HIZO HAPO HOJA KALI SANA ZA SHORT CURT TUPU MASWALI NA MAJIBU WACHUNGAJI NA WAHADHIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 173

  • @yusuphmussa554
    @yusuphmussa554 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni wasabato kwa kuandaa hii kongamano na wote mlikuwa mmejiandaa

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mchungaji kwa neno zuri sana

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah sheikh shafi

  • @iddysimba9723
    @iddysimba9723 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah

  • @princeismailsnr291
    @princeismailsnr291 3 ปีที่แล้ว +4

    Waebrania 4:9. Watu wa Mungu tukutane kwa hewa!!

  • @venancemwakibete8149
    @venancemwakibete8149 3 ปีที่แล้ว +3

    Biblia ni safi sana hongereni walimu wa biblia

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 2 ปีที่แล้ว

      Biblia ni kitabu kichafu kinachopotosha wanaokubali kupotea.

  • @khadijazule1992
    @khadijazule1992 3 ปีที่แล้ว +5

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh ndungu zangu waislam

    • @oman7710
      @oman7710 3 ปีที่แล้ว

      Walaykum salam warahmatullaah wabarakatuh

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 2 ปีที่แล้ว

      Waaleikum salaam warahmantullahi wabarakatuh

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaan Mashekh hta hawa tumii nguvu lkn wana toa Point zina eleweka aisee

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha aaa

  • @meshackkigumbi121
    @meshackkigumbi121 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe Muhamad ndio wa Kwanza kusilimu duui!!!!? Sitaki tena uwislamu. Ubarikiwe mchungaji.

  • @AbdulAbdul-vp2np
    @AbdulAbdul-vp2np 3 ปีที่แล้ว +2

    Uislamu tamu sana Alhamdulillah to be a Muslim

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Your Quran says OBEY the BIBLE,but BIBLE didn't say OBEY the Quran😊😂

  • @herson9343
    @herson9343 3 ปีที่แล้ว +2

    Raha mashallah

  • @kanaliyahaya7606
    @kanaliyahaya7606 3 ปีที่แล้ว +4

    Waaziri mungu awajalie mnafanya kazi ya Allah

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Wahadhiri ndio inavyoandikwa.

  • @khamisirashidi201
    @khamisirashidi201 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah atawalipeni kwa juhudi zenu hizi

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 ปีที่แล้ว +2

    Takbri Allahu Akbru

    • @johnschacha8681
      @johnschacha8681 3 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ndo agizokuuendea waismail

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabarakallah.great work Allah maa sheik

  • @khamisirashidi201
    @khamisirashidi201 3 ปีที่แล้ว +1

    Swadaqta

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 ปีที่แล้ว +1

    Sallallau allehi wasalama

  • @bashaakumaarpandan9021
    @bashaakumaarpandan9021 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu msomaji wa kiislamu hamidu namkubali sana namkumbuka kwenye mada ya qur an ni maneno ya nani

  • @jumamitamba6029
    @jumamitamba6029 3 ปีที่แล้ว +1

    Takbiliiiiiiiiiiii

  • @kayushapinky2052
    @kayushapinky2052 3 ปีที่แล้ว

    Wakiristo munaelewa sana maneno ya shafii lkn ni ubishi tu hapo shafii anafundisha vzr

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      We,we,we,kaa mbali na WAKRISTO,
      Tena uweke kichwani mwako hili;
      Sisi hatufananishwi na mtu wa imani yoyote Duniani maana ni wa kipekee na ni WATEULE wa MUNGU.
      Mtaongea sana juu ya Wakristo maana ndio kawaida yenu,mkikaa Wakristo,mkiinama Wakristo,mkiinuka Wakristo,hamna kazi nyingine ya kufanya hapa Duniani.
      Aaaaaah!badilikeni bwana.
      Sisi ni WATOTO wa ahadi,mjipange.
      Na MUNGU awabariki sana,tunawao mbea sana🙏🙏🙏

  • @ismailidi882
    @ismailidi882 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wasabato Hana Hoka hata kidogo

  • @jumamitamba6029
    @jumamitamba6029 3 ปีที่แล้ว

    Tabliiiiiiiiiiiiiii

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 ปีที่แล้ว

    Ngojeni 2nd round mtaona MOTO WAKIRISTU.

