Wakati Titanic ilipokua ikizama, kuna binti aliyeutunga wimbo huu kwa huzuni kubwa pale alipoitazama bahari isiyo na upeo na kufahamu kuwa mwanadamu hana uwezo wowote wa kumuokoa, titanic iliyoaminika haiwezizama ilishindwa kuwaokoa, heri binti huyu aliyefahamu kuwa ni mungu tu aliyekaribu nasi wakati wa shida, binti aliaga baharini akiwa na imani iliyomusongesha karibu na mungu, kisha akatuachia maneno haya ya uzima.
This song reminds me of my childhood church life. Our church on the hill! Sounds of loudspeaker would alert me that sabbath school is on and I need to reach the church faster than my legs could take me!
Kila ninapo sikiliza wimbo huu huwa naikumbuka sana familia yangu, kwani kila siku jion tukiwa tumekaa kwa pamoja tulikuwa tukiuimba sana. Nakupenda sana mama angu pia ndungu zangu. Kaa karibu na familia yangu Mungu wangu.🙏
Huwa nakumbuka sana Miaka 2010 hadi 2014 familia yangu tulikuwa tunapitia wakati mgumu sana, tulikuwa na maisha yasio elezeka, tulipitia ugumu ambao hauluwa wakawaida, tuliiisha maisha yawasionahaki Lakini nyimbo mbili tyuuuu tiziiimba kila kulipo kucha kila kulipo kuchwa Wimbo 20 MUNGU wetu yeye mwamba pamoja nahuuu wimbo Na hadi sasa nnapo uimba huuuu wimbo najionaga nimtu ninae stahi kuimba sikuzote hizi nyimbo Asante MUNGU kwaupendo wako wapekeee... Hakika mimi nimeuona mkono wako🙏🙏🙏
I remember this hymn when I was baptized to be an Adventist in Morogoro. Some tears are flowing on my cheeks coz I went off the Christ's way. Am now back ".Lord heal me and give me eternal life. Amen."
"The steps of a good man are ordered by the Lord: and he delighteth in his way. Though he fall, he shall not be utterly cast down: for the Lord upholdeth him with his hand." Psalms 37:23-24 May our good Lord and Saviour walk with you.
Kila ninaposikiliza huu wimbo namkumbuka sana rafiki yangu alikuwa anaupenda sana kabla ya kuingia kwenye maombi lazima aimbe huu wimbo endelea kupumzika kwa amani rafiki yangu
how can i get this songs to inspire me please they touch my heart and feel like if i get them i will be near my LORD and thank his greatness that he has done me please
Left Kenya bout 10 yrs ago and never sung or listened this so for over that long. God just dirrected me here from one song to another just to remind me how close I am and bennefitting with God.
Tuongoze Mungu tuwe na wewe karibu zaidi hasa ktk kipindi hili cha janga la corona kwani kupitia janga hili pengine ni ukumbusho kwa wanadamu juu ya uasi wetu kwako!. ...Karibu na wewe...👏😱
When my daddy coffin was entering church,this song was sang..tearfull moment that I will never forget.Came to realise that my daddy has really left us,dear Baba your missed alot..Through it all I say "Hata kama yote ni mabaya asante Yesu🙏🙏"
Sorry there is hope if they have slept in the faith. I miss mine too, they used to sing at home even in the church my father was leading. The song is very touching
there is hope to meet them again across the river. i also hope to meet my father who really liked this song, especially when he played it with his keyboard.
Wakati Titanic ilipokua ikizama, kuna binti aliyeutunga wimbo huu kwa huzuni kubwa pale alipoitazama bahari isiyo na upeo na kufahamu kuwa mwanadamu hana uwezo wowote wa kumuokoa, titanic iliyoaminika haiwezizama ilishindwa kuwaokoa, heri binti huyu aliyefahamu kuwa ni mungu tu aliyekaribu nasi wakati wa shida, binti aliaga baharini akiwa na imani iliyomusongesha karibu na mungu, kisha akatuachia maneno haya ya uzima.
