Hotuba ya kwanza ya Rais Magufuli bungeni Nov 20 2015

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2015
  • Ni hotuba aliyoitoa wakati akilifungua rasmi bunge la kumi na moja ambapo alieleza mipango ya serikali yake na jinsi atavyofanya kazi kwa utofauti, matumizi ya pesa kwenye safari za viongozi nje kwenye awamu iliyopita na mengine.

ความคิดเห็น • 26

  • @nganashesabore5295
    @nganashesabore5295 8 ปีที่แล้ว

    Millard asante sana kwa kazi nzuri ya kuhakikisha hatupitwi na kitu.

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 8 ปีที่แล้ว +1

    good jpm

  • @Majosa3010
    @Majosa3010 8 ปีที่แล้ว +1

    speech of our hope...Tusubiri tuone utekelezaji wake

  • @abdalasabuni8714
    @abdalasabuni8714 8 ปีที่แล้ว

    asante mungu kwa kutupa kiongozi huyu naamini matumaini sasa ya kila mtanzania yameongezeka .naamini haya aliongongea mh Rais ni kwa dhati ya moyo wake n wakati sasa wa ss watanzania kuifurahia tanzania yetu thank god

  • @senilucas1606
    @senilucas1606 8 ปีที่แล้ว

    You always provide we need

  • @JosephMagambi
    @JosephMagambi 8 ปีที่แล้ว

    Asante , JAMAA wetu wa NGUVU.

  • @nathanjustine3973
    @nathanjustine3973 8 ปีที่แล้ว

    nice

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 8 ปีที่แล้ว

    what a conservatives president!

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 8 ปีที่แล้ว

    Nitaanza kumkubari baada ya miaka 3 akiendelea kwa speed hiiii

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 8 ปีที่แล้ว +1

    hizo ndo speech za wasomi sio mipasho

  • @abelnyenye9370
    @abelnyenye9370 8 ปีที่แล้ว

    Hotuba ya mheshimiwa JPM imefunika kabisa, sijaona kwa waliotangulia. Kama anamaanisha kweli pasi CCM itaendelea kutawala.

  • @hawahamisi6237
    @hawahamisi6237 8 ปีที่แล้ว

    shkurn ayo

  • @fmdmtewele1697
    @fmdmtewele1697 8 ปีที่แล้ว

    it will b confirmed

  • @fmdmtewele1697
    @fmdmtewele1697 8 ปีที่แล้ว

    linah acha ufusuka daàaah! Ainu!!!

  • @fmdmtewele1697
    @fmdmtewele1697 8 ปีที่แล้ว

    it will b confirmed after 3 yrs

  • @ztonvay1049
    @ztonvay1049 8 ปีที่แล้ว

    huyo Lina kavaa nini hicho mbona wanawake tunajidhalilisha hv bongo au ukitoa video ukiwa uchi ndo unapata mashabiki?????? Acheni kutudhalilisha kiasi hiko basi uvae brazia na chupi ifahamike akili yako haifanyi kazi daaaaaah it is shameful..... samahani kwa watakao kwazika

  • @obadiakinwiko2088
    @obadiakinwiko2088 8 ปีที่แล้ว

    mategemeo yangu kama mwananchi ni utekerezaji

  • @shabanbashir3253
    @shabanbashir3253 8 ปีที่แล้ว

    speech ipo poa tusubir utekelezaji

  • @ztonvay1049
    @ztonvay1049 8 ปีที่แล้ว

    Naomba raisi wetu aangalie hawa wanawake wanaojiingiza kwenye sanaa kwa kuvaa mavazi ya aibu maana video huwezi angalia watoto wakiwepo au mtoto kuangalia na wakubwa .......huku si kuelimisha jamii bali ni kupotosha