#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • #EXCLUSIVE: ISHA MASHAUZI AWALIPUA SHILOLE na ESHA BUHETI - "WOTE HAWAJUI KUPIKA"...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 75

  • @MagretiJoseph
    @MagretiJoseph 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mkurya mwenzangu uko vizir nakupenda sana hongera sana kipenz

  • @AbdalaNkubebo
    @AbdalaNkubebo 2 หลายเดือนก่อน +4

    dada Isha UPO vzr dada nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DarKopo
    @DarKopo 2 หลายเดือนก่อน

    Always love u Mashauz

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 หลายเดือนก่อน +5

    Isha ww nomaaa nakupenda sn upo vzr sn nakuaminia

  • @HusnaBakari-ek9be
    @HusnaBakari-ek9be 2 หลายเดือนก่อน +12

    Dada isha ameongea mambo mazuri sana jamani wanawake tupendane

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uko vizuri nakupenda bure

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana mwali na mzee wako mabango❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MariamMohamedi-z2u
    @MariamMohamedi-z2u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Isha nimekupenda

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉🎉Umeongea ukweli Mwali

  • @jacobmurai6447
    @jacobmurai6447 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani dar Isha amezungumza kama wanawake kumi kwa pamoja❤

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwel Isha anajua kupika sanaaaa

  • @OmanAl-s9l
    @OmanAl-s9l 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda cn da Isha Mungu akutangulie ila nimeipenda CN kauli yk ila zidi kuwasihi na ndugu zetu waache uwo utoto akuna anaye ijua kesho yk

  • @Rahmatuomar
    @Rahmatuomar 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisa ukipika uwezi kula time iyo iyo mm huwaga ivo

  • @Mosese43
    @Mosese43 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi nipo Kenya lakini huyu dada maongeo yake mazuri

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 2 หลายเดือนก่อน +1

    Esha buheti ana wivu..kama unajua kupka siutulieee😂😂😂❤

  • @InnocentLeopard-vz4cf
    @InnocentLeopard-vz4cf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wivu anao esha

  • @Nyotajada
    @Nyotajada 2 หลายเดือนก่อน +1

    Isha mdogo mbali wale wakubwa sana

    • @renildevenerand9473
      @renildevenerand9473 2 หลายเดือนก่อน

      Na mimi nimeshangaa eti wadogo zake Yani waandishi.

  • @JanethChambo-me6ku
    @JanethChambo-me6ku 2 หลายเดือนก่อน +3

    Katika watu waneongea ukwel Kati ya wote kwenye hili sekeseke bac Isha mashauzi kaongea point

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 2 หลายเดือนก่อน +12

    Wale sio wadogo zako ni dada zako ni Wakubwa sana

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 2 หลายเดือนก่อน

      Hawana ukubwa wowote wale ni madogo tu kwa Isha ....

    • @ChazadiLumbala
      @ChazadiLumbala 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @gilbaleticia
      @gilbaleticia 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nahisi Esha Buheti ndo mkubwa wao

  • @JacklineMakule-id8hn
    @JacklineMakule-id8hn 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ww Isha inaonekana kabisa w ni team shilole huna llt

  • @beatricejoseph4584
    @beatricejoseph4584 หลายเดือนก่อน

    Kura mbona zilikua wazi Dina akafuta comment zote angeacha tuhesabu upya hii tuzo ilikua ya Esha au Malkia food sio shilole

  • @Rahmatuomar
    @Rahmatuomar 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli dada hata mm nikitoka jikono kupika huwaga siwezi kula tym oyo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea vizur ndug funga ndoa

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dada Isha una akili sana na unabusara

  • @maryamChumas
    @maryamChumas 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 2 หลายเดือนก่อน

    Hehehehe...siyajui😂

  • @Rahmatuomar
    @Rahmatuomar 2 หลายเดือนก่อน +1

    17:58

  • @SmilingBoardGames-jm4sj
    @SmilingBoardGames-jm4sj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mshinde ni esha njo mpishi

  • @MariamngakondaNgakonda
    @MariamngakondaNgakonda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nasikia Isha unapika mara nyingi watu wanasema unapika Tena inakaa jikoni mwenyewe Kila mtu anakusifia Isha hata Mimi natamani nije nijifinze

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ntakuja isha unifunze

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke nikujiamini

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 2 หลายเดือนก่อน

    Kuwagaraza wote itakuwa ngumu hayo maneno tu ya kujisifia

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 2 หลายเดือนก่อน

    Uyudada anaongea ukweli daah hajapendelea hata umoja

  • @Saidnizmaendro
    @Saidnizmaendro 2 หลายเดือนก่อน +1

    Patima

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 2 หลายเดือนก่อน +1

    Macho yanasema kwa sababu kuna verbal communication and non verbal communication hivyo macho yako kwenye non verbal communication kwa hiyo uko sawa

