PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @user-fs3me5sm2f
    @user-fs3me5sm2f 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana mchungaji kwa kuweka wengi huru kimadiko, tena umesema tumebariwa na ndio maana tunatoa, tena umesema tumepewa nguvu za kukemea yule devourer ,

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ujumbe huu unawafaa wote lakini zaidi maprophet na wachungaji. Watakupinga kwa sababu umeusema ukweli wote unaowaweka waumini huru tena huru kweli. Ubarikiwe Mtumishi.

  • @MagigeMarwa-yt5on
    @MagigeMarwa-yt5on 12 วันที่ผ่านมา +1

    Elimu Bora Kwa wale wasiojua haya mahubiri

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yaaani, nimeteseka sana na hii hali, na mimi niliwahi kuambuwa kwenye kanisa fulani kuwa, usipotia Zaka unahesabika wewe ni mpita njia ndani ya kanisa na hutambuliki na kanisa! Nashukuru sana kwa mafundisho haya ,yamefungua ufahamu wangu sana, sana. BARIKIWA SANA MCHUNGAJI MFINANGA NA KAKA DAVISTER, BIG UP SANA, NATAMANI HADI KUTIA MACHOZI.

    • @richardsanga4837
      @richardsanga4837 5 หลายเดือนก่อน

      usidanganyike mwana wa mungu zaka na fungu la kumi ni lazima kwa mkristo zaka inaweza simama kama shitaka kama usipoitoa..na ndio maana usipoitoa utaanza kujiskia vibaya na hali yako ya kiroho itashuka

    • @Werema3760
      @Werema3760 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ndio kweli ya Neno la Mungu. Nje ya hapo utapeli.

  • @agnesalex4761
    @agnesalex4761 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana nimeelewa sana siachi kutoa ila sasa nitatoa kwa imani siyo tena kwa sheria

  • @kenanimwakanemela483
    @kenanimwakanemela483 ปีที่แล้ว +2

    it takes maturity in Christ to understand this pastor, Great work

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 5 หลายเดือนก่อน +1

    Agano jipya nalo mengine mnayachukua mengine mnayakataa,wachungaji,waalimu hukumu yenu itakuwa kubwa sana,kuliko tunaodanganywa,mwanamke haruhusiwi kuhubiri,lakini wengine wanakubali,wengine hawakubali,kadhalika kusuka,tunachanganyikiwa,ashukuriwe Mungu alietupa kipawa cha Roho Mtakatifu,awe mwalimu wetu,atutie katika kweli yoote

  • @mazonaone7708
    @mazonaone7708 ปีที่แล้ว +4

    Amini usiamini watakaopinga hili ni wachungaji na watumishi wanaofanya kazi makanisani kulinda maslahi

  • @johnzacharia
    @johnzacharia 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ninaushuhuda nilipo okoka tu nilipitia mazingira magumu sana ya uchumi kila nikiomba sikuyaona majibu ila mungu alisema nami niwe natoa fungu la kumi ambalo nilikuwa natoa kwakuruka ruka na wala si kamili kwawakati mwingine, nilipo tii na kufuata uchumi ulifunguka na huo niushuhuda wa kweli, sasa pamoja na agano jipya sheria ya zaka haijafutika na nilaZima siyo hiari n nihatari kubwa kiroho usipo toa, neema inamipaka yake, neema hutufanya tuishi juu ya sheria na si chini ya sheria maana yake kama kanisa la mwanZo waliambiwa watoe fungu la kumi bila kukosa kwasababu ya ugumu wa mioyo yao, sisi tuliokombolewa kwa neema imetupasa kutoa bila kulazimishwa na tena ikiwezekana usifungwe na asilimia kumi ya mapato wewe waweza mtolea mungu asilimia 11 na kuendelea kulingana na imani yako nahii ndo unadhibitisha haupo chini ya sheria ya malaki lakini siyo kuacha kutoa kabisa au kuruka baadhi ya miezi neema ya mungu haina uhuru huo, utapigwa uchumi maradhi na kila utakachowekeza, watu wanatafuta mafundisho ya kupooza matoleo ya masingi kama zaka hakika utaumia sana usipo toa kabisa

