NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI. dinuzeno. +255625954315 (jipatie ziko 8 VIDEOS).
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2018
- Jipatie nyimbo za tenzi zipatazo nane kwa pamoja, nyimbo hizi ni za video. Karibu sana.
Subscribe to this channel for more videos.
• TENZI ZA ROHONI NA KUA...
#TenzizaRohoni - บันเทิง
Nyimbo zabariki kweli
Ukristu raha sana
Izi nyimbo zinanigusa sana ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Nina iman moyoni mwangu maombi yangu mungu asikia
Amen. I like tenzi za rohoni be blessed
Mbarikiwe na bwana
Haleluya nimebarikiwa Sana, kaka dinu na dada Mary mbarikiwe sana
Amen. Bwana ni mwema sana
Ubarikiwe sana mtumish kwa huduma
Mungu awainue Viwango vya huu zaidi
Amen
Umeimba vizuri sana sauti inaendana na wimbo yaani hadi raha
Kijito cha utakaso ni dhambi kuosho humo,Mungu akubariki sana hasa kwemye kipindi hiki lazima kusifu bwana
Mungu awabariki sana
Amen
Ukisikia Tenzi za rohoni ndizo hizi sasa I love this songs
mungu akuinuezaid
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
Nambariki Bwana Yesu kwa ajili yenu
Amen mbarikiwe Sana wapedwa kwa Nyimbo nzuri mungu awainue kwa viwango vingine
Mungu ni mwema
Dickson Runga
Unatubaliki sana
Barikiwa mtumishi Mungu asikie toka mbinguni machozi yetu
Hakika Mungu amekupa mbavu yako iliosahihi,Mtumainini Mungu mtafika mbali sana kiuduma zaidi.
Amina
jaman natamani hizi nyimbo nazipataje mnaimba vizuri
Amina sana usifiwe msalaba lisifiwe kaburi linalozidi yote
Hakika
Una dhiki na maonjo una mashaka piaa 🥳🥳🥳
Oooh tuonane milele, tuonane bandalin kule 🙏🙏🙏🙏
Amen barikiwa Sana Mungu azidi kuwainua.
Mbalikiwe sana wait WA mungu
Mungu azid kuwainuwa
Yesu ni rafiki sana kwangu
Amina mungu awabariki sana
Amina mungu akuze kipaji chako
ubarikiwe sana mungu amekutoa mbali ubarikiwe sana
Nabarikiwa sana mungu Azidi kukuinua
nawapenda sana Mungu awatangulie sana katika uduma yenu mzid kusonga mbele
Mungu awabariki
God blessing you
Amina kazi ya Bwana tuifanye kwa moyo
Good nic
From Kenya, I like how these spouse sing in all humility... May the LORD uphold His anointing in your Ministry..... Blessed by all your songs
barikiwa sana sana tens sana mungu anawaona kabisa
Ubarikiwe sana DINUZENO kwa nyimbo nzuri za tenzi za roho
Amen. Asante sana
Tis songs are so called...BLESSINGS
Stamwacha yesu amenitoa mbali
duuh nakuelewa sana zeno nakumbukumba tulivyokuwa field nkunja tandahimba
Ubarikie
Vizuri sn
Aminaa mungu akutiee nguvu
Napenda sana tenzi ya 92 huwa nabarkiwa sana. Nahuu wimbo waninamjua ilie niokoa. barikiwa sana mtumishi,
Hakika yesu ni rafiki waukweli wakati wa shida na wakati wa raha, Amen.
Hakika
@@DinuZeno Mungu Akubariki sana Mtumish wa Mungu, Kazi yako ni njema sana
@@mwalimudismasherman Bwana ni mwema
@@DinuZeno Hakika, Lakini Nyimbo zako zimekuwa zikihusika sana kunipa shauku na nguvu kubwa ya kuendelea na safari kubwa ya huduma, wito na utumishi Wangu kwa Mungu na hadi sasa Naona Nimepata nguvu mpya isiyo ya kawaida kupitia nyimbo zako...Mungu Akubariki sana
@@mwalimudismasherman Bwana ni mwema
barikiwa sana mtumishi, huwa napenda sana kusikiliza nyimbo hizi, hata nikiwa kazini
Amen mungu azidi kuwainua kiroho
Ubarikiwe sana
Dinuzeno umetisha mkuu. Ubarikiwe xana na xana
Haleluya
Mm nimebarikiwa sana mtumishi🎀🎀🎀🎀🎀
Napenda sana awe rafiki
All love from kenya. my sunday best. barikiwa sana the Zinu Denos.
