Mkristo Hatakiwi Kutoa Fungu La Kumi - Sehemu ya Kwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji.
    Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI
    Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu...
    Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...

ความคิดเห็น • 124

  • @SpiritGatheringMinistry
    @SpiritGatheringMinistry  2 ปีที่แล้ว +3

    UNAWEZA TUMA SADAKA YAKO KUPITIA NAMBARI HIZI.: MPESA-0755640454/ TIGO PESA-0719275409/ AIRTELMONEY- 0789186301 Majina ni GODLOVE CHARLES.... Walioko Nchi Za NJE MPESA +255755640454 GODLOVE CHARLES

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Mafundisho tu hayo yanafanya nisione kama Kuna hata umuhimu kutuma sadaka kwako

    • @emmysam7938
      @emmysam7938 ปีที่แล้ว +1

      Tusomee kitabu Cha Malaki..

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 8 หลายเดือนก่อน

      Safaka unataka ila Fungu la 10 hapana mmmh

  • @florenceflorence1170
    @florenceflorence1170 2 หลายเดือนก่อน +2

    Malaki 3:10:11.iende kanisani
    2corithians. 9::12 iende kwa watakatifu
    2corithians 9:8:9 iende ended kwa maskini
    1wafalme 17:10:14 kwa watumishi
    1corithians 6:7:14 iende kwa wajane

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 9 หลายเดือนก่อน +6

    Zaka ina nguvu kubwa kuliko jinsi unavyo fikiria ndugu yangu
    MALAKI 3
    10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi, mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
    Amen ❤❤❤

    • @chiriccmabobo8746
      @chiriccmabobo8746 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂zaka inanguvu kuliko Yesu

  • @brownmtofole
    @brownmtofole ปีที่แล้ว +11

    Biblia ni kama msitu Mnene,we ngi wasio na ufahamu wakiroho watawapotosha Wengi na hatimaye kuingia upotevuni.Utoaji wa fungu la kumi/zaka ni sehemu ya ibada ya shukrani kwa Mungu.

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 ปีที่แล้ว

      Una ufahamu mpana wa neno la Mungu hongera

    • @Mushidebb
      @Mushidebb ปีที่แล้ว +3

      Soma hapo hapo ilipo sema toa fungu la kumi utakuta kuna sheria nyingine nyingi sana tumeziacha kwann tuziache hizo nyingine tufate fungu la kumi peke yake ??? Jiulize hili kama mkristo wa kristto tunapotea maana tunafata mihemko hatusomi biblia mm fungu la kumi nilishaachaga kutoa zamani sana natoka kwa mwaka mara moja tuu tena kwa yatima na masikini

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 11 หลายเดือนก่อน +1

      Zaka na Fungu la kumi ni tofaut zaka inatolew kila mwaka mara moja na wanaopaswa kupewa na Maskini na Mafukara sio wachungaji na mapasta

  • @conyongo1922
    @conyongo1922 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana atusaidie

  • @user-tx6nz4up5h
    @user-tx6nz4up5h หลายเดือนก่อน

    Kulingana na Waebrani 7 ni kweli kabisa zaka ni kwa sheria sio neema

  • @BenetsonKimbisa-zc9ni
    @BenetsonKimbisa-zc9ni ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi usisome mstari mmoja hautaelewa hebu uwe unasoma mstari mmoja. soma Ebrania 9:26_-28 .mnaposha

  • @joelking3692
    @joelking3692 10 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan Tutaona mengi mimi sitaacha kutoa fungu la 10, Mungu atawahukumu wanaofundisha watu kuacha fungu la 10

  • @user-dl9lb4qp7n
    @user-dl9lb4qp7n 11 หลายเดือนก่อน +2

    Soma vizuri Malaki 3 : 8. Tunatoa Kwa Yesu kuhani Mkuu si Kwa Mwanadamu na Mungu ndiye anasema tunamwibia

  • @rehemafyumagwa8005
    @rehemafyumagwa8005 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tupe nguvu maana kuna mengi siku za mwisho

