PART10:BILIONEA COSMAS ALIEKATAZWA KUBEBA MTU SITI YA MBELE KWENYE MAGARI YAKE KAMA SHARTI LA UTAJIR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @HellenDana
    @HellenDana 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Sana mtumishi, umetufundisha mengi ktk ulimwengu wa giza, Mungu akubariki. Jee unaweza kutufafanulia majini hutengenezwa vipi. (Davista)

  • @valerieobanya5172
    @valerieobanya5172 7 หลายเดือนก่อน

    These 10 episodes have been the most truthful and interesting narrations. Thank you!!🙏🏾 you

  • @damarisnjerichege100
    @damarisnjerichege100 10 หลายเดือนก่อน +2

    What a great testimony 🙌

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sehemu ya muhimu sana imeachwa

  • @linvi_chemutai
    @linvi_chemutai 10 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu ni mungu ❤

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 10 หลายเดือนก่อน +1

      wacha kupotea

    • @linvi_chemutai
      @linvi_chemutai 10 หลายเดือนก่อน

      @@shenjamamzingi7950 Find Jesus find peace ❤️

    • @piusnkwale
      @piusnkwale 10 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @nanaritho6850
      @nanaritho6850 10 หลายเดือนก่อน

      Hadija Baki na Imani yako na majini yenu pumbavu​@@shenjamamzingi7950

  • @vitaasumani4613
    @vitaasumani4613 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu asifiwe sana

  • @florencerose859
    @florencerose859 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mbuzi imekauka🤣🤣🤣🤣Yesu ni mfalme

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu3664 10 หลายเดือนก่อน +10

    Kuna sehemu mbona imeruka??

    • @Mainda-q5b
      @Mainda-q5b 10 หลายเดือนก่อน +2

      Story za kutengenezwa ndivyo zilivyo

    • @arifosman3500
      @arifosman3500 10 หลายเดือนก่อน +2

      story za uwongo ndio zilivyo

    • @DanKanyange
      @DanKanyange 10 หลายเดือนก่อน

      @@arifosman3500 Muongo ni wewe.

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kunasehemu imelukwa mpaka Akaokoka Mtumishi ilikuwaje Apo mmeluka

  • @wilsonwilson2417
    @wilsonwilson2417 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii story ni Kali sana😂

  • @odipomapozzy
    @odipomapozzy 10 หลายเดือนก่อน +2

    Story iko sawa inahitaji afanye movie.

  • @jafaryjey
    @jafaryjey 7 หลายเดือนก่อน

    Interesting

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 8 หลายเดือนก่อน

    God is good all the time

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee ni Muongo sijui kama na apo kuwa mtumishi aapiga hela usikute kapewa masharti na mganga apige hela muongo muongo aty anasema yesu ni Mungu wp na wp binaadamu kuwa Mungu 😅😅😅😅😅

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna kirichorukwa story za uongo izi kabsa

  • @lyamuyamelck5711
    @lyamuyamelck5711 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushazingua umeruka parefu sana imebid niunganishe mwenyewe na mawazo yangu..aaaaaagh

  • @agnesschayenda6101
    @agnesschayenda6101 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa Wewe mtangazaji Davitar, Hatujapata sehemu kwenje anaongeleya aliokokaje?

  • @johndela7435
    @johndela7435 10 หลายเดือนก่อน +3

    Oops! First

  • @markmwaghogho9226
    @markmwaghogho9226 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umeruka sehemu kubwa kaka, mbona hivi tena

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 10 หลายเดือนก่อน +5

    Davista mbona hakuna SEHEMU alivyo okoka nan Alie mpeleka kanisani

    • @Mainda-q5b
      @Mainda-q5b 10 หลายเดือนก่อน +1

      Story za kutengenezwa ndivyo zilivyo

    • @nanaritho6850
      @nanaritho6850 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mainda-q5buser wewe ni mmoja nini kati ya marafiki zake unaogopa atakutaja!!!ili tujue katengeneza? Tuliaaaaa tusikilize ushuhuda

  • @enock8317
    @enock8317 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nijue wapi kapatia wokovu na majin yalitokaje

