SHEMEJI | FULL MOVIE | Love Story ❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 150

  • @wiliamkatala6688
    @wiliamkatala6688 3 หลายเดือนก่อน +14

    Huo Muda wanaoogombana ndo wangeutumia kufanya tendo la ndoa.😂😂😂😂😂😂

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kweli

    • @DJMikeV8
      @DJMikeV8 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa nimshamba sana

    • @YASINFADHILI-er1xp
      @YASINFADHILI-er1xp หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂kweli kabisa

    • @Khamiskazole-f7f
      @Khamiskazole-f7f หลายเดือนก่อน

      Mmmm ngoja nikatafte mume mana uyu nae mshamba

    • @ZawadiMasha-r9b
      @ZawadiMasha-r9b 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂Umesema ukwel

  • @samiasalum9690
    @samiasalum9690 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nelly ukinyoa hivyo unapendeza sana😊 usisuke bna🥱

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hata ingekuwa mimi Nyuki ningekucheat tuu..

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 3 หลายเดือนก่อน +15

    Kwakweli hata mimi nisingemsumbua mtu anayeniambia yuko bize na kazi muda wote, natafuta msaada sehemu nyingine ila siyo nduye mume wangu

    • @MrCaamir-i7r
      @MrCaamir-i7r 2 หลายเดือนก่อน

      Hata mm singeweza jmn

  • @MelinaMerlins
    @MelinaMerlins 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ulifanya jambo lamaana sana loveness kuwachanganya

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna hitaji la msingi kwa Mke, kwama kumpa haki mke na kumpa muda wako
    Sasa huyu bwabwa anaona kula na kuvaa ndio kamaliza, pumbavu kabisa

  • @hafidhiabdalla5813
    @hafidhiabdalla5813 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mm nishabiki wako loveness

  • @BihusiIddi
    @BihusiIddi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nyuki sula ngumu umeniboa unavyo mtesa mwanamkemwezangu

  • @coolbz133
    @coolbz133 3 หลายเดือนก่อน +3

    loveness hataki kuelewa ataka kiuno kitikiswe apelekewe moto😂😂😂

  • @4gfashion
    @4gfashion 3 หลายเดือนก่อน +3

    Iyo muvi mme bolonga ingetakiwa muweke tatizo lamwanaume kuto mpa mwanamke penz mana ubize wa kazi bado sio tatizo maana ata usiku nimrefu na tendo halichukui ata masaa

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ndoa bila tendo sio ndoa

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nelly unasema ukweli. Nyuki ata ukinunua kila kitu kama upei mke mapenzi yake iyo ni kazi bure atakuibia pesa aende kununua mwanaume

  • @MajaliwaJonh
    @MajaliwaJonh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna wakati mapenzi yana mda wake co kila mda umechoka umechoka mwenzio anakorogea uji

    • @specialsylva7025
      @specialsylva7025 หลายเดือนก่อน

      nikweli akupe haki yako loveness

  • @Khamiskazole-f7f
    @Khamiskazole-f7f หลายเดือนก่อน +4

    Yaan ingekuwa mm ningemuacha na kazi zake ningetafuta mumeeeee mwengineeee

    • @Khamiskazole-f7f
      @Khamiskazole-f7f หลายเดือนก่อน +1

      Jaman mm mwanamkee naitwa laty ila username 2

  • @Mercy-uo1oq
    @Mercy-uo1oq 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hili ni funzo la wanaume wengi manake wanaona mwanamke ametoka kwao kisa nyumba, fanicha na kula

  • @sesiliahussein7774
    @sesiliahussein7774 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe nyuki acha kunyimana hiyo kitu bhana uchoyo tu muone 😊

    • @PHILOMENAKADAWI
      @PHILOMENAKADAWI 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @RaysMerige-cn6xg
    @RaysMerige-cn6xg 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmh pole lovenes hawa ndo walivyo

  • @SusanOsira
    @SusanOsira 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nisingeweza kukaa na mtu kama huyo juu ananinyima haki yangu

    • @MapenziMenza-dj7fl
      @MapenziMenza-dj7fl 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hat mm ningekusalit kabis ten n babak