  • @emmanuelkamenya4004
    @emmanuelkamenya4004 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka hapo shetani anapoenda kwa Mungu kuomba atushughulikie kwsbb ya kuvunja sheria. Dah

  • @mazonaone7708
    @mazonaone7708 ปีที่แล้ว +6

    Siri hii wachungaji wanaijua ila hawawezi kufundisha kwa sababu watakosa mapato kwenye makanisa yao

  • @Lulubyamung
    @Lulubyamung ปีที่แล้ว +1

    Number one today

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 9 หลายเดือนก่อน +1

    Na umetusaidia kweli kweli, maana wengine yunaogopa hata kwenda kuabudu sababu ya kubanwa na hali ngumu, sasa ikionekana umevaa vizuri nguo zako zinathaminishwa na sadaka, zaka n.k

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r 5 หลายเดือนก่อน

    Chanzo cha imani ni kusikia na kusikia huja kwa neno . Tuliposikia tumeamini na tulipotenda kwa ukamklifu Mungu ametubariki sana. Wewe hujaamini wala kupenda dio maanaunatumia maandiko kuotosha. Kanisa litasimamaje kama hakuna hayo matoleo. ? Nikukumbushe kuwa kukemea mapepo sio kuwa na utakatifu sana ni karama tuu toka kwa Mungu. Utoaji wa zaka na malimbuko ni kukamilisha kazi kanisa

  • @agnesalex4761
    @agnesalex4761 7 หลายเดือนก่อน

    Yani Nahisi mafuriko ya Amani ,Furaha Upendo kwakufahamu vizuri neno hili Asante sana Mbarikiwe

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 6 หลายเดือนก่อน

    Leo tunaenda sawaaa

  • @BENISiMBY
    @BENISiMBY หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya mtumishi huyu namkubali sana

  • @brightonmsilu8905
    @brightonmsilu8905 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe nmejifunza jambo 🙏🏽🙏🏽

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni ปีที่แล้ว

    Kwakweli Mwenyezi Mungu atusaidie na kutujaza maarifa ya namna gani ya kupambanua Neno lake ili tufanye yale yanayompendeza!

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 5 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini mimi nachoamini nikwamba,katika yoote tuyafundishayo,tuyanenayo,tuyatendayo,woote tutaingia hukumuni,lakini niwashauri tu,kama hujaelewa andiko,usithubutu kufundisha,nibora utenge muda umuulize Mungu kwanza juu yajambo hilo,ndipo uingie kufundisha,jamani hukumu ya Mungu si nyepesi,maana anahukumu kwa haki,nasheria yake,yaani Neno lake ndiyo sheria yake,nahatohukumu kinyume na sheria,

  • @emanuelmwihambi7994
    @emanuelmwihambi7994 ปีที่แล้ว

    Atupe mafundisho ya mungu baba mungu mwana mungu roho mtakatifu

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว

    Amen. Asante sana mtumishi wa mungu kwa fundisho hilo

  • @user-ub1yx5vc8b
    @user-ub1yx5vc8b 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mchungaji. Makanisa yamewafilisi sana waumini kwa kuwatisha kwamba watapata laana wasipotoa 10%

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 ปีที่แล้ว

    thank you for this teaching God bless you Amen🙏

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 9 หลายเดือนก่อน

    Najua wachungaji watakuchukia kwa kutufungua ufahamu, maana wengine hatujui hata kutafakari Neno la Mungu, utusaidue mtumishi wa Mungu nasi tunakuombea kwa Bwana Yesu

  • @user-fs3me5sm2f
    @user-fs3me5sm2f 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hivyo hio nitakayo toa sio zaka mbali ni matoleo ya hiari

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว +2

    All preachers who knows this truth yet they manipulate the congregation for their selfishness are headed to hell fire

  • @utakatifunahaki5095
    @utakatifunahaki5095 8 หลายเดือนก่อน

    “Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zaka za mnanaa na mchicha na kila mboga,
    “Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.

