MAMBO 25 YA BARA LA AFRIKA, USIYOYAJUA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • MAMBO 25 YA BARA LA AFRIKA, USIYOYAJUA!
    Bara la Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani mara baada ya bara la Asia, mbali na ukubwa tu bara hili pia linamambo mengi zaidi ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi.
    Global Tv, inekuletea maajabu au mambo 25 ambayo awali ulikuwa huyafahamu lakini yanapatikana katika bara hili na kukosekana sehemu nyingine yeyote duniani.
    #MAMBO25 #BARALAAFRIKA
    www.youtube.com/watch?.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 143

  • @steveswakei9600
    @steveswakei9600 4 ปีที่แล้ว +2

    Pia Ananias Edgar hupatikana bara la africa. Nipe likes za bw. Edgar zote ntampelekea

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen Amen. Naipenda sana Afrika yetu. Mungu atubariki. Amen.

    • @alvinbenito9115
      @alvinbenito9115 5 ปีที่แล้ว

      Mbongo akipewa madaraka ujue ni ya yeye ,mkewe na watoto si ya watanzania.

  • @paulsimon6433
    @paulsimon6433 5 ปีที่แล้ว +8

    Mzungu mshenzi katuletea elimu ya vyeti na kutuondolea elimu ya maarifa na kulifanya bara la africa kuwa duni.

  • @isayakahemela4881
    @isayakahemela4881 5 ปีที่แล้ว +3

    Africa ni nchi moja. Hizo nchi uzitajazo ni mgawanyo wa kibeberu

  • @vanuancekanyika6224
    @vanuancekanyika6224 4 ปีที่แล้ว

    Africa is our pride. Kiswahili lugha bora. Kazi nzuri bro

  • @rodgersromio8756
    @rodgersromio8756 5 ปีที่แล้ว +1

    lov u africa

  • @fatinaabeyd7244
    @fatinaabeyd7244 5 ปีที่แล้ว +1

    This is Africa buuwana

  • @mastolehmastoleh3763
    @mastolehmastoleh3763 4 ปีที่แล้ว

    God bless Africa

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 5 ปีที่แล้ว +21

    Duuh afrika yetu imebarikiwa na Neema za Mungu hila hatuna tuu viongozi kabisaa

    • @antoinea.katembo5326
      @antoinea.katembo5326 5 ปีที่แล้ว

      Zulfah Hussein Tuwatadute basi kwa pamoja aisee

    • @zulfahhussein505
      @zulfahhussein505 5 ปีที่แล้ว

      @@antoinea.katembo5326 😂😂😂in sha Allaah

  • @anastaziabayyo6502
    @anastaziabayyo6502 5 ปีที่แล้ว +2

    I LOVE YOU AFRIKA

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Africa na watu wake

  • @wolfdjmovies
    @wolfdjmovies 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks global tv

  • @mayeleamisi9483
    @mayeleamisi9483 5 ปีที่แล้ว +2

    I❤ Africa

  • @cymonbravo9320
    @cymonbravo9320 5 ปีที่แล้ว +17

    I LOVE YOU AFRICA ❤️

  • @geffects1141
    @geffects1141 5 ปีที่แล้ว +17

    The Best Continent with no Leaders.

  • @amani2555
    @amani2555 5 ปีที่แล้ว +9

    Nabaki Afrika 🌍

  • @rosemarykasoga4418
    @rosemarykasoga4418 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama unajivunia kuwa muafrika. Gonga like👍👍👍

  • @fatinaabeyd7244
    @fatinaabeyd7244 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka napenda unavyo elezea huchoshi kusikiriza buuwana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ya wanawake umeongeza chumvi nakupendaje Edgar unajua sana kaka

    • @lizzabiza2129
      @lizzabiza2129 5 ปีที่แล้ว

      Iyo n kwel kabisa kwa mujibu wa takwimu wanawake wazuri wote na wenye shepu wametoka Afrika mpaka wengine wazungu waliwachukua na kuwaweka kwenye makumbusha.
      Nenda kasome historia vzr ndo utaamini

  • @lutundujafau6020
    @lutundujafau6020 5 ปีที่แล้ว +9

    Kweli kabisa Wanawake wakiafrika ndio wazuri bana wazungu hamna kitu,,👏👏👏

  • @tillyahono3723
    @tillyahono3723 4 ปีที่แล้ว

    nice documentary

  • @sarahtv8853
    @sarahtv8853 5 ปีที่แล้ว +5

    unajuwa sana Bro

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +11

    Hahaha hahaha hahahahaaa wanawake wenye maumbo mazuri kuliko wote duniani wanapatikana Africa hahahahaaaaaa

  • @innocentmria1920
    @innocentmria1920 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana mkuu

