Sehemu zangu za SIRI zililiwa na Samaki, wenzangu WALIKUFA, nimekaa kwenye maji siku KUMI: Mvuvi

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 641

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 ปีที่แล้ว +9

    Ebwanee mm nimemnukuu ndugu yangu akisema mwanzo alikua akibisha kua Mungu hakuna hila tokea siku hio aliamini kua Mungu yupo, kwa hio ni kama Mungu mwenyewe alitaka kumuonyesha ndugu yetu kama yupo na ni wa miujiza!

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 ปีที่แล้ว +44

    Mungu ashindwi na lolote kama ameiumba bahari, mbingu,ardhi,binadamu, wanyama na mengiyo atashidwa kukuokoa wewe, tumshukuru Mungu kila wakati

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 4 ปีที่แล้ว +3

    Allaahu mustaa'n(Allaah ndio tegemeo letu).Hiyo ni baadhi ya miujiza ambayo Allaah anaionesha kwa viumbe vyake ili wapate yakini juu ya uwepo wake na ili upate kumuabudu Allah hali ya kuwa peke yake ,na miongoni mwa miujiza yake ni Nabii yunuus alimeza na samaki ila kwa uwezo wa Allaah akatemwa hali ya kuwa muzima,miujiza mingine katika suratul baqara kuna mtu alifishwa na Allaah kwa miaka mia yeye na mnyama wake baadae Alaaah akamfufua yeye na akamuonesha anavyomfufua mnyama wake kwa kumvisha nyama na mifupa,pia miujiza mingine katika suratul kahf wale watu wa mapangoni ambao walifishwa miaka 300 na kitu wakiwa wamelala pangoni na mbwa wake lakini Allaah akawahuisha,miujiza mingine nabii ibrahim alipowashiwa moto mkubwa uliokokwa na kuni nyingi za watu wa mji wake ila Hakuungua hata kidogo,miujiza mingine Mtume Muhammad kupandishwa zaidi ya mbingu ya saba kupewa swala tano,miujiza mingine nabii issa(yesu) alipopandishwa mbinguni na Allaah,miujiza mingine nabii issa na juleyj kuzungumza wakiwa watoto wachanga.Kwahiyo hiyo miujiza kwa Allaah ni midogo saana anayoyasimulia

  • @daimavlog
    @daimavlog 4 ปีที่แล้ว +79

    Mtangazaji uko vizuri sana, maswali mazuri sana. Hongereni

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 ปีที่แล้ว +11

    Allah Akbar kweli Mungu upo umetoka mbali kakangu asante Esco interview was so emotion😥😥

  • @christinamagasi625
    @christinamagasi625 4 ปีที่แล้ว +13

    Mungu mwema ,,,Hakika Mungu alitaka uone utukufu wake jinsi alivyo mkuu,,na umswalie siku zote maishani.Hiyo ilikuwa nusu kufa nusu uhai .....jaman kuna muda ukitafakari mambo ya Mungu unakosa jawabu.

  • @famitonawanda4831
    @famitonawanda4831 4 ปีที่แล้ว +11

    Sns mpo vizuri ole wenu muanze muanze udaku mtaaribu sana

  • @rajabungatanda3749
    @rajabungatanda3749 4 ปีที่แล้ว +10

    Fikiri baada ya msukosuko
    Umejua kama mungu yupo
    Nakuombea mungu ufanye ibada kwamungu kwani amekupa zawadi ya mtihani mzito live
    Na umekiri mungu yupo kwajinsi alivyokuokoa sasa jitahidi kumshika mungu akakupe na makazi mema "AMIN

  • @subrahegidsuh8968
    @subrahegidsuh8968 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyez mungu yupo👏👏Amin alitaka utambue Hilo ....pole sana

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 4 ปีที่แล้ว +12

    Poleni Sana kwa mkasa huu mzito Allah awaongoze walionusurika

  • @zemzemeyup1746
    @zemzemeyup1746 4 ปีที่แล้ว +7

    duh hatari sana ingekuwa kwa wenzetu huyu kaka angetajirika hii ingetengenezewa bonge la muvi