Ilikuwa ni nchi gani?natamani kupata ushuhuda huu vizuri.
Kweli???
So moving
Kisha wimbo ukatufikiaje ikiwa walizama?
Kisha wimbo ukatufikiaje ikiwa walizama?
Anybody listening to this song now thumbs up
This song is not for the dead but for the living, a prayer song🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭🕇
very powerful prayer
This song reminds me of my childhood church life. Our church on the hill! Sounds of loudspeaker would alert me that sabbath school is on and I need to reach the church faster than my legs could take me!
Ukiuimba kwa Imani lazma utoe machozi,Mungu akubaliki mwimbaji
Kila ninapo sikiliza wimbo huu huwa naikumbuka sana familia yangu, kwani kila siku jion tukiwa tumekaa kwa pamoja tulikuwa tukiuimba sana. Nakupenda sana mama angu pia ndungu zangu. Kaa karibu na familia yangu Mungu wangu.🙏
Pore sana
This song gives me courage to keep on trusting in God no matter the hard situations are
Amen
Whenever I listen to this hymn I feel the presence of holy spirit, you are a blessing to me.....nearer to thee
Huwa nakumbuka sana Miaka 2010 hadi 2014 familia yangu tulikuwa tunapitia wakati mgumu sana, tulikuwa na maisha yasio elezeka, tulipitia ugumu ambao hauluwa wakawaida, tuliiisha maisha yawasionahaki
Lakini nyimbo mbili tyuuuu tiziiimba kila kulipo kucha kila kulipo kuchwa
Wimbo 20
MUNGU wetu yeye mwamba pamoja nahuuu wimbo
Na hadi sasa nnapo uimba huuuu wimbo najionaga nimtu ninae stahi kuimba sikuzote hizi nyimbo
Asante MUNGU kwaupendo wako wapekeee...
Hakika mimi nimeuona mkono wako🙏🙏🙏
Nilalapo niwe karibu na wewe,karibu zaidi Mungu wangu 🙏
This song boosts me through all my challenges it also gives me courage,energy and strength
v
😊
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU huu wimbo nimeuimba usiku huu na mda huu nimeuona mkono wa Bwana
I remember this hymn when I was baptized to be an Adventist in Morogoro. Some tears are flowing on my cheeks coz I went off the Christ's way. Am now back ".Lord heal me and give me eternal life. Amen."
Welcome back to the fold. Amin!
Welcome back brother
"The steps of a good man are ordered by the Lord: and he delighteth in his way.
Though he fall, he shall not be utterly cast down: for the Lord upholdeth him with his hand." Psalms 37:23-24
May our good Lord and Saviour walk with you.
@@sherinetindi4003 thanks it's pray together
@@geoffreymoenga7344 thank you brother, may the mercy of Lord be upon us
This song really draws me closer to God
I'm blessed
Shalom brethrens...the song is such a blessing in my life
ee bwana,tutie nguvu,wajane,yatima,wagane,masikini ,wagonjwa karibu maishani mwetu,tuwe karibu nawe milele,amen.
HII NIYA RAIS MPENDWA MAGUFULI POMBE R:I:P 🇰🇪🇰🇪💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kila ninaposikiliza huu wimbo namkumbuka sana rafiki yangu alikuwa anaupenda sana kabla ya kuingia kwenye maombi lazima aimbe huu wimbo endelea kupumzika kwa amani rafiki yangu
Really touching and bringing closed to God. Nearer to there my God. Nice hymn.
Duu!! walioimba sauti yapili wamejinoma sana sana napenda sauti ya pili
Amina
Nyimbo ni nzur sana,MUNGU awabariki sana. lkn sasa wekeni zote maana zipo chache mno, mi nazihitaji zote mlizoimba nyie.
nyimbo Ni nzuri Sana tumutumikie mungu
IN GOD I CAN.thanx lord for everything which happens in my life. 🙌
Amen
. okay
Amen. It reminds me of my parents. How I wish to meet one day in heaven
Amen ! let it be ! God bless you..
may the Good lord lead us to heavenly home
Be blessed
Be strong dear 🤗
how can i get this songs to inspire me please they touch my heart and feel like if i get them i will be near my LORD and thank his greatness that he has done me please
Only you GOD 🙏🙏 you can understand my stution and pain because you are near to me when sorrows and troubles give me courage to never give up 🙏🙏💪🏿
Mungu awatie nguvu na awabariki sana!
