HOUSE GIRL EP 58 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @busatitv
    @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +156

    MKE KIPOFU PART 1 FILAM NZURI YENYE MAADILI TAZAMA HAPA👇👇
    th-cam.com/video/y-7tI39BPGw/w-d-xo.htmlsi=m3elFqA5YaHbiVJH

    • @modestazaver
      @modestazaver 2 หลายเดือนก่อน +4

      Unyamaa nimwingi mbaka episode ya mia tatu

    • @FetyOmary
      @FetyOmary 2 หลายเดือนก่อน +3

      Jamani hadi raha ila cendy mmemuumiza moyo

    • @dorcaswandera8829
      @dorcaswandera8829 2 หลายเดือนก่อน

      𝑨𝒕𝒂 𝒏𝒈𝒖𝒐 𝒑𝒊𝒂 𝒂𝒕𝒐𝒂😅

    • @Abomalek-o2e
      @Abomalek-o2e 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂kweli kabisa

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน

      Sawiyyaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @lalyaszubeda6527
    @lalyaszubeda6527 2 หลายเดือนก่อน +38

    Candy kiburi na dharau kime kuweka pabaya hongera sana kai na zuu mahaba 🔥🔥🔥

  • @KhadijaAbdallah-kx8oi
    @KhadijaAbdallah-kx8oi 2 หลายเดือนก่อน +49

    Cend unakoelekea utakosa vyotee nakwambia ukweli wanaoamin cand kitamlamba Tena naombeni like zenu jaman

  • @felistusbenjah7868
    @felistusbenjah7868 2 หลายเดือนก่อน +153

    Kazi zuri sana kai,wenye tunafuatilia house gal weka like tukisoga❤

  • @FailaQueen-qm4dt
    @FailaQueen-qm4dt 2 หลายเดือนก่อน +388

    Zuuh vua iyoo wigi 😂😂aikupendezi kabisaaa Kama kuna mwenye ameona Kama mimi aweke like 👍 apa 😂😂❤

    • @Aishawangu
      @Aishawangu 2 หลายเดือนก่อน +4

      😂

    • @Realme-xm3sh
      @Realme-xm3sh 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kweli kawa km bamed😂

    • @Viviankemmy-p4k
      @Viviankemmy-p4k 2 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂😂walai anakaa kibibi

    • @BintyOmar-f7c
      @BintyOmar-f7c 2 หลายเดือนก่อน +3

      Zuuh avue kiwingi kweli 😂😂

    • @SalmaMae-uv2pd
      @SalmaMae-uv2pd 2 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂😂nlkuwa natafuta hii comment

  • @yktitho6493
    @yktitho6493 2 หลายเดือนก่อน +56

    Jaman naomben na mimi like leo nime wai

  • @AaAaarehema
    @AaAaarehema 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mpumbavu mwenzangu alikuwa anasubiria mchele hahaha 😂😂😂😂😂😂

  • @BucumiGabriel-ni5qx
    @BucumiGabriel-ni5qx 2 หลายเดือนก่อน +17

    Kai juu, hadi nimeweka Bando ya mwezi kwaajili yako I agree bro,gaby from 🇧🇮

  • @ReginaAli-f3d
    @ReginaAli-f3d 2 หลายเดือนก่อน +37

    Ambao walijikuta wite kwenye surprise 😳 tujuwane 🤣🤣🤣

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 หลายเดือนก่อน +65

    Kama unauelewa wimbo wa house girls laiki apa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JohnsonYosia
    @JohnsonYosia 2 หลายเดือนก่อน +13

    Najikuta nacheka TU Kai na zuu maneno yenu Niya moto kwelikweli❤❤❤❤

  • @AshantSalum
    @AshantSalum 2 หลายเดือนก่อน +25

    Waoo Leo nimekuwa wakwanza nawakubali sana

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 หลายเดือนก่อน +47

    Kay! na Zuu! sijawahi ona like zenu ebuwekeni like zenu hapo tuzione❤❤

  • @simbasportsclub6653
    @simbasportsclub6653 2 หลายเดือนก่อน +115

    Kwani like zinafaida gan heb nipen like na Mimi

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 2 หลายเดือนก่อน +109

    Msiwe mna rohombaya like tu haya kazi irndelee wa 50 from Oman 🇴🇲

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 2 หลายเดือนก่อน +1

      Oman sehemu gani?
      Me mawaleh

    • @Mwana85Mwana85-wz1ol
      @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 หลายเดือนก่อน

