Hii ndio siku Polisi ilifunga Milango ya Central Kuwakimbia Waislamu - Mohammed Said

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @alimau7939
    @alimau7939 หลายเดือนก่อน +5

    Tunakufuatilia vizur sheikh tunamuoba Allah akuhifadhi

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdulillah kwa neema ya Nuru ya Uislamu ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @MaulidKhalfan-kx8gw
    @MaulidKhalfan-kx8gw หลายเดือนก่อน +6

    Mohammed said mwenyez mung akuweke zaid hakika ww ni hazna bora

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  หลายเดือนก่อน +1

      Aaamin

    • @abdallahnamtuka4634
      @abdallahnamtuka4634 28 วันที่ผ่านมา +1

      maalim nakuelewa sana pia napata elim kubwa sana kutoka kwako

  • @SaidMhando-y5k
    @SaidMhando-y5k หลายเดือนก่อน +4

    Allahu akbar allahu akbar allahu akbar kabiira walhamdulillahi kathiira

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e หลายเดือนก่อน +1

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR I AM PROUD OF PEOPLE OF TZ. AND ZANZIBAR. AND TANGA.AND PEMBA. REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK. BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AYUBUCHAKELA
    @AYUBUCHAKELA หลายเดือนก่อน +1

    Ma Sha allah 🎉

  • @SaidMhando-y5k
    @SaidMhando-y5k หลายเดือนก่อน +4

    Alhamdulillahi namm ni muislam alhamdulillah

  • @fatumakambi960
    @fatumakambi960 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh Mohammed kama huwezi kuziandika hizi historia zote uzijuazo basi japo zilirikodi kwa media.

  • @Num3er22
    @Num3er22 หลายเดือนก่อน +1

    Taifa letu la Tanzania hatuhitaji udini. Na hatuungani mkono na wale wanaotaka kuleta maafa kwa taifa letu kisa dini. Tunaona mataifa mengine wanavyojutia kupoteza amani zao kisa udini.

    • @Mujahid-e9j
      @Mujahid-e9j หลายเดือนก่อน +1

      Kama nchi gani?

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp หลายเดือนก่อน +1

      Unajua maana ya dini ni nini? Mjinga wewe

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 5 วันที่ผ่านมา +1

      Pumbavuu wewe KAFIRI JEUSIIIIII hilooo 😂😂😂

  • @israel1331
    @israel1331 หลายเดือนก่อน

    Udini wa nn shekhe hii ni nchi ya amani inaendeshwa kikatiba ndo maana hata rais ni mwislam so nchi haina dini bali watu ndo wana dini

    • @froma3732
      @froma3732 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa hakuna Udini anaeleza Serekali inavowanyanyasa Waislamu jaribu kuelewa kama unataka kuelewa

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 5 วันที่ผ่านมา +1

      Jina lako lenyewe ni Israel mbwaaaa koko 🐄🐄🐄🐄 wewe

  • @KhalidiBoaz
    @KhalidiBoaz หลายเดือนก่อน

    God bless Ìsrael🇮🇱 Amen̈

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 หลายเดือนก่อน +1

      Israel ya Nyoko

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n หลายเดือนก่อน +2

      Huko unaposema israel mungu wako yesu wanasema ni mtoto wa zinaa hawaukubali ukristo abadan

    • @israel1331
      @israel1331 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedMohamed-u3t1n Ila mnakuwaga na hasira bro! Ungempata huyu jamaa si ungemchinja!
      😂🤣 😂

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n หลายเดือนก่อน +1

      @@Fm-MornStar2014 wala sio asira tunawaambia ukweli israel hawamkubali yesu hiyo sio asira mnajipendekeze na nchi ambayo inawaida waabudu sanamu sasa kuna hasira hapo au ndio tabia yenu kukataa ukweli au kama huu uongo sema wewe yesu anakubalika mungu wako huko kwa wayahudi?

  • @GoodluckMalya
    @GoodluckMalya 15 วันที่ผ่านมา

    Waarabu na wazungu walitesa babu zetu kwa izo dini na bado unakuta mtu anapigania dini kuliko utaifa

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 10 วันที่ผ่านมา +1

      Utaifa gn wakati watu wanadhulumiwa majumba yao na wachaga kupitia mahakamni au wizara ya ardhi..!

  • @MartinKitina
    @MartinKitina หลายเดือนก่อน

    Kibiti mlifyekelewa mbali uje na stories zako za uongo why mlifyekwa kibiti. Nyie ni majitu ya ajabu sana, bucha la Nguruwe la mwingine wewe linakuhusu nini, naona kundi lako la kuandaa vijana wa kibiti samia kalirudisha upya, mana mnafahamika nyie hovyo

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp หลายเดือนก่อน +2

      Sawa waislam walivyekwa , aliye amuru wafyekwe uko wapi!?

    • @froma3732
      @froma3732 หลายเดือนก่อน

      Samiha kawapa watu Uhuru wa kusema kama vile wingine Wanavorpoka na Mkutukana na wewe Unampinga kama ulikuwa Ushazaliwa

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 10 วันที่ผ่านมา +1

      Wote waliouwa rufiji watu wasio na hatia nao watakufa na kubwa lao limetangulia huko linawangojea watumwa wake