Nakupenda kwa ajili ya Allah , yani somo lako liko swsw na huko mankini sn , mpk nilipo hapa nafurai sn , Mungu akuifadhi na akujalie Pepo kwa kazi unayo ifanya
😁 masha allah shekh kinyogoli allah akupe umri mrefu yakuipigania dini ya hakki yaani unatufundisha hadi tunatabasam wallah allah akutie nuru fil dunia wal akhera 🙏
Umesimama vizuri sheikh kwenye kufundisha upo vzri ....chakuongeza sasa pamoja na mafundisho yako unafaa ujue yesu ndiye njia ya uzima wa milele na kama hautaki huo uzima wa milele endelea kumfata Muhammad alieshindwa na kifo akabakia kuzimu
MAASHAALLAH....Wakristo wanamchezea Mungu sana, Mungu habadiliki anaposema jambo haliwezi kubadilika ikiwa alisema anaetundikwa msalabani ni mlaniwa naye Mungu basi Issa hakutundikwa kwa sababu alikua mtakatifu kwa Mungu, wakristo wacheni kusema Yesu alikufa msalabani mnakufuru.
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu Aadada Laa muntahah
Ukitaka kujuwa Mungu kiukweli haiitaji ushabiki ila kukaa kutulia na kusikiliza pande zote Coz wengine hatatungekuta baba na mama wanaabudu Buda basi na sisi tungekuwa huko
Na ndio wakristo wengi wanaamin juu ya uislam kuwa din ya haki ila wanafuata wazee wao ila siku ya mwisho mzazi wako atakukana kabisa chukua hatua kma umefaham ukweli na Allah atakusamehe
Mtu aliepotoka kuelewa hua ni ngumu sana. Sawa na kumwambia mwendawazimu kua hana akili timamu ivi atakuelewa kweli? Nini zaidi unaitaji kama ustadh anatumia bibilia kuelezea ukweli.
Torati ilikuwa mtu ajitenda dhambi anapigwa mawe yeye na familia yake Kama vile akani .aliiba nguo na vitu wakfu akapigwa mawe yeye na familia yake kwa dhambi zake. Lakini Nabii ezekieli anasema apigwe mawe (auwawe) aliyetenda dhambi tu sio familia nzima
Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada
MaashaAllah ALLAH amzidishie kinyongoli umri mrefu mwa kutoa elimu
Masha Allah,.. Bro kinyogoli unatisha mungu akuzidhishie uutetee uislam mpka kifo chako,.. Inshallah mungu akulipe ujira WA kazi yako,.. From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda kwa ajili ya Allah , yani somo lako liko swsw na huko mankini sn , mpk nilipo hapa nafurai sn , Mungu akuifadhi na akujalie Pepo kwa kazi unayo ifanya
😁 masha allah shekh kinyogoli allah akupe umri mrefu yakuipigania dini ya hakki yaani unatufundisha hadi tunatabasam wallah allah akutie nuru fil dunia wal akhera 🙏
Mwalimu Saidi Kinyogoli.Tunakukubali sana.ALLAH S.W.Akulipe JANNAH WWE NA TEAM YAKO.(ISMAIL Y.ABDI BILE.HARGEISA,SOMALLAND).
Ustadh Kinyogoli wewe ndo unatisha kuliko CORONA vitu ulivyoshusha hapo vinatisha Mashallah nakukubali asilimia 1000000000000000
Habari yako
th-cam.com/video/f1ECnaRImIs/w-d-xo.html
❤❤❤❤
Walahi.. mpaka mchungaji kafurahi..vipi yesu alivyokuwa analalamika... ahsante sheikh
Sheikh Said nakupenda kwa jina la Allah. Allah akupe umri mrefu wa Daawa. Wenye afya, wenye daraja, na Allah akupe urahisi katika rizk yako.
qaag
Amiin yarabil alamin 🤲
Umetisha mwamba WA miambani
Umesimama vizuri sheikh kwenye kufundisha upo vzri ....chakuongeza sasa pamoja na mafundisho yako unafaa ujue yesu ndiye njia ya uzima wa milele na kama hautaki huo uzima wa milele endelea kumfata Muhammad alieshindwa na kifo akabakia kuzimu
Tuwa wapenda kwaajili ya Allha ❤❤❤ mashehe wetu Uislamu ndio din ya haki hakika inajulikana
Mashaallah sheikh Jumaa uko juu kielimu mola akujalie uwe kioo cha waisilum
MAASHAALLAH....Wakristo wanamchezea Mungu sana, Mungu habadiliki anaposema jambo haliwezi kubadilika ikiwa alisema anaetundikwa msalabani ni mlaniwa naye Mungu basi Issa hakutundikwa kwa sababu alikua mtakatifu kwa Mungu, wakristo wacheni kusema Yesu alikufa msalabani mnakufuru.