      Tujuwane bas supa 🇴🇲 udg wangu

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mwana85Mwana85-wz1ol sawaaa

    • @PetroMasele-k9c
      @PetroMasele-k9c 2 หลายเดือนก่อน

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 2 หลายเดือนก่อน

      @@PetroMasele-k9c ww upo wp

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 2 หลายเดือนก่อน +142

    Mapenzi motomoto ya kai na zuu huku candy kikiendelea kumramba, wanaokubali mahaba yao gongeni likes hapa❤❤❤❤❤

    • @JoyceRichard-qo4gn
      @JoyceRichard-qo4gn 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nami naomba wamchone moyo keti maana ni mwanamke habae Ana hakili Moja Ana roho baya

    • @JoyceRichard-qo4gn
      @JoyceRichard-qo4gn 2 หลายเดือนก่อน +1

      ZUU CHUKUA MAUWA YAKO KUWA MWANAMKE MVUMIRIVU KATIKA MATATIZO❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @christinatemba-hw7ip
      @christinatemba-hw7ip 2 หลายเดือนก่อน +1

    • @LamikikiiCatherinegarama
      @LamikikiiCatherinegarama 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤ ila kipenzi chetu zuu kaharibu na hilo wigi

  • @BerthaHaule
    @BerthaHaule 2 หลายเดือนก่อน +6

    Natokea kigoma jmni hii move n kalii balaa🎉🎉🎉 niomben like

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

  • @JohnsonJosephat-nu4js
    @JohnsonJosephat-nu4js 2 หลายเดือนก่อน +86

    Wa kwanza from Kenya naombeni hata like kumi tu

    • @Sandrash254
      @Sandrash254 2 หลายเดือนก่อน

      Tuliza komweeee😂😂😂huko

    • @Grace-w4r5n
      @Grace-w4r5n 2 หลายเดือนก่อน

      Wakenya hawaombi like nwe

  • @zuleykhasaid967
    @zuleykhasaid967 2 หลายเดือนก่อน +19

    Weee kay Kay Kay nimekwita mara tatu 😂😂unatufanya sie tujione ni mayatima wa mapenzi nyiee 😂😂😂 ila nawa❤❤❤❤ wote

  • @ModestaValensi
    @ModestaValensi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Waoooooo jamoni wanao sema zuu na Kai mapenz motomoto🎉🎉🎉🎉🎉 gonga like

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 2 หลายเดือนก่อน +69

    Jamani leo 92naomba like 🇧🇮 mwenye atakuja nyuma 🎉❤🎉

  • @JoharySizya
    @JoharySizya 2 หลายเดือนก่อน +6

    Zuu punguza mapozi, wew mnzuri mapoz sasa, ila nakupenda 😘

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 2 หลายเดือนก่อน +11

    Leo naomba like 100 jamani mimi mitu wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪💪

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 2 หลายเดือนก่อน +16

    😂😂😂😂jamen mbona hamujaongelea paparaizu ya baba like zake jamen kai nakubali sana ❤❤❤ pamoja na wenzako woteeee🤜🏼🤜🏼

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 2 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani hizi raha za family ya kai ziendelee ili movie izidi kunonga ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu awasaidie tupo na nyie

  • @HalimaJafari-yv2th
    @HalimaJafari-yv2th 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wapi zuu na Kai kwamistari nawapa maua yenu❤❤❤

  • @lydiahnyongesa69
    @lydiahnyongesa69 2 หลายเดือนก่อน +63

    Leo nimewahi jamani ....naomba like kwa leo tu😂😂 kutoka kenya🇰🇪🇰🇪

    • @AmishRasla
      @AmishRasla 2 หลายเดือนก่อน +3

      Itapeleka wapi likes

  • @abelymzumbwe
    @abelymzumbwe 2 หลายเดือนก่อน +49

    Like Kwa zuu tafadhali

  • @tomaBulush
    @tomaBulush 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂naona movie ikilekea pazuri zaid masha Allah tabark Allah

