Tokea niumbwe sijawahi ulizwa swali kama hili | Mazinge

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2022

ความคิดเห็น • 332

  • @princedonnelakimana2775
    @princedonnelakimana2775 4 หลายเดือนก่อน +2

    Inshallah mungu akupe Maisha marefuu usthadh mazinge

  • @barakamugiraneza7774
    @barakamugiraneza7774 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tunakuombea mungu akupe maisha malefu na akupe pepo yake

  • @al-aminalihamad1431
    @al-aminalihamad1431 ปีที่แล้ว +4

    Natuma Salamu Kwako Sheikh Mazinge Na Familia Yako. Namuomba Mwenyeezi Mungu Akupe kila la kheri Duniani Na Akhera.

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 ปีที่แล้ว +7

    🤔You are a joy to watch Mazinge. Unafurahisha kabisa tena kwa ushahidi sio maneno matupu. Asante 🤝

  • @kamaugitau5610
    @kamaugitau5610 ปีที่แล้ว +48

    mimi ni mkristu lakini nampenda mazinge bure....natamani kuslimu kwa sababu nahisi uislamu ndio dini ya haki

    • @mahmoudabdi7162
      @mahmoudabdi7162 ปีที่แล้ว +5

      Inbox me bro nikuongoze kwa hilo InshAallah

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 ปีที่แล้ว +4

      Ukristo sio dini bali ni ukomboz!Kabla ya Yesu Kristo kuja zlkuwapo dini,kwa nn Kristo alkja dnian? N kwa ajli ya krdisha mahsiano yalokua yamepotea kat ya Mungu na mwanadam.. sote twaish kwa neema 7b ya huyo Kristo.. kla knywa ktakiri na kila jcho ltanwona kwmb yeye ndye mwana wa kwel wa Mungu!

    • @kamaugitau5610
      @kamaugitau5610 ปีที่แล้ว +1

      @@mahmoudabdi7162 nitakupata vipi

    • @jasminswedi1573
      @jasminswedi1573 ปีที่แล้ว +1

      Karibu saan kweny dini ya nuru

    • @erickbruno569
      @erickbruno569 ปีที่แล้ว

      msenge kweli wew

  • @mohamedrokaz5272
    @mohamedrokaz5272 ปีที่แล้ว +6

    We love you most ustad mazinge as kenyans

  • @alibwanaheri6493
    @alibwanaheri6493 ปีที่แล้ว +9

    MaShaAllah sheikh Mazinge,Allah akjaalie kheri na umri mrefu uzidi kuifanya kazi ya Allah In Sha Allah

  • @fatmajuma2940
    @fatmajuma2940 ปีที่แล้ว +4

    Allah akupe umri mrefu wenye kheri na uendeleee kuipigania dini ya Allah tuko pamoja tunakupenda pia

  • @user-rl3ts2kr2t
    @user-rl3ts2kr2t 2 ปีที่แล้ว +6

    Inshallah Allah akupe afya njema kweli dawaa imefika mbali Allahuakbar Allahuakbar Allahuakbar Walillahilhamdu .Allah akuhifadhi shk mazinge unafanya kz ya manabii

    • @saidiomary9070
      @saidiomary9070 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi mungu akupe wepesi mazinge kwakweli unafanya kazi ya mwenyezi mungu akupe ulinzi na kesho akhera akupe pepo

  • @ambakachogo598
    @ambakachogo598 ปีที่แล้ว +4

    In Sha Allah sote twakuombea Dua kutoka kwa Allah.

  • @mengishabani8061
    @mengishabani8061 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuzidishie maisha malefu

  • @GordienNdizeye-sf3jt
    @GordienNdizeye-sf3jt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh wetu nakupenda Sana natamani kukuona ishaallahu Mungu akipenda tutaonana n'a kupenda sana

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 ปีที่แล้ว +5

    Pongezi saana Sh,Mazinge Mungu akulinde,akupe afya daima

  • @bicheatijafaqui6817
    @bicheatijafaqui6817 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sheik Professor Massingue god blessyou

  • @nathanichemelako7983
    @nathanichemelako7983 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge na hao wachungaji wote ni wapotoshaji yesu siyo Mungu na Mazinge kuhusu yesu anawapotosha

  • @hustlershuffler978
    @hustlershuffler978 2 ปีที่แล้ว +3

    Ustadh Professa Mazinge Allah akuhifadhi ulipo akujalie miaka mingi ya kufanya kazi zake In Shaa Allah...akupe siha kamili na akuruzuku kila la kheri akulipe Jannat al Firdausi In Shaa Allah...chapa kazi Baba..Kidume cha Allah

