GUMZO BODABODA WAWILI KUFARIKI, POLISI WAHUSISHWA, MIILI YAKUTWA MOCHWARI "KICHWA NA MIGUU HAVIFAI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 165

  • @hamisimtyegee7319
    @hamisimtyegee7319 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa c mngeenda na polisi ili tu balance xtory.. Apa mlipoishia wananchi tunaondoka na nn?

  • @MaryKinemo
    @MaryKinemo หลายเดือนก่อน +29

    Tatizo wabongo ni wazuri sana kulalamika bila kufikiria. Huwezi kanambia eti ukimbie alafu polisi asikukimbize hiyo haiwezekani kwaiyo tuache ujinga wa kulaumu polisi kwenye kila jambo na ukianguka ukiwa unamkimbia polisi hiyo ni juu Yako sababu umekataa kusimama wabongo tuache upumbavu wa kuwalaumu polisi kila siku Wala sio ujanja

    • @JohnsonMichael-c2x
      @JohnsonMichael-c2x หลายเดือนก่อน +3

      Kwani polishi wa sichukue namba ya pikipiki

    • @MaryKinemo
      @MaryKinemo หลายเดือนก่อน +9

      @@JohnsonMichael-c2x Dunia nzima hata marekani kila siku waalifu wanakimbizana na polisi na muda mwingine wanapata ajali na kufariki.... (Police chase) Ni issue ya kawaida kwani Kuna muda hata polisi ndo wanao pata ajali na kuumia au kufa kabisa katika makimbizano ebu tuache ayo mambo na tukemee uhalifu badala yakuonesha chuki kwa polisi wanaoweka maisha Yao rehani kuhakikisha usalama wetu niwaombe watanzania tutii na kuheshimu Sheria.

    • @Moviesinkiswahili
      @Moviesinkiswahili หลายเดือนก่อน +3

      ​@@MaryKinemokama hukuwepo eneo husika tulia,si kila kitu lazima uchangie...Kichaa anachekesha akiwa hatoki kwenu

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 หลายเดือนก่อน +1

      Kama umesimamishwa na police na ujasimama police wanachitakiwa ni kuchukua namba ya pikpik sio kumkimbiza

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 หลายเดือนก่อน

      Hata Ulaya poliçe akikusimamisha sharia usimame ikiwa hujasimama anawasha kimurimuri anakufukuza, sharia yao usimame. Na akikusimamisha usishuke kwenye gari yako or chombo mpaka aje yeye pale, na pia huna ruhusa kutia mikono mfukoni utulie ukitia mikono mfukoni anakupiga risasi ya mguu kujihamu yeye, kwasababu ukitia mkono mfukoni mara una kitu cha hatari kumpiga. Sasa hizi sharia za police ndio zilivyo jamani ukisimamishwa na police simama.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +31

    Kwa hiyo mbeba mirungi ndio anastahili kuuawa na hii sio mara ya kwanza. Nchi hii hovyo kabisa

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA หลายเดือนก่อน +4

      Adi kesho .sjawahi amini mirungi ni madawa ya kulevya

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน

      @@leokamil6284 huku kenya mirungi tunauza kama mboga,bange ndio kidogo wanauza kisir ila tanzania inaonekana maaskar wako kwaajili ya kuua na sio kutetea raia

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +1

      @@STEVENKAJUMBA Wakati nchi zingine zimeruhusu bangi kidogo baada ya kugundua ni tiba Polisi wa Mikoani haswa Kaskazini wapo mbioni kujifanya kukamata mirungi au wauzaji ili tu wapewe rushwa wizi mtupu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน

      @@STEVENKAJUMBA Serekali haioni hizo pombe kali za kishenzi zinavyoharibu vijana. Kwanza wajiulize hayo maunga yanayoharibu vijana mitaani mbona hawayakomeshi hayo kwanza

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน +4

      Kwann asifuge kuku kwani lazima abebe mirungi

  • @linusrichy6639
    @linusrichy6639 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanini heading isiwe , BODABODA WAWAILI WAPOTEZA MAISHA KWA AJALI WAKATI WAKIWAKIMBIA POLICE

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig หลายเดือนก่อน +1

    Hyoo majani pia mnasabbisha watu kutoa uhai htr kwa kweli Allah tupe mwisho mwema

  • @abednego3876
    @abednego3876 หลายเดือนก่อน +1

    Wakome kabs hao vijana wa mirungi huwa wanakimbiza pikipiki kama ndege.