  • @mendinatweve4026
    @mendinatweve4026 4 ปีที่แล้ว

    Wawooo!!! That's ix My Africaaa

  • @barackajustine5853
    @barackajustine5853 5 ปีที่แล้ว

    Salute Edgar

  • @hemedimuna1400
    @hemedimuna1400 5 ปีที่แล้ว

    Nimekubali bloo mimi ni muafrica na nitaishi kama muafrica

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 5 ปีที่แล้ว +9

    daaah yaan nimejikuta nadondosha choz asee bro jitahid unapotoa makara ziwe katika lugha zaid ya 2 ili iwafikie wengi tutakusapot kwa kila hatua kusherea kwenye group zote waafrika tujitambue

  • @benjaminbig850
    @benjaminbig850 3 ปีที่แล้ว +1

    Mto wa Nile unatokea Burundi(mkoani Bururi,Kijiji cha Rutovu)hadi Misri

  • @mwafrikaelcapitano6669
    @mwafrikaelcapitano6669 5 ปีที่แล้ว +16

    Kuna chura mkubwa pia yupo Jangwani mmesahau😊

  • @shaibuharuna7036
    @shaibuharuna7036 5 ปีที่แล้ว

    Vizurii sana broh tunaomba na matukio mengine kama ww1,ww2

  • @rudhboazi743
    @rudhboazi743 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli kabisa najivunia kuwazaliwa Africa

  • @rizikivincent9471
    @rizikivincent9471 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda afrika yetu mungu aturudishe tulikotoka na aturehemu kwa makosa tumtendeayo

  • @congoqueen5074
    @congoqueen5074 5 ปีที่แล้ว +1

    Africa yetu yahukweli babake

  • @winfredburton7272
    @winfredburton7272 5 ปีที่แล้ว +1

    Waiting

  • @piusmwiton703
    @piusmwiton703 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 5 ปีที่แล้ว +10

    Ananias ediga nakupigia saluti sauti yako ya ngurumo inanifanya niisikilize kila ninapokuwa na mda mzuri aminia babaake

  • @charlesnzitbundi4208
    @charlesnzitbundi4208 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice one 👍😁

  • @allysulleyman1161
    @allysulleyman1161 5 ปีที่แล้ว

    love africa

  • @plantp.o1823
    @plantp.o1823 4 ปีที่แล้ว +1

    Shule wangekuaga wanafundisha hivi me nisingepata 0😢😢😢😢😢😢

  • @ahmedmbarak8958
    @ahmedmbarak8958 5 ปีที่แล้ว

    Upo sawa broo

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +4

    Hata kwa ufisadi, umbeya, majungu, wivu, kupenda ngono, tunaongoza.

  • @barakanyamoko1636
    @barakanyamoko1636 5 ปีที่แล้ว +1

    Africa Viva

    • @berzelaymuhindo2916
      @berzelaymuhindo2916 5 ปีที่แล้ว

      Sasa umesahau ISHANGO kwenye bonde ya mlima Rwenzori, ambako Mfalme Solomona alikuja kutwa zahabu aliyotengeneza kiti chake cha kifalme, kilicho bebwa na utawala wa Roma. Hicho kiti anaye kikalia leo ni papa wa kanisa katoliki hapo Vatican

    • @charlesjoliga2120
      @charlesjoliga2120 5 ปีที่แล้ว

      Nakukubali jinsi unavyosimulia kwa hisia na kunifanya nikisikilize kwa makin

  • @philipomathayo6221
    @philipomathayo6221 5 ปีที่แล้ว +1

    Tupe somo kaka

  • @isaacmonyo8980
    @isaacmonyo8980 5 ปีที่แล้ว +16

    Pia tunaongoza kwa technology ya kuedit picha

  • @mathiasphilipo9809
    @mathiasphilipo9809 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @cyprianmallya4670
    @cyprianmallya4670 5 ปีที่แล้ว

    Nimfurai sana kuijua Africa

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 5 ปีที่แล้ว +1

    Yeee baba 👏👏👏

  • @peterbullet1406
    @peterbullet1406 5 ปีที่แล้ว

    Upo vzur bro

  • @babuayubu6215
    @babuayubu6215 5 ปีที่แล้ว +1

    Mto Congo ndio wenye kina kirefu zaidi duniani.....bila kusahau ziwa Victoria ni la pili kubwa duniani...na mwisho bara la Afrika ndilo lenye utajiri wa kila aina na linaongoza kwa umaskini

  • @godfreynyansira8227
    @godfreynyansira8227 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubari kaka

  • @nsubilijaphet8378
    @nsubilijaphet8378 5 ปีที่แล้ว +1

    Lake nyasa kwa tz

  • @Officialbrowntz
    @Officialbrowntz 5 ปีที่แล้ว +1

    Gd

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว +4

    Sahiv nch zpo 55 kaka south sudan

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว

    asanteee

  • @emmanuelpeter5619
    @emmanuelpeter5619 5 ปีที่แล้ว +2

    Unbelievable in Africa continental

  • @hassanalimadarakah8951
    @hassanalimadarakah8951 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbn ujaongelea features zilizopo Mt congo

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +3

    Lahaja ni nini?