    • @iptisamshaher6849
      @iptisamshaher6849 2 ปีที่แล้ว

      Mashaallah tabaarakallah, Allah sw akupe umri wenye kheir,akulipe kwa Kila khatuwa unayopitiya, kwa kweli tunajivuniya mazinge Allah akuhifadhi

  • @kuruthumabubakar3951
    @kuruthumabubakar3951 ปีที่แล้ว +2

    Shekh mazinge mungu akupe umri mref uzidi kussidia wasiokuw na din naitwa kulthum abbakari Toka cngida

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah mashaAllah Allah barik. Shekh mazinge Allah akuhifadhi nakupenda sana wallahi kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤👌👌👌👌

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe mri mlefu sheikh wangu mazinge

  • @AllyGrefier-ee2yq
    @AllyGrefier-ee2yq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana muzazi wangu pigania dini ya mwenzimungu utalipwa mbinguni

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 2 ปีที่แล้ว +7

    MashAllah!! Sheikh mazinge Allah akulinde kutokana na kila Aina ya Shari hapa duniani na kesho akhera . nampenda Sana sheikh Huyu Kwa juhudi zake katika uislam.

    • @malikshafii8431
      @malikshafii8431 ปีที่แล้ว

      Mzee huna la kuongea nyamaza kimya kuma mamako

    • @ashrafsharif8699
      @ashrafsharif8699 ปีที่แล้ว

      Aaaamin

    • @sghdrdhidf7603
      @sghdrdhidf7603 ปีที่แล้ว

      @@malikshafii8431 kwann unamtujana nn kakukosea ivi wajua mandiko au unasoma kweri unamuongopa mungu wewe

  • @amirikhamisi9295
    @amirikhamisi9295 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulipe jannah Shekh mazinge

  • @FatmaJuma-h3i
    @FatmaJuma-h3i 7 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuhifadhi

  • @kenya870
    @kenya870 ปีที่แล้ว +2

    Allhmdhllh najivunia kuwa misilamu na ninaipenda ndini yangu

  • @user-xq5ml6id9y
    @user-xq5ml6id9y 6 หลายเดือนก่อน

    Inshallah mungu hakupe umri mlefu mwalim

  • @isakwisamwaipopo6860
    @isakwisamwaipopo6860 2 ปีที่แล้ว +4

    Yeye yesu alikuwa akipima Iman yao

    • @mandinezawakoabayo9569
      @mandinezawakoabayo9569 2 ปีที่แล้ว

      Umesoma eapi nasi tukasome

    • @simonkinunda5591
      @simonkinunda5591 ปีที่แล้ว

      Ostazi una mjua alakweli au unaropoka tu kutafuta pesa ushawahi onamchungaji anaesema kua Yesu kamuumba mwenyez Mungu au unatamka tu kamampumbavu unamfaham isa bin mariam huyondie mtume wamwisho kutoka kwa alla hata mtume muhamadi mwenyewe anashuhudia kwenye hadidhi yake ya sabubohari vizuri kurwaan sura ya tulli mariamu anamzungumzia isa vizurisana acha wehu ww nakutukana wa chungaji.

  • @FrankMyenjwa-ms5fr
    @FrankMyenjwa-ms5fr 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujalie

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 2 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah sheikh Mazinge Allah akulipe janatul firdaus

    • @erastisamsoni3162
      @erastisamsoni3162 ปีที่แล้ว

      Allah huwapa waongo Pepo? mtu muongo kama mazinge aingie peponi labda atubu ampokee Yesu.

  • @godblessmasiganijohn
    @godblessmasiganijohn 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu alikuwa mwana wa Mungu kazaliwa na mwanadamu mwenye character na vigezo vyote vya kibinadamu, alisikia
    Maumivu, alijaribiwa, alisikia njaa, alilala yote haya yalifanywa makusudi ili amkomboe mwanadamu, na huyo mwanadamu asipate kisingizio kuwa aliyoyafanya kayafanya kwa kuwa yeye ni tofauti na sisi. Alivaa mwili wa kibinadamu ili njia aliyopita nasi tuifuate

    • @Omrankasiga
      @Omrankasiga หลายเดือนก่อน

      Wacha uongo mungu habadilisha nafisiki yake

  • @Musasaidi-ts1eo
    @Musasaidi-ts1eo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu sheikh

  • @fearless......2651
    @fearless......2651 2 ปีที่แล้ว +7

    Allâhu lâ ilâha illâ huwal Hayyul-Qayyum, lâ ta'khuzuhû sinatun walâ nawm.
    Hakuna lata'budu sinatun ......umekosea.