This song made me heal knowing that God is the only one who will never abandon you after losing Benjamin Manani a bro I treasured most
I feel touchable with this song stay blessed
Patricial Phil Be blessed nice song
jackob joel
Nice song indeed blessed day Joel jackob
Amen
This song made my heart to be nearly with my God.thanks
Left Kenya bout 10 yrs ago and never sung or listened this so for over that long. God just dirrected me here from one song to another just to remind me how close I am and bennefitting with God.
Vinnlee Oyaro where are you?
I thank God, for is always here, memories of my village church in Kenya
Amen
@@mathiaskibon6504 are you a Branhamite?
Always check back your mother land has more spiritual nourishment to offer
This song touches my heart...i just feel that am at Jesus feet..msy God be on our side🙏🙏🙏🙏🙏
Amen listening exactly @12 march 5th 2021.
Nearer To thee my God
Ooh my God I need to be near you every minute of my life
Yamaombi pia uweze kuomba katika roho
Best singing of my favourite song! Reminiscent of my old moments of nearing My God. God bless me and you all.Amen!!!Kelvin Chifulumo from Zambia
Karibu sana moyon mwangu ee mungu usituache pamoja na wanangu
mbarikiwe wapendwa mmeimba vzr sana nataman Siku moja tuimbe wote mbinguni
Amina
Amina.🙏
A big Amen
Amin
Loving "Karibu na wewe" my favorite hymn .
What a great song listening August 12 2020..God bless you..Nice voices
Mbarikiwen Sana sauti za utulivu, wimbo huu umenigusa natamani niwe karibu zaidi na mungu wangu, Endeleeni kutubariki hivi na zaidi.
Tuongoze Mungu tuwe na wewe karibu zaidi hasa ktk kipindi hili cha janga la corona kwani kupitia janga hili pengine ni ukumbusho kwa wanadamu juu ya uasi wetu kwako!.
...Karibu na wewe...👏😱
Wimbo mzuri sana. Mungu aibariki Afrika mashariki
I really love hearing this song everytime it keeps me going through all challenges
Reminds me the Bit on Prophet ROGGER'S MWANGUMBE SUPER SERVICES!!
these are really seventh day adventist voices. i really like the harmony
Such a powerful song am here in April 2020 what an encouragement
Rest in peace my dear sister 💔 I remember so far ... congratulations for a beautiful song
I love this song much it gives me hope where it seems no hope...
Really amazing and encourages me much
Karibu Na wewe mungu mungu wangu ...Thank u our lord for loving us god bless u all our .. SDA choir...Sabato Njema to all SDA
Am a staunch Catholic... God hears my prayers through this song.
Great inspiration
Welcome to SDA Church some day
Amen
When my daddy coffin was entering church,this song was sang..tearfull moment that I will never forget.Came to realise that my daddy has really left us,dear Baba your missed alot..Through it all I say "Hata kama yote ni mabaya asante Yesu🙏🙏"
Ilike your trust.
Same here my dad's burrial 😢
Nearer to theemyGod beautiful a very inspirational song
Kinzii ndunge cC'd ghr
Amina sana, mbarikiwe na Bwana na Yesu Kristo pamoja na mpiga Kinanda Yesu akuinue mpendwa juu ili uendelee kumtumikia
Hapo titanic inazama watu wameshakata tamaa wamekumbatiana na kuimba wimbo Kama huu hakika Bwana wape usingizi wa milele😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ushuhuda huu,nilitamani niupate. Vizuri.
karibu na wewe yaani tumkaribie yesu....wito mzuri saaana!..ubarikiwe sana mtume.....👊👊📖📖📖📖
:
Baba kwa hali zote za dunia usiniache kuwa nami karibu zaida, Baba wewe unajua siku yangu ya mwisho duniani bariki kaburi langu.
