Subhanallah wanajua kila kitu yeye mwenyewe anakubali ukristo unatoka uroma,muhim kua ukristo ni dini ya Paulo ndio aliouleta sio yesu mkristo mwenyewe anongea hapo na bado anaufwata hawa watu ni vipofu
wakristo msiba mtupu,wanamkataa ngamia bure,ila najua ni aibu tu,maana bibilia imetaja ngamia,yohana kavaa singa ya ngamia,ayubu kafuga ngamia,lakini tu basi..but sawa bora maandiko yanamkubali ngamia ata wakikataa,shau
Nyinyi hamujui kusoma sijui ama kitu gani kinachowasumbua,angalia vipi munafundishwa mafundisho vizuri tena munafundishwa kama watoto wadogo neno moja baada ya moja ili muelewe lakini nyinyi hamutaki ukweli kabisa munapinga waziwazi maandiko mumepotea kabisa hamuna hoja mbele waislamu
@@sosdododo5653 ...!...Hao wakristo ni zaidi ya VIPOFU na VIZIWI...macho wanayo Lkn hawaoni ‘ masikio wanayo Lkn hawasikii...!..hata INJILI iliwasema hao...!...tuwaombee ili waione njia ya kheri’ ...!
Imagine wewe waamini Mungu ni mmoja alafu wasema ako na mwanaa alafu wewe wasema uyo mwana ndio mungu hii ni sawa na kusema fundi alitengeza stuli alafu hio stuli ndio fundi haya sema ww nani kipofu
Imani Petro tutakukubuka kwa kheri zako pumzika salama na pepo iwe makazi yako Amin 😭😭
Amiin Amiin
Amin
Ameen
Inalilahi wainailahrajiuni
Aamiin Aamiin Aamiin Aamiin
Allah akuhifadhi Imani petro
Mungu akulipe Kila lakheri na mungu atujalie tuwe sote peponi pamoja na mtume Muhammad (swap)
Allah mlaze mahala pema Peponi kwa rehema zako. Aamin
We miss you so much Ustadh Petro.
Mola Mulezi akupe rehma na jannatul firdaws. Amin
Iman petro utakubukwa milele mungu akujalie pepo
Imani petro tunamuomba Allah akulipe pepo ya juu sana.
Allah akuepushe na adhabu za kaburi sheikh wetu imani petro
Inshallah kaburi lako liwe miongoni mwa viwanja vya peponi Aaaamin
MAY ALLAH AZZA WAJJAL GRANT OUR BROTHER SHEIKH IMAN PETRO IN THE HIGHEST RANK IN JANNAHT FIRDAUS ALLAHUMMA AMEEN.
Amiin thumma amiin
Amin
Napenda sana IZI debate WALLAH TUNAPATA FAIDA KUBWA MNO KUH MANDIKO.
Imani petro moto wakuotea mbali. Allah amueke pema peponi na atutolee salamu kwa nabii muhammad (rehma na amani ziwe juu yake)
yani sanaa
Allah akujalie uwezekuingi peponi bila ya hesabu inshaallah shekh Imani petro
Allah Akusamehe Simba
Mwenyezimungu amuweke Mahali pema pepon walifanya Kaz kubwa sana 💯🙏🙏
Amiin
iman petro dah, allahummah ghfirlahuu warhamhu fil jannah
Allah awajaze Kher masheikh wetu
Imani.petro rahimahullah❤❤❤❤❤❤
MashaAllah mungu awajaalie pepo firdaus... Twaomba videos kama hizi za zamani
MAY ALLAH AZZA WAJJAL GARANT OUR BROTHER SHEIKH IMANI PETRO IN THE HIGHEST RANK IN JANNAHT FIRDAUS
ALLAHUMMA AMEEN.
Mwenyezi mungu amjalie pepo inshallah
Allah akuhifathi na hathabu ya kaburi
اللهم اغفر له ورحمه واسكنه فى الجنة يارب العالمين انك سميع الدعاء
Maa shaa Allah, Allah akuzidishie tuletee video za kitambo
As well they should post more videos of sheikh Imani Petro
Allah akurehemu, Ameen
Mungu akupe ufahamu leo na kesho,akuweke mahali pema pepeni.