  • @EmmanuelMbilinyi-g4f
    @EmmanuelMbilinyi-g4f 16 วันที่ผ่านมา

    Hakika hapo nimekuelewa

  • @charlesmayellah7818
    @charlesmayellah7818 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu saidia kiumbe hicho hatari

  • @livinganselim8435
    @livinganselim8435 8 หลายเดือนก่อน +2

    These are the end days kweli, mafundisho ya uongo yataenea na wengi watapotoshwa. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @user-cq1rk4eo4o
    @user-cq1rk4eo4o 6 หลายเดือนก่อน +1

    MKONO WA BWANA YESU UKUTANE NA WEWE

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +3

    Kuhani ni muhudumu wa kazi za Mungu (Isaya 61:6/Yoel 2:17).
    Uhudumu wa Kuhani ni kufanya upatanisho wa nafsi/dhabihu za roho kupitia DAMU YA YESU(1Petro 2:5).
    Aposlte,Prophet,Evan,pastor and Teacher hawa wote ni Wahudumu wa kazi za Mungu/Tofautisha (Wito/call) na (Ministry/Huduma).
    Kuwa makini na mafundisho yako

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 ปีที่แล้ว +2

    Hizo roho za watoto wa MUNGU unazo zipotosha utadaiwa damu zao siku ya mwisho

  • @davisonlema538
    @davisonlema538 ปีที่แล้ว +2

    Ole wenu mafarisayo mnaowapotosha watu wangu.....alafu broo mungu anatoa kanuni hatoi ushauri acha kushauri watu wape kanuni bible is bible mungu hakua mjinga kuacha agano la kale na jipya soma malaki 3 7-12 mungu anasema mtaniibia mm dhaka na dhabihu

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hatuachi ngoooo acha wewe ili upigwe vizuri tena ushindwe na mafundisho yako potofu.Hizi ni siku za mwisho mshindwe na uongo wenu wa kuzimu

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe5598 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiyo mptoshaji. Usiyetoa ni wewe sisi tutatoa

  • @hirdahaule-qe8ot
    @hirdahaule-qe8ot 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wew acha uongo soma malak 3 :10 atuachi kutoka Dhaka

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 ปีที่แล้ว +2

    watu watajichanganyaKWA mafundisho meengi yanayopishana.sijui washike lipi.hasa wachanga kiroho.🥺🤔🙌

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Leo watu wanavunja misingi ili kujenga yao 😭

  • @florentkatembo1456
    @florentkatembo1456 ปีที่แล้ว

    Mkristo ni mmoja na kristo na Baba hana mwengine ila tu ba takatifu benzake

  • @user-xq3xr9ui1w
    @user-xq3xr9ui1w 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna makosa mengi sana kwenye Tafasiri za maandiko, mfano maana ya Kuhani, tafasiri ya mfalme na kuhani kwamba ni watu wawili tofauti...inatakiwa kuelewa pia hayo maandiko kwenye kitabu cha Waebrania Mungu alikuwa anazungumzia nini...all in all mpokeaji wa fungu la 10 sio kuhani peke yake. Hili fundisho Apostle jifunze kwa watumishi wengine. Ni kweli wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu sio kama watu wasemavyo kuwa wewe ni mtumishi wa uongo ila kwa fundisho hili kuja mapungufu mengi.

  • @jessicamorrison289
    @jessicamorrison289 ปีที่แล้ว +2

    Tena agano la kale unafundishwa jinsi ya kula fungu lako la kumi.

