HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ค. 2019
  • HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
    Wahehe walimuita Mkwawa mtwa, waswahili wakamuita mfalme, Unyanyembe wakamuita mtemi, waha wakamuita Mwami na shuleni tukamuita Chifu Mkwawa, mwanaume pekee aliyewanyoa nywele wazungu bila maji.
    Huyu mwanaume kiboko ya Wajerumani ni uzao wa yule jiniazi kutoka nchi ya Uhabeshi, Ethiopia ya leo, aliyefika katika ufalme wa Mwamududa miaka 1700 akiwa na teknolojia ya kuwinda kwa mbwa.
    #CHIFUMKWAWA
    th-cam.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 710

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 5 ปีที่แล้ว +202

    Anastahili views milioni mm Mkwawa nmemuelewa leo tangu nimalize form 4 😂😂😂😂

    • @noob3605
      @noob3605 5 ปีที่แล้ว +2

      Ven The Guy 😂😂😂😂😂me too

    • @edwingwesso129
      @edwingwesso129 5 ปีที่แล้ว +2

      Wengne tunamuelewa Sana fatilia tena

    • @daudijuma9093
      @daudijuma9093 5 ปีที่แล้ว +2

      Ven the guy pol

    • @daudijuma9093
      @daudijuma9093 5 ปีที่แล้ว +1

      @Ven hiii

    • @amirbalali6483
      @amirbalali6483 5 ปีที่แล้ว

      Ven The Guy duh

  • @annahjoxhua1953
    @annahjoxhua1953 4 ปีที่แล้ว +21

    Wahehe naomba like zenu me mbena

  • @shabanikamsawa424
    @shabanikamsawa424 4 ปีที่แล้ว +33

    Jamaa bora awe mwalimu wa history anae kubaliana na mm .gonga like hapa tujuane

    • @AliMasudi-mc2sj
      @AliMasudi-mc2sj 3 หลายเดือนก่อน

      Maamyuzi.unajizima.data.hata Mimi nimeipenda.hiyo

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +139

    Napenda sana vile huyu jamaa husoma historia..... Nikiwa hapa Nairobi/Kenya

    • @musasaid964
      @musasaid964 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtafute mtiga abdalla utaewa kuliko huyu

  • @kindoleenock6708
    @kindoleenock6708 3 ปีที่แล้ว +8

    Kama ww ni mhehe gongaa like

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 ปีที่แล้ว +59

    Wahehe hoyee!!!!!!! Fantastic

  • @dralhajijbmatatala4580
    @dralhajijbmatatala4580 3 ปีที่แล้ว +8

    ""Najivunia Kuwa MHEHE,""

  • @andrewshustle1331
    @andrewshustle1331 6 หลายเดือนก่อน +2

    2024 Niko hapa tena kurudia kuiskiliza hii historia adhimu ya CHIEF MKWAWA.🎖️👑

  • @FamSalome
    @FamSalome 5 ปีที่แล้ว +28

    Global tv kuna historia kadhaa natamani mgeziweka tukazisikia, historia ya Mwalimu Nyerere, Kenyatta, Joseph Kony, mauji ya Kimbari Rwanda. Waiyaki wa Hinga kutoka Kenya na zingine ambazo nitazitaja tukisonga. itakuwa bora kama Ananias Edigar atakuwa msimulizi kama kawaida. long live global tv long live Ananias Edigar.

    • @slyvesterngusa2972
      @slyvesterngusa2972 3 ปีที่แล้ว

      Sanaaa

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 ปีที่แล้ว

      Mauaji ya kimbari ipo mbona story ya nyerere nayo ipo na ya kenyatta ipo zitafute utaziona

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 5 ปีที่แล้ว +327

    anayemuelewa mkwawa agonge like hapa

  • @maijayahaya3770
    @maijayahaya3770 5 ปีที่แล้ว +40

    kusoma kwangu koote adi form 4 leo ndio nimeelewa hii story, hongera bro 👏👏

    • @daudijuma9093
      @daudijuma9093 5 ปีที่แล้ว

      Hhhh mwaija

    • @maijayahaya3770
      @maijayahaya3770 5 ปีที่แล้ว

      daudi Juma 😂😂 beee!!

