May the Almighty God who has never fail, heals every single person who had time to hear these powerful songs. And may He blesses our singers beyond their expectations. In Jesus might name AMEN Personally, I feel a great releive by hearing these songs. Thank you singers.
Am hearing this songs at the point of need, asking God to heal my Godmother, as we plan to take her to see a neurologist appointment today, how I pray she meets an instant healing in Jesus'name Amen.
Tukeshe wapendwa Dunia sio yetu kwetu ni mbinguni tumwombe sana yesu atuzidishie maisha marefu Dunia na siku yakufa kwetu akatutangulie tukafe tukiwa ndani yake yesu akatufikishe kwenyemakao yamilelembinguni,tukaishi milele huko Amina Kwa moto wa yesu aliye hai
Nina chukuru sana WA pendwa wetu Izi Wimbo Buamu ZA Kiroho zi nanituliza moyo wangu nanipatiya moyo na Kuponya Bidonda Moyoni Mungu Wetu A Mu barikiwe Kamwe AMEN SHALOM SHALOM SHALOM
Kijito chia Utakaso Damu ya Muana Kondoho acsenti Bwana Yesu Christu Muana WA Mungu Uliye Hai Ju ya Kasi Yako Ulitenda Ku Musalaba Pale CALIVARY GOLGOTHA Na Kupenda mayicha yangu yote SHALOM
God created ears it means he has heard my cries and agony , this God who created the eyes have seen my suffering, this God who created my hands will surely bless me even if it's not about the things of this world but with eternity, Amen
Everytime when i listen to this mix i find myself crying aloot because of the pain that am in right now that it's only God who can help me. Its so emotional and it reminds me the kind of Pain Jesus Christ went through because of me and i know it shall be well with my soul.
Find a way out from your painful situation, accept Jesus Christ and be saved from your pain, and serve Him, does it profit you to be always in pains of past, and still each day has it's own pain? Fast and pray always search Jesus while He may be found.
Ee bwana kaa ndan yangu nifanye chombo cha iman yako niongoze katika mema na mabaya nitie moyo wa utii ndan yangu nisikie neno lako na roho wako anifunulie neema yako nikujue ameen
Ni kwa neema na rehema zake mwenyezi Mungu 😢😢😢😅😅😅😅😅 nina lia nikifurai amekuwa mwaminifu kwa lkni sisi hatuhaminiki jamani naombeni tubadilike tumrudie Mungu ❤
Pamolq nawewe Yesu bado tunakutumqiniq kwa machozi mengi sanaaa..tukiamini Yesu upo unatuona..naliaaaa mbele zako nipe kukupenda mpaka mwisho niko tayari kuwa bawabu malangoni pako ili ukijq unikute Yesu
Hakika mungu ni WA wote haijalishi tunamkosea mara ngapi lakini Bado ni mwema kwetu anatulinda na kutuepusha naabaya...mungu ni WA pekee hafananishwi na chochote amen.
Nilikua najiona Niko peke yangu mke kakimbia Kwa ajili niliokoka niliposikiliza wimbo nikasikia furaha ya ajabu na nikaona kama tupo wengi barikiwa sana
May the Almighty God who has never fail, heals every single person who had time to hear these powerful songs. And may He blesses our singers beyond their expectations. In Jesus might name AMEN
Personally, I feel a great releive by hearing these songs. Thank you singers.
Danuldi
Amen
Am hearing this songs at the point of need, asking God to heal my Godmother, as we plan to take her to see a neurologist appointment today, how I pray she meets an instant healing in Jesus'name Amen.
@@fennyeve8570 Amen 🤝
Amen Ajd Amen
2024
Bado tunalia na Mungu🙏🙌🙌
Namshukur mungu kwa kunilinda
Tenziza rohon
Neema yako mwenyezi Mungu inatosha juu ya maisha yangu nifanyie wepesi ninapo hisi uzito😢😢🙏🙏🙏🙏
Ukiskiza nyimbo za tenzi😢 hata kama hujui kuomba Roho wa Mungu anakuongoza kuomba tu 🙏
Hakika ndugu hapa nimejawa na nguvu za Roho Mtakatifu 😭😭😭 my LORD my LORD
Amen!
