Hata kanisani kwetu mch, anahimiza kuandika jina kwenye bahasha unayo toa! Mi najua utoaji wa mungu hauko hivo, Kwa hio mimi siandikagi jina! Mungu alie sirini mwangu ndo anapaswa kujua! Ntaandikaje jina kama mchango wa harusi?
Kakobe yeye usipotoa unaitwa umezimia na ukija kutoa baadae unadaiwa na 5% yake kama faini. Na usipotoa kabisa unafukuzwa kwanisa. Na kila mfanyakazi anatakiwa alete Salary Slip. Kama hufanyi kazi kuna kamati inakutembelea kukagua mapato yako na kukukadiria uwe unatoa ngapi kila mwezi. Na hii inaongezeka kila mwaka. Ukitenda dhambi kwa Kakobe unaweza usifukuzwe kanisa lakini usipotoa huwezi kuvumiliwa.
Mbona kama unazunguka kama fungu la 10 ni torati vipi tena tuje tutotoe fungu la10 huku kwenye neema na imani unatuchanganya tuachane fungu la 10 kwa sasa hata baada ya Yesu hakukua na story ya fungu la 10 tena sasahivi tutatoa hata zaidi ya 10%ila kwa moyo wa kupenda
Huwezi kuwa masikini Kwa kutoa fungu la kumi, mbona kodi ya serikali mnalipa na hamfungi biashara zenu. Kati ya Mungu na serikali nani anatoza zaidi au Kwa kuwa Mungu hajaweka polisi wa kimwili ili kukamatwa wakwepa zaka? Tufuateni maandiko yanavyosema siyo mtazamo wa mtu fulani.
Barikiwa sana mtumishi
You're a great teacher brother. I see humbleness in the way to articulate things, God bless you
Pole Sana! Msingi wako ufanye mwenyewe ,una uchungu wa nyongo! sisi Mungu tunampa zaidi ya asilimia 10
Amina ahsante sana ubarikiwa
Nimekuelewa sana mtumishi
Amina
Nimekuelewa mtumishi wa MUNGU ubarikiwe
Upo sahihi kabisa mtumishi, ni watumishi wachache sana wanaofundisha KWELI ya KRISTO.
Hata kanisani kwetu mch, anahimiza kuandika jina kwenye bahasha unayo toa! Mi najua utoaji wa mungu hauko hivo, Kwa hio mimi siandikagi jina! Mungu alie sirini mwangu ndo anapaswa kujua! Ntaandikaje jina kama mchango wa harusi?
Wasio taka kumjua mungu wa kweli lazima wabishe hovyo
Kweli kabisa
Ni kwel kabisa wengi wanatoa fungu lakumi ndo wanazidi kuwa na njaa
Yote tunayofundishwa hamna anaejua Kama Ni kwel kwasababu mtu anafundisha kile alichofundishwa na yeye
Hapa Sasa,ndio tunaelewa tafauti,kati ya kanisa LA yesu na kanisa kahaba.
Hiii ndio maana halisi ya IMANI yako ndio itakayokuponyaa
Sadaka na fungu la kumi sio kigezo cha kufanikiwa
Na ile kusimama kuombewa mbele kwa mtumishi wakati umeshika fungu la kumi je ni sahihi maana neno linasema sadaka ni siri?
Kakobe yeye usipotoa unaitwa umezimia na ukija kutoa baadae unadaiwa na 5% yake kama faini. Na usipotoa kabisa unafukuzwa kwanisa. Na kila mfanyakazi anatakiwa alete Salary Slip. Kama hufanyi kazi kuna kamati inakutembelea kukagua mapato yako na kukukadiria uwe unatoa ngapi kila mwezi. Na hii inaongezeka kila mwaka. Ukitenda dhambi kwa Kakobe unaweza usifukuzwe kanisa lakini usipotoa huwezi kuvumiliwa.
Toboa mtumishi
Mbona kama unazunguka kama fungu la 10 ni torati vipi tena tuje tutotoe fungu la10 huku kwenye neema na imani unatuchanganya tuachane fungu la 10 kwa sasa hata baada ya Yesu hakukua na story ya fungu la 10 tena sasahivi tutatoa hata zaidi ya 10%ila kwa moyo wa kupenda
Wewe nahisi hujamuelewa vizuri..mbona kaelezea kila kitu...Anza mwanzo kabisa kasema unaweza toa ata zaidi ya aslimia 10
Huwezi kuwa masikini Kwa kutoa fungu la kumi, mbona kodi ya serikali mnalipa na hamfungi biashara zenu. Kati ya Mungu na serikali nani anatoza zaidi au Kwa kuwa Mungu hajaweka polisi wa kimwili ili kukamatwa wakwepa zaka? Tufuateni maandiko yanavyosema siyo mtazamo wa mtu fulani.
Rubeni hakuna maandiko yanalazimisha kulipa fungu la kumi katika agano jipya