Wewe, Mtumishi nakusihi, Usimuache Mungu Wako, Maana Mungu unaye mtumikia wewe katika uimbaji, Naamini atabadilisha maisha ya watu, ili wote tukutane Mbinguni
I pray that you'll continue worshiping the Lord this way without joining the modern gospel industry that has ruined it for Christ Jesus. Receive love from Kenya.
Ndg. katika Bwana, nafurahishwa sana na nyimbo zako za kuabudu. Nakuomba kama ukipata nafasi, onyesha kwa vitendo tena, najua uwezo unao. MUNGU akujalie zaidi katika kipaji hiki.
Uko vzr Ndg. B Bleccd! Ila napenda kukumbusha kl unapo andka jna la kumpa heshma/Utukufu Mungu naomba tuanze na heruf kubwa Mf. Yesu akuinue/Mungu akutie nguvu NA SIO "mungu akutie nguvu"/"yesu akuinue" kwan "yesu/Yesu" na "Mungu/Mungu" haya n maneno mawl tofauti.
I feel like giving my life to Jesus. Can't stop listening to this song
God bless you abundantly
who's listening this song at this time??
be bless man of God
I was looking this song for so long
Amen
tunaskiza na tutakufa tukiziacha zikitamalaki milele
Grace Lubango Very moving song, can't stop to worship.
Wewe, Mtumishi nakusihi, Usimuache Mungu Wako, Maana Mungu unaye mtumikia wewe katika uimbaji, Naamini atabadilisha maisha ya watu, ili wote tukutane Mbinguni
Amen. Asante sana.
Nice song be blessed
Hakika
Mtumishi umepakwa mafuta kwa nyimbo hzi,ni wiki ya tatu nasikiliza nyimbo zako na bado sichoki kusikiliza.mungu akubariki
Amen
Amen, Amen, Amen
Amen
Barikiwa sana na Mwenyezi Mungu hakika kazi ya Mungu utukufu wa Mungu AMEN AMEN
Kaka nyimbo zako zinanifariji sana ubarikiwe na mungu
Amen
barikiwa sana mtumishi
Barikiwa sana mtumishi naipenda sana uduma yako endelea kumtegemea Mungu na kiburi kiwe mbali na wew amina
Amen. Asante sana
Nabarikiwa Sana, ni nchi ya raha,mungu akuinue toka chini,
Nice song is very blessed
Ongera sana nduguyangu
Asante sana
Walioko wauona uso wa mwokozi tena jua jingine hapana ni nchi ya raha,,,barikiwa mtumishi
Amen
twasoma ninjema sana mbinguni kwa BWANA, MUNGU atusaidie tufike salama🙏🙏 wala machozi hapana ni nchi ya rahaa.
Jua jingine hapana ni nchi ya raha, oooh jesus!!!
Nabarikiwa sana na tenzi za rohoni
barikiwa mtumishi wimbo mzuri cn umenigusa
wimbo uelezeao sifa za watakatifu Jaman tuishi kama wasafiri
Barikiwa sana mtumishi
Umbari riwe Sana kwa nyimbo zaokovu
Amen
Amina
Nashindwa jinc yaku download nyimbo jaman nielekezen napenda sana tenzi za rohon
Endelea kuitakasa taranta yako""mungu atakulipa ujila wako" waimba kwa ukarim"mungu akukumbuke daima (ameen)
Life band
amina jaman
Ameen asante sana kwa maombi yako mtu wa Mungu. Asante saaaaana
🙏🙏🙏🙏Amen nyimbo zako huwa zanifariji Sana..... Mungu azidi kukubariki na kukuinua zaidi pamoja na jamii yako
Ubarikiwe sana
kaka nyimbo zako zinanibariki sana
Bwana ni mwema hakika
Through this song (tens) is the heaven together with God
Mungu aendelee kuku nguvu y kumwabudu
Daaah nabarikiwa sana
Amen,Amen so touching
If these are the songs we shall be singing in heaven as the holy books say, then I want to be there when the roll is called up yonder
Work hard don't miss, heaven is real
Jua jingine hapana ni nchi ya raha!! Nazidi kubarikiwa na hamu ya kumtafuta Mungu kwa nguvu inaongezeka. Umeimba kwa umahiri sana Baba hii tenzi
Bwana ni mwema
Love you bro,
God bless you for blessing the World with Angelic hymns
Amen.Thanks for your blessings. Gob bless you more and more
Mji wa tofauti Mno no mfanano wake huo ndo tunaoutarajia...amen
Real
Amina mwili mpaka unasisimka aminaaa
Amen amen
My dearest brethren much respect and be blessed
Amen
amina brother God Blas's you
Amen nawe pia mtu wa Mungu. Msitusahau kwenye maombi yenu tafadhali.