    • @EglayAyuma
      @EglayAyuma 7 วันที่ผ่านมา

      Na mm je nataka kila mara alafu unaninyima shemeji wafanye kaz au niondoke😂😂😂

  • @SabrinaChakale
    @SabrinaChakale 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mimi hapo nisingekubali pamoja na kuhudumia kwako nyuki

  • @AntidyPhilbert-x3m
    @AntidyPhilbert-x3m 3 หลายเดือนก่อน +6

    Team Nyuki tujuane Kwa likes

  • @IsaBella-lf6ts
    @IsaBella-lf6ts 3 หลายเดือนก่อน +2

    Achakumpa mwenziyo shauri mbaya wewe mjinga unatamani kuaribu nyumba ya mwenziyo laah kwakweli sio kila rafiki ambayo anaweza kukupa shauriv nzuri

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nyuki nahiyo inatakiwa😂😂😂😂❤❤

    • @maeshjuma7962
      @maeshjuma7962 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yy ndio sababu kubwa sana ya bibi yake kumchiti😂😂😂😂😂

  • @VumiliamagnusMlelwa
    @VumiliamagnusMlelwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Somo zuri safi sana ila loveness nakupenda kisura chako😂😂

  • @petermaro9852
    @petermaro9852 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mpe dudu la yuyu🤣🤣🤣🤣

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pol dada mume yup bize at usiku jaman daa

  • @benbowhanneywell7242
    @benbowhanneywell7242 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi njema ila 'siku moja kabla ya ndoa yangu haijakamilika na zingine Tu mingi

    • @MackSon-z1x
      @MackSon-z1x 2 หลายเดือนก่อน

      Iliisha kabla ya ndoa

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata kumbato la mahaba hakuna, hivi kuna ndoa hapo👀👀👀

  • @MtoroMsamati-d5f
    @MtoroMsamati-d5f หลายเดือนก่อน

    Kwanza ukitoa kazi kinacho fuata ni mapenzi
    Sasa huyu jamaa yan da

  • @AdamBakari-l3h
    @AdamBakari-l3h หลายเดือนก่อน +1

    Ana mapenz ya kweli labda sa tusemej

  • @paulomotto3394
    @paulomotto3394 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani mi nampenda kweli love nees

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuki ningekuwa mm salaala ningekusalti mbaya mbovu tuone hio kaz n ndoa yko kuvunjik

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri wana Donta Mungu awazidishie🎉🎉🎉❤❤

  • @SuzanDithenya
    @SuzanDithenya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyuki mwenyewe huyo aaaaiiiiiiih

  • @mpingojunior7038
    @mpingojunior7038 3 หลายเดือนก่อน +7

    acheni tabia ya kurudia rudia vipnde maan neno katoka kuzungumza sahivi unkut dakik mbil mbel anarudia ten boresheni hilo but big up san kil mtu anafany uhusika wake kwa kuzingatia kil kitu kiifup kazi iko 💯💯💯

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 3 หลายเดือนก่อน +2

    Fact ❤❤❤ umeupiga mwingi Nelson maneno kuntu team hamam

  • @VeenVv
    @VeenVv 29 วันที่ผ่านมา

    Bana nn maana ya kuosha nyuki,waonekana mkubwa kiumri ama unaaibika na mapenzi,,,,😅😅😅😅 from Kenya bana

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 25 วันที่ผ่านมา

    Waandaaji wa movie muepuke hizi scene za upigaji wanawake, ni kama mnauhalalisha vile.

