DK 25 ZA USTADH SHAFI MBELE YA WAINJILISTI MADA: JINSI KITABU CHA BIBLIA ILIVYOHARIBIWA, PART ONE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @jameswambugu517
    @jameswambugu517 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah awajalie na awazindishie imani pia naawalipe na wema nduniani na ahela inshallah

  • @kingsuleiman7201
    @kingsuleiman7201 3 ปีที่แล้ว +7

    Shaffi namashekhe wengine msichoke endeleeni kuelimisha lakini watu wagumu kuelewa wapingaji wa mungu wa kweli walipingaga tangu kale mungu awa ongowe wakiristo Kama Mimi nilivyo kuwa nawashukuru Sana waalimu wa kiislamu🙏

  • @mahmudmaganga9407
    @mahmudmaganga9407 ปีที่แล้ว

    MAASHALLAH
    ALLAH AKUZIDISHIE ILMU

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 3 ปีที่แล้ว +5

    Msomaji yupo vizuri Maashaallah hapotezi muda

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe shkh shafii
    Maulana
    Mazinge
    Yahya
    Na wote
    Amin

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 3 ปีที่แล้ว +3

    Duh hatari.
    Mkono kwa mkono hadi peponi.
    Hakuna njia nyingine....
    TumuombeMw. mungu atujaalie tusife isipokuwa ni waislamu.

  • @gashenoor1953
    @gashenoor1953 3 ปีที่แล้ว +6

    My favorite sheikh, masha Allah

    • @juniorjuma2562
      @juniorjuma2562 3 ปีที่แล้ว

      Hatali Sana Yan umefanya vizuli

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brother shomali

  • @mirajihamidu4370
    @mirajihamidu4370 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalipe kila la heri

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallhaaa shekhe walufiji

  • @mickdaduhuru9191
    @mickdaduhuru9191 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah MashaAllah

  • @seifmziray2551
    @seifmziray2551 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashalakh aalahakbar

  • @alimira8050
    @alimira8050 3 ปีที่แล้ว +2

    Ust, awe anatumia neno Allah itakuwa ni vyema kuliko kutumia Mungu

  • @francaassumane7200
    @francaassumane7200 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @mkatudynasty7459
    @mkatudynasty7459 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Shekh ALLAH amuhifadhi

  • @chiefvillage7530
    @chiefvillage7530 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah Hafiz

  • @mabaazizitigermnyama5254
    @mabaazizitigermnyama5254 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah......!!!!!

  • @abasiramadhani6457
    @abasiramadhani6457 3 ปีที่แล้ว +1

    Wafundishe shekh

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabaraka Allah

  • @frederickamayo2885
    @frederickamayo2885 3 ปีที่แล้ว +2

    Takbirr

  • @tecqween9509
    @tecqween9509 3 ปีที่แล้ว +5

    Naomba kuuliza huu mdahalo ulikua lini?

  • @Anasa-m2q
    @Anasa-m2q ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤😂😂😂😂Shafiii

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +1

    jameni jameni,ivi nabii Lut (a.s) atie mimba wanawe? subhanaAllah,Mola awafungue macho wakristo waione haki na kuufata Uislam

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwakweli Quraan ni kitabu cha haki na hakijabadilishwa na Allah alisema atakilinda hakito badilishwa na kweli makafiri hawakuweza kukibadilisha
    Washajaribu mara nyingi kukibadilisha lkn hawakuweza wala hawatoweza kabisa kwasababu quraan ni kitabu cha mwisho na Muhammad ni wamwisho haji mtume mwengine ndio maana quraan iko safi tumeamrishwa ifuatwe hio mpk mwisho wa dunia.

