MKE MKUBWA ADAIWA KUMUUA MUME AKITOKA KWA MKE MDOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 4 หลายเดือนก่อน +2

    Marehemu alikuwa malaya marehemu kafa akifanya umalaya nyie😅😅😅

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 4 หลายเดือนก่อน

      Siyo malaya wacha kusema hivyo dada Gracee,wazungu wamewadanganya hakuna mwanaume wa kiafrika naweza kukaa na mwanamke mmoja sio utamaduni wetu,ni bora uwe na wake wengi kuliko unafiki wa kuvua pete ule madada wanao jiuza,alikuwa sawa kuwa na mke mdogo,Daudi,Ibrahimu,na manabii wengi hata Musa hawakuwa na mke mmoja.Huu ndo ukweli wanaume tunapenda wanawake wengi Mungu katuumba hivyo ili tuzaliane.Ona ulaya waliko anzisha mambo ya mke mmoja leo hakuna ndoa tena zimekufa wanatangaza ushoga

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 หลายเดือนก่อน +3

    Shida baadhi ya wanaume nguvu zenyewa hawana. Akipata kimoja kwa mwezi anakipeleka kwa mchepuko. Swali linakuja; Ukienda huko ukirudi unakoroma na hela umetapanya. Kwa hiyo mkeo ampe baba yako au!

  • @graceannah8452
    @graceannah8452 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msitetee uovu mwanaume kama unaona huwezi kutosheka na mwanamke mmoja acha kufanga ndoa uwe mtu wa kuzini tu

  • @GloryD-ky5nf
    @GloryD-ky5nf 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwa upande wangu sijaonaga umalaya ambao unaweza mfikisha mbali,kwa sababu aliyesababisha yote ni marehemu akawe na la kumjibu Munguuu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ndugu muongo kama ni mke na sio mchepuko kwa nini Marehemu alipaki gari mahali pengine?.Ukiwaza hapo utaona Mwanaumme alikuwa anamkingia mchepuko asidhurike ndio ikamfikia yeye .

  • @sein.208
    @sein.208 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umeshajua mumeo ana mke mdogo shukuru kwa sababu umeshajua ukimkosa ni wapi utampata """kuliko kuwa na michepuko hujui hata utampatia wapi... Wanawake tujifahamu zaidi hakuna cha peke yako

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda anafanya kazi na watu wengine wanafanya kazi iyo ndo inaitwa jenga bomoa subhanna Allah 😭

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu weke sawa mke mdogo au mchepuko.Na kama mke mdogo wote alifunga nao ndoa?

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu anajaribu kutetea tu sababu marehemu anandoa ya mke mmoja

  • @aminahasaniMajala-w3u
    @aminahasaniMajala-w3u 14 วันที่ผ่านมา

    Jamani tuanze wivu

  • @njaumage2123
    @njaumage2123 4 หลายเดือนก่อน

    Lkn mbona familia walisema hawamjui??jaman jaman mbona moto unatungoja ila siku zote kosa ni la marehemu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 หลายเดือนก่อน +5

    Dahh huyu mwanamke ni katili hapo amewapa shida watoto wake yeye anaenda gerezani mme kafa ukitaka kufanya kitu fikiria mwisho wakr

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 4 หลายเดือนก่อน +1

      Katili kupitiliza.

    • @musampanda3643
      @musampanda3643 4 หลายเดือนก่อน

      Amfikiriagi nyie wanawake

    • @musampanda3643
      @musampanda3643 4 หลายเดือนก่อน

      Ushapigwa mashine mara 7 umezaa na watoto unataka nn sasa

  • @MaimunaBilal-v9r
    @MaimunaBilal-v9r 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani kwani wakrito wanaoa wake wawili sikuizi kwa nn aitwe mke mdogo

  • @graceannah8452
    @graceannah8452 4 หลายเดือนก่อน

    Ndoa ya kikristu inawake wawili au mmoja?