    • @ismailyussuf1805
      @ismailyussuf1805 3 ปีที่แล้ว

      Kwende huko.Hamna hoja za msingi.WAPI IMEANDIKWA MANABII WALIKUA WAKRISTO?Halafu mnasema YESU NDIE MWSNZILISHI.

  • @johnschacha8681
    @johnschacha8681 3 ปีที่แล้ว

    Wavumbuzi tafiti aya hii inayodai mola wa kweli apasaye kuabudiwa na wote, aliye njia iliyonyooka mukaihusishe na Yohan14.6 je wanatambua Kuran3.51.inahusu Yesu. Aliye Mungu mkuu?

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 ปีที่แล้ว

    Wape wape wakaidi hao dini ya kweli ni muislam

  • @ismailmustafa2649
    @ismailmustafa2649 2 ปีที่แล้ว

    Ajabu Hawa jama huwa wana funzwa Ku challenge wisilamu lakini wakijuwa ni kwa njia ya batili badala ya hakki kubadilisha nyoyo zawo huzidi kupoteya Allah asha sema kitambo kwa aya Jaa all haqqi.........nakumaliziya innal batwiil qaana zahuuka

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว

    Shomali ww ni kiboko

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว +1

    Uislam raha sn jmn

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Uislam ni UMASKINI wa AKILI na ROHO pia,pole sana.
      God Bless you 🙏🙏🙏

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว

    Unapata tabu kwa sababu ufahamu wako Ibrahim bila kuokoka huwezi jua andiko

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 2 ปีที่แล้ว

      Mnaokoka NN kama yesu alikufa msalabani akabeba dhambi zenu? You're nothing but confused people I the world

  • @johnschacha8681
    @johnschacha8681 3 ปีที่แล้ว

    Piga kelele uwajulishe wapakao mazizi ukweli wa njia ya kweli nakuinua dini ya kudhani, Warudi

    • @hhlkll9160
      @hhlkll9160 2 ปีที่แล้ว

      Comments za wakristo sizioni🤣🤣🤣

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo ninyi waisilamu mnajua kabisa ukristo ni dini alfu mnabisha wakati kuruani yenu inatambua ukristo ni dini

  • @kanaliyahaya7606
    @kanaliyahaya7606 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukristo nikupotea mbona hamfuati ya yesu mnafuata nani

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna AMANI bila YESU,yeye ndio kila kitu.
      Nenda Magereza ukaone idadi ya wahalifu wengi ni kina nani????
      Walozi(wachawi)asilimia kubwa ni kina nani??
      Ombaomba mitaani,asilimia kubwa ni kina nani??
      Ndio utajua Imani ya kweli ambayo MUNGU anaijua ni ipi.
      MUNGU amubariki sana🙏🙏🙏

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว +1

      Au unataka tuwe wauaji kama mtume wenu??
      Sisi hatufuati hayo maana YESU alikuwa ni KING OF PEACE🙏🙏🙏

    • @mabulasaid9003
      @mabulasaid9003 3 ปีที่แล้ว

      Kama unataka kjua ipi dini ya kweli kati ya uislam na ukristo basi angalia kwanza matendo yako unayoyafanya ww

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@mabulasaid9003 Uko sawa kabisa, na ndio maana bado nakuambia Christianity peke yake ndio Imani ya kweli(maana Ukristo siyo DINI) inahu buri AMANI na siyo KISASI na VITA.
      Uislamu ni VISASI na VITA tu.
      Mimi pia katika familia yangu wapo Waislam,kwanza hata wenyewe hawapendani,hawasaidiani,wanachukiana,wanarogana pia,kibaya zaidi hata Baba yao mzazi hawamthamini wala kumjali.
      Sisi Wakristo ndio tunaimsaidia yule mzee,haya hapo kuna DINI??
      Kama unaitegemea DINI yako kuwa itakufanya umuone MUNGU siku ya hukumu SAHAU kabisa.

  • @omaryally3715
    @omaryally3715 3 ปีที่แล้ว

    Hawana hoja,,Wala dini wasabato ,,Mbona hawatoi andiko

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 3 ปีที่แล้ว

    Maajabu y wakiristo wanamuabud kiumbe wakat yy mwnyew alikuwa akiabud n kuomb Sasa alikuw akimuomb nn Kama yy n mungu ?