    - Mathayo 23:23 (Biblia Takatifu) na huku mwaacha mambo ya adili, na upendo wa Mungu; iliwapasa kuyafanya hayo ya kwanza, bila kuyaacha hayo ya pili.

    - Luka 11:42 (Biblia Takatifu)

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 ปีที่แล้ว

    Mm number 3

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli kabisa ilifika Mimi nikamuliza Mungu mbona ninatoa tithe nasioni matokeo ila ni pastor ndie anashiba pekee?? Niliwacha kutoa

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 ปีที่แล้ว

    HALLELUJAH 🔥🔥🔥

  • @nicholaschacha8239
    @nicholaschacha8239 28 วันที่ผ่านมา

    SIO KWELI ZAKA NI SHERIA NA NI LAZIMA PIA MLAWI NI MTU YEYOTE ALIYEAMBATANA NA WALAWI KWA KUFANYA KAZI YA MUNGU NA YEYOTE ATAKAYETOA ZAKA KWA MLAWI ATABARIKIWA MIMI NI MNUFAIKA WA BARAKA ZA ZAKA PIA ZAKA NI DAWA YA CHUMA ULETE

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 ปีที่แล้ว

    Mimi #2

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mpotoshaji,YESU Anasema sikuja kuitengua torati bali kuitimiza

    • @elizag.edmond7637
      @elizag.edmond7637 ปีที่แล้ว

      Acha uongo

    • @elizag.edmond7637
      @elizag.edmond7637 ปีที่แล้ว +1

      Yuko sahihi ,ni wangapi masikin, makanisan na Yatima, na wajane, wanahangaika na kanisa lipo na vikumi,na sadaka zinatolewa ,toka kwenye utumwa wa Hao mapasta wa thiolojia za kipepo

    • @elizag.edmond7637
      @elizag.edmond7637 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini siku hizi ni kulazimishana kutoa sadaka hiyo ndiyo ibada Yesu alisema, kwan watu wasipotoa, hawatamwabudu Mungu, pole sana ,huyu anasema ukweli, unakua na mshara hata Rahat ya kua nao haupo ,hufanyi unayotaka ,kila mda ni kuwaza, kanisan ,na kiwaja na nyumba huna,halafu mchungaji anaamagari na magorofa, we unaendelea kusema na mimi nikasome ,uchungaji ,cha Kwanzaa hakuna Yesu alisema twende kusoma thiolojia ,ndiyo tuhubiri, shetan kanasa wengi, Roho mtakatifu ndiyo ,nayeongoza watu, na si si thiolojia ,upepo tu umejaa watu 😊

    • @neemakamgisha2951
      @neemakamgisha2951 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu angetaka tumlipe tungemlipa pumzi na Rohomtakatifu maana hayo ni zaidi ya wachungaji

    • @neemakamgisha2951
      @neemakamgisha2951 8 หลายเดือนก่อน +1

      Asante yesu wewe nitofauti na shetani shetani huwatoza watu wake zaka mpaka na wao wenyewe roho zao kwakweli yesu wewe ni Mungu mwenye upendo tofauti na shetani

  • @mmasaalonda499
    @mmasaalonda499 6 หลายเดือนก่อน

    Pastor chukuza mandiko unakosea kuelewa Israeli ninani kibilia nakuani ninani. Unachukua Taifa lakimwili
    Warming 3 :3-10
    Warumi6:15
    Waefeso 2: 5

  • @huberttemu2205
    @huberttemu2205 ปีที่แล้ว

    Hii tafsiri kwenye fungi la kumi na utoaji sio sahihi. Tuwe makini endelea kusoma na kujitafutia elimu sahihi kuhusiana na hili

  • @jacquelinegama8001
    @jacquelinegama8001 ปีที่แล้ว

    Wewe n pst wa pili nakusikia kunifungua kuhusu fungu la kumi.
    🙏🙏🙏
    Sadaka bora au zaka bora ni ile ya wajane na yatima ma wasiojoweza
    Ila biblia n pana sema wachungaj wanasimamia kitabu hiko tu na wakati wanajua fika kuhusu zaka imefumdishwa ktk maandiko mengi.
    Si hiyo bible inasema pia pozen wagonjwa fufueni wafu. Je wanafufua? Kwann? Hawamuamini mungu wanaomtumikia???!
    Wao wanatudanganya na sisi basi.