    • @evanamyinga1512
      @evanamyinga1512 3 ปีที่แล้ว

      Polee

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 ปีที่แล้ว

      Shule akuna mwalimu anaweza kukufundisha hv zaidi ya kuambiwa tafuta kitabu utapata story yote ila hapa unaelewa zaidi ya shulen

  • @victorsimfukwe5309
    @victorsimfukwe5309 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru kwa taarifa zenu nzuli hakika tunaelimika na kufahamu histor mbali mbali

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 ปีที่แล้ว +16

    Resistance Against The Imposition Of Colonial Rule
    Small Scale Resistance# Mtwa Mkwawa

  • @marymichelle6280
    @marymichelle6280 5 ปีที่แล้ว +38

    Hongera sana mtoa historia, napenda sana vile unasoma historia. Unafundisha na kueleweka. Safi

    • @unamimlay7619
      @unamimlay7619 3 ปีที่แล้ว

      Nimependa story yako iko poa sana inafundisha

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 3 ปีที่แล้ว +3

    Afrika mashariki muhehe ndio kabila lakwaza kuvaa nguo. 🤣😄😃😀😆👍👍👍👏👏👏 Asantee Sana kutujuza kaka pamoja sana🤝

  • @bonifacechengula6117
    @bonifacechengula6117 2 ปีที่แล้ว +5

    Brilliant narrator, you are so eloquent that I love listening to your story.

  • @jimmyandrew3883
    @jimmyandrew3883 4 ปีที่แล้ว +25

    im proud to be hehe na mama yangu ni semduda uzao uleeee

  • @ngenzisaid4958
    @ngenzisaid4958 5 ปีที่แล้ว +11

    nyama ya mbwa dah ngoja nitafute hiyo nyama na dawa yake ninuse watu this is iringa brother waheh tupige like

    • @adcutey9112
      @adcutey9112 4 ปีที่แล้ว

      Nakuelewa wa iringa unaishi wap

  • @owinochris9886
    @owinochris9886 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpagaze & edga mubarikiwe sana kwaku elemisha ulimwengu nawapenda sana,

  • @joshualwelu7302
    @joshualwelu7302 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazungu kazi walionyeshwa. Big up kwa wazawa wetu waliokuwa na msimamo.

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 5 ปีที่แล้ว +4

    we Jamaa Nakupenda Sana Wewe, hd sauti yako. tuletee watemi na machifu wa singida

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 4 ปีที่แล้ว +4

    Brother mi ni muhehe na ninaijua vizuri historia yetu ila nmeirudia kuiskiliza Kwa sababu ya usimuliaji wako mzuri, big up! MUNGU AKUINUE katika kazi zako

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 ปีที่แล้ว +21

    Hapo inaonyesha Uhehe ulitokana na mchanganyiko wa uzao wa Mswimi toka Uaveshi na wazawa waliowakuta, hivyo hizo koo zaidi 100 za mchanganyiko huo ndiyo Uhehe wenyewe, ni Genius, wahehe wote, na Mkwawa ni Mhehe, waache wivu,

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      ni wahaBeshi / wahaVeshi.?

    • @lilianluhasi7685
      @lilianluhasi7685 4 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 ndiyo koo zaidi ya 100 zimezaa na kupanuka, ndiyo kabila LA wahehe

    • @lilianluhasi7685
      @lilianluhasi7685 4 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 waabeshi

    • @lilianluhasi7685
      @lilianluhasi7685 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mnzavachris5423 waabeshi samahani nolikosea

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 4 ปีที่แล้ว

      Lilian Luhasi arlaah kuumbe!

  • @ahmadkafashe7427
    @ahmadkafashe7427 5 ปีที่แล้ว +31

    Bro unaipenda kwel kaz yako.. Mungu akuongoze kwa kila jambo la hery. Unafanunua kwel na kama ungekuw mwalim wng bas ningekuw wa kufaulu maan nakuelewa vzr

  • @solanzakalolo2782
    @solanzakalolo2782 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongela mkwawa my friend

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 3 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri nimependa.

  • @abdallahhamad4499
    @abdallahhamad4499 4 ปีที่แล้ว +19

    Kama ungependa hii story waifanyie movie
    Kama mimi ninavyotamani gonga like 💗

  • @kimwelshebuge8772
    @kimwelshebuge8772 4 ปีที่แล้ว +3

    Una miaka 30 halafu unalala kwenu halafu unakoroma ukilala

  • @innocentmmbando5484
    @innocentmmbando5484 5 ปีที่แล้ว +51

    Kaka hongera kwa simuliz maridhawa..
    Naomba siku moja utupe simulizi ya mangi wa wachaga!!

