USHUHUDA WA ALIYEKUWA KICHAA ANAYEISHI MAKABURINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @jaynen6243
    @jaynen6243 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa ushuhuda wako. Very powerful. Only God can do such great miracles. May the Lord continue to open doors for you and protect you under his own mighty hand. Mungu akubariki sana Ndugu..

  • @christinmulongo8483
    @christinmulongo8483 4 ปีที่แล้ว +7

    I am watching from Bahrain country my name christin mulongo mimi ni m kenya glory to Jesus Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯

    • @titinmbega4128
      @titinmbega4128 4 ปีที่แล้ว

      Christine mlongo???????mb jina langu?????

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 ปีที่แล้ว +2

    Yesu Kristo ni mwema Sana nashukuru Mungu kwaajili Yako.

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mweza ya yote,sifa na utukufu nizake,Barikiwa sana mwinjilisti🙏🙏

  • @janegacheru9287
    @janegacheru9287 3 ปีที่แล้ว

    Thanks alot fr that testimony,,ave learned not to take for granted when i dream,,beyond all,JESUS IS LORD,,TO HIM B GLORY EVER N EVER AMEN

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว +2

    So greatfully testmony may God continue to lift you up

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni Mwema hakuna jambo lililogumu lakumshiinda Mungu Baba. Endelea kumtumikia Mungu. Barikiweni sana. Jactan Barikiwa sana

  • @salomeparmena1779
    @salomeparmena1779 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana na mawazo ya Mungu ni tofauti na mawazo yetu na tunajifunza kuwa hata watumishi wengi hawana maelekezo ya roho mtakatifu ndy maana maelekezo tunayotoa kwa watu yanakuwa kinyume na kuwakatisha tamaa badala ya kufunguliwa, Mungu atusaidie sana

  • @CherieDeDieu
    @CherieDeDieu 4 หลายเดือนก่อน

    Halleluyah! Mungu wetu anaishi na anaweza kutenda mambo makubwa. Asifiwe milele!

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 3 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda huu umenibariki saana, tafadhali naomba mawasiliano ya huyu mchungaji 🙏🙏🙏

  • @mawazobayndulwa1909
    @mawazobayndulwa1909 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu sifa na utukufu nivya Mungu na Mungu hakulinde kwa jina la Yesu Kristo haliye mwamba na mokozi wa maisha yetu Amen na Asant sana bwana Msafiri na Mungu hakulinde hakupe afya jema Amen

  • @margretokuku8220
    @margretokuku8220 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu.ni.wa.neema.na.mungu.akulinde..mungu.akuongoze

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 ปีที่แล้ว +2

    AMEN MUNGU AKUFUNGULIYE NEEMA YAKE

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Hallelujah hakika Mungu ni mwaminifu sana hakuna lisilo wezekana kwake endelea kumtumikia Mungu naye atakufanyia mambo makuu zaidi

  • @oprahsalum8185
    @oprahsalum8185 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh Bwana ni mwema sana nimeguswa sana na ushuhuda huu sana tena na kama unachosema kuwakusanya vichaa Mungu wangu nimeguswa sana na ninamuomba Mungu aniwezeshe ili na mimi nichangie huduma hiyo kwa upana sana Mungu akubariki

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 4 ปีที่แล้ว +2

    Utukufu kwa mungu baba aliyeziumba mbingu na nchi na kwa yesu masihi mkombozi Wetu amini

  • @marryclavely2509
    @marryclavely2509 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mungu ni kilakitu kwenye maisha yetu

  • @swaumabdul2968
    @swaumabdul2968 4 ปีที่แล้ว

    Ameen mungu wetu anaokoa kila wakati katika jina la yesu kristo

  • @hapinessobeth4131
    @hapinessobeth4131 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu anawajua walio wake hata tukipita kwenye magumu tutatoka salama

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว

    Mara nyingi Mungu akikupenda umfanyie kazi yake, basi huwa unapata mitihani kabla. ila Mungu atazidi kukubariki na huduma yako itasaidia watu wengi.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukubariki na kukupigania mtumishi wa Mungu,kuna mwaka mmoja niliwahi kulifikiria hilo jambo kuhusu hawa vichaa naamini wengi wao ni nguvu za giza ingawa sisi tunaona ni ugonjwa

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +1

    Biblia inasema tumkaribie mungu.naeatatukaribia hivyo nivema kuakaribu namungu iliatuepushe nahayo kabla yatufikie pole sana ndugu yangu mbisse

  • @alexamutawa3832
    @alexamutawa3832 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na utukufu kwa Mungu wetu

  • @donaldhaulemamboyamunguhay7214
    @donaldhaulemamboyamunguhay7214 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema sana,zidi kumtumikia Mungu.

