NINAMJUA ALIYE MWAMBA. by dinuzeno.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2018
- Wimbo huu umepakiwa leo tarehe 14/10/2018.
Kama unahitaji nyimbo hizi na ziada tafadhali niandikie kwenye coment hapo chini kuwa unahitaji nyimbo ngapi na namba yako ya simu ya whatsapp.Nitakutumia bure kabisaa.
Subscribe to this channel for more videos.
• TENZI ZA ROHONI NA KUA... - บันเทิง
Ninamjua alie mwamba alie nikokoa ni bwana yesu x3
Asantee Baba asantee mwana asante nawe roho mtakatifu
Ahsante baba, ahsante mwana, ahsante nawe rohoo mtakatifu “katika magumu usilie tena yeye ni Mungu wetu” Amen
Ninamjua aliye mwamba, aliyeniokoa ni BWANA YESU🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 anaesikiliza 2021 gonga like hapa
Ameen bro hakika niyeye aliye tuokoa sisi sote
Wau nice song nikiwa hme napenda kuimba hii wimbo sana kanisani missing hme 🇰🇪ooh
Aliye mwamba, aliyeniokoa ni Bwana YESU.
This song is really a blessing to all generations
Bwana Yesu asifiwe!!!tumkumbuke Kristo Yesu alivyotuokoa,. Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Abba father, jehova jilee, Amen!
Aliye niokoa ni mwana Yesu,nice song
ubarikiwe na yehova Kwa ujumbe wako mzuri
Hongera kijana wimbo ni moto
Hallelujah Hallelujah, Glory to Almight God for this courageous and blessing song.Dinu Zeno barikiwa mno na Mungu akuinue kwa viwango vingine.NINAMJUA ALIYE MWAMBA ALIYENIOKOA NI BWANA YESU.
Amen asante sana
Asante bwana , Mungu akubarikiye na familia yako
hongera kwa kuomba vizuri sana. nakuombea uuimbe na wimbo wa Deni ya dhambi wagavyombo wako najua wapiga vizuri sana
Asante sana. Wajulishe na wengine juu ya kazi hii
nawatangazia sana kaka watazidi ku like na subscribe. but usisahau ku add wimbo wa Deni yangu ya dhambi
@@reubenelias6766 Sawa asante saaana mwana wa Mungu.
amina barikiwa sana
Hakika Yesu asifiwe ndie alie tuokoa
Barikiwa mtumishi🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ni bwana yesu, ni bwana yesuuu
Kutoka Nchini Thailand Nabarikiwa sana na wimbo huu Mtumishi. Uinuliwe na Bwana
Mimi uwa na barikiwa na nyimbo zako zote barikiwa ata wewe kwa kazi nzuri ya mungu
Wow .. yesss... Jesus is the rock.. he saved my life f
Bwana Asifiwe, tunafurahia kumsifu Mungu kupitia Sifa hizo, mbarikiwe waumini wote wanaoimba!
Shalom mwana wa MUNGU. Balikiwa sana. Ninamjua aliye mwamba aliniikoa ni Bwana YESU.
Ameen. Naomba husiache kuwajulisha wengine juu ya nyimbo hizi. Tafadhali sana.
Asante na ubarikiwe na Bwana.
Nakupenda sana kaka kwa kazi yako mungu akutumie milele ninaposikiliza nyimbo zako nafarijika sana tena sana hata nikikosa naona ninavyo 🙏🙏🙏🙏
Kaka mungu akubariki sana sikujua kama huu wimbo niwewe uliyeimba huwa nabarikiwa sana nikiusikiliza nakicheza huwa nakuwa naamani sana God bless you
Woow Aki this song is very powerful and enjoyable, This God is awesome to everybody who has him, he is a wonderful councilor, Glory be to God
Thank you
Barikiwa mpendwa katika Bwana napenda uimbaji wako hakika aliyeniokoa ni Bwana Yesu
Ameeen. Utukufu kwa Bwana
Wimbo huu unanibariki sana sana
Jambo sana ndugu Dinu Zeno. Napenda sana unavyoimba kaka. Unanibariki sana ndugu yangu. Unaongea na Desire kutoka Germany. Ubarikiwe sana na mkeo. Salamu zangu ziwafikie nyote. Amen
Asante na Bwana ni mwema
Amen,,, Hallelujah praise the Lord Jesus...
Hakuna mwamba tulie nae zaidi yake uyu yesu 🙏🏾💪🏾💪🏾
Ameeen
Nabarikiwa sana,kila nisikiapo wimbo huu,ubarikiwe mtungaji wa wimbo huu,na mwimbaji pia.
Mungu ni mwema kwa kweli
Amina mtumishi,endelea kutuletea hizi pambio safi kabisa za zamani,ambazo zina utukufu tele
Karibu kwetu kenya bro
Who is here Dec 2020...
Hakika YESU ni Mwamba, barikiwa sana mtumishi....
Amen
The Lord is my Rock Amen
Ameen mtumish barikiwa xnaa
Ninamjua aliye mwamba,nnakumbuka mbali saaanaa.congrate!!!!!!
