Hiki ndicho kinachoifanya Jordan kuwa Chawa wa Israel na Kuusaliti Uislamu,Inasikitisha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 85

  • @rashadymuhamad6293
    @rashadymuhamad6293 2 วันที่ผ่านมา +2

    Brother hongera san kaka, very very fact, ulivyoniunganishia na Al saud, nakupa salute ya moja kwa moja. Nilikuwa na 'some old ideas' nikapata na 'new ideas' tayari nimeunganisha dots na kupata 'true concept' .

  • @azzaliy8109
    @azzaliy8109 วันที่ผ่านมา

    Very GOOD History!! ingiwa inahuzunisha kwa sisi waislamu! Mungu atuongoze kwanye njia ilinyooka sisi na kizazi chetu!! AMII

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 8 หลายเดือนก่อน +15

    insha ALLAH kila mnafiQ na dhwaalim atafikamwisho. na sasa mwishowaao unafiika.

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 8 หลายเดือนก่อน +1

      Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin

  • @jimalhussein3215
    @jimalhussein3215 3 วันที่ผ่านมา +1

    Long live Yemen-free, proud, and independent.
    Victory to Yemen and to all the free people of the nation.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 8 หลายเดือนก่อน +5

    History imekaa vizuri san wallah ❤❤❤

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 8 หลายเดือนก่อน +5

    Allah amuangamize king Abdulla

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante,Allah akulipe kheri kwa elimu unayoitoa, Ukipata wasaa andaa na historia na kwann Saud Arabia nayo iko bize na Israel na marekani na wazungu.

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  8 หลายเดือนก่อน

      in sha Allah

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 7 หลายเดือนก่อน

      waingereza ndio waliowapa ufalme.hata jina la ukoo wa said ndio jina la nchi.

    • @salmahussein1242
      @salmahussein1242 2 วันที่ผ่านมา +1

      Waislam waliipenda dunia zaidi....mpaka wanafarikiana wenyewe kwa wenyewe....mtume swa livyosema tusiwafanye wasio kuwa waislam marafiki zetu ndio hayo yanatukuta

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 วันที่ผ่านมา

      Mtangazaji ameleeza kwa nini HIJAZI ilipinduliwa na ufalme iliopo sasa wa SAUDI ARABIA

  • @bishweko
    @bishweko 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni uchungu kweli kweli. In Sha'a Allah iko siku iko siku iko siku

  • @hosseinmaina2444
    @hosseinmaina2444 8 หลายเดือนก่อน +8

    Tumuombe Mwenyeezimungu aijalie Iran iwe na nguvu zaidi iweze kuwashinda hao madhalimu

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 8 หลายเดือนก่อน

      In sha Allah

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 2 วันที่ผ่านมา

      Inshaallah

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 8 หลายเดือนก่อน +2

    Very Good History

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 8 หลายเดือนก่อน +9

    kibaraka king an dala ni mnafiki

  • @jumamzee6999
    @jumamzee6999 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah, safi sana kweli tupu

  • @internationalfreeworld3951
    @internationalfreeworld3951 23 วันที่ผ่านมา

    Sauti inafanana na masoud masood historia nzuri

  • @ummukauthar-r5q
    @ummukauthar-r5q 8 หลายเดือนก่อน

    MAASHAALLAH UMEELEZA VIZUR

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg 6 วันที่ผ่านมา

    Mada nzuri bt plz toa hivo vinanda

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 8 หลายเดือนก่อน

    Shida hiz history unazipat kikafiri vile vile walivozutengenez nao ambaz sio kweli now nd tunapat vit vinavohus dini❤❤❤

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 หลายเดือนก่อน

    Kalamutz toweni makali nyingi za kutufunuwa macho maana uongo umekuwa mwingi kwenye mitandao.