Ubarikiwe na MUNGU mtumishi
Am blessed yesu kweli ni rafiki
Hakika
Amina barikiweni sana
Amen
Keep this spirit up, slow motion, msiwe kama wale wameukaribisha mtindo wa dunia kwa kumsifu mwokozi. We need the msg sio miruko ruko zingine hazieleweki. Thanks
Mungu akubariki sana ndungu yangu. Na huduma hii iendelee kukua.
Bwana atusaidie
Who is here 14of July.. Loving:)
Thanks
Amina
When I listened to this I filled with holy spirit thanks to God, God bless you all
Amen
Mungu awabarki
nimebarikiwa sana
Asante sana
Nyimbo tam, upako wa kutosha
Mungu akuzidishie neema ya kumwambudu. Bwana mungu akae kwenyu milele daima na kukutana na mahitaji ya familia yenyu baraka mzipokee kutoka kwa Bwana Mungu
Barikiwa sana mtumish wa Mungu mm ni mpenz wa tenzi pia nmejifunza merod mbalimbali za tenz kupitia uimbaji wako
Amen
Samahan mtumish unaweza kunitumia nyimbo za tenz kwa watsap? Kama unaweza numbr yangu ni 0756873441 samahn kwa usumbufu jaman
Amina mungu ni mwema San kwako
Kwako yesu na simama ndie mwamba ni salama
Haleluya mbarikiwa
Nabarikiwa sana na Tenzi za rohoni
Kikozi kazi
Barikiwa mtumishi
Amen
Mbarikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi
Napenda songs zenyu za tenzi keep up
Mbarikiwe sana maana zinanibariki
Ameeeeeeeeeeeeen 🙏 aksante saaaaaaana mubarikiwe namungu
Amen...ubarikiwe ndugu...inanikumbusha my mum..anapenda nyimbo za tenzi
Barikiwa pia
Good blessed you day today
Yesu kwetu ni rafiki a mina kaka ,ubarikiwe milele
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, ujumbe mzur sana na good voice big up sana
Mungu awabariki kwa injili nzuri ya uimbaji
yaani kazipenda kweli nyimbo hizi... na mnavyoziimba jamani... upako wa bwana washuka tuu... mbarikiwe wapendwa
Aminaaaaa mtumishiiiiii
Amen
nabarikiwa sana na nyimbo za tenzi za rohoni
nyimbo hizi hua inanibariki zaidi,Mungu awabariki sana
Tecla Mutai k
I love your songs...Mungu awabariki
I like the songs..may almighty God continue blessing you 🙏🙏
barikiwa baba
Ubalikiwe sana
2019jesus kwangu ni rafiki nyimbo zuri tunawapenda tz urabuni munatuhudumia
Uko sehem gan shoga ang
hallelujah... I will not stop commenting.... am so blessed. I like tenzi za rahoni
Amen
Mbarikiwe rafiki Wa Yesu
May the lord be with me
Amen
Amen
Mungu AWABARIKI sana kwa nyimbo hizi za tenzi ya Rohoni
Barikiwa mtumishi, Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine.
Amen
Nimefurai sana
what a blessing,,mungu akubariki ndugu,injili ya yesu kienee kote ulimwenguni.
Hakika Yesu kwetu ni rafiki,God's blessings upon His good people,
Ubarikiwe kwa utumishi, wimbo unanibariki sana
Ahsante mtumishi , i like the song
Mungu azidi kukuinua utukufu hadi utukufu
Amen
Thank you too
Ameeeeen kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
Orijino komed
VERY NICE MIX SONGS
Ambassadors of Christ choir
I love so much the songs from tenzi,,, always blessed when I listen to them
Amen
Amen Amen
imeniguza roho...shukran
Amnaaaaa mtumshiiiiii
Halelya haleluuuuya
Mbarikiwe sana nyie watu was Mungu lakini sijui mko wapi
am blessed by the praises n worship. may God give you more strength, more grace, & more revelation.
God bless me all time thanks 👍
Ubarikiwe Sana,nasi pia tunaosikiliza. Oooh hallelujah
Very inspiring songs
Mnatubariki Sana kiukweli, Mungu awabariki sana
Great songs indeed. I'm blessed
Amen
amen mbarikiww
Asante sana
Kazi nzuri wapendwa Mungu abariki kazi yenu
I'm blessed 🙏 May God bless 🙏 you too
Amen