Pt4_"Jaribio la kuuawa tena"USHUHUDA WA ALIYETENGENEZEWA KIFO CHA UONGO NA WACHAWI AFANYWE MSUKULE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 6 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu bwana Namjua Sana na ni kweli alipitia hayo yote. Mimi ni mmoja wa wale walimchangia, nikamuona akiwa kichaa na pia nilimuita msukule. Niko tayari kutoa ushuhuda kwamba ni kweli asemayo.

  • @FlorenceAkinyi-rq3hx
    @FlorenceAkinyi-rq3hx 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu ni mzuri sana. Siku moja pia mm nitatoa ushuhuda wangu.

  • @MariaJuma-q2k
    @MariaJuma-q2k 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mchawi huandaa picha kabla yatukio,Mungu wetu nimwaminifu mno huchukua picha yoote anatufinulia,tunaiharibu,ukiokoka,ukakaa Rohoni huwezi kurogwa,uchawi huanzia Rohoni,ukishindwa kukuzuia Rohoni unafika mwilini,kuweni watu wakufunga saana,namsipende kuongeaongea sana,mchawi hakuwezi,

  • @alexandrekiza3051
    @alexandrekiza3051 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unauliza sana bro

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 หลายเดือนก่อน

      YAANI WANAANZA KURUDI NYUMA TENA , INATAKIWA WASONGE MBELE , MB ZINA GARAMA SANA ETI 😅😅😅🏃🏃🏃🏃

  • @lydiakaysundays6174
    @lydiakaysundays6174 6 หลายเดือนก่อน +3

    The way am following this testimony aki,,,be blessed servant of God

  • @victorianchimbi8640
    @victorianchimbi8640 6 หลายเดือนก่อน +5

    Damu ya Yesu ina nguvu sana pale msalabani

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 หลายเดือนก่อน

      AMEEEEEEEEN YESU NI MWEMA SANAAAAAA

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ninawapenda sana promover. Mbarikiwe Sana

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 6 หลายเดือนก่อน +10

    Chililo sauti ya GWAJIMA

  • @linvi_chemutai
    @linvi_chemutai 6 หลายเดือนก่อน +7

    Jesus is the way the truth and the life ❤️

  • @MlongoSalma
    @MlongoSalma 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ni Mungu tu from 🇰🇪🇰🇪 mbwarikiwe promover tv

  • @MariaJuma-q2k
    @MariaJuma-q2k 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ila yule mama mchawi anadharau sana,alipaswa kushughulikiwa Rohoni na mwilini,ulimuacha kimakosa,usimruhusu mwanamke mchawi kuishi,ungemteka usiku,ukamtishia panga,angetaja nawenzake woote,sometime mwilini kidogo! Wachawi wanadharau sana naviburi,,wakikuzoea wanakufanya mteja wao, nikuwapiga Rohoni,wakijichanganya mwilini wanakula mabapa yamapanga,wanakuacha

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 6 หลายเดือนก่อน

      Vita vya kiroho ni vya kiroho tu na vya kimwili ni vya kimwili tu. Usidanganywe.

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 หลายเดือนก่อน

      WACHA WEEEEE 🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Power of testimony blessd kaka Audax n promover ❤

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu sifa ni zake nashukuru kwa ushuhuda zuri ya kufufuwa asente Sana jactan Msafiri

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 6 หลายเดือนก่อน +1

    Stay blessed promover tv for sharing this we learn alot..

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema sana

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 หลายเดือนก่อน +1

    GLORY TO JESUS

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mkuu 🎉🎉🎉

  • @ipyanadanny9959
    @ipyanadanny9959 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dunia ina Mambo Asante Mungu usiye tutoa mawindo

  • @rerisamba
    @rerisamba 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wale wote mnakuaga na kimbele mbele yakueneza injili mbarikiwe sana

  • @alinamark2640
    @alinamark2640 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki Team yote ya Promover TV🙏

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 6 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU Atukuzwe,Hili la tumbo nalielewa sana...Sifa na utukufu umrudie yeye maana wachawi wanajua kutesa wenzao.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @jesusgirl9416
    @jesusgirl9416 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ibariki Promover Tv

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 หลายเดือนก่อน +6

    Compare what Adam Aston mbaya alivyosema kuhusu kinachofanyika mtu anapofariki,shuhuda zinafana.hakika Kuna ukweli mtupu hapa.

  • @alexandrekiza3051
    @alexandrekiza3051 2 หลายเดือนก่อน

    Unauliza sana

  • @alexandrekiza3051
    @alexandrekiza3051 2 หลายเดือนก่อน

    Unauliza sana muache aendelee

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maswali ni mengi mpaka yanaharibu story. Maswali 2 yanatosha tu

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 หลายเดือนก่อน

      KWAKWELI , HATA RADHA INAPOTEAAAA

  • @rerisamba
    @rerisamba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yote hio nikiini macho ulimwengu wa roho ndio ulimwengu mama

  • @angelalex8727
    @angelalex8727 6 หลายเดือนก่อน

    Oh Elias Manilakiza ni baba mzazi wa rafiki yangu

  • @alexandrekiza3051
    @alexandrekiza3051 2 หลายเดือนก่อน

    Muache ahoji msafiri wewe unauliza sana

  • @noelashaoona
    @noelashaoona 6 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa totoz 😂😂😂😂😂

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maswali yanakela muwe mnauliza mwishoni

    • @rerisamba
      @rerisamba 6 หลายเดือนก่อน

      Ameamua hatusongi mbele kabisa

    • @MaggieG276
      @MaggieG276 6 หลายเดือนก่อน

      Maswali muhimu tunaelewa zaidi

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 หลายเดือนก่อน

      KWAKWELI YANABOA SANA , MB ZINAGARAMA SANAA 😅😅😅😅🏃🏃🏃🏃

  • @EmmanuelManjale-i7w
    @EmmanuelManjale-i7w 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo nabii ni mpiga ramli. Bado alikua kwa wakala yuleyule wa shetani 😈

    • @Blessedboi8019
      @Blessedboi8019 6 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe umekuwa mteja wake Mara ngapi?

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman aiseee mbona nachekaaa san