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wivu mwingine uwiiiiiii mwanaume akisha amuwa na aliwa tayari na mtu meingine ameshakutowa moyoni kuwa king'ang"anizi ndiyo madhara yake ni haya

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaa dear wanaume wengi hawapendi makelele

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweri kabisa hata kama unampenda vip muache aende naikiwezekana kaa nae mbali utamsahau tu japo ni vigumu

  • @RoseMshana-pm8op
    @RoseMshana-pm8op 4 หลายเดือนก่อน

    Weee mama mbona katili ivyo??? Umepata nn sasa?

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nahisi huyu mama alikuwa ana lengo la kumuua mke mdogo mume ktk kumwokoa mke mdogo kuamua ndo ikatokea hasira nazo mbaya utakuta baadae ya dakika 5 tuu akili zinarudi tayari ameshaua mumewe tayari atajutia mume kaburini yeye magereza watoto ndo watateseka jamani R I P broo msele wamama acheni ukatili

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi nawazia hivyo alikuwa anamzuia kwa kumkingia

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 4 หลายเดือนก่อน

    Wachaga hamtakiwi kuolewa binafsi nakumbuka baba aliwahi kunihusia kwamba nikioa mwanamke mchaga ananilaani

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sk hizi wanawske wamekuwa wakatili sn pale wanapopatia chance

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa mnaposema mke mdogo mnamaanisha nini? Kwa hiyo ana ndoa 2?

  • @IreneMroso
    @IreneMroso 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anajua Kila kitu

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 4 หลายเดือนก่อน

    Mume alipaki gari chocho sababu alishajua anafatiliwa yaani tuombe MUNGU atusaidie tuache dhambi na machukizo mbele ya MUNGU

  • @MkwayaKafurera
    @MkwayaKafurera 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kassian John huo Ni unyama na ukatili usio kubalika

    • @njaumage2123
      @njaumage2123 4 หลายเดือนก่อน

      Namtauwawa sana jmn

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 4 หลายเดือนก่อน

    Waongooo...huyo mume alikua hana mke mdogo bali mchepuko na familia haijui! Wakristo hatuna ndoa mbili kwahiyo acheni uongo...eti familia ilikua inajua🥴😏

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mali mtakufa mtaziacha wekezeni kwa Muñgu

  • @janethgenes1074
    @janethgenes1074 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi unakuja kuwaambia nini watoto wako eti baba yenu nilimuua kisa wivu, utaeleweka kweli?

    • @JoyceMwita-e3w
      @JoyceMwita-e3w 4 หลายเดือนก่อน

      Duh yy anaenda jera. watoto wanateseka bila hatia yoyote jaman binadamu sisi

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน +2

    mpaka sasa sisi wanaume 2-1wanawake,mechi iendelee mpaka tueshimiane

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 4 หลายเดือนก่อน

      Kazi iendelee

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 4 หลายเดือนก่อน

    Imaonyesha walikuwa na ugomvi toka nyumbani mme akafanya ubabe ndoikatokea

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa kamuuwa mwache akatumikie kifungo cha Maisha

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake mko wapi?

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 4 หลายเดือนก่อน

      Tupo hapa kafanya vizuri tu mke mdogo iyo veeeeeep wakati ni ndoa ya mke mmoja na mume mmoja

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 หลายเดือนก่อน

    Kwenye fumanizi hakuna nguvu. Wanaume wamemaliza wake zao kwa virusi kisa michepuko.

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 4 หลายเดือนก่อน

    Jino kwa jino akalalee mbele angemkuta mke wake ndo yupo kwa mwanaume angekubariiiiiii afe tu

  • @piuskira7124
    @piuskira7124 4 หลายเดือนก่อน

    Wakibosho ni wakali ase

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 4 หลายเดือนก่อน

    Atajua mbele

  • @IreneMroso
    @IreneMroso 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndiyo akikuwa anajua Kila kitu

  • @olivastephano2900
    @olivastephano2900 4 หลายเดือนก่อน

    Mnaaza maisha ya dhiki mkijipata mtu anaaza habari za kijinga mtakufa nawaambia

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda anafanya kazi na watu wengine wanafanya kazi iyo ndo inaitwa jenga bomoa subhanna Allah 😭