  • @GraceNgido
    @GraceNgido หลายเดือนก่อน +15

    Duuh na hii nchi yetu tunavyoijua 😢hao polisi hawatachukuliwa hatua Eeh Mungu naomba uturehemu...😢

  • @GofA2023
    @GofA2023 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo polisi hawana hatia, hiyo ni ajali ambayo imesababishwa na hao boda boda wenyewe, wangekubali kusimama tu.

  • @MbaziPesa
    @MbaziPesa หลายเดือนก่อน +11

    Kazi Zuri polisi wetu wazo zifanya huzioni kilasiku nikulaumu polisi,bila polisi ungeishi Kwa Amani.

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile หลายเดือนก่อน

      Amani inatokana na nini ?

    • @Zuwenamchuzi
      @Zuwenamchuzi หลายเดือนก่อน

      Wanakazi nzuli ipi kazi kuuwa raia😢

    • @DannyElias-t3v
      @DannyElias-t3v หลายเดือนก่อน

      Ujinga huu sasa

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 หลายเดือนก่อน +5

    Siko upande wwt, ila vijana wengi wa ovyo Sana, Bangi kwa wingi mpaka wanajisahau kesho Yao itakuaj

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa ww umebeba mirungi unasimamishwa na polisi hutak unakimbia, why usikimbizwe huko huko na ikitokea ajari ndugu mnalalamikia polisi, kwann msione hao mapusha ndo wamejisababishia kifo wao wenyewe

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz หลายเดือนก่อน +4

    Ukibeba mirungi ni sawa tu najambazi kwahyo vjana acheni hyo biashara fanyeni kazi halali

  • @WillyWiliamu
    @WillyWiliamu หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awalaze sehemu salama,ila ndg zangu acheni kufanya BIASHARA alamu,pata kidogo na uishi kwa amani.

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmh damu za watu zinamwagika sana hii sio kawaida kabisa poleni

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 หลายเดือนก่อน +2

    Tii sheria bila Shuruti....Umesimamiswa kama Una Makosa Unakimbia nini?

  • @GofA2023
    @GofA2023 หลายเดือนก่อน +3

    Millard Ayo kuwa makini na heading za video zako usije kuchonganisha.
    Watanzania wengi ni wavivu au hawana mb, wanasoma heading ya video tu bila kuangalia content ya video.
    Heading uliyoweka ni kama vijana wamauawa na polisi, content inaonyesha wamepata ajali ya bodaboda iliyosababishwa na mwendo mkali walipokuwa wanakimbia kukamatwa na polisi kwa kubeba dawa za kulevya.

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 หลายเดือนก่อน +7

    Police wenyewe mirungi wanakula😂

  • @PoulinSimon
    @PoulinSimon หลายเดือนก่อน +2

    Wew chenga haufai kuw mwenyekiti

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 หลายเดือนก่อน +16

    mnakimbiza watu wanakula mirungi wana haribu maisha yao wenyewe, maana kufata watu wanaiba mali za nchi tuna teseka nchi nzima.

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน

      Zote ni kazi zao acha kutete ujinga

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 หลายเดือนก่อน +5

    SASA APO POLISI WANAUSIKA NINI KATIKA VIFO VYAO WANGESIMAMA SIWENGECHUKULIWA SHELIA SATAILI WAMEJIUA VIJANA WENYEWE MUSIWAPE POLISI LAWAMA POLENI SANA WAFIWA😢POLISI WANATATIZO GANI WAMEPIGWA RISASI ????WAMEJIUUA KWA UKAIDI WAO SIO MUSINGIZIE SEREKALI AU JESHI LA POLISI 😢😢😢

  • @alisuleiman303
    @alisuleiman303 หลายเดือนก่อน +2

    Polisi wameua jee hapo?na wao wapo kwenye majukumu ya kazi yao mlitaka wahalifu waachwe?hao wamejiua wenyewe

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi หลายเดือนก่อน +1

    Ushaur tuache biashara haramu .ila askar walitakiwa kutoa taarifa kama wamewaokota au wamewapga .kwa sbb wanahaki ya kuwapga kwa sbb hawakutii amri .

