PENZI JIPYA 💞 Love story | DONTA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 220

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s 6 หลายเดือนก่อน +13

    Lovenes nimekwambiya unakumbuka mupenzi wako wa nzamani nabado ilanawapenda team strong munajuwa

  • @DominicMusyoki-s9f
    @DominicMusyoki-s9f 6 หลายเดือนก่อน +17

    Mambo ni karakara nipeeni likes zenu please 🎉🎉

  • @ummusajdalayaa4305
    @ummusajdalayaa4305 6 หลายเดือนก่อน +11

    Mambo ya penzi jipya hayooo by the way nimemmic Nelly jmn

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ila Loveness unaniacha hoii mimi huku jaman 🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @atifosalimo
    @atifosalimo 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kitu kutoka MZ ❤❤❤

  • @gracejames-o7
    @gracejames-o7 5 หลายเดือนก่อน +4

    Apana loveness kimbia rudiii kwa nelly

  • @Nanah-go4lj
    @Nanah-go4lj 6 หลายเดือนก่อน +5

    Jmn kuna jambo clielewi hapa inakuwaje kila mtu anaomba like mmepost nn cha kutushawishi ku- like

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 6 หลายเดือนก่อน +7

    James umerudi moto mpaka raha😂😂😂

  • @DoreenKaimenyi-km6ux
    @DoreenKaimenyi-km6ux 6 หลายเดือนก่อน +4

    1500views 200 likes jameni ebu wacheni masiara😂

    • @maysaghjii5058
      @maysaghjii5058 6 หลายเดือนก่อน

      Loveness angalia ucjejuta ukakumbuka maskini wako mbn hakuingizi ndani km anakupenda muongo uyo simume

    • @maysaghjii5058
      @maysaghjii5058 6 หลายเดือนก่อน

      Angalia shingo icjeikawa km twiga kwkuchungulia uliambiwa ukamtusi mdada wwtu

  • @MamuuGerson
    @MamuuGerson 6 หลายเดือนก่อน +21

    Waliolielewa biti gonga like

    • @zadockstaford3800
      @zadockstaford3800 6 หลายเดือนก่อน

      Ani hili bit kali sana kiukweli daah

    • @FredyStanley-y1x
      @FredyStanley-y1x 6 หลายเดือนก่อน

      Ama kweli biti kali

  • @MarryIrunde-fk1bw
    @MarryIrunde-fk1bw 6 หลายเดือนก่อน +7

    Loveless manyumba yote hayo mtu anakutembeza na miguu hana gari au😅😅😅

    • @ZulekhaAmar-fy4pm
      @ZulekhaAmar-fy4pm 5 หลายเดือนก่อน

      Nahakuingizi ndani anakuonyesha nje kwambali😂😂😂

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂apo sasa

    • @neemaafraeli6720
      @neemaafraeli6720 หลายเดือนก่อน

      Tunatembea kwa mguu lakini tuna manyumba mengi😂

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 6 หลายเดือนก่อน +5

    Loveness unajiharibia Mwenyew Wanaume hawapendi habar za Mwanamme Mwengine, wanaumia snaa Mwish wa siku huyo Unae muhadithia hizo habar anajua ipo Siku utamuacha ukipata wakukupa pesa au vitu kwa Sababu anajua unataka vitu tu sio Upendo

  • @DorothyNashipei-he7ko
    @DorothyNashipei-he7ko 6 หลายเดือนก่อน +12

    Nmewai leo jamani like zangu☺️

  • @AshuraMohammed-p2q
    @AshuraMohammed-p2q 6 หลายเดือนก่อน +6

    Hushtuki tu,Kwa nn utambulishwe Kwa nje,utamkumbuka Nelly mama

  • @GeorgeSteven-rd9ni
    @GeorgeSteven-rd9ni 6 หลายเดือนก่อน +3

    Linamtembeza mtot wa watu wa mguuu Adi apauke duh ili ongo nyie kaaah Adi kazid sas

  • @MmAa-n6z
    @MmAa-n6z 6 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @سيييققق
    @سيييققق 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nyumba ni zako na muchumba huwezi enda nae akaingia ndani akaona mwenyewe looh penzi jipya hili 😂😂

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru 6 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂eti ahadi ahadi kama yesu love huyo mtu nimkora😂😂

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 6 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂 loveness my dear mwisho wa kukimbia ni kusimama, unaonaje ukirudi kwa Nelly ❤ Kenya