Mtumish ubarikiwe
Oh my God! I feel blessed
God bless you my brother,,i love your songs
Gid bless you too man of God
Asante sana! Mungu akubariki kijana wa Yesu! Naomba mnisaidie namna ya kuweka video You-Tube!
Uko vizuri
Kweri mtumishi mbingun tutamsifu sisi turio mwamin kuwa bwana na mwokoz,barikiwa sana
Amen
Indeed a wonderful song,,May God give you strength to continue serving Him
kaka nyimbo zako zinanibafiki sana tuombeane sote tuweze kuuona uso wa MUNGU ameni
Amen
I can see Heaven,can't control tears of Joy. Jesus prepare me keep me far from sin.
Jesus, let your servant be renewed
Hallelujah hallelujah hallelujah praise our living God Amen
I pray that you'll continue worshiping the Lord this way without joining the modern gospel industry that has ruined it for Christ Jesus. Receive love from Kenya.
Nafsi yng ipo kwenye moto lkn nafarijika na hizi nyimbo
Kwa nini kwenye moto?
Nitafute kwa namba 0625954315
Amen!!
Barikiwa sana
Amen
Debora Dickson
nabarikiwaa xanaa na nyimboo hzii xanaaa
+Dinu Zeno Balikiwa mwana wa Mungu kwa wimbo mzuri nafarijiwa sana
unanibariki sana mtumishi...najifunza vingi sana kutoka familia yenu na mama
Amen
Asante sauti imejaa unyenyekevu na uwepo halisi wa mungu mungu kakupa mke mwema kabisa
Bwana ni mwema
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri mungu aendelee kukuongoza
Asante sana mtu wa Mungu
Yoh15:1-
Amen
This song has taken me to another level.More grace servant of God.
Thanks
Nabarikiwa rohoni nisikilizapo nyimbo zako ,Mungu akupe vipawa zaidi vya kukusaidia kutsngaza jina lake kwa njia ya uimbaji
Amen
Nszipenda sana nyimbo zako vipi umeshatoa Albam au bado,?
Hallelujah
kwa kutumia simu!
ameni
Mubarikiwe na bwana nakumbuka hiyo nyimbo tukiwa tunaziimba tanzania kibondo. Kukanisa ya falagha. Asante sana kaka mungu akubariki
Amen
Ubarikiwe kazi nzuri sana
Amen amen.
Frola Erick
Ndg. katika Bwana, nafurahishwa sana na nyimbo zako za kuabudu. Nakuomba kama ukipata nafasi, onyesha kwa vitendo tena, najua uwezo unao. MUNGU akujalie zaidi katika kipaji hiki.
Amen asante sana
Nahisi kurejeshwa na Mungu wangu, nimesihi uponyaji ndugu, Mungu akuzidishie katika huduma.
Amen nabarikiwa sana
Amen asante sana kwa maombi yako.
Thanks bro invite others in a word of God
Thanks
ubalikiwe kaka mungu azidi kukuinua zaidi katika uimbaji wako nabalikiwa sana nikiwa Oman
Asante sana jamani watu wa Mungu mlioko Omani.
this song encourages christians not to lose hope in christ because of a good home which He has gone to prepare for us.amen.