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 หลายเดือนก่อน +2

    Polisi wakikwambia usimame kwanini ukatae ?? sasa mirungi ina ruhusiwa Tanzania? toka apo shenzi we

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna vzr Hao wanaoambiwa polisi ukisimama uwasikilize umepotea hata familia haiwapati Bora mmepatikana maiti familia zitashukuru mungu kuriko kupotea mikoninomwao hamjurikani miripo😢😢

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt หลายเดือนก่อน +1

    kosa la polis likoap sasa hapo

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 27 วันที่ผ่านมา

      Kwani mirungi ndio MPAKA usababishe vifo?nyie ni walewale ACHENI kupelekwa na vibaraka nuoe

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kitu kibaya kama umasikini aisee vijana tupige kazi kwa bidii kama si kuumaliza tuupunguze umasikini aisee lkn kuna watu wanakula mabailioni ya hii nchi na kufanya vijana wasiwe na mazingira rafiki ya utafutaji wa kipato halali angalia ata hela za halimashauri mkopo kwa vijana siasa kweli kwa madiwani

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 หลายเดือนก่อน +2

    Uovu ukikemewa ni shida tena? Jamani wabongo

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน +4

    Binafsi mimi nawachukia sana hawa watoto wote mnaotetea hapa hamjawahi kuwaona wakiwa njiani na hayo magumia kuna kazi nyingi sana za kufanya watoto wanapenda mafanikio ya haraka matokeo yake ndo haya

    • @fatumajumaa7050
      @fatumajumaa7050 หลายเดือนก่อน

      Ndio hawana haki yakuishi

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 หลายเดือนก่อน

      @@fatumajumaa7050 wanayo kula mtu anayo haki ila tufate misingi ya sheria tukisema wote tufanye hizo biashara itakuwa nchi gani hii wangekuwa wakulima hao yangewapata haya vijana tuache lawama wakati makosa ni yetu ukichaguaa uhalifu malipo yake hayajawahi kuwa mazuri

    • @gadisonmichael7805
      @gadisonmichael7805 หลายเดือนก่อน

      kwahyo nda wafariki kenge ww litakukuta na ww kwa familia

  • @hebronmwambola1525
    @hebronmwambola1525 หลายเดือนก่อน

    Hilo gunia la mirungi liko wapi?

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor หลายเดือนก่อน +3

    Wewe mwenyekiti hiyo mirungi uliiyona hapo police au police wamesema tu walibeba mirungi kwa mdomo bila kuiyona kwa macho yako

  • @mariachunga2191
    @mariachunga2191 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wenyewe wala milungi cha ajabu mtawaachia huru

  • @AliphonceMartina-q1u
    @AliphonceMartina-q1u หลายเดือนก่อน +5

    Mama mitano tena sisiemu inaupiga mwingi 😢😢😢

    • @johndavid_video6506
      @johndavid_video6506 หลายเดือนก่อน +2

      Acha ukma wew sisiemu imeingiaje apo

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l หลายเดือนก่อน

    Mwenyekit hufaii upo na dalili kufanya kazi na police mtoeeni huyu wTu wa boda maneno mengi kma CCM mtendaj😅

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p หลายเดือนก่อน +4

    Kipi Bora kuuwa mia kwa madawa ya kulevya au kupoteza wawili kwa kuvunja Sheria kiukweli chama Cha wajinga ndiyo kinafurahia wavunja Sheria police piga kazi

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 หลายเดือนก่อน +2

    Nimechoshwa na hizi stori za kila siku polisi .. polisi polisi...... Yaan watu wakizibitiwa na polisi basi polisi wa baya.... Nyie milard kuma la mamaenu