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 ปีที่แล้ว

    Mimi sio mkristo ila nakubali kabisa mtumishi alivyo fundisha kuusu fungu la kumi ndani ya Bible. Mungu aitaji pesa ila ni pastors ndio wanaitaji pesa wanunue Private jets, majumba na magari makubwa.

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว

    Lakini mtu akitoa tithe na tithe Iko kwa mfumo wa Sheria za Musa kuligana na vile umefunza kuligana na mandiko basi na ati Sheria za musa

  • @martinjohn7854
    @martinjohn7854 6 หลายเดือนก่อน

    KTK MJADALA HUU:
    WANAOHOJI ZAKA, WANATEGEMEA KANISA LIJIENDESHE VIPI. WATUMISHI WA KANISA WAISHI VIPI.

  • @HusseinGabu-wr3xh
    @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว +1

    Nyie mnasema mnaishi kwa neema na mkidai kua Sheria za muza zilikua kwa niaba ya watu wa musa tu na sio nyinyi. Mbona hata hiyo fungu la kumi na yenyewe ni Sheria ya musa ? Na Bado mnaifuata au kwasababu Ina maslahi ya pesa? Acheni. Uhuni katika mambo ya kimungu nyie kama mmeamua kupinga Sheria za musa zikataeni zote sio kwasababu hiyo Ina maslahi ya kipesa. Basi ndio mmeona inawafaa? Na. Zingine haziwafai et mnaishi kwa neema hamushi kwa Sheria lakini hata hiyo ya fungu la kumi ni Sheria ya musa Sasa nyinyi mnaishi kwa neema mnaitaka ya Nini ? Au kwasababu Ina Hela ? Naludia Tena acheni uhuni huo ni uhuni tu kama uhuni mwingine

    • @mazonaone7708
      @mazonaone7708 ปีที่แล้ว

      Usiandike kwa akili zako mambo ya Mungu hayaendi vile unavyowaza wewe,sema na toa andiko kwa unachoongea halafu wewe ni muislam na nyie waislam sheria zote za Mussa ndio mmezichukua na kuziweka kwenye dini yenu halafu huyu pastor hajamkataa Mussa sikiliza vizuri

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว +1

      @@mazonaone7708 ukweli ndio huo kwasababu hiyo ni Sheria ya kupata pesa sheria zingine za musa wakristo wote wameshazikataa wakisema wao wanaishi kwa neema tu na hawaishi kwa Sheria ila kwasababu hiyo ya fungu la kumi ni yakupata pesa basi hiyo Haina shida acheni uhuni ?

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      @@mazonaone7708 halafu kitu kingine we unaonekana ni mjinga sana katika haya mambo we unasemaje eti si ndio tumezichukua sheria za torati tukaziweka kwenye dini yetu hivi we unaakili kweli ? Kwani sisi ndio tumeishusha quran? tena kwa mtume asiojua kusoma wala kuandika. Kama angekua anajua kusoma lazima tu mngesema amekopi kutoka kwenye torati sasa hapo mmekosa kizingizio. Yeye kayatoa wapi na wakti alikua hajui kusoma wala kuandika. Na yanasadikisha sawa sawa ya vitabu vilivyotangulia mabla yake ndio maana inatakiwa ujue uislam sio dini ya kubumba ndio maana hata siku ya iddi inapatikana ndani ya bibilia kama inaisha kasome kumb kumbu la torat 16-14

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@HusseinGabu-wr3xhUnaweza Usijue Kusoma Wala Kuandika Lakini Ukawa Na Kipaji Cha Kukariri Yote Unayosimuliwa Na Wayahudi, Au Hujawahi Kumwona Kipofu Akitoa Mawaidha? Je! Kipofu Kasoma? Kaandika?