    • @omarysaidy5524
      @omarysaidy5524 2 ปีที่แล้ว +1

      Kukosea ni kawaida

    • @Cambarada
      @Cambarada 2 ปีที่แล้ว +2

      Pia amekosea amesema ni Aya ya 252 badala aseme Aya ya 255

    • @uqairsande7320
      @uqairsande7320 ปีที่แล้ว +1

      Mazinge ujui kusoma quraan kaachini usome kwanza maana ukisoma tu ndo utata unaanza apo

    • @mohamedathuman4646
      @mohamedathuman4646 ปีที่แล้ว +1

      Ni 1 moja kati 99 aliopata.... pongeza kwa aliopata...kwani sote siwakamilifu

    • @fearless......2651
      @fearless......2651 ปีที่แล้ว

      Alhamdullillah ALLAH atuongoze sote..hakuna alie mkamilifu na makosa ni kawaida..wabillahi towfiq..

  • @abuibra
    @abuibra 2 ปีที่แล้ว +3

    Masheikh wetu tafadhalini sana mjichunge sana Mnavyo zisoma Aya za quran, wengi huwasikia kukosea bila ya kujijua.

    • @abdulmalikpandu1989
      @abdulmalikpandu1989 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni binaadamu nae, anasifa ya kukosea n kusahau...

    • @hassanmohammed3421
      @hassanmohammed3421 2 ปีที่แล้ว

      Dunia matamshi au lafifh huwa tofauti kutokana na maenono mengine hawayapati vizruri lakini wana ufahamu mzuri wa kutasiri na waneelewa nini quran inasema.......inawezekana kuwa wewe una soma vizuri matamshi ya quran...lakini ukawa hujui mana yake kwa kiswahili..
      Unajua tuu kusoma kwa kiarab

    • @hassanmohammed3421
      @hassanmohammed3421 2 ปีที่แล้ว

      Kwa mfano marehem shekhe imani petro hawezi kutamka quran vizuri kwa kiarab lakini amehifadhi maandiko yote kwa kiswahili..na alisilimu baada ya kuyasikoia kwa kiswahi maana kwa kiarab hajui hasa

    • @abuibra
      @abuibra ปีที่แล้ว

      @@hassanmohammed3421 :ndugu yangu sivyo unavyo fikiri,hebu chukua Msahafu alafu fungua katika Ayat'Kursy msikilize alivyo isoma shaikh kunamahali kakosea,kama huta paona alipo kosea nijibu nikufahamishe.

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Mungu akuhifadhi yaraabbi akupe umri mwema akujazi kheri inshaallah..khadija said Nahdi mld kenya

  • @fatimafff3065
    @fatimafff3065 10 หลายเดือนก่อน +2

    Lailaha illallaahu Muhammed rasulullah

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 2 ปีที่แล้ว +10

    professor Mazinge we love you for the sake of Allah swt.love from Lusaka zambia

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 ปีที่แล้ว +1

    Masai gan hao,ni watu ambao wamepigwa na maisha ukimwonga tu anakubali

  • @AbubakariDenis-zj2mg
    @AbubakariDenis-zj2mg 9 หลายเดือนก่อน

    Allah azidi kukulinda kukupa afya njema sheik Wetu mazinge

  • @amourkarenzo9713
    @amourkarenzo9713 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana allah amjilie professa mazinge mwisho mwema.

  • @maimunaally8092
    @maimunaally8092 ปีที่แล้ว +2

    Allah akujaliye umri mrefu wenye mafanikio na baraka tele aamiinaaa

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 8 หลายเดือนก่อน +1

    Khamsinan alfasanah kisimamo hicho Cha siku ya kiama kuulizwa matendo ya kila mmoja na kupimwa kwenye mizani nk 🕴️🕴️🕴️🕴️🕴️😭😭😭🙏 Mungu tumuabudu ipasavyo🙏

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah , Na Mungu Akubarik Mazinge , Masha Allah Lakuta Illa Billa

  • @AziaraYusufu
    @AziaraYusufu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa mazinge tangaza dini ya allah

  • @massjassmustafa5093
    @massjassmustafa5093 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe maisha marefu

  • @husseinfunga3272
    @husseinfunga3272 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe umri mrefu wenye manufaa KWA dunia yako na akhera pia

