HII NI AJABU!!! BWANA HARUSI AFANYA HARUSI BILA BIBI HARUSI "WALISEMA HATUKUMALIZIA MAHARI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 125

  • @SabinaKassera-cq9lb
    @SabinaKassera-cq9lb หลายเดือนก่อน +7

    Nikitu cha ajabu usijali munugu anamaana yake labda amekukwepusha na kitu kingine mungu atkupa mwengine wa kkkufaa❤

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 หลายเดือนก่อน +13

    Siyo vizuri we dada ulichofanya mungu atakupa pigo kubwa sana utajuta maisha yako yote

  • @OdiliaNgowi-ox4pp
    @OdiliaNgowi-ox4pp หลายเดือนก่อน +13

    Nimeipenda hii ..my brother congulatulation good good......💪🙌🔥🕺🥂🍾🍺

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana kaka huyo hakuwa wako na kwa aliyokufanyia sijui kama atakuja kuolewa yaan kajipa laana ya kudumu labda kama kuwe na sababu nyingine ambayo hatuijui

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 หลายเดือนก่อน +12

    Harusi ni kula ubwa ubwa na kulewa tu,, mambo ya mtu kususa sio muhimu😂😂

  • @marynjau2068
    @marynjau2068 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana harusi ubarikiwe Una moyo mkuu sana strong man wengine wangelazwa no juu.... Wewe maisha ya aendeleaje tena shukuru Mungu kwa yote who knows........

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee hii ya kibabe 💪💪💪Mungu akufanikishe bwana harusi hakika wewe ni shujaa akupe haja ya moyo wako

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani huyo mwanamke achana nae kabsa maana haiwezekani umeenda kila kitu alafu akutie hasara

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s หลายเดือนก่อน +6

    Kwanza hata asijali amempunguzia mzigo watu watu sasa hivi wanatafuta kuwa single eti😂😂

  • @neemammari
    @neemammari หลายเดือนก่อน +2

    Dunia inakwenda kasi sana.mama anasema hajaona mapungufu sherehe imeenda sawa🤣

  • @LeonataFrance
    @LeonataFrance หลายเดือนก่อน +3

    Congratulations my brother 🥳 sherehe n ubwabwa na mziki bi arusi n extra 😂😂😂😂

  • @AhadiKoloi
    @AhadiKoloi หลายเดือนก่อน +2

    Jamani bwana harusi handsome 😍😍 bi harusi ni upepo wa kusurisuri 😂 😂

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 หลายเดือนก่อน +3

    Waalikwa sasa 😅😅😅😅😅wana dance hatar bila kujali mwenzao hajapata mke bado 😂😂😂😂😂😂😂

    • @VERONICA-o7n
      @VERONICA-o7n หลายเดือนก่อน +1

      😂wana komasavika

    • @esterdoriye8377
      @esterdoriye8377 หลายเดือนก่อน

      @@VERONICA-o7n kw raha zao

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 หลายเดือนก่อน +8

    Wanawake ni viumbe vya ajabu sana! Mtu na kuzaa ushazaa nini kipya sasa.

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 yeye shida yake ni bwanaharusi kuchamgamka 😂😂😂😂😂😂 hii dunia

    • @janetdundul3858
      @janetdundul3858 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @FelixMiyamini
    @FelixMiyamini หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 familya ya wabishi😂😂😂 nimepend hii ukigoma tunafanya tu

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 หลายเดือนก่อน +2

    Bora iishie hapo. Maana kwanza kama walishindwa kukubaliana kwenye sherehe ya muunganiko wao, ni bora zaidi kuliko wangekuja kushindwana wakiwa tayari ndani ya ndoa hiyo.
    Kama familia ya mwanamke ndio imetilia mkazo mpaka ikashindikana, ni vyema pia na huyo kaka ashukuru Mungu maana inaonyesha mwanamke huyo hana usemi kwa familia yake linapokuja suala la maamuzi yake binafsi kitu ambacho ni hatari kwa ustawi wa wanandoa wengi.

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 หลายเดือนก่อน +2

    Hahaha safi sana brother 😂 hana nia uyo achana nae

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 หลายเดือนก่อน +1

    shenzy type mumefanya sherehe kubwa na maua vinywaji na chakula ila laki 2 mumeshindwa kulipa.