  • @mrsmile6649
    @mrsmile6649 ปีที่แล้ว +2

    Big story 💯🏃💥

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว +11

    Asante kutupatia kitu kizuri kama hiki

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 ปีที่แล้ว +6

    Hawa ndio wangetakiwa kuongoza nchi kwa kuihangaikia sana nchi hii

  • @rizikisamwel9904
    @rizikisamwel9904 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana

  • @givenngoko4528
    @givenngoko4528 5 ปีที่แล้ว +4

    Nzuri sanaa🙏🙏🙏🙏👏👏👏...#Elimu hii

  • @isackhassan6551
    @isackhassan6551 5 ปีที่แล้ว +6

    Elimu ya wazungu kwa wa-Afrika is a system of misseducation us as Afrikan, wanajua historia yetu kuliko tunavoijua

  • @jamesmwangi5176
    @jamesmwangi5176 12 วันที่ผ่านมา +1

    good work

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sana Anania Ediga.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante san histolia nzuri san

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว +2

    Ananias unavyosimulia utadhani alikuwepo 😂😂😂hongera sana aisee. Apo kwa wapelelezi kula nyama ya mbwa.

  • @jumamdoe5123
    @jumamdoe5123 5 ปีที่แล้ว +29

    Story zako zipo vizur sana kaka toka nianze kusikiaga story ya Gadafi mpaka sasa napenda sana voice ad simulz zako
    BIG up

    • @hellenmattaba9961
      @hellenmattaba9961 4 ปีที่แล้ว

      Usalliti. Tangu zamani upo Hivo tusishangae

  • @fineskilatu5432
    @fineskilatu5432 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda saut yako mtangazaj yaan mtu unajikuta unataman uendelee kusikiliza💪👏👏👏👏

  • @Respicius
    @Respicius 5 ปีที่แล้ว +31

    Da! Broo mgejaribu kuwa mnatoa CD tunazinunua mnauza hata Cd moja ina stori mbili mbili 2000 ingekuwa vizuri sana

    • @kacherosimba5762
      @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa dah sipati picha ukiwa geto kwako una sikiza saiti hii dah story mzuli sana

  • @donaldmwita4227
    @donaldmwita4227 3 ปีที่แล้ว +1

    Help kwa historian nzuri

  • @sheldonmbakaya
    @sheldonmbakaya 4 ปีที่แล้ว +4

    Nikiwa shuleni historia haikunishika, sasa hivi nashika historia na kuielewa vyema kwa lugha mufti ya kiswahili na Global TV
    Nakushukuru Ananias Mpagaze

  • @johnsahani1325
    @johnsahani1325 5 ปีที่แล้ว +11

    Somo zuri ubarikiwe

    • @siliviamyinga1400
      @siliviamyinga1400 4 ปีที่แล้ว

      Siliviamyinga
      Nashukuru sana kumbebabu mkwawa ametoka alichanganyika kabila mbili, nashukuru kujua historia

  • @denismugendi1034
    @denismugendi1034 5 ปีที่แล้ว +4

    Kaka uko sawa tena makini sana , historia ya afrrika inaniingia zaidi ya kipindi kile nikiwa shule, nashukuru.

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 ปีที่แล้ว +4

    Yaan ww daa nakupendaga sana bs tuu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 5 ปีที่แล้ว +16

    Sikuzi cjuui kwann hawazaliwi vijana jasir Kama wa zamani aise,
    Mkwawa namuelewa saana. Huyu jama ni hatariii.

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว

      Sio kwamba hawazaliwi, wapo ila wanaogopa kufa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@mohamedothman9769 ndo hawapo tena au wana mapungufu kama yote

  • @tinawilliam4961
    @tinawilliam4961 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante kaka nilikua sielewi chochote kuhusu mkwawa👏👏

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 3 ปีที่แล้ว

      Umeelewa kwa kweli shukrani zimefika

  • @charo.mukarebugo5778
    @charo.mukarebugo5778 ปีที่แล้ว +1

    Napenda historia zenu

  • @AnnaBoniphace-dw7py
    @AnnaBoniphace-dw7py 10 หลายเดือนก่อน

    Mkwawa ni moto mkali jmn🔥🔥🤝🤝🤝

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 ปีที่แล้ว

    Naskia raha sana, historia kutolewa kwa kiswahili....hongera kutoka Kenya...

  • @benjaminphilip7408
    @benjaminphilip7408 5 ปีที่แล้ว +21

    it hurts ukisikiliza baadhi ya vitu , ni kweli huyo mjusi (dinosaur) inasemekana walichukua skeleton yake wakapeleka kwenye museum huko German, nowadays they are making a lot of money kupitia hcho walichotuibia, bado utackia mtanzania anasema wazungu ni watu wazuri.