  • @jilanimartin1620
    @jilanimartin1620 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo umepatia sukari bure.haukujibu kitu.bado sanaa wapotosha watu

  • @muhunzijunior5153
    @muhunzijunior5153 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah, Allah akuhifadhi shekh na kazi ya dawa iendelee

  • @AnnaKishaluli-ux7wj
    @AnnaKishaluli-ux7wj ปีที่แล้ว +1

    Watu wote ni wa Mungu acheni kampen za kushawishi wanadam wawaamini ninyi kwa neema na rehema zinatoka kwa Mungu mwenyewe hivyo acheni kujitapa na mapokeo ya dini zenu

  • @adreanokasim7134
    @adreanokasim7134 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mhgpatientfeedback7037
    @mhgpatientfeedback7037 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bado bado...mtaelewa tu Q72

  • @zahorabdisafisanangedere2521
    @zahorabdisafisanangedere2521 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarik shekhe

  • @twahamdaki7508
    @twahamdaki7508 ปีที่แล้ว +2

    Salute to ue sheikh

  • @abuukhairat7738
    @abuukhairat7738 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge kwanz jifunze kusoma qur an
    Ayatul kursiyyu yasomwa hivo

  • @AbubakarMaamun-pj9bm
    @AbubakarMaamun-pj9bm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @user-nt4qc4zg7y
    @user-nt4qc4zg7y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe nguvu na uzima ushinde kil khatuwa

  • @felixnkanda9064
    @felixnkanda9064 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu akulinde sheikh wangu

  • @IbrahimLuqman-sc8cw
    @IbrahimLuqman-sc8cw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,shk wewe ni kiboko aunampinganizi

  • @salumuhamza3920
    @salumuhamza3920 2 ปีที่แล้ว +3

    والله وبالله بارك الله فيك يا حبيبي عثمان

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 11 หลายเดือนก่อน +1

    Marshallah

  • @hassanussein1817
    @hassanussein1817 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Ummah ameen

  • @mollyzyad778
    @mollyzyad778 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akuzidishie

  • @johnsonkibadeni5053
    @johnsonkibadeni5053 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mchungaji aliyekuambia yesu kamuumba Mungu sidhan kama anajua alichokiongea labda kama ni mchungaji muislam tatizo mazinge muongo sanaaaa aisee unapenda sifa and we know you

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว

      Kwani nyinyi si ndo mnasema kua yesu ni mungu au,na kazi ya mungu c ni kuumba au hujui halafu eti mungu wenu alikufa na alitajiriwa na alilala.duh kweli akili ni nywele

  • @shamimibrahim1089
    @shamimibrahim1089 2 ปีที่แล้ว +3

    UKWELI Tanzania mmepata mtu insha'Allah Allah atoe mmoja katika kizazi chake kaa yeye mazinge

    • @yusfaamur9638
      @yusfaamur9638 2 ปีที่แล้ว

      hakika dear

    • @sitnafaraj2813
      @sitnafaraj2813 ปีที่แล้ว

      Ameen Ameen thuma Ameen,Allah ampe mmoja katika kizazi chake

  • @seifsuleiman3979
    @seifsuleiman3979 2 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah. Allah atuajalie mwisho mwema Insha Allah

  • @Philippe3Lukole
    @Philippe3Lukole 16 วันที่ผ่านมา +1

    Tunashukuru kwa majifunzo

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 ปีที่แล้ว +1

    Sema unajiinua sana,hunishawishi,jishushe basi MUNGU atakwinua

  • @aishaayoub305
    @aishaayoub305 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shekhe mazinge Allah akupe umli mrefu uzidi kuelimisha jamii. Allah akupe mwisho mwema shekhe

  • @MuhammadRamadhani-to7gk
    @MuhammadRamadhani-to7gk 2 หลายเดือนก่อน +1

    AllahuAkibar

  • @user-zv8hb1zc3j
    @user-zv8hb1zc3j 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤amiiin ❤❤

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh mazinge

  • @IbrahimLuqman-sc8cw
    @IbrahimLuqman-sc8cw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Twashukuru

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo sio Masai acha uongo

  • @user-zv8hb1zc3j
    @user-zv8hb1zc3j 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mung akulipe kila la her

  • @charlesjanuary1798
    @charlesjanuary1798 2 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge hamna kitu Anajinadi akiwa kwenye misikiti

  • @AthumanLipaty
    @AthumanLipaty หลายเดือนก่อน

    Good.