  • @richardchenge3100
    @richardchenge3100 2 วันที่ผ่านมา

    Dua la kuku halimfikii mwewe

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 วันที่ผ่านมา

      waulize mashoga zako huko MAREKANI !!!nini kimewafika!!

  • @israelhamiskiobya903
    @israelhamiskiobya903 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida ni kuwa kila anayepinga uchokozi wa Iran ni msaliti. Iran haipigani kwa niaba ya Uislam.

  • @crowninvestments-j3t
    @crowninvestments-j3t 4 วันที่ผ่านมา

    Bora salama

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waarabu wa sasa hivi sio wakuaamini tena

  • @gregorybakuza5796
    @gregorybakuza5796 วันที่ผ่านมา

    Jordan hiyohiyo iliyoanzishwa ili kulinda mipaka ya Israel ilishiriki kwenye vita ya kuitokomeza Israel!
    Mnapoandaa makala muwe mnaingia chimbo kwanza kupata maarifa

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwisho wao umefika

    • @deusNjimba
      @deusNjimba วันที่ผ่านมา

      Hizo. Ni NDOTO. ZA MKOMA. KUWA. KAOTA. VIDOLE

  • @hatjuggling8858
    @hatjuggling8858 วันที่ผ่านมา

    Nikwel Jordan ni chawa maana ikiacha uchawa Israel mashariki inangamizwa upande wa Eilat

  • @mapromovichege6997
    @mapromovichege6997 วันที่ผ่านมา

    Nchi ni nini! Kwenye usaliti hakuna mipaka ya nchi mana mipaka ya nchi imewekwa na wazungu co na mungu

  • @YehudabanYerushailēm
    @YehudabanYerushailēm 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kosa kubwa linaanzia enzi za dola ya rumi, ilipowatawanya wenye yenye nchi ama jimbo la Yudea (Yuda/Yehuda) baada ya kupinga utawala wao na kulinvunja hekalu la Yerusalem wengi wao walikimbilia na masharik mwa afrika ambako warumi hawakutawala

    • @zenahussein2242
      @zenahussein2242 8 หลายเดือนก่อน +1

      Lakin warumi wapya si ndio marafiki wa wayahudi wa leo😂😂

    • @YehudabanYerushailēm
      @YehudabanYerushailēm 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@zenahussein2242 Wayahudi halisi wako afrika, alafu jua kutofautisha kati ya Myahudi na Muisrael, kuna moja ni kabila kati ya makabila 12 ya Yakobo pia ni imani, na jingine ni taifa mkusanyiko wa makabila 12 ukitaka kujua kua hao sio, hakuna mlawi, mrubeni, myusufu n.k Yahudi ni kabila la Yuda mtoto wa nne wa Yakobo na ufalme wa kusini makao makuu yao ni Yerusalem ambapo Mungu aliazimia kusimamisha ufalme wake kupitia huyo na ndio kabila la Yesu

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 8 หลายเดือนก่อน +7

    Umeeleza vema an nikweli nyongeza huyo Abdullah mfalme mama yake ni myahud...
    Ama hizi hila unadhami zitaendelea mpka lini?
    Hii dunia kuna kila aina ya ya dhulma inayofanywa na Wazayuni.
    Hao wanaojiita waingereza wamepachikana majina tu wote hao nimayahudi waliopo marekani na kwinginepo..
    .
    Kwahyo unapotoa mada ujue kuwa wapo wajuzi kwenye uyasemayo.
    .ina maana hata wewe unaguswa na hii dhulma inayo fanywa.
    Kwa hakika Jutihada ni kubwa na nusra inakuja udhalimu unafika mwisho.
    Mayahudi watapigwa dunia nzima mpka watasalimu amri.
    Hy moja pili kuna watu leo bado wanaamini Israel taifa teule huko nikujidanganya km vile hutaki kusikia kifo ingali kifo kipo pale pale.
    Vyote vilivyo fanywa na Uingereza na wengine ni dhulma na dhulma hua haidumu kinacho dumu ni hasara na hasara ndio hii inajitokeza.utashuhudia tukijaaliwa uhai.
    Kwakumaluzia kuna Familia inayotawala dunia Ya Roschildy ndio moja ya familia ilo amua kuanzisha 1948 hy israel .
    Na juzi shetani Sr jacob roschild amekufa naakazikwa israel hii familia inayo zaidi ya trilion dola 5000 mpka leo ndio wanamiliki Kanisa katoliki waliikopesha kanisa dola lake nne ikashindikana kulipwa wakaichukua mambo nimengi
    Uislamu utabakia na Ushindi mkubwa kwa uchacheo