  • @barikibakari6297
    @barikibakari6297 5 ปีที่แล้ว +1

    AFRICA

  • @BenMtweve4
    @BenMtweve4 4 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa

  • @mohdnyambura6859
    @mohdnyambura6859 5 ปีที่แล้ว +2

    karafuu yenye ubora ipo Africa

  • @maligolimakala8881
    @maligolimakala8881 5 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo ni viongozi

  • @davao0017
    @davao0017 5 ปีที่แล้ว

    Tuandalie elimu ya nyota sehemh ya pili

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 5 ปีที่แล้ว

    We jamaa ni noumaah mzee

  • @sostenkimario8137
    @sostenkimario8137 5 ปีที่แล้ว +1

    madini ya tanzanite pia yanapatkana Africa tz pekee! na yamejengewa ukuta yasije kutoroka😀😀

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 5 ปีที่แล้ว +3

    Uwezi amini njisi machozi yanavyo ni dondoka kwa kusikia hi habari

  • @ephraimkihahu9615
    @ephraimkihahu9615 5 ปีที่แล้ว +3

    Mto mrefu Duniani ni River Amazon Kaka. Sio Nile.

    • @mohamedaideed8754
      @mohamedaideed8754 5 ปีที่แล้ว

      Mto mrefu duniani Ni river nile 4,132 kilometers Amazon 3,977 boss ijue Nile ndo mto mrefu duniani

  • @dotokizanye7620
    @dotokizanye7620 4 ปีที่แล้ว

    Dotto mussa

  • @fredsenyagwa4780
    @fredsenyagwa4780 5 ปีที่แล้ว +11

    Ziwa Nyasa sasa limekuwa ziwa Malawi???

    • @drshytonagen2357
      @drshytonagen2357 5 ปีที่แล้ว +1

      Lakin malaw sio jina lake halis
      Mara ya kwanza ziwa hilo liliitwa Nyasa na wagen Kutoka Mozambique waitwao wayao hawa ndio waliliona hili ziwa na kuita Nyasa maana yake maji mengi

    • @caspraisejimbomkkasakazin7844
      @caspraisejimbomkkasakazin7844 5 ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @morgansmilenyoni444
      @morgansmilenyoni444 5 ปีที่แล้ว

      Kwann malawi cndo nyasaland

    • @edsonnyamwela6669
      @edsonnyamwela6669 4 ปีที่แล้ว

      Wanazingua kuliita ziwa malawi badala ya ziwa nyasa

  • @madlipztanzania1931
    @madlipztanzania1931 5 ปีที่แล้ว +2

    Afrika ndio Edeni! Hakika!

    • @veraniinnocent7624
      @veraniinnocent7624 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli man utashangaa safina ya Nuhu si ilitua Afrika kwa sababu Afrika ndo inawanyama wengi zaidi duniani,

    • @madlipztanzania1931
      @madlipztanzania1931 5 ปีที่แล้ว +1

      @@veraniinnocent7624 sio wanyama tu kila kitu Afrika kipo tatizo viongozi tu!

    • @willygraphics360
      @willygraphics360 5 ปีที่แล้ว

      Hakika Kaka ata Adamu alitokea Tanzania. Wazungu wenye roho mbaya hawataki kuelewa tu! Wamuulize aliyegundua fuvu la mtu wa kwanza, fuvu hilo lilitokea wapi?🤔🤔

  • @Tugalukeni
    @Tugalukeni 4 ปีที่แล้ว

    Those rock's at lake Tanganyika or is it lake victoria must be artificial or curved. Which lake is that? This shit is real. Please confirm the lake. I would like to check it out further. Sio mchezo. Omg I should have checked some rock's in Tanzania too while at it and some other places there too but it never occurred to me at that time. I noticed some curios rocks too in Namibia.
    Also that Crater look like an impact site. The Nigerian tribes need checking up also. I expect intact Bantus, nilotes, cushites, San and more. Why does the system hide this tribes and what the effect?

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 ปีที่แล้ว

    Unaniteka napenda historia

  • @cowbamamsigwa6289
    @cowbamamsigwa6289 5 ปีที่แล้ว

    Kuba ni nini blaza

  • @heavenlypatric4822
    @heavenlypatric4822 5 ปีที่แล้ว +4

    Tuna vitu Vingi vya kipekee Dunian ajabu nikuwa bado Maendeleo ni duni kwa nchi nying baran Africa

    • @alvinbenito9115
      @alvinbenito9115 5 ปีที่แล้ว +1

      Tujiulize mali zote tulizonazo ni kwa nini tuna umasikini wa kutupwa?