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 10 หลายเดือนก่อน +1

    Alijipataje kanisani. Aliponaje akili. Mungu alimuokoa kwa njia gani.
    Davista hapo umetukosea

  • @ErickKamagangara
    @ErickKamagangara 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna sehemu imerukwa Davister

  • @josephkelvin3376
    @josephkelvin3376 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mr dm 🎉

  • @fadhilngimilanga1828
    @fadhilngimilanga1828 10 หลายเดือนก่อน +1

    Atuelezee ilitokeaje akaokoka, na vile alivyokuwa anasafirisha Mali za magendo n.k

  • @HamisiMbilinyi
    @HamisiMbilinyi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mpo ovyo stor inaluka 😮

  • @shabanlusan6890
    @shabanlusan6890 10 หลายเดือนก่อน +1

    namanyere nkasi home kabisa

  • @geraldmanyogoto1358
    @geraldmanyogoto1358 10 หลายเดือนก่อน +2

    Story inakosa connection. Umeruka kipande kikubwa.

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 10 หลายเดือนก่อน +2

    alipokeaj wokovu?

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @arifosman3500
    @arifosman3500 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakweli ukiwa unasema uwongo rahisi sana kusahau... huyu mzee anajisahau wakati anampeleka mtoto wake wakwanza kwa mganga huyu wa mwisho martini alimwacha wapi? maana alikua mdogo .. na anasema baada ya mganga kufa na yeye alianza kulala njee sasa mtoto wa pili na watatu aliwapata lini... Acha kujivunjia heshima wewe mzee😂😂😂

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe unachangamoto kubwa unapaswa kuombewa hakuna story unaweza ongea midia wasiwepo wasiokujua subiri Wakanushe wanaonifaham ila kumbuka nyumbani sikuishi peke yangu

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +2

      Najua umeleta upinzani wa kidini labda wewe ndiyo utusaidie kwamba nyumbani tuliishi peke yetu au kuna watu wengene?acha chuki za kidini alipaswa Baba yangu au mama yangu aumie Mimi kutoka huko sio wewe ambae hata hujui lolote juu yangu acha chuki za kidini

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +2

      Pia kumbuka kwenye Qurran unayo iamini wewe kuna Aya inasema lakum-din-kumm-walliyadin nimekuandikia iyo Aya kwa lugwa nyepesi baada ya kugudua huenda ukawa na changamoto nyingi

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +2

      Na kwa taarifa Yako Mimi naamini kuna jambo utakua umejifunza kupitia ushuhuda huu nakuombea sana na wewe siku Moja uwe mchungaji kama Mimi maana naona umeumia sana Mimi kuwa mkristo ila hata Mimi nilikua mbishi sana kuzidi wewe sasa siwezi kushangaa

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +3

      Katika shuhuda zangu nimesema Mimi ninawatoto watano mpaka sasa watatu walizaliwa nikiwa mislamu ambapo wawili wamezaliwa nikiwa mkristo kama wewe ndiye unajua walizaliwa vipi tusaidie ila kubwa ujue Mimi sasa ni mchungaji Wala siwezi yumbishwa na wewe na mwanzo mwa ushuhuda wangu nimesema aliyetakiwa nimtoe kwa mganga ni mtoto wangu wa kwanza kwa mtu mwenye akili angejua kama ni mtoto wa kwanza maana yake Nini ila nacho jua labda huenda Iko nguvu kichwani maana kumbuka Mimi naweza fikili nachart na Osman kumbe daruwesh au maimuna ila nimesema nitakuombea hakika Yesu atakufungua

  • @MarystellaShayo-z7b
    @MarystellaShayo-z7b 10 หลายเดือนก่อน +2

    Imeruka

  • @veronicahkhaikwa4929
    @veronicahkhaikwa4929 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna part ya maana sana imeruka mbona

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ok ok

  • @lydianyangau8142
    @lydianyangau8142 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ask pastor haliokoka aje na yale majini halimtoka aje

