WAZAZI WALINIACHIA UTAJIRI NIKAFANYA STAREHE KWA SIKU NILITUMIA M1 SASA NIMEFILISIKA NA NINA UKIMWI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 231

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว +3

    Mungu yuko pamoja na wew. Nakuomba uokoke na umpe Yesu maisha yako

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +32

    Hizo pesa zilikuwa za moto kaka wala usijilaumu sana ukimwi syo mwisho wa maisha kikubwa kula vizuri pumzika na unywe maji mengi

    • @adammodesto6626
      @adammodesto6626 ปีที่แล้ว

      Kwamaelezo yake Hela ilimuendexha Wala xio zamot

    • @jacklineamos2271
      @jacklineamos2271 ปีที่แล้ว

      Pesa ilimtawala ata siyo laana hakikisha kwenye maisha yako pesa haikutawal lakn yeye pesa ilimtawala

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      Kitu ambacho hujakitolea jasho huwez kukitunza

    • @jacklineamos2271
      @jacklineamos2271 ปีที่แล้ว

      @@lifeinmiddleeast8179 wangapi wanaachiwa ambavyo hawajavitolea jacho na wanadum navyo yan cha kufnya pesa isikutawalee sijui unaelewa ninachoo maanishaa

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +12

    Pole kaka hamna mkamilifu sisi wote wakosefu Mungu akupe furaha na maisha marefu kupata hiv sio mwisho wa dunia pole sana kaka Mungu anakupenda its well my kaka hang in there pole sana na matatizo ya dunia

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 ปีที่แล้ว +14

    🥺🥺🥺🥺😰😰😰kama umefikia kutubu bas Mungu akubarik sana

  • @waziapaul4592
    @waziapaul4592 ปีที่แล้ว +5

    Alie mfanyia interview Kaka angu akiwa amelewa mungu anakuona

  • @nuruvinny5141
    @nuruvinny5141 ปีที่แล้ว +2

    Uyu kaka namkumbuka mtume wangu kweli alikuwa handsome uyu uyu mwwupe af mrefu kabadilika nyie

  • @hakunamatatajapantv8088
    @hakunamatatajapantv8088 ปีที่แล้ว +6

    mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. leo davista umependeza kaka, koti safi,shati kali jeans blue bahari,huku mawani ime match na koti.mkuu umetaradadi hakika ukifa hauozi.UMEPOA🎉🎉😂😂

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 ปีที่แล้ว +2

      Si ameoa saiz anahudumiwa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +5

    Shida ni upeo mdogo hapo hakuna uchawi, pole sana

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว +5

    Nakupa ongera kwaku waambia waulimwengu kuhusu afya yako bila kuji ficha uko jasiri Sana basi Mungu aku ende mbele mkibiliye yesu

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 ปีที่แล้ว +4

    Pole Sana Mungu ni Mwema atarudisha vyote ulivyopoteza🙏

  • @petermsafiri4706
    @petermsafiri4706 ปีที่แล้ว +1

    Dah tumuombe mungu jamaa namfaham babake yupo hai mamake ndo alifariki lakin mengine anadanganya mengine siyajui

  • @belinabaya6977
    @belinabaya6977 ปีที่แล้ว +7

    Weka party zote hili ni bonge la fundisho kwa vijana.
    Natamani niweke screen kubwa kila mkoa ili wajifunze

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว +3

    Hatari jweli Mungu hakuongoze haoa kujifunza kwa kweli

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 ปีที่แล้ว +4

    Kila hatua ya mwanadamu ina mafundisho yake aujakosea pekeyako mimi pia nimewahi kukosea kama wewe tena nilikuwa money spender sana ila mpaka ukiona upo hai mpaka leo ni Mungu ana makusudi na sisi tusikate tamaa life linasonga tusipigie hesabu tulichokipoteza tupigie hesabu kile ambacho atujawahi kukipata

  • @sagaboymsouth
    @sagaboymsouth ปีที่แล้ว +6

    Alafu jamaa ni daima mbele nyuma mwiko 👊🏿👊🏿

  • @samwelipaschal6412
    @samwelipaschal6412 ปีที่แล้ว +8

    Hii Hali ilinifika😂 nyie Hela zinapeperuka

    • @winnifridaashery4449
      @winnifridaashery4449 ปีที่แล้ว

      Pole

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 ปีที่แล้ว

      Kweli sikia Kwa mtu 😂Cc Home tulifisika Jmn Aibu magari yakaisha nyumba zikaizwa uwiii tukabaki empty 🏃but God is Great

    • @yunusrnb5227
      @yunusrnb5227 ปีที่แล้ว

      @@zubedarichard2311 mmmh kiaje?

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +5

    Tubu dhambi zako zote na umufuate YESU YA DUNIANI SIO DILI

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +3

    Bora upoteze pesa kwenye starehe hautoumia Sana kuliko kupoteza pesa kwenye biashara. Utaumia Sana kupoteza pesa kwenye biashara kuliko kwenye mapenzi

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 ปีที่แล้ว +3

    Davista mata everything 💪

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana master

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 ปีที่แล้ว +8

    Kuna uwezekano mkubwa hio mali ilikua ya kishirikina ukizingatia katika simulizi nyingi hapa tumesikia mali za migodini zinahushishwa sana na ushirikina wa kutoa makafara,masharti ya kishenzi na kadhalika !

