m 10 วันที่ผ่านมา +17

    Muendelezo wa siku Moja kabla ya ndoa yangu mbn ziii

  • @Thuma-tj5rp
    @Thuma-tj5rp 10 วันที่ผ่านมา +14

    Jamani halaf ni kama wanarudia rudia story lkn difference ni creativity 💪💪👏👏

    • @AgnesMasoud
      @AgnesMasoud 10 วันที่ผ่านมา

      Swaga zao hizo sijui tatizo ni Nini walianza vizur tu

    • @nasirikuzigile9228
      @nasirikuzigile9228 7 วันที่ผ่านมา

      Na story zao zinahusiana mapenzi tuu ​@@AgnesMasoud

    • @lidyamhova8528
      @lidyamhova8528 วันที่ผ่านมา +1

      Kumbe umeliona hilo na ww

  • @JabanFranklin
    @JabanFranklin 10 วันที่ผ่านมา +11

    Wapi like za kelvin jaman ❤❤❤ mnipe like much love from Uganda 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @HusenKatoto
      @HusenKatoto 6 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉

  • @yussufnimbona3247
    @yussufnimbona3247 10 วันที่ผ่านมา +13

    Vp kuhus sikumoja kabra yandowayang mbon munachelewa

  • @ChausikuJoseph-bd9fx
    @ChausikuJoseph-bd9fx 10 วันที่ผ่านมา +10

    Jaman haka ka movie mbna noma sana. James unanifurahsha saiv hausuki umekuwa gentle man sas

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 10 วันที่ผ่านมา +10

    Yaaan Kelvin anaongea simple sana, had raha hongera broo,

  • @user-gf7he2lv9e
    @user-gf7he2lv9e 10 วันที่ผ่านมา +23

    Wapi like za kelvin ❤

  • @PiliVelma
    @PiliVelma 10 วันที่ผ่านมา +7

    Hii ingeitwa tu mke bora c lazima ijieleze😅😅😅

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 10 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani me nampenda sana Maya Maana maya ni mwamba saaana I love u maya

  • @rehemambilinyi9452
    @rehemambilinyi9452 10 วันที่ผ่านมา +8

    Hongereni kwa kubadilisha location
    Sitting room nzuri sana

    • @lidyamhova8528
      @lidyamhova8528 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli imenoga kweli

  • @IssaMaphysics
    @IssaMaphysics 10 วันที่ผ่านมา +5

    Mnatoa kazi nzuri lakn mm naushauri muwe mnatoa move mnamaliza pia angalieni upepo uko wap mfano siku moja kabla ya ndoa Iko good saaana kwa hio mnge focus kumaliza Ile then move nyingine

    • @johnmollam3872
      @johnmollam3872 10 วันที่ผ่านมา

      Umenena vyema

    • @CastoSilwimba
      @CastoSilwimba 10 วันที่ผ่านมา

      Hii hapa ni DONTA FAMILY halafu ile pale ni DONTA TV

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 10 วันที่ผ่านมา +7

    Tina mzuri saana MA SHA ALLAH. Leo amependeza saana.

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 10 วันที่ผ่านมา +5

    Napenda saaana team donta movie zao zinamafunzo walai love from 🇰🇪🇸🇦 team strong 🇸🇦🇰🇪🥰

  • @EzraBoboloy
    @EzraBoboloy 10 วันที่ผ่านมา +2

    Tina Leo jamani kanoga na meuk up 👌👌👌❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @lydiahnyongesa69
    @lydiahnyongesa69 9 วันที่ผ่านมา +8

    Movie nzuri.....lakn vipi muendelezo wa siku moja kabla ya ndoa yangu ??? Nimeisubiri kwa muda mpaka nimekata tamaa jameni

