Yesu aliniambia ubatizo sahihi ni kwa jina la Yesu na siyo kwa jina la baba mwana na Roho mtakatifu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @gabrieloricho1028
    @gabrieloricho1028 2 หลายเดือนก่อน +1

    When one truth is exalted as the only truth it becomes deceptive.

  • @MeshacFadhil
    @MeshacFadhil 6 หลายเดือนก่อน +1

    naombeni tutafakari vizuri maandiko matakatifu tutahukumiwa watumishi wa Mungu

    • @godrivernicholous3536
      @godrivernicholous3536 6 หลายเดือนก่อน

      Jamani jamani tuweni makini sana MAANA BIBLIA INASEMA NYAKATI za mwisho watatokea makristo wa uongo na WAALIMU wa UONGO hivyo SIYO KILA SAUTI NI SAUTI YA MUNGU HATA IBILIS ALIMJARIBU YESU KRISTO KWAKUTUMIA MAANDIKO

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 5 หลายเดือนก่อน +1

    nikweli ubatizo halisi ni kwa jina la Yesu kristo mitume woote ndani ya biblia walibatiza kwa jina la yesu kristo na sio kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 5 หลายเดือนก่อน

    Eti ulikutana na Yesu,
    Ulikutana naye wapi😅😅😅😅

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuereweshwa vizuri apa

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 6 หลายเดือนก่อน

      Mitume wa Yesu kristo awajai kubatiza kwa majina matatu ubatizo ni kwajina la Yesu tu

    • @Petitejollie
      @Petitejollie 4 หลายเดือนก่อน

      @@lenardkenedy542vipi kuhusu Mathayo 28:19?

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ata mimi wamenichanganya

  • @Petitejollie
    @Petitejollie 4 หลายเดือนก่อน

    Someni Mathayo 28:19 inamaana biblia imetudanganya??

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 6 หลายเดือนก่อน

    Uongo wa kutokujua uongo wa kutokujua iyo siyo fafanuzi ya kweli

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba mwana na rohomtakatifu
    Hawa wote si ktk umoja? Si wamoja???? Jmn

    • @Kais12311
      @Kais12311 6 หลายเดือนก่อน

      Karibu usikilize mafundisho ya kweli ya mtume Hebron kisamo..
      Yanajina,, TOFAUTI YA UBATIZO WA YOHANA WA KWELI NA UBATIZO WA YOHANA WA KUZIMU....na pia mafundisho mengine ni UBATIZO WA KWELI ULIMWENGUNI KOTE..
      Summary yake hii hapa....
      Kama Mungu alimtuma yohana kutoka mbinguni aanzishe kazi yake basi na shetan na yeye alituma mwanzishi kama kawaida yake ili aharibu ubatizo wa kweli ...na ndio maana kuna batizo nyingi sana leo...utajifunza mengi kutoka kwenye hayo mafundisho wala hutababaika tena utakua imara siku zote, utamtukuza Mungu na kumsifu kwakua amekufungua akili na kukuwezesha kumwelewa Yesu wa kweli ni yupi....karibu sana

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 6 หลายเดือนก่อน +2

      Jina La YESU KRISTO LINANGUVU NA LINAMAMLAKA

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo ndo siamini ,Basi Yesu ni Wawili si Mmoja

    • @Kais12311
      @Kais12311 6 หลายเดือนก่อน

      @@trophywilson7211 hujakosea kabisa tena si kwamba kuna Yesu wawili wako wengi katika ufalme wa giza lakini katika ufalme wa mbinguni yuko mmoja tu ambae anaushirika na Mungu baba na Roho mtakatifu na kila linalofanywa basi wote wanashirikiana...
      Lakini hawa ma yesu wa ufalme wa giza ambao walitabiriwa kabisa kua watatokea MAKRISTO wa uongo tena watakuja kwa jina la Yesu ...Wao ndio hawana ushirika katika kazi zao maana wanageukana wao kwa wao na katika kazi zao kwakua wamegawanyika na hawana umoja ...Kwamfano tunaamini katika ubatizo wa maji mengi ya mtoni yanayotembea kama Yesu alivyobatizwa ( kijito cha utakaso ) haijaandikwa bahari ya utakaso wala ziwa la utakaso wala kisima cha utakaso ...inamaana ubatizo ni mtoni tu kama Yesu alivyobatizwa mtoni .... Sasa mtu anabatizwa kwenye kisima, ziwani , baharini , swali..Umefanana na Yesu wa mbinguni .? 😁

    • @carlyjohn4705
      @carlyjohn4705 6 หลายเดือนก่อน

      @@LucyKapinga-fg4dk mmmmmmh
      Hata Yesu mwenyewe alibatiwa kwa jina la Baba, sasa iweje unasema ni kweli????? Kwamba alisema ambatizwe kwa jina lake??🤔 think kdgo basiiiii tusikubali kulambishwa kila kitu na kukubali tu, kwanza wapi ulisikia watu wana batizwa kwa jina la yesu,Mwana na roho mtakatifu? WAPIIIII?????