  • @joramchangala3790
    @joramchangala3790 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa kazi njema

  • @blessedmama5367
    @blessedmama5367 4 ปีที่แล้ว

    What a great testimony! Dreams dreams dreams !

    • @fraicheawanamegabe1787
      @fraicheawanamegabe1787 3 ปีที่แล้ว

      Jambo ndugu.
      Una weza nipa namba ya Huyu mutumishi wa Mungu ?

  • @nicolemulonda8984
    @nicolemulonda8984 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu anatupenda sana

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 4 ปีที่แล้ว

    Powerful ushuhuda aseh ubarikiwe sana

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema,sifa na utukufu ni kwa Bwana Yesu Kristo

  • @angelalaizer3895
    @angelalaizer3895 4 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN AMEN

  • @fraicheawanamegabe1787
    @fraicheawanamegabe1787 3 ปีที่แล้ว

    Jambo ndugu
    Je unaweza kunitumiya namba ya Huyu mtumishi wa Mungu ?

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 ปีที่แล้ว

    Psalm 91:1

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mchungaji wa kwanza alikuwa anti Christ. 666.Mpinga kristo ndio maana amekukatisha kwa sababu ulikuwa na roho ya utumishi wa Mungu ndani yako,hivyo shetani alitaka kubadilisha mpango wa Mungu maishani mwako,Jina la BWANA YESU lihimidiwe

    • @gracerendi6148
      @gracerendi6148 4 ปีที่แล้ว

      Yesu ana nguvu Sana.Amini usiamini amekuwa suluhisho la matatizo ya watu wengi.Mkaribishe maishani mwako.

  • @christinmulongo8483
    @christinmulongo8483 4 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda wako uko na nguvu Kabisaaaa

  • @klo8580
    @klo8580 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema na hakuna jambo gumu kwake

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 4 ปีที่แล้ว +1

    Damu ya Yesu ikurinde

  • @beatricedonald2710
    @beatricedonald2710 4 ปีที่แล้ว

    Shallom Jacktan. Namba yake ya simu tunaipateje?

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 ปีที่แล้ว

    Nina ndugu zangu hapo Morogoro wawili wanamatatizo kama yako na mwingine mdogo wangu haoni vizuri

  • @oscanyakunga9674
    @oscanyakunga9674 4 ปีที่แล้ว

    Mungu yumwema kwakweli kwanza ameanza nandoto mbaya zinazotutokea lakin Mungu yumwema kumwokoa Mimi ninasikiliza ila Mungu yumwema tuu kwakweli

  • @ivanf.lekule5618
    @ivanf.lekule5618 ปีที่แล้ว

    Yuko Morogoro sehemu gani

  • @winniemartin7647
    @winniemartin7647 2 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda unagusa sana, Lakini huyu mtumishi wa Mungu hana cm ? Tunahitaji kwa ushauri zaidi

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo ukifanya hayo yote ulikuwa unajijua?

  • @aysherkitoi1845
    @aysherkitoi1845 4 ปีที่แล้ว +1

    Kujikabidhi mikononi mwa bwana kabla ya kulala ni muhimu

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 4 ปีที่แล้ว +1

    JINA LABWANA LIHIMIDIWE..KWA KWELI HAKUNA LILE LIGUMU KWA MUNGU.

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 4 ปีที่แล้ว

    Erick SHIGONGO

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 ปีที่แล้ว

    😭

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 ปีที่แล้ว +2

    Na mm pia nilikya nataka kuuliza vp mtu mwehu akumbuke alio kua akiyafanya .ndio na ww umemuliza

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 ปีที่แล้ว +2

      Ufahamu alikuwa nao,ndio maana amekumbuka,

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 ปีที่แล้ว

      Na mengine ameadithiwa na watu wa karibu walio muona

    • @tabithajeremiah2657
      @tabithajeremiah2657 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen,Shetani alijua kuwa wewe ni chombo cha Bwana Yesu Yesu ndiyo maana alikuvamia ili ajaribu kuliharibu kusudi la Mungu katika maisha yako,lakini Mungu ni mwaminifu akakufungua na sasa unatumika katika ufalme wake, Akisema ndiyo hakuna wa kuzuia.Jina la Bwana libarikiwe.

    • @janemakemo5635
      @janemakemo5635 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tabithajeremiah2657 jamani yoooote anayoyasema ni kwli jani na Mimi ninaye was ivyo tafadhali naomba namba zako tafadhali

    • @ijueimanikatoliki980
      @ijueimanikatoliki980 4 ปีที่แล้ว

      Erick SHIGONGO huwa anasimuliwa na nani! Si ni kipaji tu
      KWA nini hapo anaposimulia hajaja na ndugu zake?

  • @sakisfidmasho6393
    @sakisfidmasho6393 4 ปีที่แล้ว

    Mwazoni nirifikiri ni picha (arikuwa ameturia)