MITIMINGI # 761 TENDO LA NDOA KWA WANANDOA NDIO LINALOBORESHA NDOA YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • VICHOCHEO VINAVYOCHANGIA USALITI KATIKA NDOA
    Miongoni mwa wanandoa wanafikiri kuwa kufanya tendo la ndoa mara chache ndio inaongeza uimara wa ndoa! No Msingi na uimara wa ndoa unapimwa kupitia TENDO LA NDOA.
    Tendo la ndoa ni Kipimo cha mahusiano yako na upendo baina ya wanandoa; wanandoa walio wengi wakati mahusiano yao ni mapya hufanya tendo la ndoa mara kwa mara.
    Kama wanandoa hawajafanya Tendo la ndoa kwa muda wa mwezi mmoja, ni alama ya wazi kuwa Hawaelewani, ndoa yao imeingia misukosuko.
    Utafiti wa kisaikolojia unaonesha kwamba ili akili ya mwanaume ikae sawa anahitaji kula tendo la ndoa lililo na utoshelevu.
    NB: KUFANYA RENDO LA NDOA MARA KWA MARA NI ULINZI MKUBWA SANA HASA KWA MWANAUME
    Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39

ความคิดเห็น • 9

  • @farajachesco97www.tzgetrud37
    @farajachesco97www.tzgetrud37 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa baba kwa mafundisho mazuri. Kahusiano yetu yanapona kwa mafundisho mazuri

  • @bahatitemu6300
    @bahatitemu6300 4 ปีที่แล้ว +3

    Raha ya milele umpe eee Bwana 😭😭😭

  • @sayunielia7305
    @sayunielia7305 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutumia

  • @agnesignas4398
    @agnesignas4398 4 ปีที่แล้ว +1

    R I p jmn daaa

  • @serengetiamb636
    @serengetiamb636 5 ปีที่แล้ว

    pamoja sana

  • @barakacharles4142
    @barakacharles4142 5 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi kabisa

  • @adinanihamissi3198
    @adinanihamissi3198 4 ปีที่แล้ว

    Unaubili mapenzi ni laana kubwa wenzio wanaubili dini

    • @paulinalala1693
      @paulinalala1693 4 ปีที่แล้ว

      Tumpate wapi mtu kama huyuuu.pumzika kwa Aman...tulikuelewa na bado tunakuelewa

    • @wilbatnyato425
      @wilbatnyato425 2 ปีที่แล้ว

      Hao wanaohubili walitokana na tendo la ndoa ndio wa kapatikana