    • @nafsajuma6269
      @nafsajuma6269 8 วันที่ผ่านมา

      Tupo weng tunaisubr siku moj kabla ya ndoa yang

    • @PeterMgani-v7c
      @PeterMgani-v7c 3 วันที่ผ่านมา +1

      Eee!!..kweli mwendelezo lini tvnaisubili sana

    • @PeterMgani-v7c
      @PeterMgani-v7c 3 วันที่ผ่านมา

      Tunasubili kwa ham sana

  • @JospinJospino-wd8fx
    @JospinJospino-wd8fx 10 วันที่ผ่านมา +2

    KELVIN bana, big up big brother, naku kubali sana kweli. Mi ni shabiki wako wa kwanza. Natoka inchini congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-ek5nz6eq5g
    @user-ek5nz6eq5g 7 วันที่ผ่านมา +2

    Team kelvin hongereni sanaaa likes kwa wingi jamaa kelvin tunaomba mwendelezo jamani

  • @nafsajuma6269
    @nafsajuma6269 8 วันที่ผ่านมา +1

    Leo tin kapendez kupita maelezo❤❤❤❤❤

  • @Walterkundu
    @Walterkundu 10 วันที่ผ่านมา +5

    Good job but for now move ya ndoa yangu inakaa Sana tume poeka nayo heri ikae

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z 9 วันที่ผ่านมา +6

    ombi langu muwe mnabadilisha ladha ya story kila siku love story ata za kutisha kidogo 👹😅

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  9 วันที่ผ่านมา +2

      Sisi tunafanya love story ukitaka za kutisha nadhani unawajua wanao fanya za kichawi nenda kaangalie siku ukimiss love story unakuja donta unaangalia rafiki 😊

    • @user-xo7ns7bc8c
      @user-xo7ns7bc8c 8 วันที่ผ่านมา

      Umemjib poa kabisa mwanzo hizo movie za kutisha zinamaana gani ila watu wanapenda movie za ushetani​@@Dontafamily

  • @mahmoudnajad217
    @mahmoudnajad217 10 วันที่ผ่านมา +12

    LEO BROWN AMENIFURAHISHA ANAONGEA TARATIBU SIO SPEED KAMA NILIVOMZOWEA.

    • @user-tq8lz5el8z
      @user-tq8lz5el8z 10 วันที่ผ่านมา +1

      Pia tina😂

    • @rukiahassan7001
      @rukiahassan7001 10 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 nashangaa pia Leo..nimedhn stima zimekata na ndio kapunguza speed ya kuongea brown

    • @user-jr8ju4jt2r
      @user-jr8ju4jt2r 9 วันที่ผ่านมา

      Umeonae kumbe nao humakinika tena vizuri tu wau tunaomba mwendelezo basi, mmetuonjesha utamu basi isiwe ndo mwisho kabisa

    • @GloryShirima-vb7mp
      @GloryShirima-vb7mp 8 วันที่ผ่านมา

      chezea kutongoza 😂😂😂

    • @mahmoudnajad217
      @mahmoudnajad217 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂Glory

  • @Santan2
    @Santan2 8 วันที่ผ่านมา +2

    Nipeni like zangu kama kelvin anapenda Juic sana tena orange 😂😂😂

  • @user-oz1bb8gc1c
    @user-oz1bb8gc1c 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kabla sijaimaliza hii movie, AK tinah umependeza dadangu, Yan umetoka mwaaa💋

  • @AzariaNkwama
    @AzariaNkwama 10 วันที่ผ่านมา +3

    Ivi hizo like mnazoomba hua mnapelekaga wap

    • @nafsajuma6269
      @nafsajuma6269 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅 ata mm huwa najiuliz huwa zina faid gan kwao😊

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 10 วันที่ผ่านมา +2

    Nampenda saana Kelvin jamani. Kazi nzuri saana.