This night, this month of June 26,this year of 2020..karibu nawe nitakaa Yesu ❤️💞🛐
Yaaaaa life is very hard when you listen songs like this and it's anniversary day of your lovely dad who passed away...it reminds me alot..
Rest in peace my Rev daddy Anesmace Raphael Kabole😢
am blessed by this song , karibu zaidi mungu wangu . endelea kutenda wema maishani mwetu mungu.
Asante kwa wimbo uyu...mubarikiwe na mungu
Eternal song- Karibu na Wewe. May we be always close to the Lord now and in heaven
Nice may God bless you
Huwa machozi yananitoka nikiimba huu WIMBO, pia huwa unanitia NGUVU SANA
All the time we need to be close to Jesus..
Amina napenda niwe karbu naww zaid Mungu.
Huwa naupiga kwenye kinanda.. nimefurahi wamefuata noten kama zilivyo! Barikiweni sana, nimebarikiwa kwa wimbo.
Lord please give me strength I can't believe i have lost my mum..the pain of loss is unbearable tooo much oh Jehovah..
Oo so sorry 😔
The song make Newly my heart, I like to listen all the time
Gentle man its been a pleasure playing with you
The Titanic
Yp man
I need you Jesus
Mubarikiwe sana Mungu mwema katika hili, ahsante sana munayoihubiri injiri kwanamna hii,
Amina
wimbo mzuri hunigusa moyo wangu ninapousikiza
Ameen! I glorified you Lord🙏
Great song
This song really touches nd takes us nearer to God be blessed the voices
Very true Phillip .it's a deep and sincere prayer
I'm blessed
Siku zangu zote bwana niwe karibu nawe 🙏
Beautiful songs GOD BLESS
A blessing song...,my comforter is my God...glory be to Him
karibu na wewe mungu wangu
Karibu daima Mungu wangu
Karibu Mungu wangu karibu na ww umeutendea haki God bless u
Amina
Karibu na wewee Mungu wangu, wimbo unanibariki Kwa kweli
Wimbo mtamu kweli barikiwa sana
It's a blessing indeed,,,,,, keep trusting in the Lord
Amen
I see some giving thumbs down to such a powerful song, shame on you, you need to repent and come to Jesus
Whenever I miss my Daddy 😓 I 🎵🎶 and I find 💪
God bless you, Msanii Chorale.
Mungu awabariki na mwende mbali
Karibu bwana yesu katka maisha yangu
Mbarikiwe sana katika Huduma hii
EVONANCIA MKENI hakika nimemwona Mungu kupitia huu wimbo
Thanks for that touching and encouraging song may God brothers
Mungu.hawabariki.sana.
The song is very soothing, God bless the composer 👌
It's a nice song msaniis God 🙏🙏🙏🙏❤️ blessed you people
Tulinde katika Usk wa leo tuwe karibu na ww eeh mungu uliye ju😂
Karibu na wew Mungu wangu🙏🙏🙏🙏🙏
Jupiter mmmmh
I want be member of SDA our can do ?
Our Faithfull God is always near us.Thank you God for the wonderful song
Hapa 2024 September 20th karibu na wewe mungu wangu
oh jesus have mercy on me, i all trust in You, remember me god when my time come🙏🙏🙏
A good song. Sure when you are near with God always you feel happy
Amen so blessed
Oh my late parents how I remember you when I listen to this song, am in tears, may your souls RIEP
Niusikolizapo wimbo huu napata faraja sana wandugu mubarikiwe sana
Sorry there is hope if they have slept in the faith. I miss mine too, they used to sing at home even in the church my father was leading. The song is very touching
there is hope to meet them again across the river. i also hope to meet my father who really liked this song, especially when he played it with his keyboard.
Wimbo zuri saana niko apa ku PARIS FRANCE ,niko congomani
Umemifariji sana huu wimbo.
SiSa kwa Mungu juju mbinguni
Amen amen 🙏