FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Kwanini ni muhimu kutoa fungu la kumi, kuwa na ufahamu sahihi kuhusu fungu la kumi (zaka) itakusababisha kufaidi matunda ya fungu la kumi. Ungana na Mwalimu Huruma akifundisha kutoa fungu la kumi katika agano jipya.
    Wasiliana nasi:
    +255 764 500242
    +255 673 500242
    ________________________
    Shiriki Ibada ya Jumapili kanisani Neema na Kweli
    Dar es Salaam: Sinza - Mori
    Arusha: Chama - Tengeru
    Mbeya: Sae
    _________________
    Kuwa sehemu ya familia ya Neema na Kweli: www.podcast.neemanakweli.org
    _______________
    Nunua Kitabu cha "DIRA YA USTAWI" piga +255 764500242 / 673 500242
    _______________
    Kuwa Partner wa Mwalimu Huruma Gadi :
    Mpesa 0764 500242 (HURUMA GADI)
    TigoPesa 0673 500242 (HURUMA GADI)
    _______________
    Kwa maswali, kuombewa au ushuhuda, tupigie:
    +255 764 500242 / 673 500242
    ______________
    Fuatilia Neema na Kweli katika mitandao ya kijamii:
    FACEBOOK
    / neemanakweli
    TWITTER
    / neemanakweli
    Download and Install UZIMA TIME PODCAST APP on google play store:
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 44

  • @ShukuraniWilondja
    @ShukuraniWilondja 10 วันที่ผ่านมา

    Unifafa nuliye mtumishi nipate kuhelewa

  • @ShaliMwile-mb5ni
    @ShaliMwile-mb5ni 24 วันที่ผ่านมา

    Amen ❤

  • @stratonassy8879
    @stratonassy8879 หลายเดือนก่อน

    Nice message blessed man of God

  • @festosella7438
    @festosella7438 5 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna kutoa chini ya sheria tena! Fungi LA kumi si sahihi chini ya Agano jipya, Fundisheni injili na tufanye Nazi ili tuachane na mapato ya aibu!

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 3 ปีที่แล้ว

      We mtumishi mungu akusaidie fungu lakumi halina cha agano jipya nisheria endelevu lazima itolewe

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 ปีที่แล้ว

      @@johnzacharia2308 ikishakua Sheria haiwi neema Tena na Sheria haipunguzwi maana imeandikwa amelaaniwa mtu awaeyote asietimiza Yote ktk torati

  • @abrahambalamba6679
    @abrahambalamba6679 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapa huyu jamaa alikuwa bado anahubiri torati badala ya injili ya Neema na Kweli.

  • @sangameshack8007
    @sangameshack8007 3 ปีที่แล้ว +2

    Ujasiriamali kanisani haufai

  • @gideonligate3397
    @gideonligate3397 5 ปีที่แล้ว +4

    Watumishi, fundisheni habari za fungu la kumi kama lilivyo andikwa kwenye biblia.

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 5 ปีที่แล้ว +5

    Hii imefanya watu watoe huku wakitegemea Mungu atawalipa wakati Mungu anataka rehema wala si sadaka Agano jipya hatutoi kwa sheria ila kwa Moyo wa furaha na bila kuwaza Mungu akulipe.

    • @oscarobed7900
      @oscarobed7900 4 ปีที่แล้ว

      Jinsi ulivyoandika utafikiri huwa unatoa kumbe hata huko kutoa hutoi kabisa

    • @user-dw6uy7tv9o
      @user-dw6uy7tv9o 2 ปีที่แล้ว

      Yani huyu mwalimu nilianza kumwelewa ila kwa hii mada ya fungu la kumi kachemka shida watumisha hawamwamini Mungu kama anaweza kuwatunza kama wanavyowaambia wafuasi hivyo kufundisha mambo ya fungu la 10 agano jipya no fungu la 10