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 หลายเดือนก่อน +2

    Warudishe ela ya mahari wezi hao

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Harusi Mungu Hamekunusilu na jambo

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g หลายเดือนก่อน +2

    Yaan lak 2 n pesa ya kumtia m2 hasara kiac hko😢😢😢😢Ulaaniwe ww mwanamke

  • @NeemaBoniface
    @NeemaBoniface หลายเดือนก่อน

    Ki ukweli nimeipenda hii yaan ni jasiri sana hakuwaza watu wanasemaje wala Cha nn na anafurahi zake na familia yake Good 👍

  • @jumageorge9857
    @jumageorge9857 หลายเดือนก่อน +1

    Punde atajutia Hilo nawe Broo usisubutu Tena kuwa nae mtu kwa ss si riziki yako Kuna Jambo Mungu anakuepusha nalo na Kama kuna Nia mbaya Ni fitina zao .maana alizamilia huyo si bahati mbaya ,na Mungu aliye juu atampa fundisho haiwezekani watu wauzulie kwa ajili yenu wote yy asiwepo na hao ndiyo wakna Hawa Hawa .big up one day Yes "God you can"

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka wew ninoma ongera sanaaaaaa mungu akupe moyo waujasili na akulinde

  • @user-yx5xl7xy4g
    @user-yx5xl7xy4g หลายเดือนก่อน

    Daah pole Sana kaka,Mungu atakupa mke mwema..jipe moyo.

  • @gracemwailima1780
    @gracemwailima1780 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh nimeumia sana we dada kama ndugu zako ndo walikushaur umeshajipatia mkosi na je vip kuhusu huyo mtoto uliye zaa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 หลายเดือนก่อน

    😅😅😂😂Hongera sana 😅😅😅hatu taki sless 😅kwenye maisha

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel หลายเดือนก่อน +1

    Nimahajabu sio poa kiukweli ww dada ulicho mfanyiya mwenzako sio fresh

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 หลายเดือนก่อน +1

    Chezea mtu wa kwanza kukutana na Shetani live ndo mwanamke hyooo

  • @rashidswed2147
    @rashidswed2147 หลายเดือนก่อน +5

    Hiyo familia uliyoenda kioa aifai broo tafuta familia ambayo baba wa hyo familia ndio ana sauti

  • @elishadaibenard
    @elishadaibenard 28 วันที่ผ่านมา

    Namnukuu mweshimiwa rutokutoka Kenya HIINI MAAJABU 😢😂😂😂

  • @CantonaKunona
    @CantonaKunona หลายเดือนก่อน +1

    Suti ya laki mbili umevaa msenge ww 😂 alf ikushindee

  • @user-nv7jg6xc8l
    @user-nv7jg6xc8l 24 วันที่ผ่านมา

    Mwanamke hatoolewa tena

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 หลายเดือนก่อน

    Umeishi na mtu asiekuwa na hofu ya Mungu ndiomaana yametokea hayo tafsili yake
    Mungu amekuepushia mambo makubwa zaidi ambayo yangekuumiza

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 หลายเดือนก่อน

    Jamani naomba kuuliza sio kwa ubaya. Kwani ndoa za kikiristo hazina WALII au walii ni mamq

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 หลายเดือนก่อน +1

    Wapo wengi sana sa hivi 😂😂 walomaliza vyuo, walofeli form six na wale walokataa shule pia si tunaoa tu,😂😂 hutosikia eti tunajinyonga hutosikiaa.

  • @user-ou4mp8sp6t
    @user-ou4mp8sp6t 29 วันที่ผ่านมา

    Kumbe had wana mtoto heee makubwa Pole kaka

  • @user-px4ld1mp9r
    @user-px4ld1mp9r หลายเดือนก่อน +1

    Bibi harusi zero washauri wabovu,,,

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 หลายเดือนก่อน +1

    Upo wapi nikuje😂😂😂eee😂

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 หลายเดือนก่อน

    Is too pain am feel to cry

  • @Emmamuze
    @Emmamuze หลายเดือนก่อน

    Mtu ushazaa nae halafu unagoma kuolewa kisa kashindwa kumalizia mahali laki mbili huyu dada duniani bado mgeni aseeeee

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g หลายเดือนก่อน

    Sawasawa kaka tena ikibidi muache kabisa usimtafute na mahari hio samehe kabisa

  • @LeticiaJames-g9q
    @LeticiaJames-g9q หลายเดือนก่อน

    Kweli nimeamini mwanamke mpumbavu huaribu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe

  • @user-vz6kk8id2f
    @user-vz6kk8id2f หลายเดือนก่อน

    Jmni angemtafta hata x wake waingie nae ukumbini😮

  • @MwanaishaKomboHaji-hg8xp
    @MwanaishaKomboHaji-hg8xp หลายเดือนก่อน

    Watu wengi hawaelewi mahari lazima ulipe mahari ndipo uoe sasa mahari hujamaliza izo pesa za kufanya Sherehe iyo zimetoka wapi ukweli ni upuuzi na nimemkubali bibi harusi

  • @rosemkeleja7768
    @rosemkeleja7768 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanamke akaishi na ndugu zake,usimrudie,

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md หลายเดือนก่อน

    Kaka Mungu atakupa mke mwema.