Tukeshe wapendwa Dunia sio yetu kwetu ni mbinguni tumwombe sana yesu atuzidishie maisha marefu Dunia na siku yakufa kwetu akatutangulie tukafe tukiwa ndani yake yesu akatufikishe kwenyemakao yamilelembinguni,tukaishi milele huko Amina Kwa moto wa yesu aliye hai
Amina
Nina chukuru sana WA pendwa wetu Izi Wimbo Buamu ZA Kiroho zi nanituliza moyo wangu nanipatiya moyo na Kuponya Bidonda Moyoni Mungu Wetu A Mu barikiwe Kamwe AMEN SHALOM SHALOM SHALOM
Shalom...usisahau ku subscribe channel yetu kuwa wa kwanza kupata nyimbo nyingine mpya punde zinapotoka.....Ahsante
Dh🎉🎉🎉🎉🎉
ahsante Mungu kwa siku hii yenye baraka Mimi na familia yangu, Mungu atubariki na kutupa nguvu na uzima kupitia nyimbo hizi, AMEN
Joy Elites. Adventist youths.th-cam.com/video/EC8kE8Y64tg/w-d-xo.html
Yesu Kristo anae anastahili sifa na utukufu, MUNGU wetu Awa bariki
Asante Yesu kwa maana umenibariki.
Ninapo sikiza izo nyimbo wakati nimepitia magumu uku gulf najikuta n kama niko karibu n mungu🙏🙏🙏glory to God
YESU amejibu maombi atakutetea milele
Kabisa mpendwa
Asante yesu kwa kutuamsha salama na watoto wangu
🤲🤲
Kijito chia Utakaso Damu ya Muana Kondoho acsenti Bwana Yesu Christu Muana WA Mungu Uliye Hai Ju ya Kasi Yako Ulitenda Ku Musalaba Pale CALIVARY GOLGOTHA Na Kupenda mayicha yangu yote SHALOM
Ebu angalia hii. Wonderful Kid. th-cam.com/video/H7P2lwu63tg/w-d-xo.html
Ewe mungu nyimbo hizi nikisema zaisha ziniguze moyo wangu pamoja na familia yangu na pia watu wote watendewe wema ukianza na mimi
Kuanzia wewe, why would you be that specific, tamaa wewe
Mungu kumbuka ndoa yang nikunipa tena watoto
Naona uwepo wa Mungu na nguvu zake zikinifunika
Bwana yesu kristo asifiwe sana asantesana kwa mungu kukuwejesha kutututungiya nyimbo hizi zawokovu
God created ears it means he has heard my cries and agony , this God who created the eyes have seen my suffering, this God who created my hands will surely bless me even if it's not about the things of this world but with eternity, Amen
Naomba Mungu nikimazakusikiliza wimbo huu munguanipe fursa namumewang
Nasema kwako amen
Asante yesu kwasiku hii njema Asante kwakunipa kibar cha uzima mm pamoja na familiar yangu Asante yesu🙏🙏🙏
Amen
Nyimbo za.tenzi zapenda sana zimejitosheleza kila eneo zinagusa
Nikweli kabiza Bwana Yesu Kristo ndiye pamoja NAMI
Mhngu nimwema nimwenye baraka neema faraja,ni mwokozi wamaisha yangu
Asante yesu kwakunibariki
Amen 🙏🙏 nyimbi zuri zinabariki sana God bless you and your family
amen amen nyimbo nzuri sana sinatia mtu nguvu
Hakuna kitu kizur kama kutembea uwepo wa mungu baba
Yesu wa Nazareth nijaze nguvu zako mahali sikutaka ili niheshimiwe nijaze nguvu zako moyo wangu nijaze Bwana
Napenda xana tenzi zaniinua kiroho nikiwa chini kiimani ❤
Ameeen naliya tu mm napitiya magumu nikisikiliza nafalijika Ameeen
Mungu akutie nguvu na akuponye moyo wako
Mungu ni nguzo ya ushindi🙏🙏
Mungu alie juu asifiwe Leo hata milele ,nyimbo zenye upako wa kweli ni tenzi za rohon ,kweli ni za rohon ,,barikiwa sana jaman ,.Mungu atupiganie
Good 👍 songs zimenikumbusha mbali Kwa ukirsto wangu emeni 🙏
barikiwa zaidi🔴▶️
Sorry had go coz go cuz go get her quick cc fix cc cc cc cc Tamara ger
Wapendwa asate Sana napenda Sana nizijue tun nam napeleka kanisani kwetu mungu awabariki
Thankssssssssssss so much Tenzi za Rohoniiiiiiiiiiiiiii. From Tanzania - SSC Group Team(s)
blessed....blessed man of God
Asante mungu kwa uzima na kwa kusikia sauti hiz tam
Much love nyimbo za tenzi za rohoni zinanibariki sana🙏🙏
blessed🙌
@@swahili24live56 matayo 12
Amen!