  • @MaryamaAlly
    @MaryamaAlly 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan esha asingeongea chochote ameonekana analilia tuzo hata asingecomment kitu

  • @NyanjeYonga
    @NyanjeYonga 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yeye akubali tu akisema mwenzake amenunua tuzo je yeye mwaka jana ali nunua pia ebu aache roho mbaya

    • @LoveAron
      @LoveAron 2 หลายเดือนก่อน

      Ajabu 😂

    • @happynathan8226
      @happynathan8226 2 หลายเดือนก่อน

      We nae mwehu nini? Unajua alie pata tuzo mwaka jana ni nani? Au una comment tu. Malikia food ndo alie shinda mwaka jana siku nyingine jitahidi kuandika au ku comment kitu unacho kijua.

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli tunao pika tunajuw ila isha shilole anropokwa san kuna watuy wamefanikiw na hawasem shilole ni mshamba tuy

  • @maimunajerome-bw4sw
    @maimunajerome-bw4sw 2 หลายเดือนก่อน

    Yoote ni kua ASHA si mzaliwa wa bongo alikulia bongo!!hiyo tu ndo chuki ya shilole,atamani Esha aregeshwe aliko zaliwa.ila niwape hukweli.mombasa hatuna mpizani kwa mapishi..hakuna!!!!

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน +18

    Shishi bromley nilimbukeni katokea bara si mstaraabu hajui mahadhi ya pwani kwa hiyo saa zote kutamba mimi tajiri mimi najuwana na wakubwa mimi nauza sana majisifu mengi shishi hana mpango mjue

    • @ikentertainment3145
      @ikentertainment3145 2 หลายเดือนก่อน +2

      Unaongea kama hater 😂😂 unajua hilo? Niambie shilole kadanganya wapi yeye tajiri 😂😂

    • @FatmaSultan-dy1ql
      @FatmaSultan-dy1ql 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hovyooo

    • @israeluronu9958
      @israeluronu9958 2 หลายเดือนก่อน +3

      Endelea kuringa na pwani yako, mwenzio katoka bara lkn kabutua, ww endelea na ustaarabu wako

    • @angonzamujunangoma8775
      @angonzamujunangoma8775 2 หลายเดือนก่อน +3

      Sasa ndo umesemaje😂😂😂

    • @MaryShomah
      @MaryShomah 2 หลายเดือนก่อน +5

      Yaan vijitu vya pwani bana viko kama vimelaaniwa😂😂😂😂 yaan bara hua tunaviumiza sana vichwa

  • @SaraJinalangu
    @SaraJinalangu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae na wkt kura tulipiga live inst
    Na kura nyingi Esha alishinda
    Shishi mkorofi Alianza na snura Akaja kwa Kiba anapenda sifa

  • @Saidnizmaendro
    @Saidnizmaendro 2 หลายเดือนก่อน

    12:28

    • @PaulEbby-n4r
      @PaulEbby-n4r 2 หลายเดือนก่อน

      Umetisha 😂😂

    • @JoycePeter-h1l
      @JoycePeter-h1l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Buheti aache chuki, hadi inamtoka mishipa ya shingo,haya haya dada Esha au kuna mingine? Haha ushamba Buheti

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@JoycePeter-h1lkma eshe ana chuki ww tokea umjue shishi kashagombana na wangapi

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 หลายเดือนก่อน

    Nikiru nitakuja kukuungisha inshaallah

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน

    Huwezi jua mtu anaroho mbaya mpaka ukanaye

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 หลายเดือนก่อน +1

    Da esha tuzo sio kitu hata mtu usipotajwa muhimu mungu akupe riziki hizo tunzo sichochote

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huwezi tu kuuliza maswali mpaka usifie sana mtu?we pumbu nini?

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅ipumbu

  • @FelisterNdaka-g9r
    @FelisterNdaka-g9r 2 หลายเดือนก่อน

    Mafanikio ni maumivu ndo chanjo za ugomnvi

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani klamtuanajua kupika sema hawa nimaaruf2 lakn knawatu wanajua kupika

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 หลายเดือนก่อน

      Tena hawajui mazogo tu hawa hzo biriani zao tu sura zke umeshiba maana hazivutii

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 หลายเดือนก่อน

      SANA na wapo MITAANI tu

  • @monalisaivan4580
    @monalisaivan4580 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa haraka tu Isha uko upande wa shilole ila ukweli Esha anajua kupika na kwa chuki hana kama dada unatakiwa kuwaionya wote

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shishi inaoneka kama alikuwa na nia mbaya kwenye roho siku nyingi kwa nini mengi yanamtoka sana kumwambia unaroho mbaya ndo hutajiriki hiyo ha make sense

    • @MaryamaAlly
      @MaryamaAlly 2 หลายเดือนก่อน +1

      Na huyo alosema mwenzie asimzike yeye ndio alikua anachuki