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maelezo yao inamaana kwenye Send off Bwana Harusi aliharibu ndugu wa mke wameshtuka kumuingiza binti yao kwenye balaa

    • @CHIIZATV-hl4zu
      @CHIIZATV-hl4zu หลายเดือนก่อน

      We ni msenge watu wameishi wote hadi kuzaa saiv ndo washtuke😂😂😂

  • @LekumoMedy
    @LekumoMedy หลายเดือนก่อน

    Tumia akili sherehe Gani hiyo si mngeenda kula tu kwenu vijana mnafeli wapi ungelipa mahari ndipo ufanye sherehe

  • @mihayocosimas8899
    @mihayocosimas8899 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama ni mjinga sana watu tumetoa pesa hatujaona mwaliko alfu unasema umekula na kufulai

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 หลายเดือนก่อน

    Familia ya hovyo wao wanajali mali? Wao wahajui utu! Mahari tu! Hio familia ni maskini

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน

    2:10 huyo dada ni shetani na Mungu amlaani asi olewe tena mbwa yeye😅😅

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 หลายเดือนก่อน

    Kuna kibopa kavuka dau kwa mama mkwe

  • @jhecfoundationtanzania2891
    @jhecfoundationtanzania2891 หลายเดือนก่อน

    Wazazi wengine ni wajinga tuu, ningesema neno ila ngoja nikae kimya kabsa😢😢😢😢

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน

    2:01 huyu kaka Mungu ame muepusha na mate mtego abaki singo tu

  • @sultanjames9395
    @sultanjames9395 หลายเดือนก่อน

    Ila wanawake, jamaa kakataliwa kisa kachangamka kwenye sendoff

  • @user-os3lh8rr3c
    @user-os3lh8rr3c หลายเดือนก่อน

    Siku zote mahari haitolewagi yote

  • @storytownTv
    @storytownTv หลายเดือนก่อน

    Iyo n maajabu😂

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli kuna kauli tuliambiwa tuhamie burundi kwa rahaa hizi mimi sihami ngooo hapana hapana niendelee kula burudani

  • @GeorgeSikazwe-mm7nn
    @GeorgeSikazwe-mm7nn หลายเดือนก่อน

    Bro mungu amekuepush ungeoa shetani hilo

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n หลายเดือนก่อน

    Bint ajakupend kabis bwan amna cha laki mbil tyu daah

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 หลายเดือนก่อน

    Tuache kuoa familia xa njaa,

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n หลายเดือนก่อน

    Mbon kawaid ipo mim niliend kafung arus bib arus bila bwan arusi

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 หลายเดือนก่อน

    Msimlaumu huenda kuna sababu. Labda mwanaume ndo shida

  • @luciangalu639
    @luciangalu639 หลายเดือนก่อน

    Asa kuwa na furaha ni kosa dah

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m หลายเดือนก่อน

    Wakatoliki wenzangu poleni

  • @user-co8bf2zv1p
    @user-co8bf2zv1p หลายเดือนก่อน

    Ndo uwanaume

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 basi sawa

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 หลายเดือนก่อน

    Shida ni ndugu wa dada.... dada atakapoanza kujuta hakuna ndugu yake hata mmoja atakayejuta pamoja naye

  • @user-en6kf2db6f
    @user-en6kf2db6f หลายเดือนก่อน

    Nimependa hiyo vaibu kama lote😅😅😅

  • @priscakatany-383
    @priscakatany-383 หลายเดือนก่อน

    Jamani poleni hii imetokea mtaan kwetu kabisa

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 หลายเดือนก่อน

    Inamaana hadi kanisani hajatokea au ukumbini tu

  • @omanmct135
    @omanmct135 หลายเดือนก่อน

    Nihatari kweli😂

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy หลายเดือนก่อน

    Ni ujinga. Watu wote mlioshiriki, mlikosa ufikiri wa kuahirisha? Kwanini msimshauri aahirishe jamani! Ataingia gharama tena kuandaa sherehe siku atakapo'oa. Binafsi nimewapuuza nyote mlioshiriki sherehe hii. Harusi ni sherehe ya muunganiko wa mtu Mme na mtu mke.

