KIJANA TAJIRI ALIJIFANYA MASIKINI ILI APATE MKE BORA | DESTINY TO LOVE YOU | PART 02 |Love Story ❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 295

  • @ghislainekyubwa1643
    @ghislainekyubwa1643 3 หลายเดือนก่อน +152

    Kevin, tulikuwa tunajuwa unafunza maadili ya ki afrika katika filamu zako ndio maana hata sisi watu makamo tunakuaga mashabiki wako. Sasa sijui umempata manager wa giza ambae anakuamuru kuwavika waigizaji namna hii ya kisasa isiyo maadili. Nguo hizo umemvika huyo Kendy ni nguo gani? Binti anavaa uchi mnapitisha kwenye camera kweli, lengo lenu ni gani? Mtuheshimu sisi tunao tazama kazi zenu, msije poteza mashabiki.

    • @croyant16
      @croyant16 3 หลายเดือนก่อน +13

      Hiyo ni Kweli rafiki hata namimi nakuunga mkono wajirekebishe kabisa

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 3 หลายเดือนก่อน +8

      Na kwa upande wangu kwani Hawa wadada waigizaji asipovaa kigauni mapaja wazi kwani unakuwa sio muigizaji????

    • @umaima1178
      @umaima1178 3 หลายเดือนก่อน +6

      Kweli. Kabisa

    • @erastopascal
      @erastopascal 3 หลายเดือนก่อน +4

      COMENT KUBWA HII KEVI ZIMGATIA

    • @KelvinMrema-y9i
      @KelvinMrema-y9i 3 หลายเดือนก่อน +10

      Filamu zinacchezwa kulingana na maendeleo ya globalization na mtindo wa kisasa piah

  • @RoseSoni-fv7uu
    @RoseSoni-fv7uu 3 หลายเดือนก่อน +20

    Wa kwanza Leo from Kenya. Naombeni like zenu mafans

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hii Kali walai love from team strong bana 🇰🇪🇸🇦 Genz wapi kelele ama ninyamaze 😂

    • @hffalkurbi3812
      @hffalkurbi3812 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tulia 😅😅

  • @ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
    @ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds หลายเดือนก่อน +1

    Kevin jitahidi jamani kutoa maana hapa kwa Vicky ulipo ishia ndio napataka yaani nampenda kuona anavyo ongea lakini jamani mimi mwenzenu AMINA AMENITOA ROHO NAOMBENI NAMBA ZA KEVIN YAAN AMINA AMINA TUUU❤❤

  • @JumanneOthuman
    @JumanneOthuman 2 หลายเดือนก่อน +6

    jitahidini kulekebisha mavazi jmn😢😢😢 mbona mnajitahid kutunga story nzuri tena zenye mafundisho mazuri ❤❤❤

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kwel Kuna mda shetan ugeuka kuwa malaika..safr hii brown kaact hii series kimalaika

    • @ZulekhaAmar-fy4pm
      @ZulekhaAmar-fy4pm 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Nilimchukia sana kwenye kesho yng

    • @rukiahassan7001
      @rukiahassan7001 3 หลายเดือนก่อน

      @@ZulekhaAmar-fy4pm eenh alijifanya mbabe Dunia ya kwake hakujua mgawa rizik ni mungu

  • @Sharif-s6z
    @Sharif-s6z 3 หลายเดือนก่อน +12

    Afu msifikili kill M2 anapenda kuangalia hizo uchi zenu Kwan ukivaa vzr unabadilika nn aloooo

  • @MembaGenius-yt5fj
    @MembaGenius-yt5fj 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mv kali ila title ya majina ya movie zenu zinakuwa ndefu sn?

    • @raphaelnambombi3709
      @raphaelnambombi3709 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli,halafu title inaelezea move yote itakavyokuwa,inatakiwa ,utamu wa move inatakiwe isijulikane mwisho utakuwaje,mfano title ya hii move ingekuwa mtego wa penzi

  • @gudilasway4144
    @gudilasway4144 3 หลายเดือนก่อน +4

    Brown umeambiwa ukwel na Tina leo akiwa mlevi, na chakuambiwa na mlev n point kabisa, na nishahid wa halal kabisa mahakamani

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 3 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤❤ nyingi kwenu nyote from 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @SamwelNyaikondo
    @SamwelNyaikondo 29 วันที่ผ่านมา +1

    Museveni must go😢

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwel kunambi umeupiga mwingi sema yahitaji moyo mgumu