  • @dantez8775
    @dantez8775 4 หลายเดือนก่อน

    Tamu sana yes, nakubaliana 100%

  • @mbozivillage4865
    @mbozivillage4865 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hataki wizi

  • @richardgeorge5377
    @richardgeorge5377 ปีที่แล้ว +2

    Naomba watumishi mfundisheni huyo

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m ปีที่แล้ว

    Siyo mtumishi wa shetani bali amezaliwa ktk familiya ya kimaskini

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 8 หลายเดือนก่อน

    Fia mbali hatuachi kutoa

  • @peterlaurent4046
    @peterlaurent4046 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa bado

  • @manfordmkinga4080
    @manfordmkinga4080 ปีที่แล้ว +1

    Mwasisi ni Neno sio mtu

  • @BarackaSeleman
    @BarackaSeleman 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umetumia utafiti upi wewe kijana mdogo uje na mafuno hayo kwamba tusitoe zaka mtumishi tafuta shamba ulime huduma imekushinda

  • @ruthkamau5792
    @ruthkamau5792 ปีที่แล้ว

    Siwezi acha kutoa fungu, Acha zako wewe.

    • @alexdominic9201
      @alexdominic9201 9 หลายเดือนก่อน

      umemuelewa lakini?, fungu la 10 inatakiwa utoe sehemu sahihi

  • @emanuelaurelian6118
    @emanuelaurelian6118 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi tunabarikiwa Sana ila kwenye mafundisho yako tunaomba utumie lugha moja ili tuelewe vizuri zaidi Ubarikiwe sana

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

    Hiyo kwaya tu ni ya kishetani

  • @erasmobenardsangu-1854
    @erasmobenardsangu-1854 6 หลายเดือนก่อน

    shidayako kaka aunaera utatoa nini wanaotowa wanavyo. wamepewa namngu

  • @givenmathew594
    @givenmathew594 2 ปีที่แล้ว

    I love the man aisee 😊 daaah

  • @user-xn1kk3ur1n
    @user-xn1kk3ur1n ปีที่แล้ว +1

    Msidanganye watu

  • @sarahluvai6580
    @sarahluvai6580 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kwa funzo hili

  • @charlesegbert7566
    @charlesegbert7566 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed brother

  • @heavenboniphace5190
    @heavenboniphace5190 ปีที่แล้ว +1

    hpo nimeelewa jpo mbn makanisani wanaimiza sn

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 5 หลายเดือนก่อน

      Wanahimiza ili kutunisha hazina ya kanisa (Mchungaji)

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 ปีที่แล้ว +7

    Wewe ni Mtumishi wa Shetani, na upo kazini kuwatumbukiza watu Jehanamu ya moto. Nawashauri wote mliosikiliza mafundisho ya huyu mtu, msiamini ni mwongo huyu. Yesu ameongea kuhusu zaka, au fungu la kumi. Someni Mathayo 23:-23, na Luka 11:-42. Ukishasikia mtu anawafundisha watu wasitoe zaka, ujue yupo kazini huyo, na kusudi ni ili wa Kristo wasibarikiwe, kwa sababu hiyo ndiyo kanuni ya kubarikiwa na Mungu. Asante.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว +2

      Ukitaka toa, ila yesu alisema SITAKI SADAKA ZENU. au hilo andiko huijui?. Wewe mchungaji NA wengine ni wizi tu mnawaibia watu mkiwadanganya ni yesu kasema. Acha wizi wewe

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 ปีที่แล้ว

      @@hilalalhabsi2047 hilo andiko utakuwa umelitunga mwenyewe kwa faida yako. Mbona haujasema linapatikana kitabu gani?

    • @laurrinejira6058
      @laurrinejira6058 ปีที่แล้ว +1

      Wadaisha Yesu alisema hataki sadaka zetu fine, sasa hii number yenye umeindika hapa hiyo sadaka waitaka wewe au????