  • @RachelMusa-q7o
    @RachelMusa-q7o 2 หลายเดือนก่อน +8

    Anae amini kuwa Mr kilamba ni handsome gonga like hapa

  • @MohammedyJuma-wf3jc
    @MohammedyJuma-wf3jc 2 หลายเดือนก่อน +46

    Candy sio mwanamke wa kuoa ata iwe serious kias gn 😂😂😂

    • @Miriam-kk6lr
      @Miriam-kk6lr 2 หลายเดือนก่อน

      ,😂😂 pia wewe umeona ivyo 😅

    • @MohammedyJuma-wf3jc
      @MohammedyJuma-wf3jc 2 หลายเดือนก่อน

      @@Miriam-kk6lr hamna mke pale nikama vile amekosa radhi za wazazi kwel 😂😂😂😂🤗🤗

    • @Sultanasuzie-uo3cc
      @Sultanasuzie-uo3cc 2 หลายเดือนก่อน

      Mmmh ni move tu bhanaaa 😂😂😂

    • @AishaAlmas-cm5bf
      @AishaAlmas-cm5bf 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂.
      Umeacha nimecheka kwa sauti​@@MohammedyJuma-wf3jc

    • @Grace-kt3yp
      @Grace-kt3yp 2 หลายเดือนก่อน

      Muongo WWE ukikutananaye live utampenda

  • @Maftaha-k8m
    @Maftaha-k8m 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mtu akiomba like simpi,, candy kinazidi kumramba nataman papa atokezee apoapo pakiwepo chiko

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @peterphilipo5103
    @peterphilipo5103 2 หลายเดือนก่อน +13

    Leo kama kawaida nimekuwai wa kwanza hongereni tim Busati Kwa kuendelea kutoa huduma iliyo Bora tena ya uhakika na wakati

  • @mary-lx3hr
    @mary-lx3hr 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂lakn Hawa wakina mpumbavu mwenzangu Si wanapendana sana jamani

  • @rinciakhasoah
    @rinciakhasoah 2 หลายเดือนก่อน +46

    From Kenya 🇰🇪 ndokudonjo wapi likes zangu❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Korinogalmoney1
      @Korinogalmoney1 2 หลายเดือนก่อน +2

      𝑲𝒖 𝒎𝒂𝒍𝒐 😂😂😂😂

    • @DoreenWanyonyi-x8y
      @DoreenWanyonyi-x8y 2 หลายเดือนก่อน

      Finish kumalo imefika huku😅😅❤❤pia​@@Korinogalmoney1

    • @elizabethobaigwa9521
      @elizabethobaigwa9521 2 หลายเดือนก่อน +4

      Pia Mia nipe like yako

    • @rinciakhasoah
      @rinciakhasoah 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Korinogalmoney1 bana kufinish🤣

    • @rinciakhasoah
      @rinciakhasoah 2 หลายเดือนก่อน

      @@elizabethobaigwa9521 nishakupa chibeiby 🥰🥰🥰

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 หลายเดือนก่อน +22

    Harus tunayo hatuna ila msisahau mwandaz nitakuwa kitengo ....ww uogopi
    Gonga like nying kwa muandazi.....😂😂😂

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 หลายเดือนก่อน +15

    Kwenye movie saw 2taachiana nyumba lakn maisha ya kawaida c rahis ntakuchomeamo!! Yan ujenz ulivyo mgumu hvyo nkuachie nyumba Tena kirahs hvyo weee hujanishawish!!