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

      Wazungu wao kwenye madini awatoi kafara?

    • @somiasomia2306
      @somiasomia2306 ปีที่แล้ว

      Mali ya madini 😢😢😢 nikazi sana kuiendesha maana kupata madini inabidi tuu uwe mshilikina naona mtufrani anavo angaikaga kutafuta waganga 😢😢

  • @godfreifilemon5802
    @godfreifilemon5802 ปีที่แล้ว +4

    Ingali bdo upo hai na umefanya toba Mungu anasamehe yohana 8:1:11

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 ปีที่แล้ว +1

    Nenda kwa mwamposa kawe hakika mkono wa mungu utauona kakangu ukimwi cyo kitumbele ya yesu

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh ปีที่แล้ว +5

    Imenifunza kitu

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 ปีที่แล้ว +1

    Kujitambua ni mwanzo wa toba.
    Tubu umridie Mungu wako na maisha yako yatakuwa sawa tu.

  • @matildamwakatuma1206
    @matildamwakatuma1206 ปีที่แล้ว +1

    Mwombe Mungu akusaidie urudi na atakuinue tena shetani ashindwe

  • @mwajumaselemani5370
    @mwajumaselemani5370 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka

  • @mamags8828
    @mamags8828 ปีที่แล้ว +3

    Harafu kama kalewa hv😂😂 pole kaka ake mwaya

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

      Saikolojia anahitaji washauri

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +3

    Unafanana na mdogo wangu kwelikweli

  • @dieudonneyuha9763
    @dieudonneyuha9763 ปีที่แล้ว

    Duuh,story nzuri sana kaka from u.s.a

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว

    LEARN THROUGH MISTAKE MY BROTHER DONT GIVE UP MY PRAYES U KNOW WHEN U HAVE MONEY UR FRIEND WILL LOVE U BUT IF U DONT HAVE ANYTHING NO ONE WILL LOVE U U START PRAY TO GOD AND ASK GOD FOR FORGIVENESS THAT IS MY ADVICE 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @robertmrindoko4038
    @robertmrindoko4038 ปีที่แล้ว +1

    First Born wa mchongo😢

  • @shukrimusa528
    @shukrimusa528 ปีที่แล้ว +9

    Never give up brother You are just are humane and you have made mistake, its not the end of your life,usikate tamaa

  • @goddaughter8312
    @goddaughter8312 ปีที่แล้ว +4

    Ego ina tesa watu wengi. Tujifunze kwa wakubwa zetu.

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +2

    Nahao wazazi maybe walikataa kukutowa kafara ndo wakachukuliwa wao

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mmbwa ulipo wafira wanaume wenzio apo ndo ulipo pata laana zote mmbwa ww kuna mzee huku kwetu kuna mzee alikua anahela kuliko ww alikua anafira vibaya sana wanaume wenzake saiv kumamae chakukila hana anaishi kwenye jumba bovu anakunya wala hanawi%

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว +1

    Katika maisha yangu Huwa sijutii niliyopitia maana Kuna watu wamepitia mengi sana.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 ปีที่แล้ว +1

    DAVISTA umenikosha sana Hiyo Back ground music imetosha sana

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว +1

    Umenifuraisha umekuwa mkweli namuwazi

  • @kemosabe27
    @kemosabe27 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anisamee,ila jamaa anafurahisha kinoma😂

  • @mbitheejoan5507
    @mbitheejoan5507 ปีที่แล้ว +5

    He is so handsome though

  • @user-go5wb2pi2i
    @user-go5wb2pi2i 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

    Ukiwa na pesa tu lazima marafiki waje

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 ปีที่แล้ว +5

    Jamani mimi nakupendaa nauwo ukimwi wako😂

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +1

      Mzur kwer

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว +1

      Upendo wa dhati sana

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 ปีที่แล้ว +2

      Kumekucha kumekucha 😂😂😂

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 ปีที่แล้ว

      heheheee. kweli handsome

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 ปีที่แล้ว

      @@msaysha5886 😂😂

  • @nashonmsafiri1487
    @nashonmsafiri1487 ปีที่แล้ว +6

    Kuna baadhi ya shuhuda nimegundua hazina ukweli huyu ndg namfaham na timekua pamoja lkn maelezo yake mengine si kweli kwa mfano baba yake mzazi yupo hai anaitwa Osca Prims na anaishi Nyarugusu mkoa wa Geita naomba niishie hapo.

    • @petermwaibofu7580
      @petermwaibofu7580 ปีที่แล้ว

      Duh, kumbe anatupiga!