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      @@laurrinejira6058 hio namba alio andika ujue sadaqa anataka yeye ila sio yesu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว +2

      @@emmanuelzani2889 yesu ndio kasema ila nyie hamsomeshwi. Yesu anataka Rehema (kurehemewana Mungu) wala HAFANYI ili alipwe sadaka. Mt 9:13 SUV
      Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
      ☝️ATA UKINUNA, andiko ndio hilo

  • @DrKaoneka
    @DrKaoneka ปีที่แล้ว

    Pepo kama pepo,,

  • @user-pl6ts4ox7q
    @user-pl6ts4ox7q ปีที่แล้ว +1

    Wote wanaotoa fungu la kumi wamelaaniwa

  • @bensonmwelela4228
    @bensonmwelela4228 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

    Mathayo 9
    13 Lakini nendeni, mkajifunze maana
    yake maneno haya, Nataka rehema
    wala si sadaka; kwa maana sikuja
    kuwaita wenye haki, bali wenye
    dhambi.

  • @mycowillyzwilliam8056
    @mycowillyzwilliam8056 7 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nakukubal sana..kumbe tatzo wewe

  • @complicated4337
    @complicated4337 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

  • @apostlejamesuploads6786
    @apostlejamesuploads6786 4 หลายเดือนก่อน

    Read more brother Genesis 28:22 and remember that Melchizedek wasn't a priest don't go against our fathers of faith

  • @upendopeter5358
    @upendopeter5358 ปีที่แล้ว +10

    Una mawazo mgando.msipofundisho fundisho sahihi la 10%.mtaishia kuwa ombaomba kama hapo unapotoa namba za simu kuomba hela.

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 ปีที่แล้ว

      Umesema ukweli kabisa tena siku hizi kila mtu ni muhubiri anafundisha ajuavyo yeye tena humu mitandao kumejaa wahubiri wapotoshaji hatari

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      WEWE NI MCHUNGAJI UNALILIA TUMBO LAKO. MCHUNGAJI KAMPA NANI FUNGU LAKE LA KUMI?. KAMA ABRAHAM NDIO KATOA BASI WACHUNGAJI NDIO WATOE ILO FUNGU NA MSIWAIBIE WATU WIZI TU. KUWA TU OMBA OMBA KWANI HIO KUDAI SIO OMBA OMBA?. UKIRISTO NI DILI TU, OLE WAO WANAFANYA NYUMBA ZA MUNGU NDIO ULAJI WAO WA HARAMU NA UNYANG'ANYI

  • @user-xn1kk3ur1n
    @user-xn1kk3ur1n ปีที่แล้ว

    Utaenda motoni.Sadaka ni must wacha ignorance

    • @stevenmkingi8588
      @stevenmkingi8588 ปีที่แล้ว

      Wewe si binadam wakawaida,ni miongoni mwa hawo wana huyo mwovu shetani

  • @sulupeacecharles1397
    @sulupeacecharles1397 2 ปีที่แล้ว

    Mh!

  • @EliyaMwangobe
    @EliyaMwangobe 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu amefunuliwa kweli yote !
    Maana hata kwa agano la kale zaka hawakupatiwa makuhani peke Yao Bali yatima, wajane , wageni na maskini kumbu 14:29, kumbu 26:12-14

    • @sophiajonas2090
      @sophiajonas2090 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi kazi yangu Ni kutoa imetumikaje hayanihusu

  • @prophetsedekiamwamposa7841
    @prophetsedekiamwamposa7841 ปีที่แล้ว +2

    Kutoa fungu la kumi nilazima kwa mtu binafsi ila sio kwa watuwote ila nicho gundua sjui watu Kama Hawa ninani aliye wapa mtumishi dah washirika kazi ipo

  • @mamakendrick7538
    @mamakendrick7538 หลายเดือนก่อน

    Mbona title ya hii mesej imekuwa twisted? What this man of God said is different from the tittle. The man is right! The tittle is wrong

  • @jacksonngilu6097
    @jacksonngilu6097 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa. Na kwamba fungu la kumi linaanza kabla ya kipindi cha Agano la kale. Uko sahihi kabisa mwanzilizi wa fungu ni Abrzhamu.
    JACKSON NGILU NYANDA

  • @ruthasajile730
    @ruthasajile730 2 ปีที่แล้ว

    Part 2 please

  • @user-dl9lb4qp7n
    @user-dl9lb4qp7n 11 หลายเดือนก่อน

    15:02 15:02 15:02

  • @paulinbyonge8478
    @paulinbyonge8478 ปีที่แล้ว

    Hunalolote wewe hayo mafundisho ya kipepo usitumalizie MB zangu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

