ZIFAHAMU KANUNI ZA KIROHO KATIKA DHAMBI YA NGONO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @vickiemerere4056
    @vickiemerere4056 3 ปีที่แล้ว +7

    Somo limenifikia kwa wakati mwafaka...asante bwana Yesu

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina nimepata ujumbe tokea🇰🇪🇰🇪.

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni amina na kweli.. ..Mungu azidi kujifunua kwako

  • @victoriaaman
    @victoriaaman 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mtumishi ubarikiwe sana

  • @victoriamachunde4365
    @victoriamachunde4365 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo asifiwe. Nashukuru sana Mtumishi kwa ujumbe huu. Naomba kujua: ikiwa mtu mume au mtu mke wanaishi pamoja na wana watoto mbele ya Mungu wanatambulika kama mume na mke bila kuwa na ndoa?

  • @zenataashura792
    @zenataashura792 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen sisi wengine America wanatwambiya eti kuna wokovu wa mjini na wokovu wakijijini ila ashukuriwe Mungu kwasababu nimeelewa Yesu yule jana leo na ata milele niliye mwamini Africa nakumitumikiya ndiye ninaye mwamini America Shalom Shalom

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 3 ปีที่แล้ว

      Ko ulidhani kila nchi Ina mungu wake au

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda bure kabisa maana umetoa somo zurizuri zuri sanaaa , barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. ..

  • @paulpaul4551
    @paulpaul4551 3 ปีที่แล้ว +1

    Heeeh!! Kumbe hata snema za kutisha ni dhambi , unanifumbua macho mtumishi asante

  • @saeedalharthi4128
    @saeedalharthi4128 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza nashukuru mungu,,pili promover TV kwa ushunda wao wote ,,kwa hakika imenipatilisha sana kimwenendo kiroho na vingine wacha mungu awabariki sana,,mm neno la kiroho sana barikiwa sana

  • @neemanabwangu8384
    @neemanabwangu8384 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen, Asante Sana mungu awabariki🙏

  • @fungukamedia4545
    @fungukamedia4545 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hii inasumbua watu sana

  • @beatricemakanga6956
    @beatricemakanga6956 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafundisho Mungu akubariki

  • @zenataashura792
    @zenataashura792 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kweli kwa ujumbe mtamu kweli yani nimebarikiwa saaana 🙏

  • @margaretokuku5990
    @margaretokuku5990 3 ปีที่แล้ว

    Asante.kwa.somo.zuri.nimejjifunza.barikiwa

  • @anthonyyalanda1540
    @anthonyyalanda1540 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika dhambi hii inatisha sana

  • @alinepascalin8777
    @alinepascalin8777 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mama

  • @aminalimu5150
    @aminalimu5150 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana ubarikiwe

  • @mariamkasekwa8933
    @mariamkasekwa8933 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimepata somo

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 3 ปีที่แล้ว +1

    Bro nakupongeza kwakua mtiifu,
    Kitendo cha ku delete ushuhuda wa YULE nabii uliyeleta uzushi wake wa ajabuajabu uliosababisha taharuki,nimekuona kama shujaa.
    Ubarikiwe endelea kufanyia kazi maoni ya watazamaji sisi ndo walengwa so tukipokea message mbovu inayotubomoa badala ya kujenga,inayotupa taharuki badala ya meditation kwa Mungu,hiyo haitufai.
    Kongole my dear brother

  • @lastgospel706
    @lastgospel706 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama u tube channel ake inaitwaje

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Jesus Reigns Restoration Ministry. 👇 th-cam.com/channels/7fuOIZJcUOHR_VgfQPmzfA.html

  • @paulpaul4551
    @paulpaul4551 3 ปีที่แล้ว

    Haya maarifa ya kiroho ni yapi nimshinde shetani?

  • @lastgospel706
    @lastgospel706 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama anasema tubatizwe kwa jina la yesu wakati mchungaji akisema kwajina la baba na la mwana na la roho mtakatifu si kitu icho icho sasa

    • @chrispinmleto7709
      @chrispinmleto7709 3 ปีที่แล้ว +1

      mungu akubariki sanaaa hayando mafundisho tunayatafuta

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 3 ปีที่แล้ว

    Ngono ngono 😓😓😓