  • @lilym704
    @lilym704 4 ปีที่แล้ว +2

    Siyo habari za zari yuko pool na watoto wake tume choka. hizi ndo habari nzuri za ki akili wewe ntangazaji uko powa sana mashaallah endeleye ivo ivo .from oman

  • @SteveSijenyi
    @SteveSijenyi 4 ปีที่แล้ว +8

    Very good interviewing skills, patient and excellent listener. Thanks for this story, all the best

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 4 ปีที่แล้ว +5

    Allahu aqbar
    Huyu bwana alishakufa tayari ila allah aliweza kumrudishia uhai wake
    AL HAMDULILLAH

  • @aishaabdi5637
    @aishaabdi5637 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu anasaidia jamani dugu zetu tuzidi kuswal... Imeniuma sana

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 ปีที่แล้ว +1

    God is great always siku yako kama haijafika huezi kufa kweli Mungu niwamaajabu everything is possible with God.thank God for gift of life pole kwa mtihani.

  • @charlotteriziki9093
    @charlotteriziki9093 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amulinde milele namutakiya maisha mema

  • @privatepilot9945
    @privatepilot9945 4 ปีที่แล้ว +14

    The interviewer is a very smart guy,,Good and mature questions?

    • @moriz254
      @moriz254 4 ปีที่แล้ว

      Sawa rubani

  • @gloryjohn8659
    @gloryjohn8659 4 ปีที่แล้ว +49

    Kama ulijua hii ni story ya hivi karibun then ukapata ni kitu cha mwaka 1997 gonga like tujuane🤔🤔

    • @ayoubally9701
      @ayoubally9701 4 ปีที่แล้ว +1

      Glory hii ni story ya kweli
      Jamaa alidhaniwa amekufa na kweli familia yke ilishafanya msiba

    • @gloryjohn8659
      @gloryjohn8659 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ayoubally9701 duh jmn imenisisimua hi historia

    • @ayoubally9701
      @ayoubally9701 4 ปีที่แล้ว +1

      Glory John Nahisi ungepata kumsikia akiwa anasimuliwa ile kishkaj tu (offcamera) ingezidi kukusimua apo mbele ya Camera km kuna vitu km kavirukaviruka 😄😄😄

    • @gloryjohn8659
      @gloryjohn8659 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ayoubally9701 dah kumbe unamjua kabisa? Nawish ningemskia kwa undani

    • @ayoubally9701
      @ayoubally9701 4 ปีที่แล้ว +1

      Ila simply kabisa mungu yupo aisee

  • @kadulathumani7517
    @kadulathumani7517 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana ndugu
    Shikamana na Ibada sana
    Mmungu kakupenda. Wala let mahala pema peponi ndugu zetu. Aamin.

    • @hgfivcj1832
      @hgfivcj1832 2 ปีที่แล้ว

      Utaskia hapo wakriston eti Yesu ndo kamponya😂😂 kiukweli Mungu Nimkubwa

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 4 ปีที่แล้ว +21

    SUBHANNALLAH..! Allahu Akbar..!Huo ni mpango wa Allah/Mungu (Qadar Allahu) kila jambo hupangwa na Allah/Mungu coz Allah ndo muweza wa kila jambo akitaka liwe kinakuwa na asilolitaka haliwi. Mtu anazaliwa na kufa kwa ahdi/mpango (ratiba) ya Mungu. But tusifanye kibri/dharau tukamuasi Mungu. MUNGU yupo na haipaswi kumuasi.

  • @godfreykiama1930
    @godfreykiama1930 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji umejitaidi kuuliza maswali karibia yote ya wasikilizaji...big up

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah kukuacha ww kaka angu anamakusudio yale tena mazurii sana
    fanya ibada sanna Allah amekumbusha tu kuwa yy yupo na n muweza wa kila kitu

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah pole sana

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ndo bahariaa wa kweli

    • @saidisaidi1377
      @saidisaidi1377 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ndo baharia sio wengine wanajiita baharia akati ata maji hawajui kuogelea

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว +6

    Allahu Akbar huwo niutukufu wake muumba mana watu wanadondoka mda mchache tu wanapoteza maisha ila siku 10 mlanalala nakuamka subhana Allah sitaki kufikiri sana mana nitakufuru