  • @josptsaruni-gi5tx
    @josptsaruni-gi5tx 9 วันที่ผ่านมา +2

    Leo nimemuona tina akiwa romantic kbsa weee tina😅😅😅

  • @basimisemusafiri4856
    @basimisemusafiri4856 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kabisa tunakubali sana kelvin wetu ogerasana kaka ❤️❤️❤️❤️

  • @user-wt1qt9yh1n
    @user-wt1qt9yh1n 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tina looks beautiful 😍 with makeup...but she is more beautiful without makeup 😊

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona sikuizi munaweka pica ya Kelvin nahaonekani haya kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  10 วันที่ผ่านมา

      Duuh kevi ajaonekana🙄

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 10 วันที่ผ่านมา

      Kelvin yup uyo ambae ujamuona ww😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 nilikua sijafika mwisho

  • @gladnessbelonda5005
    @gladnessbelonda5005 10 วันที่ผ่านมา +1

    mmeamua kabisa kuipa jina la movie ya Kikorea❤❤

  • @user-bg3it2pf6r
    @user-bg3it2pf6r 10 วันที่ผ่านมา +1

    MaashaAllh ❤ mumeanza kuupgrade😂😂 nyumba na Tina kadamshi kinoma yani

  • @JdjMssm
    @JdjMssm 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wow ❤❤️ maneno matamu Tina sana penda ivo

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e 3 วันที่ผ่านมา

    Kelvin nakupenda Tena Sana unaushauri mzuri Sana yaan ongea yako hata mtuawe namawazo yanapotea kweli Asante Sana Kelvin ❤❤❤❤❤❤

  • @ruzimirabihembo9549
    @ruzimirabihembo9549 7 วันที่ผ่านมา +1

    Iyo naiona mbali sana kuliko kesho yangu kuliko hata penzi la dada wakazi kiukweli iyi naiona mbali sana kazi zenu nazifatiliyaka sana iyi iko bomba sana ❤❤❤❤❤

  • @MainoCalvin
    @MainoCalvin 10 วันที่ผ่านมา +2

    Very great work bro kelvin am Calvin from Uganda

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e 3 วันที่ผ่านมา

    Tujue hatima ya Tina anajifanya anapenda kumbe alipenda pesa kitakuramba Tina mmetuachia patam tunaomba muendelee ❤❤🎉🎉

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 10 วันที่ผ่านมา +2

    Nilikua tu Tina hatafaulu huu mtihani😂😂😂

  • @user-hg4xh8fg4h
    @user-hg4xh8fg4h 7 วันที่ผ่านมา

    Idia ya kelvin ilikua nzuri kabs Big UP kelvin🎉🎉

  • @user-ju4tl2xv3e
    @user-ju4tl2xv3e วันที่ผ่านมา

    Dah kaka Kevin unajuwa sana Tena sana ntanzania 1

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi zenu zinazid kubamba congratulations 🎉

  • @PrettySalmah-tt8bh
    @PrettySalmah-tt8bh 10 วันที่ผ่านมา +1

    Congratulations Maya💕❤️Tinah kuw na roh y ubinadam kumbuk utu vitu vinaishag

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e 3 วันที่ผ่านมา

    Imemsisimua Kila mtu tupewe mwendelezo bana❤

  • @user-pp3vo8rw5j
    @user-pp3vo8rw5j 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nawakubali sana ila hio inamaan kubwa sana upande wangu ❤❤❤❤

  • @Walterkundu
    @Walterkundu 10 วันที่ผ่านมา +3

    Kevin jangamukia movie ya ndoa yangu

  • @AishLove-bd9bp
    @AishLove-bd9bp 6 วันที่ผ่านมา

    kelvin unanifurahishaga kweli penda sana wewe tunawafatilia tukiwa from burundi❤❤❤❤❤

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q วันที่ผ่านมา

    Mapenzi shika mooo marahaba😂😂

  • @user-xq4id9ju3t
    @user-xq4id9ju3t 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nawapenda sana

  • @user-ny4ig2ii8b
    @user-ny4ig2ii8b 10 วันที่ผ่านมา +1

    part2 tafadhali itoke halaka maana part1 imeishia patam nawakubar sana wana donta❤❤❤

  • @Walterkundu
    @Walterkundu 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tina this time you look smart.

  • @JaneKanini-eh7jk
    @JaneKanini-eh7jk 8 วันที่ผ่านมา +1

    Loh!!tina kaanguka mtihani pu!!