Amen amen.
Glanys Wawire
Blessed alot.
Glanys Wawire
mungu akubariki sana umenibariki sn
Amen amen. Utukufu kwa Bwana.
Miriam Sulle
mungu aendelee kukuinua zaidi ktk karama yako ya uimbaji.
Amen
Safar ni njema
Songa mbele ndugu maadamu neema iko juu yako kamanda.Baraka
Amen asante sana
Mtumishi ubarikiwe Sana kwa mahubiri yako kwa njia ya nyimbo nabarikiwa Sana kwa nyimbo zakp
Bwana akubariki sana
Asante wimbo huu uninifanya niutafute uso wa Mungu nakutamani kuishi maisha ya usafi
Asate bwana yesu wimbo huu huwa unanifafiji sana
Amen
@@neyjoseph8391 Bwana akusaidie
Wow nice soul healing music 🎶
To God be the Glory.
nimefarijika sana na tenzi unavyoziimba umenkumbusha mbal sana.nashukuru
Amen. Karibu sana.
Bernadetha Gama
Asante sana nawe pia
Nimebarikiwa sana na wimbo huu.
Barikiwa tena na tena
ubarikiwe sana
Amen
Huku chin sio kwetu twenden kwa Bwan barikiwa sana
Amen
Amina kweli hapa sio kwetu ni mbingun kwetu Mungu atusaidie
Baraka Tele tele
Ubarikiwe kwka
Amen
Uko vzr Ndg. B Bleccd! Ila napenda kukumbusha kl unapo andka jna la kumpa heshma/Utukufu Mungu naomba tuanze na heruf kubwa Mf. Yesu akuinue/Mungu akutie nguvu NA SIO "mungu akutie nguvu"/"yesu akuinue" kwan "yesu/Yesu" na "Mungu/Mungu" haya n maneno mawl tofauti.
Asante sana
God still bless you brother and protect you against satan 🙏
ooooooh!!!! nice song
nice voice
Mungu akuinue kwa viwango vyingine kaka....
Mungu akubariki sana kaka nafarijika sana siwezi hats kueleza mungu azidi kukupa kibali
Amen
@@jackpemba7919 Asante sana
amemtumishi
Dinu zeno, ninavyosikiliza tenzi jinsi mmlivyoziimba ni kama niko kanisani
Bwana ni mwema
umenibari sana asante
Amen
Nabarikiwa sana nanyimbo zako mtumishi pale napokuwa na huzuni moyoni mwangu mungu akubariki
Ndiyo kusudi la Bwana na mapenzi yake kuwa watu waponywe.
Hi Dinu, Napenda sana nyimbo zako mungu akubariki. Napataje CD zako kama zipo
Zikisambazwa nitakujuza
Mungu akubariki sana kaka. kazi zako zina nibariki.
Amen
🙏🙏🙏
barikiwa sana
AmenChobu Shaka
Kaka Tenzi Barikiwa
Amen
amen mungu akubarik sana mpendwa nyimbo zako zinanifarij
so nice
wimbo unanipa moyo wa kusoma bibulia. na kumtegemea mungu
Bwana ni mwema
@@edwardrushishi2940 To God be the Glory
@@edwardrushishi2940 Mtegemee Mungu sana
Nabalikiwa nakuvutwa na tenzii hii kaka angu nimeanza mda sana yapata miaka 6 had sasa lakini
Atahivo niisikiliza Leo nahis nimpya kichwan kwangu
Bwana anakusudi na wewe. Kuna kitu Mungu anakusemesha
Be blessed my Brother Dinuzeno
Thanks and you too
Amee
ooooh Glory to the most higher God be blessed bro may God lift u to another level
Dorah Baraka Ameeeen!
Amen thanks and you too
Moyo wangu wafurahi sana kupitia hii nyimbo hasa nikiona aman ya moyo inashuka
Nice song
Mwana akunue zaid na zaid
May God bless you
Amen
ubarikiwe kaka
Amen