  • @DastanBeda-mz9em
    @DastanBeda-mz9em 11 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama vile Mazinge unawafanya wenzio watoto mimi ni mkristo na sio mchungaji ila najua Yesu ameumbwa na Mungu wewe huyo mchungaji aliekuulza kama unayo ushahidi hembu weka tuone mana mambo yote niutandawaz acha kutudanganya tena upo kwenye memba unakua muongo da!

  • @adammasunga5363
    @adammasunga5363 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni Muongo sana

    • @Tawazone
      @Tawazone 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu atakufungua tu kijana nakuombea huko uliko siko

  • @ZINDUKAMUISILAMU30
    @ZINDUKAMUISILAMU30 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah, hilo jibu la hakuna mtume alorogwa km Mohammad ndio jibu dume

  • @massoudsuleiman-xv7hy
    @massoudsuleiman-xv7hy ปีที่แล้ว +1

    Asalamu aleykumu waislamu wenzangu na shee wangu nina shida na wewe nakupataje

  • @mwinyimkuu9589
    @mwinyimkuu9589 2 ปีที่แล้ว +2

    mazinge we acha uongo, tatatizo shule ndogo......... kasome tena, kwani uliishia la ngapi.........

  • @dancun217
    @dancun217 ปีที่แล้ว +1

    HuyU Jamaa mnayakyusa🤣🤣🤣

  • @joshuaimbugwa4866
    @joshuaimbugwa4866 ปีที่แล้ว +2

    SALUTE TO UE SHEIKH

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 ปีที่แล้ว +1

    UNAULIZA SWALI KISHA UNANZA KUJIGANGAMBA YAN MAZINGE NI WA MBWE MBWE TU NDO MANA AKIPATANA NA NDACHA ANANYOROSHWA

  • @hellenhartley4316
    @hellenhartley4316 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah

  • @charlskallaghe6607
    @charlskallaghe6607 ปีที่แล้ว +1

    Itakuwa jambo la kher ukisilimu utapata fazila na mwezi huu mtukufu

  • @BakariMbega
    @BakariMbega 2 หลายเดือนก่อน

    Mashall

  • @GordienNdizeye-sf3jt
    @GordienNdizeye-sf3jt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh wambie !

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 8 หลายเดือนก่อน +1

    Adamu ajawahi kua Nabii

  • @kanakamama4496
    @kanakamama4496 ปีที่แล้ว +2

    Shehe mazinge naomba msanda wa dua kwako Kuna mama jirani ikifikia siku tukakosana. Wazee wakamua kuyatatua. Kujua amesamehewa kila mtu yuko radhi akamua kurudia hilo, hilo kosa. Mm ni msilamu anajua mtu akishakukosea haina budu kumsamehe, Nilipo sai mm nayeye siwezi msamehe bali ni kumuomba dua ya kumwadhibu. Je,Nihaki mwisilamu kumuombea dua mtu aliomiza nausi yake

  • @sudaissaid8428
    @sudaissaid8428 2 ปีที่แล้ว +1

    Quran Mazinge bado sana..hujui

  • @Abdillahdhamir-wo5yc
    @Abdillahdhamir-wo5yc ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @siahmwendwa9070
    @siahmwendwa9070 ปีที่แล้ว +1

    Kwenda zako wewe hubiri huo upuuzi wako lakin msema kweli ni ile sikuku akayorudi Yesu

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 2 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbr

  • @yassirMohammed-jq7vg
    @yassirMohammed-jq7vg ปีที่แล้ว +1

    inshaAllah

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah jazakallah kheyr

  • @nassorsuleima1877
    @nassorsuleima1877 ปีที่แล้ว +1

    Endeleash mazinge

  • @gabrielwendeline8464
    @gabrielwendeline8464 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge ww hujielewi ..utaelewa je ukristo..hata huo uislamu wenyewe huuelewii..coz unazani unajua kumbe ni mjinga tu..

  • @josephnkwamino6509
    @josephnkwamino6509 ปีที่แล้ว +1

    Yesu yupo karbu kukuokoa mazinge watu hawataamini siku hiyo

    • @massoudsuleiman-xv7hy
      @massoudsuleiman-xv7hy ปีที่แล้ว

      Nabii issa ataludi ikiwa nyie mludi au jamaluddin na hamjui kwakufika

  • @kokozakichondo1626
    @kokozakichondo1626 ปีที่แล้ว +1

    Toa elimu shekhe

  • @jumangondi3295
    @jumangondi3295 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @user-ny5ug4qo6c
    @user-ny5ug4qo6c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo mtupu.acha kudanganya watu .muogope Mungu ww .Kuna hukumu badala ya hapa