    • @fatumaally3266
      @fatumaally3266 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa hii story mimi sjaielewa bhana

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 4 ปีที่แล้ว +20

    Yaaaani mungu alitakaa kukuonyesha ukuuwake ili ujue yupo vinginevyo hueleweki

    • @safikisubi3592
      @safikisubi3592 4 ปีที่แล้ว

      Hhhhhh ulijuaje kama haeleweki

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 4 ปีที่แล้ว +42

    Watu ni wapumbavu wanaamini Yona alikaa siku 3 kwenye tumbo la samaki lakini hawataki kuamini story ya huyu jamaa! Mungu ni mkuu wa kila kitu! Hata bahari na samaki ana uwezo wa kuviamlisha na vikamtii!

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +6

    *Esco* nimependa sana ulivyomuuliza Maswali, good job mtanga mwenzangu 👍😀

  • @najatalnoamani8172
    @najatalnoamani8172 4 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭 Acha Mungu aitwe Mungu

  • @georginnathornhill4052
    @georginnathornhill4052 4 ปีที่แล้ว +3

    Wooooow bonge ya simuliz.maajabu ya Mungu

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 4 ปีที่แล้ว +26

    Mungu anatisha pole Sana jmn ndugu nahic nawajua wote Mana huyo wa katikat namjua pole zangu ziende mianzin pote na kijiweni Cha jeshi la wafu bagamoyo

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +12

    Duuh mtihani....nazidi kuamini kama kufa ni ahadi😔 pole sana Kaka

  • @nicoletwanjiku9729
    @nicoletwanjiku9729 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Ndungu yangu. God bless you

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kazi za huyu kijana sikosi kufatilia 🙏🙏🙏🙏

  • @mamajd269
    @mamajd269 4 ปีที่แล้ว +13

    Mungu ni Mungu tu 🙏🏾

  • @aminarama9360
    @aminarama9360 4 ปีที่แล้ว +19

    Subhanallah... Yaan unatakiwa umche Mungu wako... Usiache kufanya Taqwa...

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 ปีที่แล้ว +15

    POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA,HILA WANAUME MKIENDA KUTAFUTA TULIENI SIO KUCHANGANYA MABINTI NI KUJITIA MIKOSI.

    • @baemaiko4287
      @baemaiko4287 4 ปีที่แล้ว

      pore sana ngugu yamgu

    • @mtncakes2247
      @mtncakes2247 4 ปีที่แล้ว

      Neno hilo

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 ปีที่แล้ว

      Mariam yaani wanaume tu.ndiyo tutulie nyie je? Mkitokaga kwenda huko machinjioni kutafuta utumbo wa supu au kwenye meza zenu sokoni za.dagaa na tembele mbona macho juu.na miwanja midomoni?? Mboga mboga.hiyo gelesha tu.

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 ปีที่แล้ว +11

    Pole kaka na mkasa huo uliokupata.
    Mwenyezi Mungu akusaidie uendelee na Maisha yako salama.

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +3

    Daah pole sana

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema wakati wote

  • @zerramahanyu628
    @zerramahanyu628 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole kaka kw kupoteza wenzako Mungu n muweza w yote

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +2

    Story ya kusikitish ila najikut 😄😄😄😄 Jins anavyo simulia Mungu yupo na hashindwi na kitu kaka

  • @assilaa2007
    @assilaa2007 4 ปีที่แล้ว +25

    Uuuuuw!!! Jmn 😭😭😭kwel kufa ni Ahadi yamtu sitor inagusa mnooo hii

    • @rafiamanzi687
      @rafiamanzi687 4 ปีที่แล้ว

      Mejaku nta

    • @assilaa2007
      @assilaa2007 4 ปีที่แล้ว

      @@rafiamanzi687 meja alifufukaa jmn bongo kun vituko!!😂😂😂

  • @karimim8702
    @karimim8702 4 ปีที่แล้ว +2

    God is great, may he always protect en guide you young man.