    • @jalxs6745
      @jalxs6745 2 หลายเดือนก่อน

      Tena ata mtoto awanaye 😂

  • @MohamedBakari-fv3us
    @MohamedBakari-fv3us 2 หลายเดือนก่อน +5

    Badili kanzu iyo kk aumna semaje jaman km unakubalian na mm gonga laik ap🎉😢😮😊❤😢

  • @MwiraqKuncelly
    @MwiraqKuncelly 2 หลายเดือนก่อน +4

    Zuu na kai kwe swal la big bom wametixha aliyeelewa naomb like zenu

  • @ZainaSaid-d9n
    @ZainaSaid-d9n 2 หลายเดือนก่อน +22

    Wakwaza jamani like zangu 🎉🎉🎉

  • @wemakorogwe6900
    @wemakorogwe6900 2 หลายเดือนก่อน +19

    Zuu na kai mnanipa raha kwakwel kwa mala ya kwanza wanaofrahia mapenzi ya kai na zuuu gonga like hapa

  • @elizabethobaigwa9521
    @elizabethobaigwa9521 2 หลายเดือนก่อน +5

    Harusi tunayo am happy niliona kai akiwa hai

  • @MwanalimaAbdallahkea
    @MwanalimaAbdallahkea 2 หลายเดือนก่อน +5

    Khai na zuu hayo mapenz yalipofikia Mash Allah mwaniumza mm niliye kuwa mbali sasa 😂😂team strong hamjaskia kafiling fulani hivi 😂😂

  • @DaisyNyabuto
    @DaisyNyabuto 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa candy Tena umejikaanga ukasahau Sania ako na picha za papa😢❤❤❤🎉🎉🎉 congrats chiko chako Kiko motoni zatiti usijali ❤❤❤❤

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 2 หลายเดือนก่อน +16

    Nitaagalia badae nimeenda 😂😂😂

  • @mwanakomboomari1145
    @mwanakomboomari1145 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nasema leo pia mimi mnione jamani ❤❤ hata km ni moja like

  • @zawadikimaro4087
    @zawadikimaro4087 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kay injoy baba MUNGU Akubariki Sana

  • @Khadija-kr9hx
    @Khadija-kr9hx 2 หลายเดือนก่อน +16

    Wa kwnzaaaà

  • @JumaRashide
    @JumaRashide หลายเดือนก่อน +1

    Yani tangiya nimezaliwa sijaona splaizz Kama hii we hii noma kabisa waokubali wagonge like

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 2 หลายเดือนก่อน +7

    Leo nimewahi 😂😂😂😂😂😂Cendy kaumbuka 😂😂😂

  • @kalonduKilyungi
    @kalonduKilyungi 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza Leo,naomba likes pia

  • @JenniferQueen-n2i
    @JenniferQueen-n2i 2 หลายเดือนก่อน +32

    Wakwanza kabisa ata ka like kamija jamani

    • @abelymzumbwe
      @abelymzumbwe 2 หลายเดือนก่อน

      @@JenniferQueen-n2i Lakini ndo kamija🤣

    • @elizabethobaigwa9521
      @elizabethobaigwa9521 2 หลายเดือนก่อน

      Pia nipe like yako

  • @everlynechirindo8126
    @everlynechirindo8126 2 หลายเดือนก่อน +7

    Habari zenu,,,habari zenu tena💃

  • @AngelMbaraka
    @AngelMbaraka 2 หลายเดือนก่อน +14

    Na nyiny mnatak kumujua mmiliki wa Nyumba kama mm twenden kwa like Tujuane 😢

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 2 หลายเดือนก่อน +1

      Isije ikawa ni Tasha😅

  • @MiltradeDavid-dg9vw
    @MiltradeDavid-dg9vw 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂nimengoja saana

  • @suleyanderherrera9510
    @suleyanderherrera9510 2 หลายเดือนก่อน +14

    Haman kendi mito unamuwakia muwakia😂nipeni like zangu kwa kendi

  • @IsmaelOkongo13
    @IsmaelOkongo13 2 หลายเดือนก่อน +13

    Wenye walikua wanajua candy kitamramba wako wapi 😂😂😂😂😂

  • @RehemaKakulu
    @RehemaKakulu 2 หลายเดือนก่อน +13

    Leo nimewai jamni naombeni at like mbili ndugu zangu 😂

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 2 หลายเดือนก่อน +12

    😂😂😂sasa candy pua kama mm kwann umetoboa pua

    • @marymele9714
      @marymele9714 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 2 หลายเดือนก่อน

      😆😆😆

  • @EsterEster-mo3hd
    @EsterEster-mo3hd 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ila Zuu na Kai anaeza fnya ujichomeke kwenye mahusiano ya siojulikana nia nn 😂