  • @kevinlavin2955
    @kevinlavin2955 2 ปีที่แล้ว

    Praise God pastor...am so blessed with your teaching grace Kevin mjaw from Kenya 🇰🇪

  • @sharonpendo5708
    @sharonpendo5708 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa mwalimu na nimepokea marifa Bwana Yesu Kristo akubariki

    • @MwalimuHurumaGadi
      @MwalimuHurumaGadi  5 ปีที่แล้ว

      Amen Sharon

    • @bernadngimba5394
      @bernadngimba5394 ปีที่แล้ว

      Yaani fungu la kumi linawauma wakristo wa leo sijui ni kwa nini ,hivi kweli kutoa elfu kwenye elfu kumi inakufanya mshirika uumie kweli, hivi tunamjua Mungu kweli au tunabaatisha

  • @emmanuelathuman896
    @emmanuelathuman896 ปีที่แล้ว

    Mungu hataki Hera

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 3 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi mtumishi tunatoa fungu la kumi kwenye faida na si hela ya mtaji wala hela ya mkopo

  • @tuisengeelieza955
    @tuisengeelieza955 6 ปีที่แล้ว +2

    barikiwaa

    • @oscarobed7900
      @oscarobed7900 6 ปีที่แล้ว

      Hii ni siri siyo kila mtu anaweza kufunuliwa kuijua siri hii..
      Kuna maneno yanaongewa kwetu ni siri za thamani kwetu ila km roh o haijafunuliwa kuona..ubishi na ujuaji wa maandiko unaanzia hapo.
      Ndani ya maandiko kuna siri..kujua siri nyuma ya maandiko ndiyo nguvu yetu.
      Umebarikiwa mtu wa Mungu.

  • @melesimelesi2844
    @melesimelesi2844 5 ปีที่แล้ว +5

    Kristo alishatuokoa na laana ya Torati, Kwa sasa tuko huru hatufungwi na sheria!!! Wachungaji mnatufanya tuishi wanyonge Wakati kristo alishatutoa utumwani.

    • @joelshija4184
      @joelshija4184 5 ปีที่แล้ว

      Hili tatizo kubwa sana kuna vitu viwili muhimu 1.Roho mtakatifu
      2.Neno la Mungu
      Ukiwa na vitu viwili hivi hupati shida
      Kanuni ya kumtolea Mungu ni
      2wakorintho 9:6-9

    • @victorponela562
      @victorponela562 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Mchungaji. Mungu ktk Agano jipya hashirikiani na mwanadamu kufanya biashara.Ktk Agano jipya kristo Yesu ndiye 100% kwetu.Bado unahubiri 10%.

    • @victorponela562
      @victorponela562 4 ปีที่แล้ว +1

      Itakusaidia nini ukapewa utajiri wote wa hapa duniani,kwa sababu tu umekuwa mwaminifu kutoa fungu la kumi ukamkosa Bwana Yesu moyoni?.Acheni kuhubiri injili ya mpinga kristo.

    • @mbisasamuel6218
      @mbisasamuel6218 4 ปีที่แล้ว

      Mm taka niulize swali kwani ss niuzao wa Iblaimu au wa Musa

    • @neemajonathan6968
      @neemajonathan6968 4 ปีที่แล้ว

      Barikiwa

  • @ShukuraniWilondja
    @ShukuraniWilondja 10 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi nataka kuheleweshwa,je fungo kakumi. Kwaliyokuwa hulaya .apo awali kuwa afrika kwasasa tupo hulaya .swali je fungo nipeleke afrika au mazabahuya yahapa hulaya alipo?