    Mafundisho ya mashetani siku ya mwisho yatakuwa mengi sana wacha Mungu someni biblia yaan saizi watoto wanalawitiwa mnajadili habari za zaka badala ya kupambana na loho mbaya mna laha gani nyie watumishi mwanzo mpaka Ufunuo maandiko yote ni mafundisho kwA wanadamu

  • @godsonthadeonyamhanga2678
    @godsonthadeonyamhanga2678 ปีที่แล้ว

    Mtumish unapotosha neno la Mungu ina maana hilo dhehebu lako jipya la spirit of gethering ndyo mnajua biblia kuliko wengine? Kama zaka sio muhim ktk makanisa ambayo waumini wake wanatoa mbona wewe umeweka namba za watu watoe sadaka?lengo lako waache kutoa makanisani mwao wakutolee online! kazi ya Mungu haitaki hila

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe5598 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mafundisho ya kutotoa fungu la kumi linakazaniwa sana?Kama mtu hataki kutoa fungu la kumi aache kwasababu halazimishwi.Moyo wako ulipo ndipo moyo wako ulipo.Ukitoka duniani ndo utajua ilikuwa sahihi au la.Anayetoa aendelee asivunjwe moyo

    • @jorobency4407
      @jorobency4407 ปีที่แล้ว

      Nashangaa hata Mimi hii injil ya uongo sijui ilikuaga wapi ndo Mana tukaambiwa shika Sana ulicho nacho asije mwovu akakunyanganya.hii ni Roho ya shetan inaenezwa na ya umaskin ktk maisha pesa yangu bado uniambie nositoe kwan kuna mtu alifukuzwa kanisani kisa hajatoa mi sion point wanipishe tu na Roho zao za kuzim

    • @sadikimduge6805
      @sadikimduge6805 ปีที่แล้ว

      mimi siwaelewi kabisa

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 ปีที่แล้ว

      Upo vizuri mtu wa Mungu

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 5 หลายเดือนก่อน

      Kwenye Agano jipya hakuna utoaji wa lazima! Zaka ni utoaji wa agano la kale

  • @neemamalakilevi2661
    @neemamalakilevi2661 ปีที่แล้ว +2

    Nimesikikiza kwa makini naona Kwa maelezo yake anasema fungu litolewe ila kwa kuhani 🤦meaning Fungu Bado linatakiwa kutolewa so issue ya mkiristo kutotoa halipo au sielewi na kuhani awe muombaji hiyo icon ya kuonyesha kuhani 🤦 totally confusing maombi ni kitu Cha faragha Cha mtu binafsi Bado hujaeleza vizuri mtumishi fungu litolewe au lisitolewe ??

  • @apostleadamgige4662
    @apostleadamgige4662 ปีที่แล้ว +1

    haya ni mafundisho ya uongo,
    soma Nehemiah 13;10-12 makuhani walikimbia hekaluni wakaenda mashambani kulima kwasababu ya njaa,watu hawakuleta mafungu ya kumi, Nehemiah akaenda kuwarudisha na watu wakaamriwa watoe zaka,Yuda wote walitoa zaka,na sadaka, Mungu akasema kupitia kinywa cha nabii Malaki kusema,LETENI ZAKA KAMILI GHALANI ILI KIWEPO CHAKULA KATIKA NYUMBA YANGU,
    acha kupotosha watu,kila mtu anapaswa atoe kwa moyo wa furaha maana ni agizo la Mungu,

  • @hapinessobeth4131
    @hapinessobeth4131 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa sasa mbona wwe umeweka namba hiyo sadaka hapo huuuu wakati wengi wanakuja mbona huu mwanzo lakini elewa kwamba hata cornelio alikumbukwa kwa sababu ya sadaka zake ngoja Mimi nitoke nisijichanganye

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 5 หลายเดือนก่อน

      Kornelio alitoa kwa hiari,zaka wanatoa kwa lazima (amri)

  • @MariamMganga-ss9mm
    @MariamMganga-ss9mm 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona mada yake,, haina mashiko?? Usituharibie imani

  • @aminakyungu8414
    @aminakyungu8414 ปีที่แล้ว +1

    Unafundisha kutotoa fungu la kumi Alafu unaomba sadaka?