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mirungi imekatazwa hairusiwi ndani ya inch sheria kali zitachukuliwa nawe unacoment nisawa jambaz kwanin wakimbie sasa mirungibni halamu ndani ya nchi fanyeni kazi halali vijana nawe mwenyekit unachoongea haikijui umesema mmoja yuko hospital moja alifia hapo hapo baadae unasema hajui

  • @SadikiJuma-s6g
    @SadikiJuma-s6g หลายเดือนก่อน +6

    Ifike kipindi polisi wasipewe lawama, tii Sheria bila shuruti

    • @mo_zillaa5428
      @mo_zillaa5428 หลายเดือนก่อน +1

      Gari na pikipiki kipi kina speed
      Polis na raia nani ana inteligensia ??.

  • @MatildeBjelland
    @MatildeBjelland 27 วันที่ผ่านมา

    Poor heading, tena ya kichonganishi au uwezo wa kufikiri ndo uliishia hapo?? Content mbn iko clear kbs

  • @ukweli255
    @ukweli255 หลายเดือนก่อน +2

    KAMA VIONGOZI/WENYEVITI WENU NDIO HAO BASI MTAENDELEA KUFA KAMA PANYA
    Yani Piki unaiona unashindwa kujua hii imepata ajali au laaah,mnawaoana marehemu mnashindwa kutambua huyu kapata ajali au kagongwa na gari..mnashindwa kuwatumia wanasheria Doctor kutambua majeraha na aina ya kifo!...kujua kuongea kwingiiii

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 หลายเดือนก่อน +2

    Police safi sana kazi nzuli

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน +2

      Mbwa wewe kiuwaji likubwa unapongeza ushetani kobe mweusi wewe angekuwa ndugu yako ungefungua bakuli lako shenzi lione

  • @theprincejr1417
    @theprincejr1417 หลายเดือนก่อน +1

    Ila polisi dahh😢

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck หลายเดือนก่อน

    Yan ni uzuni sana ninapoona mambo kama haya,waafrika tumekazana kuchukukiana na kumalizana kisa pesa

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh😢

  • @MerinaMgunda-oj5ch
    @MerinaMgunda-oj5ch หลายเดือนก่อน

    Daah nchi ngumu sana hii ziara ya mwenge imebaini ufisad wa pesa za serikali zimetumika vibaya takukuru mpo sisi tunatexeka na hatua za zozote hakuna duuh jamani

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +1

    Subuhanallah inalillahi wainailahi rajuun

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢jamani polisi acheni 😢😢😢😢😢

  • @NeemaJuma-t4g
    @NeemaJuma-t4g หลายเดือนก่อน

    duuuuh pole sana 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @godrinshine3604
    @godrinshine3604 หลายเดือนก่อน +1

    Kunazo namna za kuwakamata wahalifu lakn sio kuwakimbiza na gar maana hapo wanataka kuwasababishia wat ajali kisa nyie mpo top iyo sio haki

  • @KoleYasini
    @KoleYasini หลายเดือนก่อน

    Sasa baada ya kuwagonga ilo gunia lamilungi kwasasa lipo wapi au polisi walikuwa wanataka kuichukua na kuwa ushaidi

  • @MbaziPesa
    @MbaziPesa หลายเดือนก่อน +6

    hapo polisi hawana makosa,Hao vijana walikaidi utii washeria bila shuruti wamejiua wenyewe kwauzembe.

    • @SAMPonda
      @SAMPonda หลายเดือนก่อน

      na wanaoiba mabilion selikalin mpaka wanainchi tunateseka hawakamatwi wanakamatwa wenye milung 😂😂😂 ni sahii

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 27 วันที่ผ่านมา

      ACHA UJINGA na ni walewale

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 หลายเดือนก่อน

    Yan leo hii mirungi ina thamani kuliko binadamu

  • @emmanuelsixbert3842
    @emmanuelsixbert3842 หลายเดือนก่อน

    Only the strongest to survive, 😅 mm sjawahi kuacha kummenya mtu ambae na mudu.