Utukufu kwa Mungu
Ninamjua aliye mwamba katika maisha yangu barikiwa sana mtu wa Mungu
Kiukweli mm nazipenda zote nashindwa kusema ni nyimbo zipi zote zina utukufu wa Mungu
Amen
Nabarikiwa sana na huduma yako, Mungu akuinue zaidi ya sana mpaka maadui zako washangae!
naomba uimbe tenzi iitwayo msingi imara ubarikiwe kwayote mema mungu akuepushie mabaya
Amen ,barikiwa sana
Ubarikiwe mtumishi ni kweli ktk magum yesu ni mtetezi
Amen, Yeye ni Mwamba Imara. Ukikuangukia auUkiuangukia basi huwezi kubakia Ulivyokuwa. Barikiwa sana katika Huduma hii Br.
Amen
Namjua alie mwamba alie niokoa nibwana yesu mpaka bubu jiko
MUNGU AKUINUE SANAA NDUGU KWA KIPAWA CHAKO.. KWA HAKIKA NYIMBO ZAKO ZINA BARIKI MOYO WANGU SANAA...
Ubarikiwe muno mtumishi wa Mungu.
Ubarikiwe zaidi
Kazi yako ni njema
Bwana ni mwema na Mungu anisaidie
Asante Utatu Mtakatifu (Thanks Holy Trinity). Ubarikiwe sana mtumishi Mr. Dinu zeno
Ameeeen
Be blessed in Jesus name
Nyimbo zina bariki mno na zimejaa nguvu ya Mungu isiyo ya kawaida
Hakika hakuna mwingine Kama yeye numeipenda Sana nyimbo yako
Utukufu kwa Mungu
Nimekubal mtumish
Amen barikiwa
Duuuuuh nakumbka 2012
Nilipoipokea neema ya Yesu
am always blessed when i hear this song
Amen. To God be the Glory
Hakika ninamjua aliye mwamba
amen mtumishi ubarikiwe kwa nyimbo nzuri
Nyimbo ipo vizur na inabuta mtu aombe ,barikiwa sana
Ubarikiwe
Amen
Ubarikiwe mtumishi wimbo mzuri unabariki
Ameen. Ni Bwana
Amina baba
Dino be blessed.
Amen. Thank you
Amen napenda wimbo huu wimbo sana Mungu akubariki sana
Very powerful Song🙏,Am Blessed. May God bless you so much .
I'm here after listening to a choir which have renditioned it their way, very blessed with both.
Amen
Send this link to many people as you can
@@DinuZeno "ninamjua aliye mwamba aliyeniokoa ni bwana yesu" ubalikiwe
Asante Sana kwa nyimbo hisi umbarikiwe
Amina sana
Anco paul :be blessed for your nice song
Ameen
wimbo wa baraka
Yeye nimwamba wetu ubariki sana bro dinu
Nyimbo zako zinanibariki pamoja na sauti yako gd job
Ubarikiwe sana nzuri kweli tena naipendaga sana hii nyimbo
Amen amen na utukufu kwa Mungu juu Mbinguni
Amina
@@wigniskayagilo8570kiukweli na barikiwa sana Mungu akutumie sana
My all time song God bless you 🙏🏻🙏🏻
Hallelujah
Amen hakika ninamjua
Ameeen
Nyimbo nzuri Sana Dinu Zenu
Barikiwa mno mtumishi Wa MUNGU
Aminaaaa
MR DINU AKUBARIKI SANA KWA UJUMBE MZURI
Be blessed by God for these beautiful songs, I say thanks to you...
Glory be to God Almight
Siri ya machoz hay
Hey , nice one May God inspire you more mpendwa
Hallelujah!!!!
Amen
Amen ubarikiwe Sana mtumishi
Ameen mtumishi barikiwa sana.
Thank you so much for the touching song, it has bless my soul
Oooh! to God be the Glory. Send this link to others so it can be a blessing to many people as possible.
Thank you
Hallelujah, barikiwa mnoooooo
Ameeeeen
Amen 🙏
Mungu akuinue zaidi na zaidi
Ameeen. Kwa utukufu wake
Ubarikiwe sana mtumishi!
Sifa na utukufu zimwendee baba wa mbinguni,,barikiwa sana Mr zeno
Asante sana
Wimbo mzuri unaelekeza mtu katika maombi ya toba
Nimebalikiwa sana balikiwa san
Dunezone God bless you so much for the good songs.
Amen ubarikiwe sanaa...
Amen
Haleluya, haleluya!
Haleluyaaaa
Amen
God bless you mtumishi
Amen
Dinu Zeno hakika roho wa Mungu yu nawe. Barikiwa MTU wa Mungu
despite the fact that am sick spiritual and am really struggling with it please pray for me to come out of darkness and i hope one i will be able to praise him with all my heart and mind
Receive miracle in JESUS name🙏
@@princessjamilah782 amen
Nice song a man of God
wimbo mzuri sana kaka
Nahitaji
Nmin nimebaria na nyimpo zako!
Ninamjua aliye mwamba