    • @SpiritGatheringMinistry
      @SpiritGatheringMinistry  ปีที่แล้ว

      Amen

    • @brunosanga
      @brunosanga ปีที่แล้ว

      @@SpiritGatheringMinistry kama ulivyoshindwa kufafanua vizur maana ya kuhani ndivyo ulivyoshindwa kufundisha watu juu ya dhaka au fungu la kumi niheli kunyamaza Biblia inaonya juu ya kuwa walimu wengi

  • @emmanuelwasike2720
    @emmanuelwasike2720 ปีที่แล้ว

    kama waabudu shetani wao humtolea ibilisi hiyo fungu ili wapewe hirizi yakuwaroga ssa nyinyi msipotoa mtakuwaje salama

  • @benno255
    @benno255 2 ปีที่แล้ว

    i should connect you to one man of GOd hii mtashirikishana vzuri sana cse naye ameliandikia hili na amesema kama ulivyosema

  • @deuspastory1814
    @deuspastory1814 ปีที่แล้ว +3

    iko njia ionekanayo kuwa sawa macho pa mtu, lakini mwisho wake. ni njia za Mauti.
    Adamu alipita njia hiyo. akacha fundisho la kweli , akapotea.
    Nawengi watapotea kwa sababu ya uvivu wa kutafuta kweli, madhehebuu yote yenye fundisho la MUNGU, hutoa fungu la kumi. Malawi 3:7-10
    Yesu hajakataa fungu la kumi, zaidi alifurahi kuona wanatoa, na akabariki, Mat 23:23
    Musa aliwa kumbusha kuta zaka ( fungu la kumi) kumb 12:6
    swala la uzaifu wa Mchungaji au mtumishi yo yote, , haibadili fundisho la MUNGU.
    Zaka, nikiwango cha mtu anacho barikiwa kwenye vyonzo vya mapato yake, TAFAKARI.

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 ปีที่แล้ว

    Kenge wewe shetani mwanatheolojia mafunzo potovu kisha mnapin namba ya SADAKA mangedere nyinyi

  • @emes602
    @emes602 ปีที่แล้ว

    Haya mafundisho ya kutokutoa fungu la kumi mbona yamepamba moto. Kwa hivi vidhehebu vinavyojichipukia .. inamaana makanisa makongwe yalitumia nini kutafsri biblia?

    • @venancemgani2041
      @venancemgani2041 ปีที่แล้ว

      Tusiwe walimu wengi

    • @venancemgani2041
      @venancemgani2041 ปีที่แล้ว

      Nahiyo sadaka yanini???? 😈😈😈😈 inawezeka umekusudia jambo Mungu akuponye jiwekee hazina yenu mbinguni kusiko wezi

  • @user-zu1in2yf1n
    @user-zu1in2yf1n 8 หลายเดือนก่อน

    Unaijua biblia au niuwakala wa shetani,okoka usipookoka utakuja kujuta.

  • @pastorpaulmungata231
    @pastorpaulmungata231 ปีที่แล้ว

    Sadaka ipi itumwe kwako sasa kipitia namba simu?
    Nitjuaje kama wewe ni kuhani?

    • @apostleadamgige4662
      @apostleadamgige4662 ปีที่แล้ว +1

      anazuia kutoa halafu anataka apewe sadaka,mbona unatuomba tukutumie wewe,hujui unacho hubiri

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 ปีที่แล้ว +1

      😀😅

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Anajifanya kuhani mtoto mdogo huyo aende afundishwe