🅻🅸🆅🅴 WAZIRI AWESO ANASIKILIZA KERO MUDA HUU ZA WAKAZI WA GOBA,WANANCHI WAFUNGUKA MAZITO JUU YA MAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 5

  • @nsarilema6688
    @nsarilema6688 12 วันที่ผ่านมา

    Ccm ni kama gari bovu.leo linafanya kazi kesho liko gereji

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 12 วันที่ผ่านมา

    Waziri weka namba ya simu yakupata taarifa za uendeshaji wa Huduma ya maji

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm mmechoka hamna sera kwa sasa! Uchaguzi umekaribia ndiyo sasa mnajikosha kuja kusikiliza kero za wananchi! Miaka yote mlikuwa wapi!? Mnapiga porojo hapo ili uchaguzi mpate kura tena! Uchaguzi ukiisha mateso ya wananchi yanarudi palepale! Wananchi dawa ni kuikataa ccm na kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 12 วันที่ผ่านมา

    Hakuna Maji bado Shida huku Tabata
    Waziri Amini hujuma IPO inafanyika
    Wanauza Maji Hao viongozi wa DAWASA

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 13 วันที่ผ่านมา

    KM alitaka kumkaribisha waziri akiwa amekaa bila kuiongea chochote/