  • @IbrahimAtanasi-g3o
    @IbrahimAtanasi-g3o หลายเดือนก่อน +1

    Mko vizuli kwAkweli

  • @SalomeSumbizi-ll9wc
    @SalomeSumbizi-ll9wc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn candy nilimmic kweny mov

  • @dullahjux6120
    @dullahjux6120 3 หลายเดือนก่อน +9

    Like nyingi

  • @emmatheboss1846
    @emmatheboss1846 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnachelewa kutoa vipande xana paka tunasahau movie jitaidini kutoa kwa wakati ata kwa week vipand 5

  • @mahmoudnajad217
    @mahmoudnajad217 3 หลายเดือนก่อน +2

    USHAURI MNGEIANDIKA NI PARTY 2 ILI TUNAOFATILIA KUIJUA KIURAHISI.

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wa mwisho kutoka 🇰🇪🇰🇪Nipeni like zenu

    • @M3tr.n
      @M3tr.n 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa mie semeje😢😢😢

  • @CATHERINEKWAMBOKA-z9k
    @CATHERINEKWAMBOKA-z9k 3 หลายเดือนก่อน +2

    I like tha way candy ana huruma kuhusu kevin kuriko Tina bibi yake kevin enyewe mapenzi ni skam

    • @Muhsin-d3u
      @Muhsin-d3u 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni brown sio kelvin

  • @NdyamukamaEdmund
    @NdyamukamaEdmund 3 หลายเดือนก่อน +4

    pamoja wanangu waliowah tujuane bac

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Bravo kerve kwakazi zuri sana 2024 muko moto sana ❤❤❤❤ maansha Allah 😮😮😮

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tina wendo pumbavu hujielewi unasamanisha hela kuliko utu😢

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 3 หลายเดือนก่อน +4

    Maya anasauty mzuri sana ❤❤❤❤

  • @BarakaAloice
    @BarakaAloice 3 หลายเดือนก่อน +1

    alfu mjuwe tunawatoto wenye tushazowelesha kuhangalia movies za Donta tv

  • @AlexSimon-fd2wy
    @AlexSimon-fd2wy 3 หลายเดือนก่อน +2

    Braoni umepooza umepunguza nywere

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 3 หลายเดือนก่อน

      Kumb at ww umeona

  • @NeemaSilijui
    @NeemaSilijui 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siongei lakin acha Leo niongee izo nguo kendy unatuabisha

  • @GèneclaverTina
    @GèneclaverTina 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂jamani Tina kanichekesha kumbe anajua kulewa😂😂😂

  • @ewoiekaale
    @ewoiekaale 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wa kwanza mimi hapa mkenya original

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 หลายเดือนก่อน +1

    mayyaa umenifrahishaa sana daah

  • @mariaalmaria9513
    @mariaalmaria9513 หลายเดือนก่อน +1

    Tina eee amerewa vibaa😂😂😂

  • @GèneclaverTina
    @GèneclaverTina 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kendi nilikuwa nimekumiss

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Vimaneno vingi mpaka atuoni kama ni episode ya ngap mpaka u zoom Kelvin unajua hii title unazozitumia unsmfumbua mtazamaji ajue mbele itakuwaje ata kam mkifumb ap kijana tajiri anifany maskin wstazamaj washajua brown anajifanyish kuw kapolwa mali sasa rekebish kam ulivorekbish ya kesho yangu

    • @QueenJane-x3m
      @QueenJane-x3m 2 หลายเดือนก่อน

      Me nilishawahi kutoa maoni kama haya, wanapenda kutumia kijana kijana hadi TITTLE inakuwa ndefu Yaani

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 วันที่ผ่านมา

    Kendy tulia wew umekuja ukakaribishwa kama njinsi Brown alivyo karibishwa nyumba

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 วันที่ผ่านมา

    Tina wacha unafiki hpo mwanzo ulimpenda Brown kumbe ulimpendea pesa yke umesaha msaada wa Brown

  • @johnsonsaburi1134
    @johnsonsaburi1134 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tina hujakua kuigiza apo kwa ulevi

  • @KijigoKalibuhave
    @KijigoKalibuhave 2 หลายเดือนก่อน

    Move zenu hazieleweki hata majina halafu mabaya saivi mnafanya ili mladi liende

  • @HelmanPonera
    @HelmanPonera หลายเดือนก่อน

    Walevi wote wangekuwa wanaongea hiv tungeongeza siku za kuishi kwa tabasamu

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 3 หลายเดือนก่อน +3

    Maya ndo mke Bora 🎉🎉🎉❤❤

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 หลายเดือนก่อน

    Shda ya Hz movie huelew zinaanzia wap zinaishia wap xax kama hii n part one au 2!

