AWESO AMUWEKA KIKAANGONI MENEJA DAWASA, AMUHOJI 'WANANCHI WANAKOSA MAJI, MNAPOKEA MISHAHARA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
  • Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tar. 04 Julai 2024 amefika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar Es Salaam kutembelea na kukagua Mradi Mkubwa wa Maji katika Miundombinu ya Tenki la Maji lita mil.15.
    Waziri Aweso anaendelea na ziara ya kikazi mkoa wa Dar Es Salaam.
    Waziri Aweso amemtaka Meneja wa DAWASA Kigamboni kufanya kazi kwa bidii na kuboresha utendaji kazi wake na kuahidi kufanya mabadiliko makubwa wilaya ya Kigamboni kwani halizishwi na utendaji kazi wa eneo hilo.
    Katika hatua nyingine Mhe Aweso amekutana na Watumishi wa mkoa wa DAWASA - Kigamboni ambapo amewasisitiza watumishi kufanya kazi kwa bidii na kudumisha umoja ili kuleta maendeleo katika mkoa wa Dar es Salaam.

ความคิดเห็น • 14

  • @AgnessKabamanywa-sd2dw
    @AgnessKabamanywa-sd2dw 11 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana waziri wa maji,hao watu huwa wananyimwa maji makusudi fukuza wote weka wapya

  • @harithrashid5314
    @harithrashid5314 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa mawaziri wamekua wasanii sanaa

  • @peterfujokalogi7821
    @peterfujokalogi7821 11 วันที่ผ่านมา +3

    Njooo na katoro kuna madudu maji ni ya shida

  • @edithtarimo5872
    @edithtarimo5872 10 วันที่ผ่านมา +1

    Yani dawasa imeozaaaaa

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 11 วันที่ผ่านมา +2

    Nafikiri Aweso anafahamu undani WA tatizo NDANI ya dawasa . Mambo ya msingi kama maji hayana siasa . Kila siku watu wanalalamika ukipiga simu unaambiwa pressure ndogo 😂😂

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 11 วันที่ผ่านมา

    Mh waziri nakukubari Sana pings spna hao

  • @zully756
    @zully756 11 วันที่ผ่านมา +1

    Tundwi Songani badooooo

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 11 วันที่ผ่านมา +1

    Fukuza hao wanafanya kazi kwa mazoea wapo vijana wanahitaji kaz na wasomi

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 11 วันที่ผ่านมา +1

    Juma awesu tia kamba hawa

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 8 วันที่ผ่านมา

    Yani kuna vituko kwa vituko JAMANI

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna kitu kinatakiwa kifanywe

  • @dhireshrajput548
    @dhireshrajput548 11 วันที่ผ่านมา

    Nani kamaga Pombe yangu!😂

  • @drewsondeniss709
    @drewsondeniss709 11 วันที่ผ่านมา

    Sikuizi mpaka wana siasa wanatafuta content 😂