  • @user-mt6vw7bo2k
    @user-mt6vw7bo2k 10 วันที่ผ่านมา +2

    Ila uyu tina simuamin kabisa 😂😂😂😂😂

  • @dativakimath-hs7ul
    @dativakimath-hs7ul 10 วันที่ผ่านมา +2

    Nzur sana ila hamjamalzia movie nyng

  • @dolinepeter2503
    @dolinepeter2503 8 วันที่ผ่านมา

    Duuuh iko vzr mwendelezo tafadhali

  • @user-fw2zn2os8g
    @user-fw2zn2os8g 10 วันที่ผ่านมา +2

    tinna umependez mpenz❤

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 9 วันที่ผ่านมา +1

    Maya na Tina mmependeza sana

  • @HappyDaudi-ub4hw
    @HappyDaudi-ub4hw 10 วันที่ผ่านมา +1

    Love you so much donta family ❤️❤️❤️ napenda kazi zenu MUNGU asiwaache 🙏

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e 3 วันที่ผ่านมา

    Kunambi kazi kwako kaka kujua mbivu nambichi pokea maua yako 🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tina mashallah umependeza hadi umebadilika sura🎉🎉🎉🎉

  • @user-ji6cp1ng8g
    @user-ji6cp1ng8g 10 วันที่ผ่านมา +1

    Leo tina mekap imependeza sana mumebadilisha mpambaji

  • @HamzaKitutuma
    @HamzaKitutuma 8 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi kuhusu siku moja kabla ya ndoa yangu mbona inachelewa sana

  • @DorineIrakoze-ly6rb
    @DorineIrakoze-ly6rb 8 วันที่ผ่านมา

    Namupenda tina sana na laveness nawapenda kabisa❤❤❤kelvin naweye nakupenda gisi unacheza❤brown nimukari yiko kama ex wangu arikuwa ananifokeya sana 😂😂😂nikasema uwu akinitia ndani ataniuwa nikasepa zangu😅😅😅 nawapenda sana jamani kutoka BURUNDI🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @raphaelvarane-rv9bv
    @raphaelvarane-rv9bv 8 วันที่ผ่านมา +1

    TINA kwaiyi movie yupo kama Musukule😂😂😂

    • @Mary-ug6oc
      @Mary-ug6oc 8 วันที่ผ่านมา

      Acha uji au unatamani wewe ndo ungekuwa tina

  • @user-oz1bb8gc1c
    @user-oz1bb8gc1c 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kilicho Sema na kelvin sasa kimetimia,

  • @user-pv5xn6vc1w
    @user-pv5xn6vc1w 4 วันที่ผ่านมา

    Hongerani sana mafunzo mazuri kweli tupeni muendelezo plz

  • @gudilasway4144
    @gudilasway4144 10 วันที่ผ่านมา +1

    Aliempachika tina hizo kope shkamoo, 😂

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi safi lkn Tina weeeh ushapatikana kwa mtego 😂😂😂

  • @KelvinKhan-u6r
    @KelvinKhan-u6r 4 วันที่ผ่านมา

    ♥️♥️👍 jamaani tunaomba mzigomwinginekwahiimovie please 🙏🙏

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 3 วันที่ผ่านมา +1

    Maya naona utapata ndoa..

  • @dolinepeter2503
    @dolinepeter2503 8 วันที่ผ่านมา +1

    Siku moja kabla ya ndoa yangu mwendelezo lini

  • @AsiaJasphone
    @AsiaJasphone 8 วันที่ผ่านมา

    Kelvin mungu akubaliki Sana kwa kipanji ulicho pewa🎉🎉🎉🎉 like kwa Kelvin jaman tujuwane

  • @simonjoshua8124
    @simonjoshua8124 9 วันที่ผ่านมา +1

    Af we Tina ukijiremba unakuwa mbaya kuwa kawaida ty ndo unaonekana kisu

  • @Gsh-ov2ut
    @Gsh-ov2ut 9 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂But Kelvin uko na mafumbo wee mkaka❤❤❤❤