  • @TumainiJudika-m4s
    @TumainiJudika-m4s 24 วันที่ผ่านมา

    Chamuhim kwenye ndoa nitendo likikosekana bas jua hapo hakuna ndoa Tena

  • @IgnasKapita
    @IgnasKapita หลายเดือนก่อน

    Kumbe Kuna baadhi ya wanaume hawajitambui Kam nyuki. Sasa mahitaj ya mwanamke na tendo la ndo wap na wap

  • @MaulidyShabanikakotwe
    @MaulidyShabanikakotwe หลายเดือนก่อน

    Kiufupi penzi ni tiba ya nyumba sisi wanaume tujitahidi kujari hisia za wanao tujari haswa nyakati zausiku

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ingekuwa unamkuna aya siku moja kwa wiki 😅😅😅😅anakula anashiba weee

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuki we vip mpe haki yake mke wako jmn mbona ivo😂😂😂

  • @JesckaJuniortz
    @JesckaJuniortz 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wakati mwingine wanajitakiya wenyewe mwanamke anataka haki yake akuna ndoa bila tendo

  • @salmambarak859
    @salmambarak859 3 หลายเดือนก่อน +1

    kula kuvaa siko kuliko mleta ht kwao alikua yuvipt

  • @ShadiaIdrisa
    @ShadiaIdrisa หลายเดือนก่อน +1

    Lovenes omba hakiyako mwaya🎉

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 17 วันที่ผ่านมา

    We mpuuzi kwani kwao alikua hali au hapaki mafuta 😂😂😂😂

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 3 หลายเดือนก่อน +3

    Next 🔥🔥🔥

  • @Jumaa-b4z
    @Jumaa-b4z 7 วันที่ผ่านมา

    Nahii tabia kutofunga mkanda ilitokea wapi wanaume

  • @MajanesaideSaidesaide
    @MajanesaideSaidesaide 28 วันที่ผ่านมา

    Kweli nyny bila kelvin bado sio chochote

  • @MaaComrade
    @MaaComrade 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo sura ni ya nyuki kweli inauma kwa ukali😂😂

  • @AnchaSaide-j6q
    @AnchaSaide-j6q 20 วันที่ผ่านมา

    Mhuuuu nisingemtafut kabicaaaaa uyu kaka aiseeeeeee

  • @VeronicaDamas-in9yx
    @VeronicaDamas-in9yx 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana wanadonta tv kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @arbogastemiykimario2721
    @arbogastemiykimario2721 หลายเดือนก่อน +1

    Atari sana vipi wanawake wanaowanyima wanaume zao

    • @GivenMwakaje
      @GivenMwakaje หลายเดือนก่อน

      Na wenyewe wafanyewe kama alivyo fanyiwa huyu mshamba daah ila huyu mwanaume hana akili

  • @FathmaFathma-rg9hc
    @FathmaFathma-rg9hc 3 หลายเดือนก่อน +3

    🔥🔥🔥

  • @BettinavintaniVintani
    @BettinavintaniVintani 22 วันที่ผ่านมา

    Ayo ndo maisha ninayo yapitia muda wote nambiwa Niko bize na kazi mala nimechoka kwakweli sina furaha😂

    • @RomanKahindi
      @RomanKahindi 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @XaveryNyoni-km2mf
    @XaveryNyoni-km2mf 23 วันที่ผ่านมา

    Movie zenu mbona zinaisha kiboya Ivo

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @MercyMercy-l1k
    @MercyMercy-l1k 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @MauwaAuwa1991
    @MauwaAuwa1991 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mko vizuri

  • @johkm2408
    @johkm2408 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuki mupe mambo mutoto wawatu

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi poa sana nyuki

  • @MhhamadBashir
    @MhhamadBashir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuki Kawa nzi jmn

  • @mpingojunior7038
    @mpingojunior7038 3 หลายเดือนก่อน +2

    kazi nzurii sana🎉🎉

  • @MwanamisiSuleiman
    @MwanamisiSuleiman หลายเดือนก่อน

    Shemeji ni handsome😢😢😢

  • @TinaBabe-hw4fm
    @TinaBabe-hw4fm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo lips juma...❤❤❤❤

  • @RashidiMkojela
    @RashidiMkojela 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwaume nikichaaa mwanamke anahitaji zaidi ya pesa na chakula pia huwezi kufanya hivyo tafuta namna nzuri yakuzungumza nae

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana matajiri wengi wana poteza wake / kulea watoto wasio wakwao kwa sababu, hawana muda na wake zao😌😏