  • @OscarOkran-m4c
    @OscarOkran-m4c หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea sana tatizo Mika mpk unaboa

  • @kesoylekitonyLekitonykisota
    @kesoylekitonyLekitonykisota หลายเดือนก่อน

    poleni sana wenzangu kwakuviwa nawanawo poleni sana

  • @SalahSalum
    @SalahSalum หลายเดือนก่อน +1

    Mshahara wa dhambi ni kifo so police good job ,

    • @TysonNgowi
      @TysonNgowi หลายเดือนก่อน

      Huna hakili

    • @FilbertHabashi-zn1qu
      @FilbertHabashi-zn1qu หลายเดือนก่อน

      Siku ikiwa kwako utajua cha kuongea

  • @mimazcollectionmimaz8874
    @mimazcollectionmimaz8874 หลายเดือนก่อน

    Nyerere ndio aliwadanganya watanzania kua mirungi ni madawa ya kulevya😅😅😅😅😅😅😅

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 หลายเดือนก่อน

    Kama pikipiki ni nzima ? Ni ajali?

  • @AsiaMagembe
    @AsiaMagembe หลายเดือนก่อน

    Mmmh 🤔 jamon kwani hayo madawa wameyaona sasa

  • @ZainabuKidangi
    @ZainabuKidangi หลายเดือนก่อน

    Dah polen ndugu zangu wa waangwaray

  • @storytownTv
    @storytownTv หลายเดือนก่อน

    Kwan mirungi iyo ilipatikana sasa..!? Au waliwahisi tu..!? But anyway Tz kunakitu akienda sawa..😢

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali หลายเดือนก่อน

    Innalillah wainna ilàih rajiuna

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน +5

    Nauliza tena,hawa watu wanaosema wanasomaga albadir wakiibiwa jaman wako wapi si wasomee hawa wauaj kama ni pesa tuwachangie

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

      Albadili ajasibitiswa waoisoma wanapatazambi

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle หลายเดือนก่อน

    Hatari sana

  • @issayasanaree1319
    @issayasanaree1319 หลายเดือนก่อน

    Doh inchi yangu tanzania

  • @rosemarykipesha4242
    @rosemarykipesha4242 หลายเดือนก่อน

    Ungekua police unatakiwa kufanyaje ktk suala kama Hilo? Kuna kazi ngumu kweli kweli

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 หลายเดือนก่อน

    💔😭

  • @IsmailIbrahim-q8n
    @IsmailIbrahim-q8n หลายเดือนก่อน

    Mirungi yenyewe wameuza alafu wameuwa mmmh malipo hapahapa dunia

  • @hujatswai5798
    @hujatswai5798 หลายเดือนก่อน

    Umri ni miaka 19 na sasa ni bodaboda.

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 หลายเดือนก่อน

    Waongo hao

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel หลายเดือนก่อน

    Tutakufa wote na hao police hatuisi milele Maku kwel

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน

    Mngeenda hapo ilipotokea ajali ili muhakikishe

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f หลายเดือนก่อน

    Poleni wafiwa

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 หลายเดือนก่อน +2

    Ndo maana staki urafiki na police

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c หลายเดือนก่อน

    Uliitwa ukafundishwa uongo

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 หลายเดือนก่อน

    Polisi Wa Tanzania ndio chanzo ya Mauwaji yani Inchi hii kweli sifahamu twende wapi kweli kabisa ila Ipo siku Polici Mtashindwa kutembea sehemu Asante

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL หลายเดือนก่อน

    Na nyie polisi akijipendekeza mnaua

  • @theprincejr1417
    @theprincejr1417 หลายเดือนก่อน +1

    Ss hv police ndo wanatuwinda maskini dah 😢

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwanini polisi wasitumie mbinu ingine ili kuwazibiti nimataa ya asikari wanajuwa mirungi inawapa hela chapchap nania yao nikuwagonga wanguke ili wachukuwe hiyo mirungi

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 หลายเดือนก่อน

    Kwani polisi mnamatizo gani?