  • @lugendondayanse4910
    @lugendondayanse4910 4 ปีที่แล้ว

    NI MUHIMU SANA KUTOA MAARIFA SAHIHI, , BILA MAARIFA AU MAARIFA YASIYO SAHIHI NI SHIDA KTK KANISA LA MUNGU

  • @user-ue2qj9vd1p
    @user-ue2qj9vd1p 8 หลายเดือนก่อน

    Kamateni hao wasiowezakutofautisha torati na injili ya cristo

  • @geraldsiame1508
    @geraldsiame1508 4 ปีที่แล้ว +4

    Nilichogundua waalimu wengi hawana uelewa na biblia kuhusu agano la kale na jipya ,na kuhusu utaji wa sheria na utaoji katika kipindi cha neema ,Kwa hiyo wamekua walimu wajinga na waumini wao wajinga vilevile , Leo hatuna utoaji Wa sheria soma 2kor 9 yote nb 7 utaelewa na utawekwa huru

    • @Werema3760
      @Werema3760 ปีที่แล้ว

      Fact.“Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati),

      - Waebrania 10:8

  • @costantinekikinda2149
    @costantinekikinda2149 4 ปีที่แล้ว +2

    Huuu ni wizi kasome tena maana ya fungu la kumi

  • @emmanuelmathiasmpesa9396
    @emmanuelmathiasmpesa9396 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Tusomee mstar wa 26 anasema ubadilishe ziwe fedha utumie Kwa chochote ipendacho Roho Yako ni nani huyu ambaye asiache kutoa Ili apate kula wa kati akimcha Bwana?

  • @abrahamasosisye7822
    @abrahamasosisye7822 4 ปีที่แล้ว +1

    umewekwa kuwa mawakili wa mungu. Ili itu vyote tuvitawale na tuvitumie kisha tuvitolea hesabu
    Mwanzo 1 ;27-29)…
    ²⁷ Mungu akaumba mtu kwa mfa
    no wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
    ²⁸ Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
    ²⁹ Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
    Shetani akaona wivu baada ya yeye kuasi mbinguni
    Mwanzo 3 ;1-5
    ¹ Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
    ² Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
    ³ lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
    ⁴ Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
    ⁵ kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
    Mungu anatoa agizo jipya
    Mwanzo 3 ;16-19
    ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
    ¹⁶ Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
    ¹⁷ Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
    ¹⁸ michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;
    ¹⁹ kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
    Tangu hapo shetani anatumia uelewa wetu hafifu kututia majaribuni
    Tu amuona anamjaribu hata BWANA WETU YESU KRISTO baada ya Yesu kufunga kwa siku 40 .
    Pia nasi anatujaribu kwa mandiko na wengi amewanasa katika hayo
    Kama vile
    1. Mathayo 19; 23-24
    ²³ Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shida tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.
    ²⁴ Nawaambia tena, Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu ya sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
    2. Kitenado cha mjane kutoa senti 2
    Marko 12 (Biblia Takatifu)⁰
    ⁴² Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa.
    ⁴³ Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina.
    3. Maneno kama ombeni naynyi mtapewa
    • Mathayo 7 ;7-8
    • ⁷ Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;
    • ⁸ kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
    “Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.

    - 1 Timotheo 6:10 (Biblia Takatifu)
    Haya no maneno yanayo tuliwaza masikini. Yapo mengi lakini yatoshe haya kwa leo.
    Kumbuka kuwa madiki i sio tiketi ya kuingia mbinguni. Mana majaribu yapo ya kumtosha masikini.
    Umasikini nisawa na kuadhibiwa kwa kosa usilo litenda.
    Kumbuka vitu vyote u.epewa kuvitawala kwahiyo husitahili kuwa masikini

    - Mithali 19:2,4 “
    2 Tena si vizuri nafsi ya mtu ikose maarifa; Naye afanyaye haraka kwa miguu hutenda dhambi.
    4. Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake.

    Asiye fanya kazi na asile
    2 Wathesalonike 3;10“Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

    Mithali21,25
    “Matakwa yake mtu mvivu humfisha, Kwa maana mikono yake hukataa kufanya kazi.
    Mungu anasema nasi na kutuonya ila mioyo yetu ni mikaidi
    Yeremia 22:21
    “Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu.