nyimbo za tenzi zatuliza mawimbi, nazipenda sana
Everytime when i listen to this mix i find myself crying aloot because of the pain that am in right now that it's only God who can help me. Its so emotional and it reminds me the kind of Pain Jesus Christ went through because of me and i know it shall be well with my soul.
Reach out pliz...
I'm sorry, i pray for you right now, my dear jesus please send your healing, touch her for him, in jesus name, by his blood you are healed 🙏🏾🙏🏾
All shall be well Lucy, God loves you so much. Find peace and healing of the mind heart and soul at His feet.
God will help you and keep you safe through the journey you are in.
Find a way out from your painful situation, accept Jesus Christ and be saved from your pain, and serve Him, does it profit you to be always in pains of past, and still each day has it's own pain? Fast and pray always search Jesus while He may be found.
Nyimbo hizi zina kuweka karibu sana na Mungu 🙏
Glory and honour unto Thee for not giving up on me.
I'll Forever praise His Name 🙏🙏🙏
Amen
Mungu nimwaminifu kila wakati,,asante mungu neema yako izidi kug'ara ndani yetu
Nabarikiwa SANA
Baraka za bwana ziwe nanyi daima watumishi wa mungu mbarikiwe sana na sana
Asante sana yesu kwakunilinda siku yaleo pamoja na famillia yangu yote
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo za tenz za rohon
Hiring nyimbo ni tamu sana
nice
Nazipenda sana hiz zikaribisha uwepo wa mungu katik maish yetu
Nakupenda sana MUNGU wangu
woow,,tunabarikiwa sana,,BWANA ASIFIWE
Amen endelelea kubarikwa...USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL KAMA BADO ILI KUENDELEA KUPATA UPDATES MPYA KILA MARA ZITOKAPO
mubarikiwe kwa kazi kubwa ya mungu muliyo ifanya mungu awabariki Amin🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ee bwana kaa ndan yangu nifanye chombo cha iman yako niongoze katika mema na mabaya nitie moyo wa utii ndan yangu nisikie neno lako na roho wako anifunulie neema yako nikujue ameen
Sijui hata nalia nini ninaposikiliza hizi tenzi.😭
Roho huwa abakutembelea ni ujiachilie anene nawe mkaribishe atawale maisha yako
Wewe ndio mimi
@@janetmlulla374 Labda tuko too emotional.
Me too i find myself crying.
Hunikumbusha mbali sana 😢😢 😢 🙏 mama yangu alizipenda sana lakini sai ni marehemu 😭😭😭
Maisha ninayopitia nikisikia hizi nyimbo zinanitia nguvu sana ameeni
Kombolewa
Pore sana mungu akutie nguvu
Mungu akutie nguvu
These are powerful songs, God is Great full
Naomba billia na kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu
Lango la MBINGUNI li wazi tuwe tayali wapendwa Mungu wetu sote❤
Asante mwenyezi Mungu kwa uzima tulio nao nakuomba mwenyezi Mungu unibadilishe safari yangu niwe na wewe na familia yangu amina🤲🙏
Hata moyo mapigo yanaenda kwa step nikisikia nyimbo hizi za tenzi bwana yesu asifiwe.