Allah awalinde masheikh wetu wote na waumin wote
Alla atulinde waislam wote insha Allah na katika vifo vyetu tutangulize shahada insha Allah
Nampenda ustadh kinyogori kwa ajili ya Mungu subhanna Allah ....Allah awalinde wa Hadhiri wetu awape jannah yahali ya juuuu tuwe ooote wa Islam peponi
Mashaalah nafrahi sana kuzaliwa muislam chamsingi nikufanya kheri ili tukaingie peponi saidi allah akupe umri mrefu
Uko very sheikh mungu akuzidishe inshallah
Mashaallah Allah akupe umri mlefu sheikh wangu said kinyogoli na a2pe mwisho mwema inshallah
Ma shaa Allah
Ma shaa Allah
Ma shaa Allah
Shekh saidi kinyogoli Allah awahifadhi nyote Ma Shekh wetu hongera sana usthadh saidi kinyogoli
Said yopo vizuri Sana huyu shekhe
Allah akuhifadhini mashehe wetu na Allah akulipeni kheri Nakupendeni kwa ajili ya Allah
Mwalim wa walim ndugu yangu Said, Allaah Akuhifadhi na Akujaalie ikhlas ktk kufikisha da'wa kwa hawa watu waliopotea
Mashaallah mungu awahifadhi mashekhe wanayo iyendeleza dini ya Allah
Nakupenda shekhwangu allah akuzidishie umri mrefu ...wenye manufaaa
Mashaallah Allah atakulipen kher mashekh wetu amiin 🙏🙏❤📿🕋🕌
Jamani kinyogoli na mupenda sana kw maneno mazuri haya
Mashallah I like the way kinyogoli talks may Allah grant him a jannah
Kinyogoli hatariiii aludushwe hahahaha 😂 😂😂😂 kweli uislamu Raha sana
Ustadh Kinyogoli ni balaa Sana dah nilifurahi alivyokuja Mskitini kwetu na kutoa Daawa,,
Allah awahifadhi ma shekh wetu wote
Nawapenda wahadhiri wetu wa kiislamu sana, ila said kinyogoli nakupenda zaidiii wallahi
Allah Akubarik Kinyogoli Shekh wangu
Kinyogori Allah akutilie wepesi katika maisha yako hapa duniani na kesho Akhera kwa kazi unaiyoifanya
Jazaka Allah khaira shekh said kinyogoliiiiiiii
Kinyigoli mungu akupe umri mrefu ili tuneemeke na matunda ya elimu yako
IshaAlha ustaz
Na wasipo elewa awataelewa tena
Maana kuna ufaasaa wa uubiri
Shekhe nimekupenda kwaajili ya Allah
Masha"Allah sheikh kinyogoli
Naaaam , Màaalim na Mwenyezi Mungu akuongoze vyema katika shughuri zako za kila siku Insha Allah. Ahsante KWA somo thabiti.
Mashaaalah shekh said umefumbua macho walio wengi nakupenda kwa ajili ya Allah 👍
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu Aadada Laa muntahah
Sheikh said kinyogoli nakukubali sana yaani raha sana wakristo wameelewa ila hawawezi kukubali. Allah akupe maisha marefu.
Aamiin
Amin
Masha Allaah shehe wetu Allah akupe maisha marefu Insha Allah
Ujumbe umefika mwenye masikio amesikia na mwenyemacho ameona. Kinyogoli wewe ni zaidi ya mwalimu
Allahu akbar Allahu akbar
Kinyogori hongera sana
Hangera usthadh saidi kinyogoli Hangera ni zako nduguyangu Allah akuepushe na hasad
Aamiin
Shekhe said kinyogoli mm nakupenda jamani
Masha Allah shekh wetu uko vizuri Allah akuhifadhi na akupe nguvu zaidi
Maashallah shekh upo vizuli
@@annahrichard8090 Anna karibu katika uislamu..au tayari?
@@annahrichard8090 Anna karibu katika uislamu..au tayari?
Mashaalla waslam takbir
MASHAALLAH
Manshaalaa ninawakubali masheh wape hao!!!!