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kuna maaneo mengi haya kuonekana kwa changamoto mbalimbali lakini nimeongea na Davista mata ameonelea vema aje tena turekodi namna nilivyookoka pia ikiwezekana na mama mchungaji aseme anachokumbuka pia hata yule mtoto Mary aliyetakiwa kutolewa kafara maadamu kwa sasa ni binti mkubwa na hitaji watu wamuone pia naomba ni jibu swali la mtu Alie uliza kwa Nini mke wangu aliitwa mama Mary wakati Mimi nilikuwa muislamu?ukweli ni kwamba mke wangu yeye kwa asili ni mkristo na Hilo jina la Mary tulimpa jina la mama mkwe wangu Asante Mimi mchungaji cosmas jumaa Hamis

  • @arifosman3500
    @arifosman3500 10 หลายเดือนก่อน +2

    MUONGO HUYU MPAKA ANAJICHANGANYA... alisema wakati alishauriwa na rafiki yake amtoe kafara mtoto. kwamba watoto wanatafutwa atapata wengine baadae... alikua ana huyu mmoja tu hao wengine bado hajapata... alisema alikuja kupata baadae.. saizi tena anasema alishakua nao wakati anavompeleka kwa mganga

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe nilicho jifunza kwako unacheza na akili zangu sikupenda nikujibu

  • @amishambar3418
    @amishambar3418 10 หลายเดือนก่อน +3

    Davista vipi umeruka inaoneka kuna mahali umeruka je alipataje wokovu wake manake lazima aokoke ndio abatizwe

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @IrenePeter-x3e
    @IrenePeter-x3e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee si umesema dereva amekua dereva wa Dc Tabora

    • @CosmasHamis-e4i
      @CosmasHamis-e4i 10 หลายเดือนก่อน

      Huyo dereva ambaye Yuko ofisi ya mkurungezi alikuwa dereva taxi sikuwa nimemwari alikuwa dereva wa muda ila dereva rasmi ni huyu Alie kufa na Mimi nimeendeshwa na madereva wengi ila Alie kuwa na Mimi kwa karibu na kujua hata baadhi ya mambo ni huyu Ambaye amekufa ni Mimi mchungaji cosmas jumaa Hamis naye toa hizo shuhada

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 10 หลายเดือนก่อน

      Kasema huyu alikuwa mwarabu

  • @devondonald421
    @devondonald421 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmeruka bana

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 9 หลายเดือนก่อน

    Mmm!

  • @Mainda-q5b
    @Mainda-q5b 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona imeruka kutoka aliporukwa na akili imekuja anatumika kanisani imekuaje tena ???
    Alipata akili vip, na aliingiaje ukristo mpaka kupata elimu ya uchungaji na kupangiwa kutoa huduma ??? Au ndio story za kutengeneza ??????????

    • @Mainda-q5b
      @Mainda-q5b 10 หลายเดือนก่อน +1

      Davista mata wamezingua wamekata kipande wamekificha

    • @Mainda-q5b
      @Mainda-q5b 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nimefatilia toka part 1 hadi hii part 10 ila wameniboa kukata hicho kipande aiseee

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ulienda kilwa

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umeamuaje kukata kipande cha muhimu na kuturusha mbele?

  • @IRENEBenjamine
    @IRENEBenjamine 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni mwana wa Mungu na sio Mungu . Ila hii story kiboko 😂

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 10 หลายเดือนก่อน

      MUNGU hana M toto,Yesu ni Mtume wake tu.Hakuna cha ziada

    • @IRENEBenjamine
      @IRENEBenjamine 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@shenjamamzingi7950 na Allah sio Mungu ni moja wapo wa Mungu ya kiharabu tena isiyo na nguvu hata Mimi ni bora kuliko Allah , ndo maana majini kama nyie mkisema Mungu hana mwana huwa sishangai 😄

    • @januaryyotham5514
      @januaryyotham5514 10 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu ni mwana wa mungu baada ya kuuvaa mwili.lakin ndoyuleyule anaeitwa jehova.zaid soma mwanzo tito2:11-12

    • @IRENEBenjamine
      @IRENEBenjamine 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@januaryyotham5514 duh Kuna watu hawajui maandiko kweli , haya twende na ilo

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 10 หลายเดือนก่อน

      Kesema Ni mawazo yake mwenyewe kwa makuu aliyatendewe na YESU

  • @tututz100
    @tututz100 10 หลายเดือนก่อน +3

    J.B.B.1999