    • @s.aaa-y8w
      @s.aaa-y8w 2 หลายเดือนก่อน

      Khaaaah halafu ukosee Nina upatane na tapali la mapenzi kumbe mwenzio alikuwa mvumilivu tu mbona utakoma wewe😅😅

  • @joycegodfrey4683
    @joycegodfrey4683 2 หลายเดือนก่อน +7

    Zuu na wigi lake piga like kwa zuu ake 😂

  • @janathykamariza
    @janathykamariza 2 หลายเดือนก่อน +6

    We kaï na zu tafadhali bhana muache hayo maneno yenu ya mapenzi wenzio ma single huku tunaumia😂😂😂😂❤❤❤❤❤

    • @Roby-nw8sz
      @Roby-nw8sz 2 หลายเดือนก่อน

      Jaman pole saaan tuko wengi tunatesema usife moyo ipo siku tutakuwa kama Kai na zuuu

    • @Nadyahassan5273
      @Nadyahassan5273 2 หลายเดือนก่อน

      Hhhhhhhhh msinisahau na mm huku single mwenzenu

    • @lutfiyahsaidi6666
      @lutfiyahsaidi6666 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 bora ww upo cngle mm mwezio nipo cngle, singenge, singeli, sengerema na hata cjali 😂😂😂😂😂

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 16 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅

  • @Kimwana255
    @Kimwana255 2 หลายเดือนก่อน +217

    Mm Kila siku naomba like sipewi😢

    • @DanielMichael-op9zj
      @DanielMichael-op9zj 2 หลายเดือนก่อน +3

      Aya kimwana ❤ngoja nikupe like

    • @tomaBulush
      @tomaBulush 2 หลายเดือนก่อน +4

      Nshakupea like

    • @HusseinAlly-so1bw
      @HusseinAlly-so1bw 2 หลายเดือนก่อน +2

      Pole

    • @mercyassy5469
      @mercyassy5469 2 หลายเดือนก่อน +1

      A cha kuombaa

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf 2 หลายเดือนก่อน +2

      Unataka ujalizie nin Kwan eti 😂😂😂

  • @Tynamnyilis9824
    @Tynamnyilis9824 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nimewahi Leo naomben like zangu😂😂

  • @SarahAtyanga-jc3jr
    @SarahAtyanga-jc3jr 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huku syllabus inakimbia mbio jaman 15 minutes views 2k nawapenda sana kutoka 254 kenya

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 2 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂Ndo tuseme mnalalaga humu

  • @AgnesMwende-p9w
    @AgnesMwende-p9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kai na zuu mnatumaliza team strong 💪🏆🎁🔥 akih

  • @Zeinabmea
    @Zeinabmea 2 หลายเดือนก่อน +8

    Leo nimewahi naomba like zangu nawapenda sana wana busati🎉🎉🎉

  • @kidystan4107
    @kidystan4107 หลายเดือนก่อน +1

    Ebu angalieni mafunz na sio like kila day😮😮😮

  • @LadyKCG
    @LadyKCG 2 หลายเดือนก่อน +8

    Weee leo wa kumi pitieni mkunywe maji please 😂

  • @MatridaPaschal
    @MatridaPaschal 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bado mn feli kenye dakika tuuu move iko good sana

  • @TausiMonica
    @TausiMonica 2 หลายเดือนก่อน +8

    Good job 👍👍

  • @faithkalulu
    @faithkalulu 2 หลายเดือนก่อน +5

    waaao,wa kwaza apa,nipeni likes wadau 😂😂

  • @abdulmbape
    @abdulmbape 2 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani mmoja atueleze like znafaida gan

  • @NasraJuma-b4v
    @NasraJuma-b4v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi mzuri kwa zatiti,zuu,Kai,na cand na makalakta wot wahii muvi,,sharout kwenu❤❤❤👏🤛🤛

  • @irenestephen399
    @irenestephen399 2 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani nipo ndani ya dk 20 dk 18 jaman mnipe likes basi khaaa

  • @emmahmoraa4884
    @emmahmoraa4884 2 หลายเดือนก่อน +2

    Akuna mwenye anaongelelea kuhusu Khai na zuu kushare sweet kama umegundua ivo gonga like hapa mapenzi weuh❤❤❤❤❤