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 5 ปีที่แล้ว

      Wewe uki google utapata historia yote ya huyo mjusi. Dinosaur. Sio mpka usikilize ndio huujue ukweli. Muwe wepesi wa kusoma yote wameyandika kwenye vitabu. Na wamerahisisha kwenye Gooogle.kila kitu

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@monicahovda5890 hmmm

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@monicahovda5890 tena gugo huko ndo wamechuja mpaaka, vema maktaba zetu wenyewe ndo zipatikane na hizi hadithi/vitabu

  • @duniacafe
    @duniacafe 3 ปีที่แล้ว +5

    Kamwene! Ndimno fuela. Kaka, nakushukuru sana---umenielimisha ziada ya niliyofundishwa shule ya msingi Forodhani. Naomba uendelee na utafiti wako na kuandika kitabu cha historia ya watemi wote. Itapendeza pia ukifanya video ya Mangi Meli, Isiki, Rumanyika wa Karagwe, Mirambo, nk. Na methali zako---eee---hizo zilinoga kweli

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 5 ปีที่แล้ว +2

    Yesu anaweza yote. Uko vizuri kaka, huu ndo muda wetu Tanzania

  • @saimonbenard1569
    @saimonbenard1569 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa history ya chief mkwawa

  • @georgenagabona203
    @georgenagabona203 5 ปีที่แล้ว +13

    upo vizuri nipe story ya lucky dube kwa ndani zaidi

  • @ismailmangare547
    @ismailmangare547 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana nakupata mkuu uko vizur

  • @mpogoletv.5966
    @mpogoletv.5966 5 ปีที่แล้ว +2

    NAMKUBALI SANA MKWAWA NA UWA SICHOKI KUTEMBELEA FUVU NA MAKAZI YAKE KULE KARENGA

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 11 วันที่ผ่านมา

    Chiffu wetu alitisha. Sana huyu. Alikuwa mwamba najivunia kuwa mhehe

  • @adcutey9112
    @adcutey9112 4 ปีที่แล้ว +4

    Nisidangany mm now had simuamin mungu najali miungu yangu ya kikabila maana God kaletwa na mzungu yaaani mm sinahamu nao mm nawapenda miungu wangu wa kihehe na Leo nimeenda makumbusho kwao

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbeeee brooh upo vizuriiiiiiiiii cana aseehhhh

  • @musaomary590
    @musaomary590 5 ปีที่แล้ว +3

    I appreciate you✔✔✔

  • @saidmosh2695
    @saidmosh2695 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mjomba unatupa chakula cha ubongo cc tucyeyajua haya

  • @jacklinejonas5096
    @jacklinejonas5096 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee kaka...... 🙏

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว

    THANKS A MILLION TIMES.

  • @marcelmlacha8596
    @marcelmlacha8596 5 ปีที่แล้ว +3

    Umeisimilia vizuri
    Endelea na kazi

  • @moonlight-tz5985
    @moonlight-tz5985 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda sana

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 4 ปีที่แล้ว +3

    Mizimu yote ya africa ikagonga cheers

  • @logatercharles3665
    @logatercharles3665 4 ปีที่แล้ว +12

    “Ukimpa mimba mtoto wa kihehe lazima akutaje”😂😂😂

    • @officialkisura6520
      @officialkisura6520 4 ปีที่แล้ว

      Logater Charles nomaxana

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 ปีที่แล้ว

      Leo uzinifu umekuwa kama maji ya kunywa zamani ukizini na mtoto wa mtu unauwawa hii sheria bora irudishwe tena..!

    • @ashrafsalum2521
      @ashrafsalum2521 3 ปีที่แล้ว

      Nikae kimya ili

    • @tinatanamahondo9292
      @tinatanamahondo9292 2 ปีที่แล้ว

      Naachaje sasa kukutaja

  • @clinton3168
    @clinton3168 3 ปีที่แล้ว

    Asanten sana

  • @nyavaelly5450
    @nyavaelly5450 5 ปีที่แล้ว +1

    Historia nzur sana msoma historia upo vzr

  • @mukikibati3519
    @mukikibati3519 3 ปีที่แล้ว

    Simulizi kali sana muhimu kusikiliza asante

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah naomba mzee baba utoe cdii yaniitakua poasana

  • @watotowamungubyfreconicide1505
    @watotowamungubyfreconicide1505 5 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji unatangaza vizuri saana

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 ปีที่แล้ว

    Ananias Edgar ni best historical ever🙌

  • @sylvesternzowa8458
    @sylvesternzowa8458 5 ปีที่แล้ว

    Naikubali sana sauti yako ndugu msimuliaji Edga, so you make me concentrate to your stories.