    Sio kwamba ukifanya kazi ya Mungu unatakiwa uwe masikini
    Marko 10 :28-30
    ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
    ²⁸ Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.
    ²⁹ Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili,
    ³⁰ ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.
    Baada ya mafanikio kiburi kisiinuke
    Mu gu atakuathibu
    Kumbukumbu la Torati 8 :16-19
    ¹⁵ aliyekuongoza katika jangwa lile kubwa lenye kitisho, lenye nyoka za moto na nge, nchi ya kiu isiyokuwa na maji; aliyekutolea maji katika mwamba mgumu,
    ¹⁶ aliyekulisha jangwani kwa mana, wasiyoijua baba zako; apate kukutweza, apate kukujaribu, ili kukutendea mema mwisho wako.
    ¹⁷ Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo.
    ¹⁸ Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
    ¹⁹ Lakini itakuwa, kama ukimsahau Bwana, Mungu wako, na kuiandama miungu mingine, na kuitumikia na kuiabudu, nawashuhudia leo ya kuwa mtaangamia bila shaka.
    Ukimheshimu Mungu katika kweli na moyo mkunjufu pasipo kusitasita na kushika amri zake utakula meme ya nchi.
    Isaya 1 :18-20&
    ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
    ¹⁸ Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
    ¹⁹ Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi;
    ²⁰ bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha Bwana kimenena haya.

  • @emmanuelmathiasmpesa9396
    @emmanuelmathiasmpesa9396 ปีที่แล้ว

    Atakaekula ni mtoaji! Au nani? Mbona anasema nawe utakula? Anaambiwa nani😁

  • @rungulayesu1895
    @rungulayesu1895 4 ปีที่แล้ว +1

    PASTOR JARIBU KUPITIA HIII th-cam.com/video/SOMTHuR99t8/w-d-xo.html

  • @josephpesa5192
    @josephpesa5192 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim nimekuwa nikijifunza mafundisho yako kwa muda mlefu ila kwa somo hili bado sijaelewa naomba unifafanulie juu ya kile kilicho andikwa kwenye 2korth 9:7 je!? Biblia inajipinga mwalim?
    Na jee? Kutoa Zaka nisheria ?

    • @godlovewarwa553
      @godlovewarwa553 5 ปีที่แล้ว

      ndugu yangu Mungu hajajipinga ila amemaanisha kutoa kwa moyo na kwa dhati kwasababu tunamuamini yeye na ndiye aliyesema tutoe. Lakin kama unatoa kwa kulazimishwa inamaana haijatoka moyoni

    • @godlovewarwa553
      @godlovewarwa553 5 ปีที่แล้ว

      Neno linasema pia hazina ya mtu ilipo ndipo moyo wake ulipo. Mathayo 6:19-21.....weka hazina yako kwa MUNGU

    • @newbornhaule1635
      @newbornhaule1635 5 ปีที่แล้ว +1

      @@godlovewarwa553 Lakini hapa hazina siyo pesa tu nikile mtu alichokipa kipaumbele Yesu anasema anataka Rehema wala sio sadaka shida iliyopo utoaji wa agano jipya umetafsiriwa kwa mapana kuliko agano la kale walivyo fanya maana hatupo chini ya sheria lakini kama tunarudi kwenye sheria tufate yote ikiwemo na siku ya sabato kutokula baadhi ya vitu na n.k maana wengine hazina ni muda wengine mke/mume wapo wanaotoa zaka za mnana yaani niwatoaji ila wako mbali na Mungu.. Sasa hiyo ni hazina

  • @potnews9702
    @potnews9702 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli wajinga ndio waliwao,,eti zaka inaleta utajiri?? Hakuna kitu kama hicho,, Akili na nguvu yakupiga kazi ndio nyenzo,,,Duuh fundishen injili siyo mafanikio