  • @kanaliyahaya7606
    @kanaliyahaya7606 3 ปีที่แล้ว +2

    Msilimu tu wakristo

    • @abuuanswaaronlinetv4747
      @abuuanswaaronlinetv4747 3 ปีที่แล้ว

      nyie hamja itwa wakristo mmeitwa makafiri haaa haaa sasa msii jipangishie jina etii wakrsto jiteni 2 makafiri

    • @aidesiraj1458
      @aidesiraj1458 3 ปีที่แล้ว

      @shakel Wanjiru hhhhhh ukona ushahidi kama mtu andika ?qorani ni kitabu cha Mungu.

  • @samwelpaul4279
    @samwelpaul4279 2 ปีที่แล้ว

    shomari unajua kujipendelea hebu usikatishe katishe yani umejiwekea pale tu unapoona panakufaa hahahah unazidi kunipotosha sikuelewi japo unajaribu kuleta changamoto kidogo

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว

    Waisilamu mna vioja neno hakuna ila bwebwe tu na comedy tu

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว +1

    VITU KABLA YA KUONEKANA DUNIANI HUWA VINAKUWEPO KATIKA ULIMWENGU ROHO.

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Vitu kabla ya kuonekana duniani HUWA vinakuwepo katika ulimwengu Roho.
      Hebu nitolee andiko linalisema hivyo.
      Na huo ulimwengu Roho uko wapi? Na Nani kakuumba?.

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo picha ya kinamama WA kiislam utazani wanapandisha pepo

    • @yusuphmussa554
      @yusuphmussa554 3 ปีที่แล้ว

      wivu tu ilikuchoma.........
      Hao wapo
      Modest
      Moderate

  • @godfreymkiza7199
    @godfreymkiza7199 3 ปีที่แล้ว

    Nguo za CCM za ni nini sasa

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 3 ปีที่แล้ว

    Wakiristo muache ibish yn hamuon ao mapadri wenu wanavounganish maneno mara yesu nyia mara yesu mung hebu twambieen wp yesu kasem yy mungu n aabudiw achen kumuabud kiumbe wakat yy mwnyew alikuwa akiabud n kusjud Kama tunavofany waislam

  • @jeanberchmansngendakuriyo2814
    @jeanberchmansngendakuriyo2814 3 ปีที่แล้ว +2

    MBARIKIWE WASABATO. LAZIMA NIWE MSABATO ! NIMEAMINI WAISLAM HAWANA LOLOTE !

  • @ghastomhanga6270
    @ghastomhanga6270 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awarehemu

  • @suleimankhalfan6938
    @suleimankhalfan6938 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakiristo hamna hoja

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndungu zangu wakristo hamuna hoja yyte silimuni

    • @omargbabaomar2004
      @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว

      Mumeru kendi

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Tusilimu tuwe maskini kama nyinyi??
      Ukimkuta tajiri wa kiislam ujue ni MCHAWI,biashara hiyo hatuiwezi.
      Sisi ndiyo wenye DUNIA,maana ni watoto wa AHADI ya MUNGU uzao wa ISAKA.
      MUNGU akubariki🙏🙏🙏

    • @makenakendi9014
      @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว

      Wenzako wasilimu ww si chochote wa silolote ukikubali ukikataa dini ya uisiimu utaendelea mungu akuoneshe njia ya sawa Shukran.

    • @makenakendi9014
      @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว

      ISLAM always.

    • @omargbabaomar2004
      @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว +1

      @@editrudesmbonde9051 dunia zote hakuna inchi tajiri kama inchi za kiislamu,wakristo ndio wanatoa mapepo kanisani inamaana ni wachawi

  • @dotoflavian3684
    @dotoflavian3684 2 ปีที่แล้ว

    mtu anakwambia mm ndimi njia afu ww unatoa aya ya kwenda nyunban unatunia akili au katope

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 3 ปีที่แล้ว

    Sehemu zeny wasilam weng kunakuw na vita,uchaw, dunia yote kila kwenye vta n wasilam ,na kila aina ya roho mbaya yote ni kw sabb muhamad alimsilimisha shetan akaw ndug yao nae ndie huwalinda wanamuita mwalimu, utasimia msilam asema mie walimu wang wakali,apo kamanisha majin, ukiw na Yesu umepata vyote unaish bila hofu bila majin,,unalindw na Yesu

