CHANZO KIFO CHA DIRECTOR NISHER CHABAINIKA? | SIMANZI YA TAWALA KWA TASNIA YA BURUDANI.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 30

  • @Ongoing_
    @Ongoing_ 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu Kristo alituachia msaidizi sio mchungaji wala nabii ni Roho Mtakatifu

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 7 หลายเดือนก่อน +3

    Vijana wadogo wajihoji sana wengi watalala mauti na wataacha wazazi kwenye simanzi na kujiunganisha na mijianake ya kikahaba hii haitawaacha salama na wazazi wakiwaeleza huyo hafai msikilize mzazi anamaanisha na utaja kumbuka maneno yake

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 7 หลายเดือนก่อน +3

    Vijana wa sasa hivi hawasikii la wazazi wala la nani watz msiongee mengi kizazi cha ss hivi hawana adabu na wana kiburi na ndicho kinawapelekea mauti wazazi wanajitahidi kywabeba sana mwisho wa siku wanawaaibisha wazazi inauma sana Mungu awape faraja familia ya Nabii mkuu wapate nguvu

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 7 หลายเดือนก่อน

      Kivipi

    • @SpenserTk-dc6vo
      @SpenserTk-dc6vo 7 หลายเดือนก่อน

      Uyu dada mbn anaongea vitu tofaut​@@sir_ENOCKMACHA

    • @SpenserTk-dc6vo
      @SpenserTk-dc6vo 7 หลายเดือนก่อน

      Ayo yote yanatokea wap shangaz 😂😂

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh maandishi uaianze kuweka dhana kwamba mke ndii chanzo ukuwepo siri wanayi wafiwa na itabaki kwa familia msimpe lawama.mke usione watu wanatemembea au wana utajiri
    Familia zina mambo mengi mnoo utajiri si utaruzi tena pesa utajiri ndio mbaya zaid tumuachie Mungu ila usihukumu mtu😢

  • @laurenciakamata
    @laurenciakamata 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mengi yata zungumzwa but ukweli anaujua Mungu na madactal

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 7 หลายเดือนก่อน

      Ila faamu duniani kama mbinguni mengi yatasemwa ila yatasemwa ukweli n'a chakushangaza leo kisema ukweli watu wanafki wana ona ndio vibaya ukweli ni ukweli tu siku zote

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 7 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha sana

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 7 หลายเดือนก่อน

    Yani huyo mwanamke akija msibani ingekuwa sisi tunampiga makofi hata msiba ukiendelea ashukuru familia hiyo inamjua Mungu angekutana na mataita makofi msibani anayapata vzuri anapita hivi

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n 7 หลายเดือนก่อน

      Anamjua Mungu Nani hapo

  • @user-wg6bg3sm2s
    @user-wg6bg3sm2s 7 หลายเดือนก่อน

    tumuachie mungu

  • @familykabange6328
    @familykabange6328 7 หลายเดือนก่อน

    Baba yake kamtowa sacrifice

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 7 หลายเดือนก่อน +3

    Outside Christ you walking in the jungle

    • @TheNdaki
      @TheNdaki 6 หลายเดือนก่อน

      Well Said, without Doubt! We Need God as we walk on the valley of shadow…..

    • @annettemalechela7543
      @annettemalechela7543 6 หลายเดือนก่อน

      @@TheNdaki that's true

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila tu tuwqombee vijana kwa sasa maana vilevi vimekuwa ni sehemu y😊a maisha yao ulaibu wa pombe na vileo vingine vinapelekea kufanya vitendo vya kutisha sana ..Mungu akusahidie na vijana wetu wa sasa mambo yao ni mengi mnoo kulingqna na dunia inavyokwenda kwa sasa vitu vingi vimekuwa kama.ni fashion kwao😢 Mungu awatie nguvu wafiwa na kumpa pumziko la milele marehemu mengine ni masw😊ala.yq familia tupunguze vileo vinapelekea hata kujiuwa unywaji wa.pombe kwa vijana umekithiri

    • @rizikimwacha5286
      @rizikimwacha5286 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mjinga Sana Aliyekuambia Amelewa Nani Acha kuhukumu kitu ujui

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน

      @@rizikimwacha5286 mjinga ww na aliyejwambia nimesema yy mlevi ni nani nimeingelea vijana sijasema yy ni mlevi mm nimeonge I general ss nshaongea unataje ndio mlevi kwahiyo weweww babaake hupo hapo kutafsiri ya wenzio tofauti nimeongelea vija na pia sijakuongelea ww na wewe unaonekana mlevi mlaibu ndio maana umechomeka

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน

      @@rizikimwacha5286 urithi wako ni matusi si ndio pita na content yko acha kuputa na comments za wenzio una uhuru wko.pita nao

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@rizikimwacha5286alikuwa mlevi acha ukweli usemwe 😢😢

  • @user-iq1re6dj8n
    @user-iq1re6dj8n 7 หลายเดือนก่อน +1

    Freemason

  • @charlesgwambegu9188
    @charlesgwambegu9188 7 หลายเดือนก่อน +2

    Katolewa na baba yake

    • @lucianagodson437
      @lucianagodson437 7 หลายเดือนก่อน +2

      Wew una uhakika gan, emu mengine muachie Mungu mwenyew

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน

      Jamani usiseme hivyo kifo tu tumshukuru Mungu apumzike kwa amani

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 7 หลายเดือนก่อน

      Muogope Mungu

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n 7 หลายเดือนก่อน

      Sadaka nzur

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 7 หลายเดือนก่อน

      😢😢