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e หลายเดือนก่อน +2

    Kwaiyo police wanauwa wabeba mirungi lkn wauwaji na wabakaji na watekaji mbona hamuwauwi na kuwatafuta na kuwakimbiza police wasenge sana watz...na hapo awatoshukuriwa hatua wara nn hakuna haki ya kuwa mtu ata asafrishe bangi mbwa nyie police?

    • @GofA2023
      @GofA2023 หลายเดือนก่อน

      Hebu sikiliza video acha kukurupuka.
      Hao wamepata ajali ya boda boda kwa sababu walikuwa wanakimbia polisi waliotaka kuwakamata kwa kusafirisha mirungi.

  • @AsiaMagembe
    @AsiaMagembe หลายเดือนก่อน

    Police muwe na uhakika kwanza jamon😢 mtatuuwa

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba หลายเดือนก่อน

    Someni albadiri

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c หลายเดือนก่อน

    Mbwa wewe uliiona hiyo mirungi

  • @FelistaBoki
    @FelistaBoki หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 หลายเดือนก่อน

    Hiyo mirungi ipo hapo pikipiki ilipo?

  • @Yana-o2u
    @Yana-o2u หลายเดือนก่อน

    Tumrudie Muumbaji wetu

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi หลายเดือนก่อน

    Polesi wamekua viumbe wabaya Sana kweye utawala wa samia😢😢😢😢

  • @HamisLeo
    @HamisLeo หลายเดือนก่อน +1

    Ina uma sana ila safi sana kwa vile ss tumekuwa maafisa wasafrishaji. Upuuz sana neno afisa usafrishaji iweje polis wakufukuze wakt ww ni afsa

    • @DottoPeter-h2w
      @DottoPeter-h2w หลายเดือนก่อน

      Hujui maumivu ya kufa ndo maana una sema safi msenge wewe

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 หลายเดือนก่อน

    Je wale waliokuja na Tani za madawa ya kulevya walifanywa nini mbona hatujawasikia ? Hii siyo haki

  • @Kulwakisansa-zk5yg
    @Kulwakisansa-zk5yg หลายเดือนก่อน

    This is depression republic of Tanzania

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 หลายเดือนก่อน

    Ukakasi mtupu

  • @AmarinoBahha-p7y
    @AmarinoBahha-p7y หลายเดือนก่อน

    Mnaacha mafisadi wakubwa serikalini mnahangaika na wezi wa vichuru vya 🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐣🐣.

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 หลายเดือนก่อน

    Mirungi inathamani kuliko uhai wa watu wa Tanzania????😭😭😭

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @TatoTato-t7s
    @TatoTato-t7s หลายเดือนก่อน +1

    Polic sasa ivi niwauwaji kaen mkijua nanyie mtakufa tuu mjiandae chakumjibu mungu

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p หลายเดือนก่อน

    Lost direction polish

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 หลายเดือนก่อน

    Yani tanzania bado technolojia ya usalama ni ndogo sana au sielewi kwamba hakuna ubunfu kwenye mambo ya usalama ata sielewi njia ya kumbamiza mtu inkuwaje... akili ndogo

  • @ZainabuAbdallah-p4h
    @ZainabuAbdallah-p4h หลายเดือนก่อน

    Ifike sehem serikali acheni janja janjaa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

    Kilamtu atali0wa kwa kile alichokifanya na hatodhulumiawamtu sikya hukumu. Allah atujaalie mwishomwema. Wauwaji watalipwa nawao pengine toka wauwe hawana raha kabisa kuuwasimchezo

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 27 วันที่ผ่านมา

    Ni vijana wadogo sana inasikitisha sana... Hekima ingetumika, ni wazi polisi kama kweli walikuwa wanakimbiza mirungi basi ni hongo tu walichikuwa wanataka, anyway kama baba alivyo sema tu wa hie MUNGU.... Huu ni ukatili, kwa mfano kama Kenya mirungi ni halali... Siyo kwamba hata ni ishu kihivyo