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tina umeweza 😂😂😂 kuwa mlevi😂😂😂

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @AugostinoJohn
    @AugostinoJohn 2 หลายเดือนก่อน

    Mmhh jamn tina unaeckty umelew kwan c ungechukuwa tu maamuz yak bila kunyw.

  • @CelvineFloriani
    @CelvineFloriani 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo vipi kevini unapatikana wapi name nahitwa kevini nataka tuongee saw

  • @ChidNondo
    @ChidNondo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza mm

  • @jumamuhidini8591
    @jumamuhidini8591 3 หลายเดือนก่อน +2

    kazi mzur sana ira mnacherewesha

  • @Mwenjuma-zz1jt
    @Mwenjuma-zz1jt 3 หลายเดือนก่อน +3

    I'm the first 🥇🥇

  • @FatakijpVandra
    @FatakijpVandra หลายเดือนก่อน

    From DRC napenda sn love story za Kelvin

  • @JamilaMsafiri
    @JamilaMsafiri 2 หลายเดือนก่อน

    Vguo hvyo wachieni watoto vaen magaun yapo mazur tu

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 2 หลายเดือนก่อน

    NIMEIELEWA PIC YA KUNAMBI

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 วันที่ผ่านมา

    Kendi mwambie Tina ukweli kwan leo hii amemwona Brown hafai k2 ila Tina lipo nyima laja leo kwa Brown keshl kwa Tina

  • @AshaRashid-i1l
    @AshaRashid-i1l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda kendi ❤❤

  • @AsmaRamadhani-ok6iv
    @AsmaRamadhani-ok6iv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Braiton naona atakuja kumuoa kendi

  • @edithnafuna3567
    @edithnafuna3567 หลายเดือนก่อน

    Kendo anawaza vizuri dada watu Na Kaka mmoja chumba kimoja

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 วันที่ผ่านมา

    Maya hapo umesema kweli mweleze Tina kinaga ubwaga nmemwona Kendy amewasili

  • @FransisAloys
    @FransisAloys 2 หลายเดือนก่อน

    Mmm Tina anamchana makavu brown ajiongeze 😂

  • @DieudonneIninahazwe-me4ty
    @DieudonneIninahazwe-me4ty 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sana
    Lakini mnatukawiza

  • @Samiafficial3942
    @Samiafficial3942 3 หลายเดือนก่อน +1

    From Rwanda❤❤❤

  • @RobertNuru-xv3lo
    @RobertNuru-xv3lo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Maya nakupenda buuure

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maya ndo mwanamke sahihi Brown ,au bas muongeze dakk

  • @BenilausMaryogo
    @BenilausMaryogo 2 หลายเดือนก่อน

    Kazizenu nzuri lakin muwafunze jinsi yakuvaaa aseeeee

  • @CharmingAngel-wx2sk
    @CharmingAngel-wx2sk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maya ukienda Zanzibar brown atakuwa matesoni,kwanza huyo kendi na Tina😢😢

  • @CLENCHAULA
    @CLENCHAULA หลายเดือนก่อน

    Jaman part 12 ya kijana tajiri kujifanya masikini apate mke bora

  • @dolinepeter2503
    @dolinepeter2503 2 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani brown awe na maya

  • @WABONGOKADENGE
    @WABONGOKADENGE 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka brauni muko vizuli sana katika sana zenu Huwa nakufuatilieni sana Niko mozambiq.

  • @ClementLefils
    @ClementLefils 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawafata sana ila nataka iyi muiendeleshe

  • @AngelSharif-m1r
    @AngelSharif-m1r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Good 🎉🎉🎉 nawapenda wot❤❤❤❤❤❤

  • @BIGTARENTD.FAMILYOCHU
    @BIGTARENTD.FAMILYOCHU 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka mmeuwa kinoma yan

  • @LoiceMapenzikenga
    @LoiceMapenzikenga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Brown.wamkumba kelvin ss alivyokwambia

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maya jaman unaroho zury adi uruma

  • @gudilasway4144
    @gudilasway4144 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tina Tina nimekuita mara mbili,ukilewa unajua, 😅😅

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka Brown usiwe na shaka kazi unarudi rasimi hayo nimapito 2 ya maisha