Nawapenda kwajili ya Allah 💓💕💕💓
I proud to be Muslim 😂😂😂
Maa Shaa Allah
Nitakaa katika njia yako ili nyooka msalaba njia ilionyooka ya mungu ni ipi
Kongole sana mwalimu wa kisilam kwa kuwafundisha wakiristo kusikia wamasikia kufata juyao
السلام عليكم ورحمه الله وبركاته ..اعانكم الله على هذه الدعوة السلفية
Ukitaka kujuwa Mungu kiukweli haiitaji ushabiki ila kukaa kutulia na kusikiliza pande zote
Coz wengine hatatungekuta baba na mama wanaabudu Buda basi na sisi tungekuwa huko
Na ndio wakristo wengi wanaamin juu ya uislam kuwa din ya haki ila wanafuata wazee wao ila siku ya mwisho mzazi wako atakukana kabisa chukua hatua kma umefaham ukweli na Allah atakusamehe
Allah anasamehee kk
Kinyogori Allaah akupe umrimref naulizi juu
Mashaallah
Masha Allah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Yaarabi tulindie masheik wetu wazdi kutupea elim inshallah.
Amiin yarabil alamin 🤲
MashaAllah
Waislamu mpo mwilini sana
Na wakristo wapo wapi
ALLAH AKBAR
Sheikh shafiy nimependa ulivyomtunza kinyogoli 💓💘💕💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kifo cha yesu sio mchezo, hakuna andiko Yesu hakusulubiwa, kama ipo tupewe.
Ujumbe mashallah ila huyo mwenye kashika camera 🎥 anahangaika nini
Yani aibu kwakweli ndani yakanisalenu takbiiiiiiiiiiir allahu akbar
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar
Uislamu rahakweli
Kama hujasilimu kwa hoja za huyu jamaaa wee basi tena
Mwalimu kinyogoli nakubali kaziyakooo
Islam Dini yangu,
Mashaalah
Clearly understood
Allah Akbar
Mashalla
Mnanikumbusha mbali sana wahadhiri wangu
Wamuogope kama corona Sheikh said bwana uko sawa yani wawaogope maana hawa ni WA rongo sana muwe makini
Yaani kua muislam raha mpaka basi. Najihic nishaingia peponi aki.
Ziwezi nikaelewa nani sahihi kwa kuwa Tv hii inaonesha upande mmoja tu...hainashawishi Kabisa its0%..kama tv ya mazinge na tujuwe.
Mtu aliepotoka kuelewa hua ni ngumu sana. Sawa na kumwambia mwendawazimu kua hana akili timamu ivi atakuelewa kweli? Nini zaidi unaitaji kama ustadh anatumia bibilia kuelezea ukweli.
@@ramak.9587 100 %
Kinyogoli we ni nouma,nimekuelewa vibaya mno
Kinyogori
Asalamualaiku
Hii kali Sana
Hahahaha 😂🤣🤣🤣 wamuogope kama Corona kinyogoli hatariiii kama masihara kumbe ndio unawambia hivyo
Rahasana kuwa muislamu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 shukran jazakallahu kher
Torati ilikuwa mtu ajitenda dhambi anapigwa mawe yeye na familia yake Kama vile akani .aliiba nguo na vitu wakfu akapigwa mawe yeye na familia yake kwa dhambi zake. Lakini Nabii ezekieli anasema apigwe mawe (auwawe) aliyetenda dhambi tu sio familia nzima
Lahaula wala kuwata illa billahi
Muna post hoja za kisilamu tu ila za wa Kristo Sioni 😊😅
Yeah
Kuna utafaut Sana hao wadhili WA kikristo kilaa baada ya swali Wana fanya buzzing jinsi gan hawajui wanacho kifanya
Sheikh wangu yesu kachomekewa hahahah kweli kabisa hakutaka kuwekwa pale 🤣
Maswali magumu jibu jepesiiii rahiiiiisiii
Kuna dhambi roho na dhambi vitendo. Dhambi roho Yesu kashughulikia msalabani .Ila dhambi vitendo ndio utubu na uache
Kwani yesu mwenyewe asemaje!!!!
Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kinyogoli nouma sna ana akili kubwa sna
Duuuh hataree xana point tupu shekhe
Ujue Sijui Wakristo Wana kwama wp!?
Hawa viumbe wana masikio hawasikii na wana macho hawaoni
Ule msemo unaosema uchungu wa mama aujuwae mzazi kumbe ni adhabu kwa waliofanya adamu na hawa
yanisaidi wenishidaa wanakuugua nimekupenda bule
Mashaaalah shekh mungu azid kukupa mguvu na uzidi kutoa dawa
Maskini "WAKIRISITU" kila MDAHALO wanashindagwa.Hawakati TAMAA,mkono unafika KINYANI barabbara.