    • @mohamedvuaa1579
      @mohamedvuaa1579 3 ปีที่แล้ว

      Ruwanda walochinjana makanisani ni akina nan
      Walieua mayahud mamilion ujeruman ni wepi
      Waloleta vita ukolon na ubepar afrk na dunian din gan
      Je huo c uchaw je hio c roho mbaya
      Leo hd mashoga wahalalishw na kfng ndoa kanisani
      Tuambie pia hayo yanatokea nchi za waislam wengi bac

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

    UBISHI MWINGINE HAUNA HATA MAANA. ALLAH ANASEMA SABABU YA WAKRISTO KUJIITA WAKRISTO NI KWA SABABU WAPO WAMCHAO MUNGU,NA WANAVYUONI

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Allah ndio nani??

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Allah katika Qur'an inasema wakiristo wamejiita wenyewe sio kuwa Mungu kawachagulia ukiristo kuwa ni Dini.
      Maana Dini ya Mungu ni Uisilamu.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@Truth771 Kama ni Allah kasema haina nguvu,maana Almighty LORD GOD alichagua uzao wa Isaacka kuwa Watoto wa AHADI yake kwa wanadamu.
      Kwa hiyo hao watoto wa AHADI ndio sisi wafuasi wa CHRIST JESUS.
      So usiumie sana,sisi MUNGU ametu andika kwenye kitanga cha mkono wake,nyinyi mmeandikwa wapi??
      Amua sasa Kaka,kabla hujachelewa.
      Welcome to our Team JESUS na MUNGU akusaidie sana🙏🙏🙏

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 : Hayo ni yako mwenyewe ni kujidanganya na kujipa kipao mbele.
      Mwenyezi Mungu Hana ubaguzi wa kabila wala Rangi.
      Tena Allah (Mwenyezi Mungu) kaweka test kwa watu kama nyie kudai ni wa bora zaidi kwake.
      Allah anasema muombe kifo ili mwende kwake kama kweli nyie ni special kwake.
      (Qur'an 2:93-94) " Na tulipo chukua ahadi yenu na tukauinua mlima juu yenu (tukakwambieni): Kamateni kwa nguvu haya tuliyo kupeni na sikieni. Wakasema: Tumesikia na tumekataa! Na wakanyweshwa nyoyoni mwao (imani ya) ndama kwa kufuru yao. Sema: Ni uovu mno iliyo kuamrisheni imani yenu ikiwa ni wenye kuamini.
      94. Sema: Ikiwa nyumba ya Akhera iliyoko kwa Mwenyezi Mungu ni yenu tu bila ya watu wengine, basi tamanini mauti kama nyinyi mnasema kweli.
      Unafikiria kuabudu Sanamu (Likiwa la Yesu au ndama au la Aina yeyote) ni mumwabudu Mungu wa kweli na wa pekee?.
      Hizo ndio njia za kishetani kujidanganya wenyewe
      Tena hata bibilia yako inasema WAABUDUO Masanam hawaingii kwenye ufalme wa MUNGU (PEPONI).
      1 Wakorintho 6:9 ) Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? MSIDANGANYIKE; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala WAABUDU SANAMU, WALA WAZINZI, wala wafiraji, wala walawiti,
      10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
      SASA WEWE JITAZAME MWENYEWE UKO KATIKA KUNDI GANI KATIKA HAO?.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@Truth771 Hii Allah ina maanisha nini??nieleweshe tafadhali .

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 3 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu msiwe mbumbumbu sikilizeni maandiko sio kusikiliza kelele za washangiliaji,hivi wewe muislamu ukiulizwa nabii gani alifunga ramazani kama mnavyo funga ninyi utamtaja nani

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 ปีที่แล้ว

      Mohammad na ilitoka amri kutoka kwa Allah mwenyewe ebu nikuulize naww yesu alifunga siku 40 usiku na mchana mbona nynyi km mnampenda yesu hamfungi atasikumoja t badala ya 40 au ndio km anavyo sema mwenyewe yakua mnampenda kwamidomo2

