Mchungaji kuna mda mwingine hauja tutendea haki kwa sababu ule wimbo wa mahali ni pazuri haujaimba mpaka leo ninaomba utuimbie maana ni kazi uliyoitiwa
Ahsante sana jmn!! Ninaimba huu wimbo hadi nalia machozi!! Amen!! Yesu asifiwe sana!! Nampenda Yesu!! Hakika nitamtumikia Yesu wakati wote wa maisha yangu. Amen. Zaburi37:5.
UTUKUFU UZIDI KUWA MKUU MUNGU MWENYE KUTUPA NEEMA YA KUMTUKUZA
Mchungaji kuna mda mwingine hauja tutendea haki kwa sababu ule wimbo wa mahali ni pazuri haujaimba mpaka leo ninaomba utuimbie maana ni kazi uliyoitiwa
Barikiwa pastor unaugusa sana moyo wangu
Nazisikia sauti zenye tamaa mbaya......Yesu nisaidie nakuandamia
Hakika mch.wimbo huo unapoimbwa kwa utaratibu wake,unaniweka mahali pa kuutafuta uso wa kristo....barikiwa mtumishi wa Mungu.
Hii nyimbo hunifariji kila wakati, Dunia ikaribu bwana unilinde 😢
Ahsante sana jmn!! Ninaimba huu wimbo hadi nalia machozi!! Amen!! Yesu asifiwe sana!! Nampenda Yesu!! Hakika nitamtumikia Yesu wakati wote wa maisha yangu. Amen. Zaburi37:5.
Sitaogopa vita nikikufuata🙏
NIPO NKUHUNGU YA DODOMA - Safi saana saana barikiweee
Barikiwa sana Mchungaji kwa nyimbo hizi hakika tunabarikiwa
Amen
Mungu azidi kukubariki Mtumish umenifanya nikajua kuimba nyimbo nying za kitabuni
Mungu akubariki sana mtumishi, huwa na barikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako.
Libarikiwe tumbo lililokuzaaa na mikono iliyokulea
Whenever I listen,and sing together with you,I feel blessed.Will do it wth my Saxophone,Kwa upole na utaratibu
Waiting for that man of God
wimbo huu unanibariki sana.
Nakuapia Yesu kukutumikia!!!
Mungu akUbariki mtumish maana wimbo umenipa faraja kipind hiki kigumu kwangu
Mungu azidi kukubariki Mtumishi !Umetufundisha kuimba kwa kumaanisha......
Amen
I feel blessed thank-you pastor may God Bless you
Mungu akubariki
Mtumishi Bwana asifiwe azania huonekani uko wapi
Ubarikiwe sana Mtumishi
Yesu ni rafiki mwema sana kwangu. Ubarikiwe sana mchungaji
Amen
Daaah ubarikiwe
Ubarikiwe Pastor! Long tym Mtumishi since Mwika Campus
🙏barikiwa sana Kwa huu naupendaga sana Yan mmenigusa sana kiiman❤
From KPA Kindly niekee nyinbo nivute kwako bwana yesu congrats kwa kazi ufanyayo
Touching,my grandma used to sing the song often
Amen ubarikiwe mtumishi
Wooh
Barikiwa mno
372 Pastor naomba 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🥰
Barikiwa kwa utumishi mzuri
Be blessed.makumira
Ameeni
Pliz sing the same way nivute kwako bwana patrick kenya malindi parish ilove this song
Barikiwa Sana Baba.
naupenda sana huu wimbo
❤❤❤❤
Amen Amen Amen
I feel blessed
Thank You So Much...! This song blesses me so Much...
Hakika sitaogopa vita nikikupata, na aduii siku zote ni ndani na njee
😢😢😢
Saf sana
God bless you keep soaring high for the Gospel🙌
Kwa nini usitoe CD za uimbaji wako
Ubarikiwe Pastor! Long tym Mtumishi since Mwika Campus
Amen
Za masiku?
@@VoH-Official Mungu ni Mwema sana! Kindly send me your number Reverend Gwakisa
Mungu akubariki sana Kwa huduma yako na umbaji wako mungu kakujalia sauti nzuri ya kumwimbia aleyu nimefurahi sana siku ujekwetu yombo kuu
sauti iliyo hai. ...inaniponya mnoo
Amen
Amen