Hili ni soko marungu. Kuanzia saa 11 jiini samaki wabichi migebuka kama wote. Ni soko Moja Lina vibe ya mishemishe za biashara sijawahi kuona na asilimia 99 ni wakina mama.
Sio kama hapo Mimi nimefika nitoifauti sana. Hapo Kigoma Kila bidhaa unaipata. Samaki wabichi, wakavu, dagaa, nyama ya kuku, mbuzi, , mboga za majani, unga, Mchele, nguo, viatu, mihogo, viazi, ndizi, simu, mama ntilie, pombe, togwa, kubadilisha fedha, wakaanga samaki nk. Na wanauza hadi saa 6 usiku.
Si kama marungu hapo soko la ucku
Home ❤❤😢
Hili ni soko marungu. Kuanzia saa 11 jiini samaki wabichi migebuka kama wote. Ni soko Moja Lina vibe ya mishemishe za biashara sijawahi kuona na asilimia 99 ni wakina mama.
soko la baba levo hilo
samaki mbona sizioni
Hom🎉
Songea ipo bhn siyo huko tu