kijito cha utakasooo ni damu yake yesu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo aminaaaaa ahsante yesu nimebarikiwa sana sana na wimbo huu had nahis kulengwa lengwa na machozi ubarikiwe pia mwimbaji mungu aendelee kukutumia katika kazi hii.
The river for anointed. I'm trying to think about this song I feel like I'm flying. Holy Spirit works with His people always. Be blessed apostle. Ooooh Glory be to God, because we have counted right without law. Only Grace, Lord Jesus bless your people always. God is always with you apostle Zeno. Hallelujah. Blessed always! God's love reign forever!
Napata kuinuliwa mno na huu wimbo. Mungu awabariki
Huu ni wimbo unaonifariji nyakati zote ninapopitia magumu ya aina yoyote! mungu awabariki watumishi wanaotuweka uweponi mwa Mungu kwa nyimbo zao.
Ubarikiwe Sana 🙏 mungu akupe maisha marefu wimbo unanitia moyo katika Aya maisha
@@giftshuma6911 Amen
Aminaaaaaa kubwaaaaa
Mara kwa Mara narudia hii tenzi... Listening again 202.... Barikiwa sana Mtumishi kwa sauti ya kumuimbia Bwana...... Kwa hiyo nmepata utakaso
kijito cha utakasooo ni damu yake yesu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo aminaaaaa ahsante yesu nimebarikiwa sana sana na wimbo huu had nahis kulengwa lengwa na machozi ubarikiwe pia mwimbaji mungu aendelee kukutumia katika kazi hii.
@@haapyjohn9419 Amen
ubarikiwe sana Mtumishi Kwa nyimbo nzur
Amina. Barikiwa Sana kaka Dinu
Amen
Mungu wa mbinguni awabariki sana azidi kuwatumia mfanye kazi yake kwa ajili ya utukufu wake
Nice songs, you really make my faith stronger in Jesus Christ.
ubarkiwe Mtumishi wabwana, nimebarkiwa kupitia nyimbohiz, unaimba vizuri sanaah
The anointing in this song is great. More love from Kenya
Ubarikiwe sana, ndugu kwa kazi unayo yifanya. Keep it up!
Haleluya nimebarikiwa sana mtumishi ubarikiwe sana
Barikiweni na Bwana katika huduma ya kumuimbia Mungu
Mungu akubariki sana, nabarikiwa na huduma yako.
Hizi nyimbo zinafariji sana...
Amina Mungu akulinde na kukutunza uendelee kumtumikia na kumtukuza daima siku zote za maisha yako
jamani Mimi nikiusikia huu naona kama namuona yesu mbashala
Yaani hivyo hivyo na mimi natiwa nguvu nafarijika na iman inaongezeka sana
nimeipenda kazi yako kaka dinu
huu wimbo umenikumbusha mbali japo ilikuwa majonzi but finally nimeupata may the almighty God bless you
Glory Ndakidemi
Pole sana Glory Bwana yu pamoja nanyi
Barikiwa kwa hii kazi ya kumwimbia Bwana
nafarijika sana nikisikiliza hiz tenzi
Ubarikiwe sawa mtumishi
barikiwa mtumishi yaan ninapo sikiliza nyimbo kama hizi huwa zinanitakasa
Ameeen
Nimeipenda kazi yako kaka
am blessed from that song
barikiwa Sanaaaaa
Haleluyàaàaaa barkiw
@@user-eu8if8pk4h Ameeen nawe pia
@@user-eu8if8pk4h Ameeen nawe pia
A blessing song. Thank you for this song. God bless you.
Amen
Amen
the only song I can't get enough of , this is more than a worship
ubarikiwe sana baba mungu azidi ongezea pale unapofikia
Nimebarikiwa sana
ubarikiwe Kaka Kwa kaz zako nzuri na bwan akutangulie ktk uimbaji wako
The river for anointed. I'm trying to think about this song I feel like I'm flying. Holy Spirit works with His people always. Be blessed apostle.
Ooooh Glory be to God, because we have counted right without law.
Only Grace, Lord Jesus bless your people always.
God is always with you apostle Zeno.
Hallelujah. Blessed always! God's love reign forever!
Safi sana mutumishi unanibaliki
I can't stop playing it! I am from Kigali/Rwanda
Huu ni urithi wa Mungu na pandikizi la Fanuel Sedekia, Brother Dinu Zeno our might God have mercy on you
Amen
This is my favorite song in quarantine..
To God be the Glory
🙏🙏🙏🙏
unanibarikixn mtumixhi wa Bwana..... Mwenyeenz akujalie mwixho mwema mpendwa... wenye kuzid kumtegemea yeye pekeee Ameeen
God bless you
so touching, may God uplift you more.
Amina
Bwana awainue zaidi na zaidi
daah i feel so bad ni kama nawaaga wapendwa wangu ninakumbuka mbali sana😓😓😓😓😭
Nakumbuka siku yamsiba wa baba yangu ubarikiwe mtumishi
Amen Amen
Amen wapendwa!
ubarikiwe sana mtumishi am blessed with this song
namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakaso
amina kaka mungu azidi kukubaliki
real nice God is so great
Bwana akutie nguvu katika kazi hii
Mungu akupe maisha marefu"ubarikiwe mara dufu(ameeeen)
Ubarikiwe
asante Mtumish barikiwaa saaaana wimbo huu unanibariki mno
Amen
Nmpta utakaso
Nimebarikiwa Na family yangu 🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana
Khairat Zinzibar nice
Very inspiring song
Bwana asifiwe mpendwa, nilikuuliza kuwa, cd za hizi nyimbo za tenzi ulizoziiba, nitazipata wapi ndg yang ?
Am in touch with this song.I would like to download
UBARIKIWE SANA KAKA KWA KUMTUKUZA MUNGU KWA NYIMBO ZA INJILI NIMEUPENDA MWIMBO
Amen. Karibu sana.
Mwanaid Yahaya
ubalikewe mtumishi
I'm blessed for that song
Amen
Amen
so inspirational
ubalikiwe kaka napenda sana nyimbo zako zina upako sana
Barikiwa na MUNGU akuinue zaidi
good, song
😭😭😭😭
This is it amen my spirit is at rest amen
It reminds me of the Sunday school days
Amen amen.
Karibu sana.
Mercy Mukiza
Karibu whatsapp +255625954315
Mercy Mukiza
@@DinuZeno g
Safi kazi nzur
Dinu Zeno nabarikiwa sn nahizi nyimbo
mungu awabariki watumishi wa yehova
amen
Amen God bless you
I feel blessed
,al n
moko
Mungu amibariki sana
Amen
be blessed
Amen.
Tafadhali tuma hiyo link kwa rafiki zako na Mungu wa Mbinguni akubariki sanasana,
Nina Simon
I listen to this song often coz it reminds me of my kids death and burial.rest in peace Stacy.
Mungu akubaliki Sana
Obeid mgweno
watumishi wa mungu mbarikiwe sana
aleluya wapendwa
Amina kaka
Barikiwa
Amen. Kaibu sana.
DOREEN SARO
Napenda mno
Amen amen amen.
robert lazaro
blessed
Ubalkiwe sana naomba unpatie wasap nyimbo zako 0624678479
huu wimbo umenikumbusha mbali japo ilikuwa majonzi but finally nimeupata may the almighty God bless you
Glory Ndakidemi pore. mwaya
Amen
huu wimbo umenikumbusha mbali japo ilikuwa majonzi but finally nimeupata may the almighty God bless you
Wimbo mzuri
Kweli wimbo huu umenifanya nionekane mchafu mbele za Mungu
Amen
Amen