  • @ZakaboyMusa
    @ZakaboyMusa 6 หลายเดือนก่อน +9

    Like jamani

  • @ShukuruRajabu-l3s
    @ShukuruRajabu-l3s 6 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 embu kwanza nicheke jmn loveliness unaingy Cha kiume apo jmn yakweli hayo

  • @Halimayussuf-h3f
    @Halimayussuf-h3f 24 วันที่ผ่านมา +1

    Loveness ukona misemo sanaa 😂😂

  • @MubaMudi
    @MubaMudi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaha jemc kabadilika balaa kama anahela kwel

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 6 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂niceke ninenepe mie lavenesi kosa mali upate akili yani uoneshwe nyumba kwainje ukataliwe kuingiya ndani unatapeliwa ivivi pole sana mwaya😢

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hata iyo cm amebeba, loveness hauna Bahari,

  • @HijhRuhhg
    @HijhRuhhg 6 หลายเดือนก่อน +3

    Msijifanye hamujaona kitambi cha james😂😂😂😂

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s 6 หลายเดือนก่อน +2

    James ikonakudanganya tu ili umupelekeye moto ure utajutiya nautapatamarazi bure

  • @KhadijaTalib-tm6gx
    @KhadijaTalib-tm6gx 5 หลายเดือนก่อน

    Loveness unadanganywa vyote hivyo hushituki tu. Nimejifunza kitu tuacheni tamaa turidhike n tulichonacho

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 6 หลายเดือนก่อน +2

    My favorite ❤❤❤

  • @CizaFrancine-
    @CizaFrancine- 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani si kwa utapeli huyo 😢😢pole sana loveness lakini nawewe umekuwa lofa sana wewe mwanaume unamwambia afungue ukaone ndani nayeye anakwambia umbwa zitakukula kwanini usinge funguka akili 🙄🤔❤🇧🇮🇧🇮

  • @NaomieMwero
    @NaomieMwero 6 หลายเดือนก่อน +2

    Una manyumba Lakini huna gari mwa enda kwa mguuu hadi mwachoka😂 hamuingie hata

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yalabi wanawake tunadanganyikaga sana lovenesse umedaganwa rafikiyangu mwogo uyokaka🎉🎉🎉🎉

  • @omarmwachili1108
    @omarmwachili1108 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake acheni kua na tamaa ukamuacha anae kupenda ukafata mtu mwenye pesa

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 6 หลายเดือนก่อน +3

    asante kwa muenderezo mzuli na mungu awabaliki sana mzidi kutupa kazi nzuli zenye mafuzo mazuli nakupenda sana kelvin naomba mungu pia ufani kiwe ufike mbali zaidi❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtaka Vyote kwa pupa hukosaa Vyote 😂 Loveness, ww utakosa Masomo ya chuo na Mwanamme utakosaa

  • @christine7744
    @christine7744 6 หลายเดือนก่อน +2

    Anakuvuruga daa lovness na penzi jipya😂😂😂😂 nawapenda wote❤❤❤❤

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 6 หลายเดือนก่อน +2

    James sura yako tu inaonyesha unaongea urongo

  • @TeresaBarasa-k4i
    @TeresaBarasa-k4i 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ebu mnifanyie connection na Nelly aki Huwa napenda huyo kijana walai

  • @RuesFedrick
    @RuesFedrick 2 หลายเดือนก่อน

    Ooh jaman loveness umepatikan,, bc mwenyew umekufa umeoza Kwa uyo jama kama uoni

  • @FarajaNzalalila-yx4oo
    @FarajaNzalalila-yx4oo 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe loveness hushiriki tu mtu anakuonesha nyumba hafu hakuingizi ndani hivi mbaka hapo bado haujagundua tu kitu jamani

  • @NeemaMasimba-f2w
    @NeemaMasimba-f2w 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maana yake wapo wengi wa kuishi na james😂😂

  • @rajabumihayo6235
    @rajabumihayo6235 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daah jamn wanawake mbona huwa mnadanganyika ivyo . Love bhana

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 5 หลายเดือนก่อน

    Unaonyeshwa nyumba inje inje tu!! Huoni kama unadanganywa?