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Martin Mkoba: Mwenyezi Mungu (Allah) katika Qur'an anasema Funga ilikuwepo toka mwanzo.
      (Qur'an 2:183) " Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.
      Na mwezi wa swaumu (Kufunga) ni mwezi wa TISA (Ramadhani) kwa kalenda ya Mwenyezi Mungu.
      Watu wote walikuwa wakifunga mwezi wa TISA ambao ni Ramadhani ni mwezi wa TISA wa KIISLAMU.
      Hata bibilia yako inasema hivyo.
      (Yeremiah 36:9) " Basi, ikawa katika mwaka wa tano wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, katika MWEZI WA KENDA (TISA), WATU WOTE WALIOKUWA KATIKA YERUSALEMU , NA WATU WOTE WALIOKUJA YERUSALEMU KUTOKA MIJI YOTE YA YUDA , WAKAPIGA MBIU YA KUFUNGA MBELE ZA BWANA.
      (Jeremiah 36:9) " In the fifth year of King Jehoiakim son of Josiah of Judah, in the NINTH MONTH, ALL THE PEOPLE IN JERUSALEM AND ALL THE PEOPLE WHO CAME FROM THE TOWNS OF JUDAH TO JERUSALEM PROCLAIMED A FAST BEFORE THE LORD.
      KWANZA HIYO CALENDER MNAYOFUATA SIO YA MUNGU NI YA MZUNGU.

    • @aminrendis7249
      @aminrendis7249 3 ปีที่แล้ว

      TUTA MFUTA NABII ISSA NA MUHAMADI WEWE SASA UKO WAPI NA UNAFUATA NANI KAMA SIO SHETANI

  • @johnschacha8681
    @johnschacha8681 3 ปีที่แล้ว

    Kabla kuja Mohamed imani gani ilikuwepo?
    Kunakorani ngapi, kumbewakalimani wanakalimani kitatbu chao

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

    Bwana wetu YESU CHRISTO alishatukataza kubishana juu ya jina lake,sasa nyinyi mnaojiita wainjilist hapo mnafanya nini?? hao waislam hawana jipya,ni watu wenye wivu juu ya Wakristo.
    Waacha kusoma quran yao watu wao waelewe wao wanahubiri injili.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว +1

      @Mwinyi Aziz Yes👍and big YES👍👍,that JESUS is our LORD and SAVIOR for us CHRISTIANS not you Muslims.
      God Bless you🙏🙏🙏

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @Mwinyi Aziz Mimi binafsi sina dini nina IMANI tu kwa MUNGU hakuna dini,maana MUNGU huangalia ROHO ya mtu tu.

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 3 ปีที่แล้ว

      Huko sio kubishana BALI kuelimishana!!

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@mrsdeborahurio Hivi wewe unaelewa kuelimishana au unasema tu???
      Waislamu huwa wanapenda biff za mabishano,hakuna elimu youote inayotolewa hapo.
      Kama ni msomaji wa Biblia ungejua kwa nini tumekatazwa kujihusisha na midahalo.
      GOD Bless you 🙏🙏🙏

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@mrsdeborahurio labda unaelimishwa wewe ambaye NENO hulijui.
      MUNGU akusaidie bure 🙏🙏🙏

  • @ruthvilinga7780
    @ruthvilinga7780 3 ปีที่แล้ว

    Kama Muhammad sio wa kwanza ni Nani aliye musilimisha.uisilamu ulianza na Muhammad.

    • @husseinkiruta1712
      @husseinkiruta1712 3 ปีที่แล้ว

      22:78 Quran
      Uislam ulikuwepo tokea zaman

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      Mohammed alianzisha uislam kama bifff,na ndio maana hata salaam alikopi toka kwa YESU.
      YESU alikuwa anasalimia watu kwa kusema "AMANI IWE KWENU" na yeyr ili aonekane ni mtu wa MUNGU akafuatisha kwa kusema SALAAM AL EIKUM akiwa na maana kuwa "AMANI IWE JUU YENU".
      Amani ikikaa juu ya mtu haifanyi kazi ila ikiwa ndani ya mtu ndo inafanya kazi.
      YESU hakuleta DINI,yeye alileta IMANI,maana MUNGU hana DINI,ila anaangalia IMANI ya mtu.
      Ukristo ni IMANI siyo DINI🙏🙏🙏

    • @aminrendis7249
      @aminrendis7249 3 ปีที่แล้ว

      TOKA NABII ADAM NA MENYEZIMUNGU NDIE ALIYE TEREMSHA WISLAMU SOMA

    • @aminrendis7249
      @aminrendis7249 3 ปีที่แล้ว

      SALAMUALYEKUM YESU ALITOWA SABABU NAYE ALUKUWA MUISLAMU SOMA JAMAA YANGU VIZURI VITABU

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

      @@aminrendis7249 Msianze leo kusema eti JESUS alikuwa muislam.
      Hivi nyinyi watu mna nini??hivi mnajua zamani kulikuwa hakuna DINI?MUNGU alikuwa anasema na watu direct kwa kuwa hata maasi yalikuwa ni machache?
      Na wewe unayesema huyo Mohammed wako ndiye wa kwanza, unajua alizaliwa mwaka gani na JESUS mwaka gani??

