MZEE MASATU: ACHACHAMAA NA SANDA KUKEJELIWA | JEZI ZA MPYA ZINAAMSHA MAPEPO YA YANGA | KIBU ANAOGOPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 52

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe mzeee masatu wew umenifurahisha sanaa😂😂😂❤❤🦁🦁🦁🦁

  • @messiahfeatures3994
    @messiahfeatures3994 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hizi jezi kali sana hakuna Timu hapa Tz itazifikia kwa ubora wake

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      @@messiahfeatures3994 mtu kama hujui kitu bora ,huwezi kujua vitu bora?

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 2 หลายเดือนก่อน +2

    WANA SIMBA TWENDE TUKAUJAZE UWANJA WA LUPASO TAREHE 3 ❤❤🎉🎉 SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉❤❤ UBAYA UBWELA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @samadukapita8428
    @samadukapita8428 2 หลายเดือนก่อน +1

    God nakufuatiliaga sana uko karibu na mzee masatu mbona uwa uongei simba nguvu moja

  • @selemanikazembe9134
    @selemanikazembe9134 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sijawahi kumuelewa mzee masatu,hupenda kufanya comedy sana kuliko kuchambua mpira na hata ukweli wa mada inayozungumziwa.
    Hivi sanda huvaa mtu aliehai?,je ni kweli Kibu ameondoka kwa sababu hawezi pata namba simba?.
    Mzee Masatu masuala ya kikatiba za timu hayana marufuku ya kwenda mahakamani,FIFA haijazuia hayo,yaliyozuiliwa ni masuala ya kimpira.
    Nanyi watangazaji muwe na ABC hata kidogo ya mada mnayotoa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน

      KWA HIYO MZEE MAGOMA HAJAKOSEA KUWABURUZA MATOPOLO MACHOGO FC MAHAKAMANI 😂😂😂😂😂😂😂 WARUDISHE FUNGUWO NYUMBA SIO YAO 😂😂😂😂

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moja🎉🎉🎉❤❤❤

  • @givensikali959
    @givensikali959 2 หลายเดือนก่อน

    Apo stesheni ni wapi

  • @maxmia100
    @maxmia100 2 หลายเดือนก่อน

    Masatu kila kitu kwake sawa tu Sasa mkifungwa na yanga sijui mtasemaje

  • @SibonikeIsack-wn7go
    @SibonikeIsack-wn7go 2 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza kucoment

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 หลายเดือนก่อน

    Oooooooh mzeee masatu sanda hiyo mnajitanguliza kujizikaa heri yenu mwongo yangs ndo inatafutwa kumbe wewe mzee hunazoo

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 หลายเดือนก่อน

    Ya kwanza sanda ya kujizikia humo mzee masatu unajiliwaza huna jipyaaaa weweeee

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaenda kufa Yanga

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 2 หลายเดือนก่อน

    kumbe nyie ni maiti

  • @maxmia100
    @maxmia100 2 หลายเดือนก่อน

    Mzeee masatu chizi huyooi

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

    Sanda ni sanda tu

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uzuri sanda mmeshajiandalia makolo tar.8 mjiandae tu kwenda kuzikwa.

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 2 หลายเดือนก่อน +1

      𝘛𝘶𝘬𝘪𝘴𝘩𝘢𝘶𝘢 𝘶𝘵𝘰𝘱𝘰𝘭𝘰 𝘴𝘢𝘯𝘥𝘢 𝘫𝘶𝘶 𝘺𝘦𝘵𝘶

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@@zuhurajabiri3900KAMA HUYU NGURUWE MLA MIHOGO TUKIMUUWA TUNAMTIA KWENYE KIROBA TUNA MTUMBUKIZA SHIMONI TU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdulmelele7322
    @abdulmelele7322 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kikofia kama mzee Ojwang muongo muongo xna eti hajalipa nauli leo😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน

      KWANI WEWE KONDA AU

  • @Mgema001
    @Mgema001 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee masatu huna akili....naenda kasikilize tena wasafi walikua wanazungumzia nn

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      WAMEZUNGUMZIA UTOPOLO WAMEBURUZWA MAHAKAMANI NA MZEE MAGOMA 😂😂😂😂 RUDISHENI FUNGUWO NYUMBA SIO YENU 😂😂😂

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 2 หลายเดือนก่อน

    Wafe mara ngapi .
    Masatu kakubali sanda

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      KWA HIYO WEWE UTAZIKWA UCHI 😂😂😂

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo nyie ndio mmeshakufa

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 2 หลายเดือนก่อน +1

      𝘛𝘶𝘮𝘦𝘣𝘦𝘣𝘢 𝘪𝘭𝘪 𝘬𝘶𝘸𝘢𝘻𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘶𝘵𝘰𝘱𝘰𝘭𝘰

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      NA WEWE UMEKUFA HUJIJUWI TU MACHOGOOOOOOOOO

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi hawa wanafanyaga kazi saa ngapi? Wao ni kusubiri kuhojiwa na badae utasikia nichangieni😂😂kuku

    • @nautharimakuka
      @nautharimakuka 2 หลายเดือนก่อน +4

      Hao kila mtu ana kazi yake tena za maana kuliko unavowafikilia, na hao wapo kuanzia saa 12 hadi saa 3 asubhui umkuti mtu hapo wote makazin

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      @@nautharimakuka kazi gani za maana bana unaanza saa 3? Mtu mzima na akili zako uamke asubuhi eti unaenda kijiweni kuhojiwa mpira? Hao mawazo yao yote mpira! Mtu mwenye kazi ya maana humkuti hapo,usijidanganye! 🤣🤣Bongo ,akili zao ni matamasha,sherehe na mpira! The majority hapo wanaenda kupotezea mda

    • @Mkubwa_jr
      @Mkubwa_jr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaiyo huwezi kufanya kazi na ukawa huru kufanya mmb yako mengine usipende sana kuchunguuza maisha ya watu bilashaka hawawezi kukosa kazi hawa ila wenyewe ndo wanajuwa kazi zao

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mkubwa_jr tunawajua hawa ! Mtu mwenye akili timamu mwenye shughuli zake za maana ( kama unavyodai) , huwezi kwenda asubuhi na mapema kijiweni kuhojiwa bro🤣🤣 si tunawaona wote hawa wakiomba kuchangiwa!? Wakiamka tu wanatafuta wa kuwahoji,na sasa hivi bongo mmekuwa na vitv online kama uyoga,ndo imekua kazi! Hata 'waandishi' wenyewe ,wote kozi wiki tatu! Ndo maana habari za Tanzania zimejaa upuuzi mtupu? Huwezi kuwakuta hawa jamaa say wakihoji wafanya biashara kariakoo,wamachinga,wauza mitumba ,wafanya biashara wakubwa ili wengine wafaidike,ni mipira tu! Mpira inawasaidia nini? Very few are benefiting! Najua huwezi kunielewa!

    • @LUCASSANGARUFU
      @LUCASSANGARUFU 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hao wazee walio wengi wanafanya kazi maeneo hayo ya station,kwa hiyo wanapiga porojo lakini wapo kazini