  • @fhhffh6382
    @fhhffh6382 4 ปีที่แล้ว +6

    God is able. . I thank God for ur life bro fikiri. U r a herooo

  • @queenbaddestcuteemmy5430
    @queenbaddestcuteemmy5430 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu nimwema jamani me nilitokewa n.a. tatizo mmja sitaakaa nikashau ilaaa mungu huyu huyuu akasema badoo nataka uishii sitakagi hata kukumbuka oooh God 😭😭🙏

  • @khadijababy8639
    @khadijababy8639 4 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar SubhanaAllah kweli kifo cha mtu huwa kimepangwa shukuru Allah kwa kukupa uhai kaka

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana.

  • @fridadaud6266
    @fridadaud6266 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwaminifu siku zote

  • @wariditambi2077
    @wariditambi2077 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana Mitihani ya mungu tu muhumu kumshukuru yy tu na kumtegemea kwa kila kitu

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 ปีที่แล้ว +6

    Baba na shangazi wame ekeana chuki, ume niulia wanangu wako karudi, Inna lillahi wainna ilayhi rajioun, shangazi kamnunia kaka yake au mdogo wake kwa kuamini ushirikina.
    Namuomba allaah atuvuwe katika mabalaa haya ya ushirikina.

  • @wamtoswamtos6262
    @wamtoswamtos6262 4 ปีที่แล้ว +1

    i cant hold my teas..mungu ni mkuu na pia ni mwaminifu kwa kiumbe kilichomo duniani

  • @thaniyasuleimansimai5486
    @thaniyasuleimansimai5486 4 ปีที่แล้ว +2

    Uwe kwenye dini yeyote ile iyo kusema kuwa ulikuwa unasema mungu hakuna ni kosa kubwa sana lakini kwa vile ukájabadilisha kauli sio mbaya. Allah sw akuvushe hilo na jengine

  • @fadiasly5001
    @fadiasly5001 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atabaki kuwa mungu tu pole kaka ulipitia kipindi kigumu sana

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 4 ปีที่แล้ว +3

    Mm cjui ningefanyaje loooh ....mungu mkubwa kwakweli

  • @newtina7049
    @newtina7049 4 ปีที่แล้ว +40

    Kiukweli katika TV online Tz hii ni no1 iko vzr watangazaji wako vzr sio wengine muda wote wanahoji upumbavu 😏

    • @andersonchibule4761
      @andersonchibule4761 4 ปีที่แล้ว

      Looking good Tina..

    • @user-ij2bf8of8h
      @user-ij2bf8of8h 4 ปีที่แล้ว

      @@andersonchibule4761 oĺĺĺĺpĺ
      Plpppppp9pp9l999ppp ĺo9pòĺķĺ.ķ9ĺpĺmim
      Lķmm
      Ķmmm
      mppmĺo
      Ķmmkĺ9
      Òoĺkplĺ0⁰

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 4 ปีที่แล้ว

      Pole sana kaka mungu nimwema sana Allah akupe umri mzuri na Sia njema inshaallah Biidhin lilah Subhanallah

    • @elisulle1478
      @elisulle1478 4 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @joseruhanga1084
      @joseruhanga1084 4 ปีที่แล้ว

      Mambo kadada

  • @sambayoo6441
    @sambayoo6441 4 ปีที่แล้ว +4

    Izi ndo habari zinazohitajika mitandaoni 7bu Zinafundixha na zina xtory za kweli

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii story inaumiza hongera sana esko kwa kazi nzur

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kijana,kwani mungu ana sababu na wewe.

  • @lavenalol5944
    @lavenalol5944 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni muweza wa yote

  • @ameeraaljassim4138
    @ameeraaljassim4138 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @jumakibakuli3778
    @jumakibakuli3778 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaanh polee Broo

  • @consoojoseph3918
    @consoojoseph3918 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka

  • @maryamallymamu2149
    @maryamallymamu2149 4 ปีที่แล้ว +12

    ALLAH AKBAR

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 ปีที่แล้ว

      Malyam ali nipe mashariti ya kubadili dini

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu wangu polen sana 😢😢😢

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaj upo vzr asilimia zote hongera sana