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว

    Tumfuate malehem mzinifu au yesu mwema????

    • @monalisalebasoto2538
      @monalisalebasoto2538 3 ปีที่แล้ว +1

      Yesu mwema

    • @husseinkiruta1712
      @husseinkiruta1712 3 ปีที่แล้ว

      Alizini na mama yako

    • @lamerckmsuya5513
      @lamerckmsuya5513 3 ปีที่แล้ว

      Duuuh!!jamaa katukana hapo, hawa jamaa ni watu wa matusi na vita,,dunia yote imejazwa na vita vyao

    • @sosdododo5653
      @sosdododo5653 3 ปีที่แล้ว

      @@lamerckmsuya5513 nani katakana?

  • @alexkabale8772
    @alexkabale8772 3 ปีที่แล้ว

    Hivi,hii tabia ilianzaje?yakushindanisha dini na dini?hivi,waisilam mnaona nisawa?nawakristo mnaona nisawa?Mimi namma Mimi nasema mnafanya vibaya!

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 ปีที่แล้ว

    Hivi haya mambo yameenza tena? Je tunakumbuka kipindi cha MH kikwete watu walishindwa mpaka kusalimia kisa makongamano

  • @jeanberchmansngendakuriyo2814
    @jeanberchmansngendakuriyo2814 3 ปีที่แล้ว

    HAKIKA, KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO NDIO KANISA PEKEE LA KWELI !

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 ปีที่แล้ว +1

    Eti yesu mwenyewe ndio dini 🤪 Mbona hamusemi dini yenu ni wayesu 😂😂
    Wakiristo balaa kweli. Maandiko yako wazi Lakini wabishi

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 ปีที่แล้ว

      @shakel Wanjiru +44 7432 283269 WhatsApp me tuongee please

  • @frankalphayo1294
    @frankalphayo1294 3 ปีที่แล้ว

    et imesomwa 5:82Quran Shehk anasema hapo wakristo wamejiita wenyewe duu,wakat mnadai maneno ya Quran yote ni ya Mungu

    • @maesryclassic456
      @maesryclassic456 3 ปีที่แล้ว

      Hujaielewa aya vizurii broh 😂

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว +1

      Wale wanajiita wakiristo maana ukiristo sio Dini au imani ya Mungu.
      Ukiristo ni imani ya WAROMA ndio MAANA Mwenyezi Mungu anasema mnajiita sio Mungu kawaita.

    • @suleimansheshe8490
      @suleimansheshe8490 3 ปีที่แล้ว

      W unaelim kuhus Qur'an? Ulizwa ufundishwe ndug

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

    Wawekeeni watu video nzima acheni ujanja ujanja nyie waislam

    • @alisaid4380
      @alisaid4380 3 ปีที่แล้ว +1

      Huja iyona mbona ziko nyingi

    • @alsamali6964
      @alsamali6964 3 ปีที่แล้ว +1

      Hii ni summary point tupu

    • @omargbabaomar2004
      @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio ujaja ni kuonesha point iko wapi

    • @omargbabaomar2004
      @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว +1

      Mjadala wote upo fuatilia

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 ปีที่แล้ว +1

      😃😃😃 Jamaa yangu kwani Huzioni Au kama kawaida yako Ubishi 😃😃😃

  • @godfreymkiza7199
    @godfreymkiza7199 3 ปีที่แล้ว

    W
    Ujinga tu

  • @venancemwakibete8149
    @venancemwakibete8149 3 ปีที่แล้ว +2

    Biblia ni safi sana hongereni walimu wa biblia

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Bibilia Safi au chafu. Mbona bibilia yenyewe inasema umekuwa uongo?.
      (Yeremiah 8:8) " Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.