    • @shukurumangare8070
      @shukurumangare8070 5 ปีที่แล้ว +1

      Mazngra yaliyotengenezwa ili uendelee kuwa masikini ndo mana nchi yeyote inayokuja juu kiuchumi lazima ipate machafuko ama pesa yao kushuka bei chunguza ndgu utajua kwann

  • @gidionmedia2256
    @gidionmedia2256 3 ปีที่แล้ว

    Kilimanjaro

  • @cyprianmallya4670
    @cyprianmallya4670 5 ปีที่แล้ว

    Lahaja no mini??

    • @willygraphics360
      @willygraphics360 5 ปีที่แล้ว

      Ni mfumo wa lugha/ matamshi unaopatikana katika jamii za watu waliojitenga ki georgafia. Mfano ki pemba na ki unguja

  • @anthonytv4445
    @anthonytv4445 5 ปีที่แล้ว +1

    Niuongo2

  • @victorsimundwe2518
    @victorsimundwe2518 5 ปีที่แล้ว

    Ziwa Nyasa

  • @paschalmnaly8884
    @paschalmnaly8884 4 ปีที่แล้ว

    Mi ni muafrica na naishi Africa ya kusini

  • @wamadoropushthestar4145
    @wamadoropushthestar4145 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuonyesheni hayo Maajabu Mbna bdo Haifunguki?

  • @stephenguga7601
    @stephenguga7601 5 ปีที่แล้ว

    Umesahau fuvu LA MTU wa kale kupata wote duniani limepatikana Olduvai gorge

    • @aliakrabi8321
      @aliakrabi8321 5 ปีที่แล้ว

      hapana ni ethiopia huyo ARDI

  • @kinglance6365
    @kinglance6365 5 ปีที่แล้ว

    Olduvai george

  • @opqsweetbert9598
    @opqsweetbert9598 5 ปีที่แล้ว

    Kipind hiki hakina jina aiseeh wakati kizur

  • @sleimanhemed8870
    @sleimanhemed8870 5 ปีที่แล้ว

    Apo kwenye wanawake apo mh

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 5 ปีที่แล้ว +1

    Kila kitu tunacho tatzo akili hatunaga

    • @shukurumangare8070
      @shukurumangare8070 5 ปีที่แล้ว

      Acha kujidharau tunaakili hataree tatizo tumetengenezewa mazngra ya kujidharau ndo mana hauwez fanya kitu chochote mana hujiamini na unajidharau fatiliza utagundua makubwa kuna watu wametengeneza umeme wnyw na mngn usijidharau

  • @kassimahmed2189
    @kassimahmed2189 5 ปีที่แล้ว +2

    Hao wanawake wako wapi unatupaka tu mafuta ya mikorogo hehehe labda africa ina ongeza kwa chura yaani matako😜

    • @shukurumangare8070
      @shukurumangare8070 5 ปีที่แล้ว

      Broo wanawake wa kiafrica wanavutia hataree zaidi ya wazungu chunguza utapata jibu broo

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 ปีที่แล้ว +3

    Uongoo naww umezidiiii,,,Mto mrefu dunian Amazon

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ndugu ni Amazon river

    • @mendinatweve4026
      @mendinatweve4026 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣We Ndo hujaelew tofautixh Kat ya Kina,na Upan

    • @castoljmwalyego3778
      @castoljmwalyego3778 4 ปีที่แล้ว

      Naww hujaelewa tofautisha upana,Kina na Urefu

  • @kinglance6365
    @kinglance6365 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata ziwa tanganyika kuna samaki hawapatikani popote

  • @renatusyuda4230
    @renatusyuda4230 4 ปีที่แล้ว

    Kuna vyura wakubwa huku kwetu wanaitwa, ntundu.

  • @omarkimbwembwe3082
    @omarkimbwembwe3082 5 ปีที่แล้ว +2

    Tatzo viongoz

  • @munnasigela5413
    @munnasigela5413 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaha

  • @ketezeno
    @ketezeno 5 ปีที่แล้ว

    Muto Nil unazia Burundi siyo ziwa vigitoria
    Burundi Provence Bururi in rutovu

  • @jacobedmar.yakobo4546
    @jacobedmar.yakobo4546 5 ปีที่แล้ว +1

    Fanya Kama unaandika kitabu Cha uzalendo mi nitasaidia kutoa jina la kitabu

  • @kibetwezley951
    @kibetwezley951 5 ปีที่แล้ว

    poor and more poor leadership ....otherwise Africa is blessed

  • @johnkerrysibomana9062
    @johnkerrysibomana9062 5 ปีที่แล้ว +1

    Dunia ina mabala 7 ama ni mabala 5