  • @moureenpedersen2440
    @moureenpedersen2440 4 ปีที่แล้ว

    Yaani huyu journalist yupo on point mpaka llaahhaa

  • @ashurabakiri8427
    @ashurabakiri8427 4 ปีที่แล้ว +6

    Hii channel ni 🔥🔥🔥🔥wako vizuri sana katika kazi zao, Mungu 🙏 azidi kuwabariki kila siku

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye kulala hapo bado nabaki mdomo wazi ila mungu ni mwema sana

  • @mariamsaidi7625
    @mariamsaidi7625 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar hakika Allah ni mkubwa inabidi tumuabu hakika

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu atakufanyi a wepesi akuondoleni kila palipo pazito mwenyezi mungu apafanye wepesi

  • @pauljackson8120
    @pauljackson8120 4 ปีที่แล้ว +1

    mwandishi wewe uko vizuri kila mtu ametosheka

  • @joharijumajohari6417
    @joharijumajohari6417 4 ปีที่แล้ว +1

    pole sana kaka mwenyezi mungu mkubwa

  • @famitonawanda4831
    @famitonawanda4831 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sns kwa habari za ukweli

  • @timaosthman2304
    @timaosthman2304 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kakangu

  • @dainesszuber1860
    @dainesszuber1860 4 ปีที่แล้ว

    Pole sanaa ndugu yangu mungu ni mwema kiukweli 😭😭😭mmepitia wakati mgumu sanaaa

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah polen sana

  • @hadjamlkong0851
    @hadjamlkong0851 4 ปีที่แล้ว +13

    Mwacheni mungu aitwe mungu

  • @hawasaleh504
    @hawasaleh504 4 ปีที่แล้ว +6

    Nmependa jina dharau Ksha ufikiri😊

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +1

    Uchawi hupo na Mungu yupo nasi siku zote za maisha yetu

  • @mariamsuleiman437
    @mariamsuleiman437 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana mungu akupe umri uishi Miaka isio idadi Allah akbar

  • @officialhariri6673
    @officialhariri6673 4 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️Love sns kazi nzuri

  • @mesabendo7581
    @mesabendo7581 4 ปีที่แล้ว +2

    SubhanbaLlah Allahu Akbar

  • @hezronmangulamangula9718
    @hezronmangulamangula9718 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mungu ni mweza wa yote swali sana

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhannah ALLAH

  • @malkiamariamvuga3342
    @malkiamariamvuga3342 3 ปีที่แล้ว

    Hakika MUNGU ni mwingi wa huruma poleni sana wapendwa wetu

  • @alipqasse9967
    @alipqasse9967 4 ปีที่แล้ว +1

    Aise mungu nimkuu jamani ulio yapitia nimagumu mungu awarehemu walio tangulia pole sana

  • @pazimazongera4934
    @pazimazongera4934 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji maswali yako ya point sana

  • @scollapatric8342
    @scollapatric8342 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana mungu nimwema sana

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 4 ปีที่แล้ว +1

    Aliyeskia kwenye mad mtangazaji bhana🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mariaosebe4129
    @mariaosebe4129 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni Mkuu anatulinda kila wakati

  • @melissalablonde9580
    @melissalablonde9580 4 ปีที่แล้ว +14

    Mungu ni Mungu jamani inauma 😭

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 ปีที่แล้ว +5

    20:23 ni stori ya kusikitisha ila hapa nimecheka kwakweli..pole sana kaka mkubwa

    • @sitikhamis7978
      @sitikhamis7978 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂.... Allah ni muweza wa kila jambo

    • @iffahbahet1499
      @iffahbahet1499 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @emmymasoud9577
    @emmymasoud9577 4 ปีที่แล้ว +6

    Duuuh kweli mungu mkubwa!!!lkn hayo ni mambo yakishirikina wallah

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 4 ปีที่แล้ว +8

    Allah amekunusuru apo napengine pia InshaaAllah

  • @eliasgembe934
    @eliasgembe934 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema naomba mungu akulinde

  • @omosh2023
    @omosh2023 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu

  • @fadhilakuchi3098
    @fadhilakuchi3098 4 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu yangu

  • @jellysmaarifa1172
    @jellysmaarifa1172 4 ปีที่แล้ว

    Mmh! Jmn mungu yupo