  • @selemanimakale2808
    @selemanimakale2808 หลายเดือนก่อน

    Angetafutiwa mke kati ya hao wadada waliokuja kwenye sherehe!!!

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j หลายเดือนก่อน

    Niatarii

  • @imanibakili8028
    @imanibakili8028 หลายเดือนก่อน

    Hapa duniani kuna mambo jamani dah

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂silalakusema

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mwanaume hapo😂😂😂😂

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 หลายเดือนก่อน

    Wote waru waru 😮😢

  • @MwitaPetro-e9z
    @MwitaPetro-e9z หลายเดือนก่อน

    Kaka umefanya vzr sana make wanawake weng wanajiona mungu watu hicho kidada kijinga sana

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 หลายเดือนก่อน

    Kalaaniwq huyo bint

  • @Graceyust
    @Graceyust หลายเดือนก่อน

    jamaa kaamua kuonesha kua kumbe kuoa wakati mwingine ni kifungo so jamaa kasherekea kuachwa huru asee

  • @EmmyNamoyo
    @EmmyNamoyo หลายเดือนก่อน

    Safi 😂😂😂😂

  • @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
    @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye หลายเดือนก่อน

    baaaaaaaaaaassss😂😂😂😂

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 หลายเดือนก่อน +1

    Ungechukuwa mchepuko wako apo shwaaa mambo yakaendelea ,huyo mwanamke na familia yake wanalaana

    • @VERONICA-o7n
      @VERONICA-o7n หลายเดือนก่อน

      😂😂 eti shwaaaaaa

    • @JumaGwandu
      @JumaGwandu หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ingekuwa ni mimi namcheki mchepuko na maliza mambo hapo chappppp

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 หลายเดือนก่อน

      @@JumaGwandu umeona eee kawaangusha mwamba

    • @JumaGwandu
      @JumaGwandu หลายเดือนก่อน

      @@zuwenasalim2794 kabisa asee dhuu hiyo familia cy asee

    • @ngusawales2039
      @ngusawales2039 หลายเดือนก่อน

      Hata mie pia

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน +5

    Ndomana ikaitwa mahali yani lazima...kama ishu ni laki 2 ni unamaliza unambeba mkeo,,,shuuli zaidi ya mil 5 na mziki juu...unataka kukopa laki 2😊;;;nyie mmepanik kukosa mke na hao ndugu zako wakaamua wakupe moyo..si usingefanya....afu unajiita wa kiume na una akili za kike😊..yani we bora.

    • @JoyceRobert-op6kv
      @JoyceRobert-op6kv หลายเดือนก่อน +1

      Tena niboya kwelikweli😅😅

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 หลายเดือนก่อน +4

      Ni lazima kumaliza kwamba anamnunua? Kama hawakutaka mbna send off walifanya? We nae unasapoti ujinga utakua mwanamke kama huyo huyo maana wanaume hatuwazagi kifala hivo,unayajua makubaliano yao mpaka wakafikia hatua hiyo? Mnakazana kudai laki 2 mwisho wa siku mashida yenu mnamjazia huyo huyo awasaidie ,hao washukuru so mimi manina zao

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 หลายเดือนก่อน

      Nadhani Edward kashauriwa na ndugu zake kuwa achana na huyo Binti, pia walikuwa na tempa sana.
      Hapo ilitakiwa busara na hekima itumike Kwa upande wa Edward wangejishusha tu na kwenda kuzungumza nao pia hata kukopa angeweza kukopa Ili kukamilisha hiyo mahari na sherehe ingeendelea.
      Lakini hapo wote wamejiona keki hakuna wa kujishusha matokeo yake ndio hayo.
      Jamani hapa duniani hakuna kaburi la mtu aliejishusha na kuomba msamaha Ivo ni vema wakati mwingine mmoja wake anakuwa mjinga Kwa dakika anaomba radhi kupisha maisha mengine yaweze kuendelea.

    • @user-hi8le2vb7z
      @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน

      @@greysonkisinda7390 awa si wanawake zetu na tunawaweza.,,kwaiyo na yeye akukope anakupa asubui usiku wa 4??..kwann usiombe kupunguziwa mahali kabla?? Mwanamke anaekupenda mahali unasema wewe;;;ye anataja tu kama ushahidi tu....wewe unaetoa ndo unachek mfuko wako upoje.. ukikubali manake unaweza ww,,dada yuko sahihi. 99%

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 หลายเดือนก่อน +6

      Mahari haimalizwagi pimbi wewe

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m หลายเดือนก่อน

    Atamkuta gheto

    • @JumaGwandu
      @JumaGwandu หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