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 4 ปีที่แล้ว +1

    Ananias edgas umetishaaaa cnaaaaaa

  • @zawadigwimile2637
    @zawadigwimile2637 5 ปีที่แล้ว +12

    Daaa leo nimeelewa asili ya waburishi wa rujewa asante mkuu

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 5 ปีที่แล้ว +3

      Na hata asili hasa ya Uhehe ni nini? Ni mchanganyiko wa uzao wa Mhaveshi na wazawa waliowakuta hapo, uzao wa koo hizo ndiyo Uhehe wenyewe, hapo mwanzo ilikuwa wabena tu, ambao nao inasemekana walitokea Ghana

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      @@lilianluhasi311 dooh, wabena nao kumbe iletwe ya kwao hapa

    • @lilianluhasi7685
      @lilianluhasi7685 4 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 wabena walitokea Ghana mababu wanasema

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 4 ปีที่แล้ว

      Lilian Luhasi asee!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 4 ปีที่แล้ว

      Lilian Luhasi asee.,yaonesha iringa ni nyumbani

  • @kenyfrancis2946
    @kenyfrancis2946 4 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri kaka.....ni Mwambambe...

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 4 ปีที่แล้ว

    Thenks!

  • @sagudanicasnicas2660
    @sagudanicasnicas2660 5 ปีที่แล้ว +7

    Nimefurahi kwa hili

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว +4

    nakubaliiii kakaa

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu sijui tukushukuruje. Wewe ni chuma katika historia. Tunaomba mtuandikie historia yetu itakayofundishwa kwenye shule zetu na vyuo vyetu tuachane na hizi historia za kusifia wazungu akina Livingstone na Karl Peters na kujiona wanyonge. Serikali inabidi iwatumie vizuri ili mtusaidie tufahamu historia yetu.

  • @christophersoty101
    @christophersoty101 5 ปีที่แล้ว +16

    wakala visivyoliwa kabla ya Ndoa binti akapata ujauzito kijana akala kona kuogopa Mikono ya cheaf
    akakutana na mbogo msituni akalestiishwa in peace Aaaaamin 😂😂😂😂😂
    huyu bro anajua mpaka homa aisee Duh!!!

    • @upstar4951
      @upstar4951 5 ปีที่แล้ว

      Christopher Soty saf

    • @jeyadam833
      @jeyadam833 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂 kile kipande katishaaaa😂😂😂😂😂

  • @hawahawa8166
    @hawahawa8166 5 ปีที่แล้ว +3

    Uku vzr edger

  • @justinjohn3785
    @justinjohn3785 5 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kazi yako

  • @kherysalum638
    @kherysalum638 5 ปีที่แล้ว +1

    safi sana mkuu hao panya road ote wanaokuiga tupa kule

  • @charlesntemi1683
    @charlesntemi1683 5 ปีที่แล้ว

    Dah! Hatari fire !!!

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 5 ปีที่แล้ว +1

    Noma sanaaa big up kwako kaka

  • @maulidhemedally8418
    @maulidhemedally8418 5 ปีที่แล้ว

    Wawooooooooo i like it

  • @masaulihassan2463
    @masaulihassan2463 5 ปีที่แล้ว +1

    najivunia kupata historia kwa simulizi baada ya ile ya shule ya kusoma.najivunia glabal tv

  • @teebeka9117
    @teebeka9117 5 ปีที่แล้ว

    Bigup saana kwa history

  • @vincentoulo1262
    @vincentoulo1262 4 ปีที่แล้ว

    Great kaka kazi mzuri

  • @queenhusna5322
    @queenhusna5322 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana unavyosimulia

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 5 ปีที่แล้ว +23

    Itabid tuandike historia yetu, sio tunasoma historia iliyoandikwa na watu sio sisi

  • @shabanbuchu2130
    @shabanbuchu2130 5 ปีที่แล้ว +41

    Ningependa kuona library yako ya vitabu.kwa akili hii nahisi husomi pumba

  • @georgeismail4735
    @georgeismail4735 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzur sana

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 ปีที่แล้ว

    simulizi nzuri sana inazidikuwa tamu kwa ajili ya sauti ya Edgar mpangaze kazi safi

  • @flame.l0655
    @flame.l0655 5 ปีที่แล้ว

    From usa love global online tv keep on