KIGOMA TO AMERICA: NILIINGIZA MILIONI 3 KWA SIKU, KAZI HATARISHI NILISIKIA WANAKULA WATU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Katika matembezi ya Dr. Lucas Masungwa leo yanakujia kutoka Dallas Texas Nchini Marekani, ambapo Ndugu Manu Baross mwenye asili ya Congo aliyewahi kuishi Tanzania anashare mastory yake yenye mafunzo ikiwemo kazi za hatari ambazo amewahi kufanya akiwa nchini Marekani.
Hongera sana kaka lucas
Ahsante kwa mahojiano mazuri
Umetisha
Woow great 🎉🎉
Good job
Mr Baros ana stori sana
Baros anapenda ugali naona hahaha 🎉🎉🎉 safi sana
Story nzuri sana
safi
Kwakweli Mimi sitamani kabisa kuishi nje ya Tanzania napenda sana tz
Marekani inategemea umejifunz Kwa Nani coz ni nchi kubwa Sana Nusu ya Africa ko fursa na maish Kila Jimbo ni Tofauti Sana
😂
Haaà miaka 20 uyo ni mbongo dadeki
Marekani kama una akili utafanya vitu vikubwa nyumbani.
HAKUNA CHA MAANA HUKOO, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KUHANGAIKA TUUU KUANZIA ASUBUHI MPAKA JIONI. HUNA HATA MUDA WA KIPUMZIKA. KILA MDA NI KAZI, KAZI.
Kupumzika duniani si rahisi, mwili utapumzika lakini akili inawaza
Kwakweli hapo malipo sio marekani
Da.kaka naweza pata contant ya huyu bwana nione kama anaweza kunihost mimi na familia yangu maana niko kwenye process ya kuja huko mwezi wa nne mwakani.
Pako kama tz tu
Nyie ni mafara murani nchi yenu Muna enda kuosha mabibi kize kama umefika kaa usihamasishe vija wetu Wana kuja kuteseka
We huna akili bali unatamani na wewe uje ukawoshe ma bibi kizee upate pesa
ZANANI TULIZANI AMERICA UNAOKOTA HELA, KUMBE SHIDA TUPUU. NA SIYO AMERIKA TUU. HATA NCHI ZA ULAYA. SAA NYINGINE UTAKUTA WATU WANAVYOUSHI MPAKA UNAJIULIZA HIVI KWA NINI WAKO HAPA?
Kwani we shida yako ni nn, siufanye yako, kila mtu ana haki yakuishi popote na kuchagua, Africa ni shida tupu, kazi kuuza mali asiri za nchi na kutekana,, kama mambwa