  • @elibarikiyohana2371
    @elibarikiyohana2371 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaume, afya ya uzazi ni muhimu sana na ni jukumu lako na sio la mke wako, ur man downstairs is very important than yourself, ukizarau uanaume wako halisi mke wako hatakusikiliza kamwe, kuchitiwa unauma sana ila ukiwa haupigi mzigo Bora ujikaze tu

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 3 หลายเดือนก่อน

    Big up sana lkn nyuki unapo sema unatimiza mahitaji yote unakosea mana hitajio kubwa umeshindwa kulitiza ndo mana umepgiwa afu juma halaumiki mana ata km ni ww ucngaliruka😂😂😂😂😂

  • @Vero-uo3nb
    @Vero-uo3nb 3 หลายเดือนก่อน

    Nyuki mpe mkeo haki yake tafadhali kwani hivi ,,alipokuwa kwao alikuwa yuwala chakula,yuwavaanguo na pia nywele yuatengeneza ...Sasa utanmfanya atoke nje ya ndoa😢😢

  • @DalmasMusindi
    @DalmasMusindi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lovenes 😂😂😂😂 yawa

  • @queenpoulsen1812
    @queenpoulsen1812 2 หลายเดือนก่อน

    Movie mbaya😮

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda jamani❤❤❤❤❤

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 3 หลายเดือนก่อน

    Nelly unamwambia ukweli kabisa uyo nyuki, lkn achen kurudia rudia maneno,

  • @AntoniamartaLuis
    @AntoniamartaLuis 3 หลายเดือนก่อน

    Loveness te amo mormiga 😘🥰🙏 sou d cabo delgado mueda

  • @MaaComrade
    @MaaComrade 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn hatujawai mpenzi wa vae ni mdomo tu prrrrrry😮😅😅

  • @ZindunaJaphar
    @ZindunaJaphar 3 วันที่ผ่านมา

    🤭🤭🤭🤭😱😱😱😱 jamani kuwana.subila.lavinesi

  • @RagoPume
    @RagoPume 5 วันที่ผ่านมา

    Ujinga m2pu uo

  • @JospinVital
    @JospinVital หลายเดือนก่อน

    Achana naye dada

  • @fellst4159
    @fellst4159 3 หลายเดือนก่อน

    Sex is important in marriage hata kwetu tunkula tunakunywa

  • @YuscoyuscoYusco
    @YuscoyuscoYusco หลายเดือนก่อน

    Jiongeze ww

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni shetani wa mgu oja yaani hasikilizi mkewe 😞

  • @khamiskhamis1205
    @khamiskhamis1205 2 หลายเดือนก่อน

    Loveness crazy girl anamihemko ya maisha mwache akome

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 3 วันที่ผ่านมา

    Muvimzuli

  • @mariakoseja
    @mariakoseja 6 วันที่ผ่านมา

    Au.jogooo...hapandi.m2ngi😂😂😂

  • @annamnyazi8206
    @annamnyazi8206 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 3 หลายเดือนก่อน

    Nyuki na ww unamakosa usimpe makosa mke wako tu sasa yalio tokeya nikumuonea

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lenu mna Scene ndefu ndefu sana 😢 Maneno kibao

  • @EmilyNelima-p6h
    @EmilyNelima-p6h 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SifaJudith
    @SifaJudith 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ acheni kkuzingiziya kazi kwenye ndowa

  • @aliyembehamisi9764
    @aliyembehamisi9764 2 หลายเดือนก่อน

    Tuachane from no where😅

  • @EmilyNelima-p6h
    @EmilyNelima-p6h 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉❤

  • @ISNEYATHUMAN59
    @ISNEYATHUMAN59 3 หลายเดือนก่อน

    nyuki ana nyodo ivo kamz ndo mm sirud hata

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanaume bwa bwa kweli 😳

  • @StanleyVincent-h7c
    @StanleyVincent-h7c 2 หลายเดือนก่อน

    Huo mda mngemalizana tu jaman

  • @MarthaMkulo
    @MarthaMkulo 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @StanleyVincent-h7c
    @StanleyVincent-h7c 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @ZawadiMasha-r9b
    @ZawadiMasha-r9b 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