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe!

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio sifa ya waarabu kubwa unafiki na uoga

  • @abdulrahmanally1875
    @abdulrahmanally1875 5 หลายเดือนก่อน

    "Takriban asilimia 50 hadi 60 ya wakazi wa Jordan wana asili ya Kipalestina, na wengi bado wana uhusiano wa kifamilia na watu wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan au Gaza, hivyo suala hilo ni la hisia sana kwa Wajordan wengi," Magid alisema.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa ndugu yangu lengo lako ni nini sasa hivi .
    Machawa wapo siku zote Jordan ni nchi amani .

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ipo siku moja watasema

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 8 หลายเดือนก่อน +1

      Asante Jordani ni rafiki wa Israel 😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@annasolomon9855Eti rafiki

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@Awatee Sasa ulitaje .. wanajuana wale ni majirani kama Kenya na Tz.. Yesu Kristo alibatizwa mto Jordan na hapo kunauwezekano Kuna Wayahudi Wengi tu ndani ya nchi ya Jordan..

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@Awatee halafu kwa akili Yako Waarabu na Wayahudi ni ule uadui wa kivita tu lakini hata baadhi ya maneno ya kiyahayudi ni yaleyale ya kiarabu na wanasikizana... Hata kuona wanaoleana Sana tu.. mtoto wa mfalme wa saudia prince mamake ni myahudi baba msaudi Arabia, Osama bin laden mama myahudi baba msaudi Arabia hapo najua utabisha mpaka mwisho 🤣🤣pole Sana

    • @Awatee
      @Awatee 8 หลายเดือนก่อน

      @@annasolomon9855 ulikuwepo wakati akibatizwa wacha kudanganyana Yesu hakua mkiristo

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 8 หลายเดือนก่อน

    Yah ni kweli ila allh huwa anatuonesha nani ndie na nani sie,ila uislam haulindwi na bin Adam ila aneulinda ni yule alieumba bilion ya galaxy ambaye ndali ya galaxy 1 tu kaumba nyota km itawekwa mawasiliano hadi ktk nyota iyo ukisema hello,basi baada ya miaka minne4na miezi mi3 ndio ifike huko.sasa huyu ndie mwenye kuulinda hii dini ya uislam(ALLAH S.A.W)

  • @hassanpashua
    @hassanpashua 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jordan ilikuwepo toka wkt wa Nabii luti

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 2 วันที่ผ่านมา

      Toa ushahidi utukinaishe na tupate faida.

  • @ALIMOHAMED-h7j
    @ALIMOHAMED-h7j 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jordan had all the rights to defend its territories. Kama nchi iko na mikakati yake kulinda nchi yake vp iran arushe makombora juu ya anga bila hodi

  • @mchumiboy2972
    @mchumiboy2972 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukimnyima mtu historia yake basi umenyima uhai ndio kinachotokea Dunia ya leo

  • @diffrentperspective-z7t
    @diffrentperspective-z7t วันที่ผ่านมา

    Kichwa cha habari tu ni very misleading
    Sema umma ulioulenga ni wa vichwa maji, leo yanatirikia huku kwa kasi, ukichimba mtaro mwengine yanageuza njia

  • @simonmwaliru8590
    @simonmwaliru8590 8 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo watu wauwane kwasababu ya dini?miaka ijayo walio wachache au mataifa madogo watakuwa na wakati mgumu sana hapa duniani.