  • @IbrahimuNzoyisaba
    @IbrahimuNzoyisaba หลายเดือนก่อน

    Loveness kwan we huogop ndio umepigwa 😀😆😆😆😆😆

  • @NeemaMasimba-f2w
    @NeemaMasimba-f2w 6 หลายเดือนก่อน +12

    Mlioisikia hii sentensi "wewe ni mtu wa muhimu kuliko wote ninaotarajia kuja kuishi nao" tupungiane mkono ✋✋✋

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nelly ❤❤❤
    Ilq ukipendwa siku Zote inakuwa hivi kuringa half kupenda siku zote Maumivu

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbwa Wametoka Nuruway😂😂😂😂😂😂😂 James shikamoo

  • @TanescoIkuti
    @TanescoIkuti 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kevi wembe ulimpotezea wap.jaman da

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 2 หลายเดือนก่อน

    Lovenes uko sawa upendo c kuambiwa i love you to wanaume wenye ni mali ngumu wanajua upendo nikuambiwa i love you tosha

  • @فاطمةفاطمة-ذ5ث
    @فاطمةفاطمة-ذ5ث 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani hivi wanaume waongo kama huyu kaka bado wapo kweli maana sio poa😂😂😂😂😂😂

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 4 หลายเดือนก่อน

    Wenzako wanasuka rass wew unasuka vidolidoli😂😂😂😂

  • @YahayaZaholo
    @YahayaZaholo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hap ullv taj yahay umeniboa san kk

  • @JosephinaTouzel
    @JosephinaTouzel 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh jamn tuliosikia kuwa nyumba haishi mtu alikuwa anaishi mdada mchafu akamtimua alafu tena et kunandugu zake wanakaa ndan anaogopa kwenda kumtambulisha apo wamajua kutupiga 😢😢😢😮

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naona wewe lovenes huku tafuta mapenzi kwajames ila umefata maokoto polesana I'm from Texas

  • @TeresaBarasa-k4i
    @TeresaBarasa-k4i 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nelly leo ni Ile siku 😢😢😢

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 5 หลายเดือนก่อน

    Muonekano wke tu mm binafsi hnivutii kbsa wanawake wenzngu tuachen tamaa

  • @HappnessDominic
    @HappnessDominic 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ananyumba nakila siku mpo nje😅

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo sasa na mwanamke anaamin et🤣🤣🤣

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 6 หลายเดือนก่อน +2

    hamna namba ya siri herufi 3

  • @ashakimaya6527
    @ashakimaya6527 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jemsi una kiti chako baba ❤❤❤❤❤

    • @GetrudaSanga-d7l
      @GetrudaSanga-d7l 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabsaah 😂😂😅😅

  • @Emmanuel-x9v
    @Emmanuel-x9v 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mapenz yanauma aaaaiiiiseee nyiee achen tu hasa ukijbiwa vibaya unaachwa bila sababu maalum

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 6 หลายเดือนก่อน

    Love Ness Kuna bomu litakulipukia😊😂

  • @BeaAjasna
    @BeaAjasna 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @CalmBaseballStadium-up6uj
    @CalmBaseballStadium-up6uj 6 หลายเดือนก่อน

    Mnatutania yani anaoneshwa nyumba lakini wanatembea Kwa teke 😅😅

  • @cliffordluanda
    @cliffordluanda 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nivizuri kuish kwa kujifunza pindi unapewa ushauli ulishindwa kumsikilie nakutafakal kwann unashauliwq vile bac jua kwqnza kuna mda mungu anaweza akakupa mtu sahih lakn kasolo yake ikawa ni money tyuu lakin ndoivyo huwa pesa inanguvu sanaaa sisi wanadamu tunaamin katika pesa pole lovenes nisehem ya kujifunza appreciate story nzuri nimeipenda kwakweli

  • @SerahhassanOmar
    @SerahhassanOmar 6 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂love umepata mume😂😂😂

  • @SaraS-b4o
    @SaraS-b4o 29 วันที่ผ่านมา

    Duuuh james bhna ahaahhahha ingekuwa izo nyumba zote ni zako sidhan kama mngetembea na mguu 😬😬😬

  • @FatemahFatemah-b3h
    @FatemahFatemah-b3h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Itakula kwako love lovenes hakuna mambo kama hayo utalia ww ujutie mbona ndani hataki kukui ngiza

  • @ummusajdalayaa4305
    @ummusajdalayaa4305 6 หลายเดือนก่อน +2

    Like seriously love ness msomi wa chuo mama unaongopewa kama mtoto wa darasa la 2

  • @PaulinaLorry-b4m
    @PaulinaLorry-b4m 5 หลายเดือนก่อน

    Lov jmn mhhhhjjjj, ilano way out, ilikazi ya fasihi itimie

  • @emmanuel-jl5td
    @emmanuel-jl5td 6 หลายเดือนก่อน +2

    Loveness tayari umeyaoga

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 6 หลายเดือนก่อน +2

    James na ww Umekuwa wakudanganya tu wadada Jamn mwisho wa siku una waachaa solembaa