Jamani mungu amlipe inshaala napepo iwe makazi yake
ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUHU IN SHA ALLAH IKIWEZEKANA TUTUMIENI PART 2 YA HII.
WA SHUKRAN 👏
Allah akurehemu
Mashaa allah jazakallah kheri Allah akurehemu
Alikua mwalimu mkuu Masha"Allah
ALHAMDULILAH KWELI ISLAMIC FORERVER
Naiandaa tena
Tunaombaaa muendelezooo
Maashallah Kaka @Saimu_Gwao tupe muendelezo.
Tatizo hazimalizi hadi mwisho ungeni na vipande vyapili yaani part 1 na 2 au 3 ili rupate faida ya mahabdhara mzima
Shujaa watu jamani mkamuwekeyasumu ilimumaliza kwelimakafur Hamuna ubinadamu❤❤
Mashallah jazakallah kheir
Ewe allah mlaze pema peponi nawaiclamu wote duniani
Aamiin
Amiin
Allah akbar
Mashallah
We still remember you,Allah will keep you in jannatul firdaus inshaallah
Amin
Amin
Amiin
Aaaamiiiiiiin
Amin
Allahumma ghfirlahuu warhamhu
Uyu imani perto ata mazinge amgusi jamaa anatisha
Uhakika
Inshaalah mtawawekea muendelezo
Tunaomba muendelezooo
Muendelezooo
Sanaaa Tu👊👊👊 vitu!!!
chema hakidumu,waislam hapa tumeondokewa c mchezo
Nikweli kabisaaa ndugu yangu
huy jamaa alikuwa mashine sannah
Ameen
Iman petro kiboko. Mungu amemchukua lakini angesilimisha wengi sana
Mungu anajuwa zaidi kuliko wewe. Tumuombee amjaalie Firdausi mwenzetu
@@samxx411 Amin
Iman Petro kiboko ya pengo
Subhanallah wanajua kila kitu yeye mwenyewe anakubali ukristo unatoka uroma,muhim kua ukristo ni dini ya Paulo ndio aliouleta sio yesu mkristo mwenyewe anongea hapo na bado anaufwata hawa watu ni vipofu
Muendelezo upo wapi
AllahAkbar
wakristo msiba mtupu,wanamkataa ngamia bure,ila najua ni aibu tu,maana bibilia imetaja ngamia,yohana kavaa singa ya ngamia,ayubu kafuga ngamia,lakini tu basi..but sawa bora maandiko yanamkubali ngamia ata wakikataa,shau
Saim gwai
R.i.p
Iman Petro hajui Biblia kbs,Anasema mambo ya walawi sio kitabu Cha Musa
Hujaelewa wewe tu, ila Iman Petro yupo sahihi, Musa alipewa Taurat, hakupewa kitabu kinachoitwa Walawi.
Mbona ni fupi weken muendelezo
Weka video yote
Ukiwa muislam kuna vitu vinaingia Kichwani Upofu mkubwa
Nyinyi hamujui kusoma sijui ama kitu gani kinachowasumbua,angalia vipi munafundishwa mafundisho vizuri tena munafundishwa kama watoto wadogo neno moja baada ya moja ili muelewe lakini nyinyi hamutaki ukweli kabisa munapinga waziwazi maandiko mumepotea kabisa hamuna hoja mbele waislamu
Allah amlipe pepo
@@sosdododo5653 ...!...Hao wakristo ni zaidi ya VIPOFU na VIZIWI...macho wanayo Lkn hawaoni ‘ masikio wanayo Lkn hawasikii...!..hata INJILI iliwasema hao...!...tuwaombee ili waione njia ya kheri’ ...!
Imagine wewe waamini Mungu ni mmoja alafu wasema ako na mwanaa alafu wewe wasema uyo mwana ndio mungu hii ni sawa na kusema fundi alitengeza stuli alafu hio stuli ndio fundi haya sema ww nani kipofu
wakristo ni makafiri