TMW 154 - NINATAKA KUINGIA (Amazing Performance)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Performance nzuri kabisa kutoka Kwa wanamuziki wa jukwaa la muziki Tanzania (JUWAMU)#music #classicalmusic #musicarrangement

ความคิดเห็น • 13

  • @DavidNashanda
    @DavidNashanda 10 วันที่ผ่านมา

    Baba nataman sana ungeitambua haja ya moyo wangu natamani sana kuujua muziki maana naimba kwa kubahatisha kitu ambacho sio sahihi kwan hata mungu amesema tuimbe kwa akili lakin harakati za maisha zimenifanya niikose nafasi ambayo nadhan mungu alikua na makusudi kunikutanisha na wewe Baba

    • @DavidNashanda
      @DavidNashanda 10 วันที่ผ่านมา

      Mchungaji moses shemweta

  • @SilasMngazija
    @SilasMngazija 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman huku niliko nafarijika sana mimi silas mngazija nimetokea huko na sasa huku niliko mafanikio mziki nashukuru namuona mwalimu greison wa ushark wa kisosora tanga hongera

    • @eliudshangali
      @eliudshangali  4 หลายเดือนก่อน

      Asante Sana Mtumishiii

  • @revinmlay5031
    @revinmlay5031 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kwaya kuu iko moto❤nimewapendaaa

  • @zakayomwalongo2995
    @zakayomwalongo2995 6 หลายเดือนก่อน +1

    amen

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeraaa

  • @ignatusrogerslema8650
    @ignatusrogerslema8650 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtanifanya na Mimi nijiunge kuimba sasa kwanza niambieni ni kanisa gani hili huyu mwalimu naomba namba yake please

    • @lupakisyomwakyolile8601
      @lupakisyomwakyolile8601 7 หลายเดือนก่อน

      Ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

    • @princejames-vp8fm
      @princejames-vp8fm 7 หลายเดือนก่อน

      Usharika wa wapi

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tafuta mchungaji mwaipopo hapa TH-cam uone uzuri wa huu wimbo amewiimba vema sana

    • @Kervinjohn26
      @Kervinjohn26 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@angelitapaulomchungaji Mwaipopo mtu wa maana kbs