  • @happinesssamira-fp4hh
    @happinesssamira-fp4hh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri calvn na timu yako mungu awafikishe mbali❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @irankundachartieret658
    @irankundachartieret658 วันที่ผ่านมา

    Tina nimubaya akirewa lol😅hakili zinakuja lol😂😂❤

  • @AmodiRichad
    @AmodiRichad 3 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooo Nimefurahi kumuona kendi Tena jaman

  • @JamesNyandwi
    @JamesNyandwi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipa san

  • @JumanneOthuman
    @JumanneOthuman 2 หลายเดือนก่อน

    jitahidini kulekebisha mavazi jmn😢😢😢 mbona mnajitahid kutunga story nzuri tena zenye mafundisho mazuri ❤❤❤

  • @naipendambingutv
    @naipendambingutv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kelvin mrekebisheni candy kwenye kuvaa, yaani maadili muyazingatie pia Kaka. Kazi zenu ni nzuri sana na Mungu anawasaidia ila muangalie sana maadili pia...

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  2 หลายเดือนก่อน

      Kila mavazi uendana na maudhui uwezi kuigiza kama shekhe arafu uvae mavazi ya pastor 🙏

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  2 หลายเดือนก่อน

      Mavazi uendana na maudhui uwezi kuigiza kama shekhe arafu uvae mavazi ya pastor 🙏

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tina unajua guchamba ukilewa mmmaaa 😅😅😅😅😅

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 3 หลายเดือนก่อน +1

    Courage ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnnaWaswa
    @AnnaWaswa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Swali maya na Kendi ni dada ama

  • @samuelmbale1409
    @samuelmbale1409 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇨🇩✌️

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tinah 😂😂😂😂😂😂😂umenifurahisha sana

  • @DieumerciKafanya
    @DieumerciKafanya 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo siyo mwanake maya domwanake wakuowa

  • @Racher-cw5lh
    @Racher-cw5lh 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jitahidin kuvaa na kajisitiri vizur 2waombe wadada jaman daaaah

    • @ashamwanganzi6400
      @ashamwanganzi6400 2 หลายเดือนก่อน

      Dunya iko mwisho kiukwel 😢😢wanawake tunadalilika wallah

  • @kitemerosanga109
    @kitemerosanga109 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maya mungu akubaliki saf Sana dada

  • @ConfusedBabyOctopus-cb2ee
    @ConfusedBabyOctopus-cb2ee 3 หลายเดือนก่อน +2

    Number 1 leo😅😅

  • @JumaAdamo-rz4ye
    @JumaAdamo-rz4ye 3 หลายเดือนก่อน

    Estão a demorar muito meus amorosos,aqui fala Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tina nakupendaaga bule ❤😂😂

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kunambi ❤❤❤❤

  • @MsodokiAli
    @MsodokiAli 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wa mwnz

  • @shaydebby5678
    @shaydebby5678 2 หลายเดือนก่อน

    Candy nguo kama hizo hazikupendez bwana😂ww chibonge

  • @mammymasibomammy5004
    @mammymasibomammy5004 2 หลายเดือนก่อน

    Tina una roho mbaya 😒🙂‍↕️

  • @lilianmichael3402
    @lilianmichael3402 3 หลายเดือนก่อน +1

    candy is baaaaaack❤❤❤❤🎉

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saf san kaz mzr san

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maya Jaman mungu akubarik uwendelee na moy huo huo

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 3 หลายเดือนก่อน

      Amin yarab

  • @youthmediatv1
    @youthmediatv1 3 หลายเดือนก่อน

    Nataka part 03 jamani

  • @ChristopherBonfils-dk1tx
    @ChristopherBonfils-dk1tx 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤

  • @Daudimpeleta
    @Daudimpeleta 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmenikumbushaaa Best wife

  • @SAIGONEJOHNDALALNHEBA
    @SAIGONEJOHNDALALNHEBA หลายเดือนก่อน

    Movie nzuri ❤❤❤kelvin huja wahi kufeli kwenye kazi zako❤❤ congratulations 💔bro❤❤❤❤❤❤

  • @MousaAmos
    @MousaAmos 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tiner umeua apo kweny kaulev

  • @KijanaMwepexi
    @KijanaMwepexi 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kelvin Mimi ni shabiki kutoka Kenya Kelvin chunga Sana kwa picture unazoposti ukitumia waschana wasiovaa kimadili utapoteza mashabiki kwaheri

    • @davidmande2940
      @davidmande2940 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba ww boya mbona kawaida2