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 3 ปีที่แล้ว

      Unaelezwa kitu ya wazi unaleta matusi ina maana huelewi ama ufahamu

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 ปีที่แล้ว +3

    Shafi wamuache tu😂

  • @chingomkonde9651
    @chingomkonde9651 3 ปีที่แล้ว +3

    tatizo makafir hawajuwi wakija wao lazima watoke nje ya mada

  • @baddykambona3144
    @baddykambona3144 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakika kitabu kisichokuwa na shaka ni (QN)

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +1

      Naam quraan haikubadilishwa iko vilevile

  • @FaraKeys-sz6mb
    @FaraKeys-sz6mb ปีที่แล้ว

    Hahahahahah ahha hahahaha…. Alo wanzungu wame waalibu watu yan paka hapo watu wata bisha pia

  • @selemaniyabbi5942
    @selemaniyabbi5942 3 ปีที่แล้ว

    ....

  • @KH-on8pp
    @KH-on8pp 3 ปีที่แล้ว

    Enyi Maahmadiya mnaishi chini ya uangalizi Wa makafiri Wingereza ndio makao makuu yenu, na wapi Quran imesema yatateremshwa baada Mtume Muhammad SAW
    Nani Kampa amri Mtume Mjazi Mirza Ghulam-Ahmed kuandika, vitabu ?Acheni kuzidi kupotea

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว

    Kila kitabu kwa Iman za watu huwa na mapungufu quruan yenyewe inamwonyesha mtume lazima atie mguu wake kwenye Moto wa jehanamu na bado wakati wakusali Kuna Kuna kupulizwa matakoni jingine inaonyesha maka ilikuwa sehemu ya makoreshi ambapo mtume amepigana akachukua kwa nguvu na hilio jiwe liliko maka jiwe nyeus ilikuwa ni ibada ya makoreshi .

    • @F.j84
      @F.j84 3 ปีที่แล้ว +6

      Mukielezewa ukweli munaleta matusi kawaida ya makafiri km hao makureshi walikua km wewe sema wewe mweusi tu lkn tabia moja.

    • @abdulrazakhassanor498
      @abdulrazakhassanor498 3 ปีที่แล้ว

      dalili??????

    • @swadakatiponda895
      @swadakatiponda895 3 ปีที่แล้ว

      Mlishatabiliwa, hivyo hatuna shaka kabisa, kuleni bata duniani ila mjue mtaenda kula mbwa akhera

    • @lacroquetalacroqueta6813
      @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว +1

      Inna lillahi waina ilahi rajiun,,,,hivi ndivyo mapasta na makoronya yenu walivyokudaganyeni 🤮🤮🤮🤮🤮🤮

    • @MesaidaMatano
      @MesaidaMatano 9 หลายเดือนก่อน

      Jiwe lilishuka kwa upendo n kumfata mamayetu Hawa♥️ pindi ALLAH alipomshukisha kutoka peponi kuja duniani ..n kama kuna kitu huelewi heri uulize bila kukurupuka ila quran haina mapungufu yyte mana n maneno ambayo yanaeleza kila kitu ambacho hakikua n kilichopo n kitakachokuwepo kweli kitakua n shaka gani vile ?

  • @majaliwaalbert971
    @majaliwaalbert971 3 ปีที่แล้ว +2

    Makafiri nyie wenyewe tuacheni na biblia zetu wakristu Kila mtu na dini yake kibaya uongo mwingi acheni kupotosha watu na Nina maswali yangu ambayo nikiwauliza hamna majibu ufunuo wa yohana unawaumbua

    • @masala8099
      @masala8099 3 ปีที่แล้ว

      wew

    • @masala8099
      @masala8099 3 ปีที่แล้ว

      ww motoni

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +3

      uliza ayo maswali wacha jazba,ukweli unauma

    • @cityhunter6858
      @cityhunter6858 3 ปีที่แล้ว

      Ukiwa umepigwa chapa ya motoni ni ngumu saanaaa kujinasua,,,kuwa macho ndugu yangu achana na starehe za wakristo

    • @pnrserviceslimited3089
      @pnrserviceslimited3089 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe huna hata moja kichwan Mungu na kitabu hauna sasa wewe tukuiteje kafir jina hili lina kufaa sana ndugu yangu ukiwa na swali uliza hapa hakuna hasira ni elimu tu huna kitabu wala Mungu hauna