  • @JohnBenardAlex
    @JohnBenardAlex 7 วันที่ผ่านมา

    Jaman wanawake ni sawasawa na kinjonga ❤❤

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 8 วันที่ผ่านมา

    Wapi wale wa kelvin ❤❤❤

  • @zamaliabdulkarim5598
    @zamaliabdulkarim5598 8 วันที่ผ่านมา

    Hii kali sana isiwe tu ndio mwisho

  • @deuspeter6276
    @deuspeter6276 8 วันที่ผ่านมา

    Daaah nouma saana mnajua mpaka mnajua tenaa endeleen kushusha vituuu❤❤

  • @AshuraVuru
    @AshuraVuru 6 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli anajua apewe maua yake kelvin khan❤

  • @user-kx2kr8mp3e
    @user-kx2kr8mp3e 3 วันที่ผ่านมา

    Maya pokea maua yako 🎉🎉🎉 nakupenda San unapoint san

  • @23Maryamu
    @23Maryamu 9 วันที่ผ่านมา

    Nasubili part 2 ❤❤ good work🤗🤗🤗

  • @chidzodunda
    @chidzodunda 8 วันที่ผ่านมา

    Tina ulikua wampenda Brown sababu ya pesa, Acha roho mbaya Tina😂❤❤❤❤❤

  • @monicahnjoroge5075
    @monicahnjoroge5075 10 วันที่ผ่านมา

    Blown anaongeyaga 😂😂na mikono na kichwa😂😂 I love ❤️ Kevin anaongeyaga nauturifu sana

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 9 วันที่ผ่านมา

    Waah nexrt❤❤❤

  • @user-zl6rb5wl7c
    @user-zl6rb5wl7c 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ dont tv inawanawake warembo jamani namupotewa Tina nawapa pongezi

  • @SelemaniIddy-nc1nf
    @SelemaniIddy-nc1nf 10 วันที่ผ่านมา +5

    Wakwanza ndo nn we toa maoni kwakitu ambacho kimekosekana bhana like ndo nn mnakuwa kama washa wa video

  • @user-rv9dv9nm9p
    @user-rv9dv9nm9p 10 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉much love donta family

  • @Qarim-kn7by
    @Qarim-kn7by 10 วันที่ผ่านมา +2

    wa kwanza leo

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 10 วันที่ผ่านมา +1

    Wow kelvin umefikiria ka watu kumi,kazi zuri bro ❤🎉🇰🇪

  • @user-oi9lu8mv6t
    @user-oi9lu8mv6t 3 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda bure ❤❤❤❤

  • @user-cu4ts7ys4b
    @user-cu4ts7ys4b 4 วันที่ผ่านมา

    Napenda maandhari yenu ❤

  • @hucky-lh5mr
    @hucky-lh5mr 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ila kevi unamafumboo,,,,but all in all kazii nzur

  • @doneliabu6488
    @doneliabu6488 9 วันที่ผ่านมา

    Nawakubar Sana 🔥

  • @AbeidManyama
    @AbeidManyama 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tina mzuriii ❤

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 7 วันที่ผ่านมา

    Sijawahi kuwa wa kwanza hapa jamani

  • @Rangoraphael
    @Rangoraphael 10 วันที่ผ่านมา +2

    BOOOOOM 🎉, from Congo

  • @HadijaHusen-od2bw
    @HadijaHusen-od2bw 8 วันที่ผ่านมา

    Yan sini zako zinafundisha sana kaka upo vzr

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 10 วันที่ผ่านมา +3

    Siku moja kabla ya ndoa VIP emb jaribuni kumalizia kazi kabla ya kazi mnatuboa mashabiki

    • @johnmollam3872
      @johnmollam3872 10 วันที่ผ่านมา

      Umenena vyema

    • @Mary-ug6oc
      @Mary-ug6oc 8 วันที่ผ่านมา

      Kweli tunataka siku moja kabra ya ndoa

  • @ThubaitaSeif
    @ThubaitaSeif 4 วันที่ผ่านมา

    Jmni 😊tina na brownn hum mmependez hatr