Nabarikiwa saaana na huu wimbo kwani cku nilipoondokewa na mama yngu kipenz ulinipa faraja saaana,,tukumbke tuu mavumbi na mavumbini tutarudi,,ameeen barikiwa saaana
MUNGU wetu akupe maisha yenye baraka tele hakika wimbo huu unatukumbusha mwisho wetu ni kaburi hivyo yesu ndie taa yetu milele yote...0757415111 naomba uniunge wasap
Ubarikiwe Kaka nabarikiwa Sana na hizi nyimbo zako,asante sana,tenzi inanijenga kiroho🙏
Kweli mbinguni hatuingii kwa cheti cha kanisa mungu tusaidie moyo safi
Mungu akubariki Sana kwa kazi njema nyumbani mwa Bwana
Nabarikiwa saaana na huu wimbo kwani cku nilipoondokewa na mama yngu kipenz ulinipa faraja saaana,,tukumbke tuu mavumbi na mavumbini tutarudi,,ameeen barikiwa saaana
Nitazipataje nyimbo zako au Library zipo no yangu ni 0682436004
tangu nimekujua nazidi kubalikiwa sana kwa nyimbo zako kaka,ubalikiwe sana
Amen, ni Bwana.
Edinna Simon
sitasahau kaz ya Msalaba ubarikiwe kwakutumika ndan ya Yesu
Amen
Bwana akubariki ndugu umenibariki na huo wimbo wa usifiwe msalaba
Dinu zeno, naendelea kubarikiwa na nyimbo za tenzi, mungu wa mbinguni awabariki, mmeimba vizuri sana
ubarikiwe kutoka moyoni na MUNGU aendelee kukufanya umtumikie yeye tu katika kweli
Best song good sana mtumish wa mungu
Young men don't know this songs. They sing unbiblical things. But you brother, oh brother, God add you more
barikiwa sana mtumishi mlungu azidi kukuongezea neema na uzao wako uwe kama wa ibahim baba wa imani ameen
mungu awabaliki usifiwe msalaba
asante Sana
mbarikiwe sana pia Mungu awatie nguvu ya kuendelea kumtumikia
ujumbe Mzuri,Mungu awatie nguvu
God bless u man of God may hr never leave u at any point
Nyimbo za zote zinanitia nguvu nirejee kwake
Amen
@@DinuZeno ahsante pamoja sana
Kale nilitembea nikilemewa dhambi,nilikosa msaada wa kuniponya mateso.Nazidi barikiwa na kazi zako ndugu Dinu Zeno.
Ubalikiwe kwa nyimbo nzuri
Amen
erizabethy sendea guda sana
Wimbo unanigusa sana kilasiku nausikiliza, barikiwa Mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe sana
Powerful song
Mungu aendelee kukuinua mtumishi
god bless u brother. Glory to god for u
Ubarikiwe sana mtumishi uduma yakoinabariki sana
Balikiwe Sana 🤝
Ubarikiwe, wimbo huu umegusa moyo wng na maisha yangu kwa ujumla.
Amen.
Ivy S Mtua
kale nilitembea nikilemewa dhambi nilikosa 🙌🙌🙌🙌
lisifiwe kaburi linalo siri yoteee Asifiwe mwokoziiii💃💃💃💃hicho ndicho chanzo cha kufurahi kwangu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Amen,ubarikiwe.
Amina
Mungu akutangulie kaka
Usifiwe msalaba lisifiwe kaburi linalozidi yote.asifiwe mwokzi.
Nabarikiwa kwa wimbo huu hakika umetenda haki
Amen. Ni Bwana
Blessings brother
God bless you nice song
Ameni
chemiche ya usima itakasayo roho nitakase nami.
Napenda nyimbo zako
kk Dinu barikiwa sana
JOSHUA KANYATTA god bless you and your family and friends and songs
bro unibariki saana .Mungu akutunze na akutie nguvu kweny hii hudumu njema ya uimbaji
Nawataman sana dah
hicho ndicho cha kufurahi kwangu lisifiwe kaburi
Ameen
I love this song
Jo
ubarikiwe
sana
Amen Amen
hongera sana mtumishi nabarikiwa sana
Barikiwa sana Mtumishi
hongera kaka lisifiwe kaburi
Wow
amen
Asifiwe mwokosi
kale nilitembea
Nawatakia utumishi mwema
Unarikiwe mtumishi WA bwana umitendea haki tenzi ya 22 asante sana.
Rc
Mtumishi wa Dinu zeno, una CD ambazo ziko madukani za nyimbo za tenzi ?
say Ameeen
Tukiwa mbinguni iwapo Mungu ataniruhusu, nitamwomba aniruhusu kuiabudu damu ya Yesu Kristo wa dhamani milele.
MUNGU wetu akupe maisha yenye baraka tele hakika wimbo huu unatukumbusha mwisho wetu ni kaburi hivyo yesu ndie taa yetu milele yote...0757415111 naomba uniunge wasap