Ndugu zangu tumkimbilie mungu anaokoa
Nawakumbuka mama Yangu Mzazi na mke wangu mpenzi mmetangulia tutaonana asubui iliyo njema
Mungu awe faraja kwako na familia.pole kupoteza wapendwa wako.
Ni kwa neema na rehema zake mwenyezi Mungu 😢😢😢😅😅😅😅😅 nina lia nikifurai amekuwa mwaminifu kwa lkni sisi hatuhaminiki jamani naombeni tubadilike tumrudie Mungu ❤
Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 amen 🙌🏽🙌🏽 nabarikiwa sana 👏🏽
Mungu nikumbuke kumbuka uzao wangu.
Amen nyimbo nzur
barikiwa sana
Mungu ako na mimi
Najisikia Julia naposikiliza nyimbo hii
nimesipenda sana ,inanifariji God bless u
1-4'2024 mwezi mpya tuko na bwana amen
Pamolq nawewe Yesu bado tunakutumqiniq kwa machozi mengi sanaaa..tukiamini Yesu upo unatuona..naliaaaa mbele zako nipe kukupenda mpaka mwisho niko tayari kuwa bawabu malangoni pako ili ukijq unikute Yesu
Hakika mungu ni WA wote haijalishi tunamkosea mara ngapi lakini Bado ni mwema kwetu anatulinda na kutuepusha naabaya...mungu ni WA pekee hafananishwi na chochote amen.
Naparikia sana niskiapo tenz hii
Napeendaa sana sifaa
barikiwa sana
Na mushukuru mungu kwa sababu Niki sikiya nyimbo hizi aime ni jenga kabisa na nime sikiya kufunguliwa kwa kila njiya.. Asante kwa waimbaji.
Namshukuru mungu kwa kunipa uzima
Nikisikiliza tenzi nafarijika sana
barikiwa pia,tuomba usisahau kusubscribe channel yetu
Duh umetisha ameni
Amen mbarikiwe sana
E we Mungu wangu.nipe nguvu za kuvumilia taabu za Dunia hii.Nyimbo hizi zinanipa nguvu sana kuishi mikononi mwa bwana.Amina.
Am a proud born again Christian in Jesus Christ amen
Glory to lord the father in heaven am🙏🙏🙏
Ninafurahikuziskia❤ 😌☺️
Love this songs
Asante Mungu kwa hizi nyimbo zinanibariki sana
So nice songs ❤
Hopefully someday al have peace am giving up just tired 2024 n am already tired
blessed
Asante na hongera sana kwa uimbaji huu!♥️🇹🇿👏
Balikiwe wote mnaosikiliza nyimbo safi za tenzi za rohoni
Nanjiisi karibu na mungu
Nzuri
Iyi ya mucho mu nayimba na sauti ya Kizungu Oh WOW Congratulations guys !!!! Amen
blessed....usisahau kusubscribe kama bado
Amen amen nabarikiwa na tenzi za roho 8
Nimependasanainafariji
❤☺️
Amen 🙏🙏🙏 haleluyaaaaaa
Halleluia jina la Yesu lisifiwe
Hallelujah 🙏🙏
Nyimbo safi,utukuvu kwa Bwana
I like the soothing music
The songs everyday they a new lifting my faith 🙏 🙌
♥️
Mungu awabaliki sana watumishi
Mungu naomba unisaidie ktk mipango Yang wewe ni mwema swna
Mimi huwa nalia mpak macho yanavimba mungu tusaidie😢😢
Nilikua najiona Niko peke yangu mke kakimbia Kwa ajili niliokoka niliposikiliza wimbo nikasikia furaha ya ajabu na nikaona kama tupo wengi barikiwa sana
Amen! barikiwa zaidi
Mungu anitie nguvu😢
Thank you Jesus ❤