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 2 วันที่ผ่านมา

      Sasa unadhani utaishi milele. Kwani uspokufa kwa dini unatarajia ufe kwa kitu gani? Kwa pombe, zinaaa au sababu ipi. Kifo kipo tu ndio maana hata wafalme wanatolwwa roho ndani ya ngome na majumba ya kifakhari na ulinzi wa kila aina. Maandiko ya dini yanasema hatukuwaumba majini na wanaadam ila kwa kuniabudu mimi. Kwa hiyo dini ndio msingi wa kila kitu na sio tatizo kufa kwa dini. Shida tulonayo dunia yetu inachukia ukweli. Samahani sana ndugu yangu kama itakuwa nimekukwaza

    • @simonmwaliru8590
      @simonmwaliru8590 2 วันที่ผ่านมา

      @rashadymuhamad6293 cku ya cku, MUNGU ni wa wote pia huangalia mtu kutoka moyoni. Sie wanadamu tunafanya mambo kulingana na utashi wetu.

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 8 หลายเดือนก่อน

    Kupenda dunia na kusahau mauti na hesabu.

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 8 หลายเดือนก่อน

    Nice history, ila ,watu,wa ,gaza ,wanakufa , jamani, waislamu,mungane na wakristo, wa Tanzania mpige kerere mbona ,mmenyamaza wanaokufa kule sio mbuzi ,eti, ni binadamu, kama cc,

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 8 หลายเดือนก่อน +1

      Awo si ndio wale waliolishwa sumu vichwani mwao,Israel ni taifa la mungu, ata akili hawatumii kabla ya 1947 kuliluwa na taifa linaloitwa Israel?
      Ata uyo Israel masikini hawamjuwi ndio nani wanapelekeshwa tu, wkt huu ndio wakutumia akili kwa wakiristo nakuchanganua.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 8 หลายเดือนก่อน

      Ila wewe watanzania wafanye Nini? Mmarekani kwenyewe watu wana andamana ila imeshindikana, south wameshitaki lakini wapi unafikiri sisi tunaweza kufanya nini?

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@mussammanga7791falme daudi alitawala taifa Gani? Mfalme sulemani alitawala taifa Gani? Embu nipe majibu

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@mussammanga7791falme daudi alitawala taifa Gani? Mfalme sulemani alitawala taifa Gani? Embu nipe majibu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 3 หลายเดือนก่อน

    Walichagua fungus jema kuwa marafiki na Israel Sasa wanaishi Kwa amani....Lebanoni imechagua kuwa Irani Sasa inaingia kwenye uharibifu

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jordan Siyo nchi ya kiislamu hadi mwaka 1960 uislam ulikuwa asilimia 35 lakini kwasasa uislam unakaribia 58 asilimia ndiyo maana kwenye katiba yao rais wa nchi anakuwa mkristo na waziri mkuu mwislamu

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 8 หลายเดือนก่อน

    wanafiki njia yao fupi

    • @jangalaalexbubehi7658
      @jangalaalexbubehi7658 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe ni mnafiki tu , unapiga mikelele huku U tube, Kwanini usiende huko kwenye vita ukasaidie ?

  • @MrishoSamueli
    @MrishoSamueli 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika wewe ndie mchambuzi bora

  • @raymrash
    @raymrash 2 หลายเดือนก่อน

    Kausaliti Uislamu kivipi!? Kwani Jordan anawajibika kwa maslahi ya Waislamu au kwa nchi yake yenyewe na watu wake!?

  • @jangalaalexbubehi7658
    @jangalaalexbubehi7658 หลายเดือนก่อน

    Mnataka wote wawe Wajinga kama Hao wengine, Nendeni nyie mkapigane mnalalamikia huku fb , nyambafu zenu.