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 ปีที่แล้ว

    Kweli wachungaji wengi wanakuwa pesa za wamasikini

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 ปีที่แล้ว +1

    MCHUNGAJI UNAPOT9SHA UNAPOSEMA TAURATI NI UONGO WAKATI YESU ANASEMA UKUJA KUENTENUA TAURATI BALI KUITIMILIZA SASA NAWE UNAPOTOSHA PIA KUNA ZAKA NA SAGAKA NI CITU VIWILI TOFAUTI ZAKA😅 UPEWA MASIKINI NA SADAKA UPEWA WALE WANAENDESHA MASUALA YA DINI

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 ปีที่แล้ว +1

      Sasa utimilizo Ndio tunaoishi Torati ilishafeli TUnaishi katika injili Agano jipya

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      ​@@hassanbukambu931 kuitimiliza maana yake Nini? Nikuifuata au nikuikanusha?

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 ปีที่แล้ว

      @@HusseinGabu-wr3xh ni kuliishi Agano jipya peke yake Kwa Damu yake iliomwagika Ndio Agano jipya habari za Torati zishaisha

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      @@hassanbukambu931 wewe nani kakwambia kuwa zilishaisha ? Hayo ni maneno yako mwenyewe na wakati yesu mwenyewe anasema hakuja kuitengua torati kati ya wewe na yesu nani mkweli ?

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 ปีที่แล้ว

      @@HusseinGabu-wr3xh ka uelewei basi nimekufafanulia Agano la Damu yake Ndio utimilizo na Ndio Agano jipya injili yenyewe Bado unanirudisha Huko nyuma Baki hivyo hivyo ka uelewei hakuja kutengua ila kuitimiliza Sasa kuitimiliza nishakwambia ni Nini Bado unanirudisha kwenye Laana ya Torati au hata ujui Laana ya Torati ni Nini

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 ปีที่แล้ว

    Shetani Hana mamlaka ya kuzuia kitu chetu au kutushambalia ila Mungu kashaweka hiyo kanuni kwamba mtu asipo toa anaweza kuondoa kibali kwa muda ili shetani akushughulikie utii neno lake zaka ni lazima na ni kanuni katika ushindi kwenye mambo mengi ya kiroho na kimwili.

    • @mazonaone7708
      @mazonaone7708 ปีที่แล้ว +3

      Huyu mchungaji amesema ukweli na maandiko yapo wazi sasa wewe unqbisha nini au wewe ni mchungaji unataka fungu la 10 kilazima na vitisho?maana huyu mchungaji amesema watu wafundishwe kutoa kwa upendo na sio sheria kama wachungaji wanavyofanya ili wapate pesa

    • @emanuelmsaky8074
      @emanuelmsaky8074 ปีที่แล้ว +1

      @@mazonaone7708 wêwë utakuwa hujanielewa wêwë sijatetea wachungajj walazimishe watu ila kutoa zaka siyo ombi kila mtu anatakiwa atoe zaka anakopenda kutoa zaka siyo kanisani tu wajane yatima nao ukitoka kwao ni sawà na umemtolea Mungu hakuna mtu anashawishi akili ya mtu Kwa maana kila mtu kapewa maarifa na Mungu

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@emanuelmsaky8074ukisema kutoa zaka siyo ombi manake ni amri au sheria. Mungu anawapenda wanaotoa kwa hiari

    • @BENISiMBY
      @BENISiMBY หลายเดือนก่อน

      Kwa mjibu wa agano jipya haitakiwi kutoa kabisa ila toa sadaka soma warumi 3:19

  • @user-fs3me5sm2f
    @user-fs3me5sm2f 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hivyo hio nitakayo toa sio zaka mbali ni matoleo ya hiari