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 หลายเดือนก่อน

    Loveneess mwanaume wako tapeli😂😂😂 utajuta

  • @Mebo-o9y
    @Mebo-o9y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kipenzi changu 😂😂😂

  • @GivenessMgovano
    @GivenessMgovano 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ but lovenes utamkumbuka nelly

  • @FarajaNzalalila-yx4oo
    @FarajaNzalalila-yx4oo 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmh umeingizwa cha kiume loveness

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatzo tamaaaaa

  • @AnnvyonneWangechi
    @AnnvyonneWangechi 12 วันที่ผ่านมา

    Wañaume hawatakii wengine mazuri yaaaaaaani loveness hurudie kwa ule boy wa kwanza alikuwa na mapenzi ya ukweli kwako mamangu but fumilia tu anayekukushauri ipo siku atakuwa wa maana kwako ufumilivu kula ndivu

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman nmemmic Shenaiza na Dayana mim ❤❤

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @JapanDullahBoy
    @JapanDullahBoy 5 วันที่ผ่านมา

    Hiiiii ahhhhhh James asa unachekesha mwishowe mwambie hyo love kuwa na ndege unayo mana so kutongoza ivo

  • @SharifaMtotoo
    @SharifaMtotoo 6 หลายเดือนก่อน +2

    loveness umeyatimba hapo ujapata mwanaume Bali umepatikana

  • @divinendayipfukamiye-z7l
    @divinendayipfukamiye-z7l 5 หลายเดือนก่อน

    wanawake upofu wetu uko kwenye masikiyo yani apo akuna mpenzi kwa jms

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @umaima1178
    @umaima1178 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba zote unaishia nje😂😂😂

  • @AnnvyonneWangechi
    @AnnvyonneWangechi 12 วันที่ผ่านมา

    M jamani ukipata muke unayo mupenda oyesha mapenzi ya ukweli yaaaaaaani uwe mwaminifu kwake bila kusitasita

  • @purityneema218
    @purityneema218 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 yaani liongo ili li mme 😂😂 ndani hakuingiliki sio

  • @TabiaMussa-t6f
    @TabiaMussa-t6f 6 หลายเดือนก่อน +2

    Loveness umeingia mkenge shoga angu maana jamse ni kiboko

  • @AshaMalekela-o7t
    @AshaMalekela-o7t 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤nc

  • @YasntaGeorgy
    @YasntaGeorgy 5 หลายเดือนก่อน

    Ila Las anaonekena .ni muongo sana kwaa wanawake .uongo mwingi

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s 6 หลายเดือนก่อน +1

    James na lovenes munanichekesha zaidi mumesemakwamba kaka Nelly hata ajikwae kwenye mandazi yawatu hanauwezo wakuyalipa ni police Street nihatari sasa ila sister lovenes kuwamakini acha shobo piya usionyeshe mazaifu yako yote mbele ya James utakuyakujutiya baadaye nautamukumbuka kaka Nelly unayemuzarau Leo James atakupelekeya moto basi kwasababu yeye ni mtu wamademu usimuzarau mwanaume katikamaisha yoyote ile hapa duniani

  • @Salma-g1m1x
    @Salma-g1m1x 6 หลายเดือนก่อน +1

    Loveness next time uvae braa😂😂😂😂😂😂any way movie nzuri hongereni❤❤❤❤❤❤😊

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 6 หลายเดือนก่อน +1

    Love jaman🎉🎉🎉

  • @NasriyaYussuf
    @NasriyaYussuf 5 หลายเดือนก่อน

    Loveness kwann hupend sdiria dear 😂

  • @DorcasAlii-eu9vu
    @DorcasAlii-eu9vu 6 หลายเดือนก่อน

    Waah,,,ahadi xa uongo pia bona hata hakuna kuingia ndani??

  • @GeorgeSteven-rd9ni
    @GeorgeSteven-rd9ni 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaaaaa liongoo

  • @RamadhaniShabani-hw3vs
    @RamadhaniShabani-hw3vs 4 หลายเดือนก่อน

    Mhmhmh pole weenyumba waiona kwa nje

  • @DalmondLaurent
    @DalmondLaurent 6 หลายเดือนก่อน

    Lavness wajinga ndio waliwao 😂😂😂

  • @mtanganyika-films
    @mtanganyika-films 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 6 หลายเดือนก่อน

    mwanaume na mwanamke hupendana kinafiki tu

  • @EverineKaniki
    @EverineKaniki 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwa wametoka norway😂😂