  • @Restuta-o8h
    @Restuta-o8h 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kwa mara ya pili tang nimeanza kuangalia hii series nimekuta wa mia4

  • @HelenaMbwambo
    @HelenaMbwambo 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ivi candy anabaki kuzurura tuu muda wa kwenda clinik ahaaaaa 😂😂

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 2 หลายเดือนก่อน

      Wala muda wa kutapika aahaa 😂

    • @JosephineMegora
      @JosephineMegora 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani

  • @lavenderokunani
    @lavenderokunani 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mapema kama kawa,,kendi kimekuramba

  • @TedySanga
    @TedySanga 2 หลายเดือนก่อน +64

    Kil sku like semeni mnajifunza nini😢😢😢

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 2 หลายเดือนก่อน +1

      Haswaaaa

    • @hadiaamiri-ig9xm
      @hadiaamiri-ig9xm 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tunajifunza kuwa tamaa mbaya na ukitupacho kwako kwamwengine dhahabu❤

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asa family ya kai

    • @CeciliaMatanda-z3m
      @CeciliaMatanda-z3m 2 หลายเดือนก่อน +1

      Eeee plz

    • @EverlinNamalwa-ml4oe
      @EverlinNamalwa-ml4oe 2 หลายเดือนก่อน +1

      True...

  • @PhilosLove-cb1oj
    @PhilosLove-cb1oj 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dakik mbil tuu mshajaa duuuh mnashinda online

  • @Joy-k4t8y
    @Joy-k4t8y 2 หลายเดือนก่อน +1

    watching from UEA I love this movie haki iko na mafuzo mob sana team Dudai hallow

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 2 หลายเดือนก่อน +23

    Wakwanza like zenu

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeren sana kai na zuuh mungu awajalie afya njema

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzur san kai na zuu nawapenda san

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani naona wivu kwa mapenzi ya khai na zuu hongereni sana 🎉🎉🎉❤nawapongeza nikiwa 👉👉hapa Kenya 🇰🇪

  • @NeemamussaMaitale
    @NeemamussaMaitale 2 หลายเดือนก่อน +16

    Naomba like zenu

  • @BoscoBoniface-v2b
    @BoscoBoniface-v2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zuu apendezei haswa angevaa ata sidilia alafu atoe wigi Hilo alimfai

  • @MariamMusa-jz6us
    @MariamMusa-jz6us 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamn mm nimesbria zawad kumbe pipi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SuzanDithenya
    @SuzanDithenya 2 หลายเดือนก่อน

    Baba wake na Kai umepigaje pigaje hap. Ety papalaiz baada ya suprise. Piga kelele kwa baba ake kai aaaaiih.❤❤❤❤😂😂😂😂😊

  • @NeemaMwotela
    @NeemaMwotela 2 หลายเดือนก่อน +9

    Leo nimewah kai❤

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 2 หลายเดือนก่อน +10

    Asante sana team busati munawahi kutoa tunazidi kupata burudan ganga like hapa ❤

  • @StephenOkoth-zj5it
    @StephenOkoth-zj5it 2 หลายเดือนก่อน +6

    Enyewe walio sema time will tell hawakukosea ama vipi

  • @MaikoShaby
    @MaikoShaby 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman nan alimwelew 😢😮😅😅😊😊yule aliekuw anaimb pale hospital ambae hakumwelew ani sapport bc❤❤😂😂❤❤❤🎉

  • @MwendeMunyao-zi1iy
    @MwendeMunyao-zi1iy 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nimewai naoba like❤❤❤

  • @RealMe-w5t
    @RealMe-w5t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kai amemuona iziraheli😂😂 bro usinitanie bwana ajali hiyo kwioo❤nawapenda sana

  • @simbasportsclub6653
    @simbasportsclub6653 2 หลายเดือนก่อน +28

    Wakwanza naomba like zenu

  • @HAMIAKAJIBA
    @HAMIAKAJIBA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooo movie tamu kinomanoma❤❤😂😂😂

  • @zainabuomary9085
    @zainabuomary9085 2 หลายเดือนก่อน +3

    Maneno ya zuu na Kai👌😅