    • @yeslord2276
      @yeslord2276 ปีที่แล้ว

      Weeeee kumbe 😳

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo anatupiga na kitu kizito 😂

    • @doramkolo1745
      @doramkolo1745 ปีที่แล้ว

      Davista sijui anaona hizi msg afuatilie

    • @mariakibwana3700
      @mariakibwana3700 ปีที่แล้ว

      Kama kweli baba yake yuko? Si asingekubali nyumba ziuzwe jamani napata utata.

  • @rabiahmohammed3152
    @rabiahmohammed3152 ปีที่แล้ว

    Anazingua xna jamaa wazazi wapo bna

  • @RichardCossan-rk1ub
    @RichardCossan-rk1ub ปีที่แล้ว +1

    Mwamba hulikua mfiraji duuh🤔 Kaz unayo

  • @tatukarume6140
    @tatukarume6140 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mzuri ila saiv umeisha ila uskate tamaa

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 ปีที่แล้ว +1

    Ok ok davistaaaaa

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ni funzo.pole kaka

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

    Pesa za maagano huwa hazirithiki

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +1

    Rikaka rizuri hiliiiii🥰🥰🥰🥰

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว

      Tayari mnalipenda 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fatumazuberi6753
      @fatumazuberi6753 ปีที่แล้ว

      Cpat picha enz zake

    • @HadijaZabroni-pu1lt
      @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว

      ​@@mosesjohnswilla9926hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha sasa je ata niwewe kama uko single ungempenda ona nifanyie mpango wa namba basi😂😂😂😂

  • @sagaboymsouth
    @sagaboymsouth ปีที่แล้ว +3

    Mzigo bado mpya njoon tusome

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini uku kumbuka kwenda cannada ama iyo pesa ili kuwa ya kichawi uwezi fikiria memo ju ni pesa zamajini

  • @mosseslazaro610
    @mosseslazaro610 ปีที่แล้ว

    Nakukumbuka sana enzi hizo tunapiga tuition sengerema aise

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 ปีที่แล้ว

    Astaghafullilah daah ulifikia hadi kulawiti wanaume wenzako, Mungu akusamehe kiukweli na hata hvyo dunia imeshakufunza

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Sijutii kupoteza pesa kwenye starehe. Pesa inatafutwa umri unaruhusu

  • @estershekika8865
    @estershekika8865 ปีที่แล้ว +2

    Alafu anaonekana kama anaelekea kwenye kuchanganikiw

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ ปีที่แล้ว

    Haaa ok

  • @haidarishemahonge9357
    @haidarishemahonge9357 ปีที่แล้ว +1

    Kaz unayo...fanya ibada

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwamba bado anaranduka

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Ulipowalawiti ndipo ulipoingiza laana kwenye maisha yako

  • @martoo539
    @martoo539 ปีที่แล้ว +4

    Drugs are not good hata unaona vnye anaongea banaaa ☹️☹️☹️anaogea kitu anarudia tenaa like drugs are not goos

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +4

    Mwanza jamani Kuna matukio😢😮

    • @robbysonpaschal4749
      @robbysonpaschal4749 ปีที่แล้ว +1

      Huyuu mwamba na mfaham vzr xan mbak kwao hayo anayo sema n kwel

    • @zainabuabdullah6434
      @zainabuabdullah6434 ปีที่แล้ว

      @@robbysonpaschal4749 mpe number zangu nimpenda

    • @eunicebuseni
      @eunicebuseni ปีที่แล้ว

      Mwanza matukio ni mengi sana usipokuwa makini

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Liongooooo

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +3

    Kingine kaka upunguze pombe za ubanda

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    Kosa ni la wazazi hawakukupa missing ya kutafta kazi, au namna ya kupata pesa kwa jasho maana ulizoeshwa raha tu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿👍.

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 ปีที่แล้ว +3

    Basi hii story itavutwa vutwa mpaka imalizike tutegemee miezi 2

  • @allykilimanjaro1430
    @allykilimanjaro1430 ปีที่แล้ว

    Franc nakuona

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unaboa hauko siriaz na kaz

  • @bilalisalim360
    @bilalisalim360 ปีที่แล้ว +1

    Diamond ajifunze kitu apa machawa aoo

    • @user-go5wb2pi2i
      @user-go5wb2pi2i 11 หลายเดือนก่อน

      Simba anaingia vipi sasa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Mwanangu ulikuwa ndimu

  • @amrimanugwa58
    @amrimanugwa58 ปีที่แล้ว

    Dah france ndg yang 😂

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hao wanawake wote uliyotembea nao wameasilika nao wote?????

  • @JRasheedcosmas-bp1ty
    @JRasheedcosmas-bp1ty ปีที่แล้ว

    Alifiwa mama ake tu huko sengerema...
    Huyo dogo ni wa viboko

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 ปีที่แล้ว

    Huyu bado ana tatizo la kisaikolojia,,,anahitaji msaada

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว

    Domana wahega wanasema samaki mkunje igalimbichi

  • @HassanAideedy-tt5xy
    @HassanAideedy-tt5xy ปีที่แล้ว

    Enjoy

  • @mysskibe
    @mysskibe ปีที่แล้ว +1

    Labda wazazi wako wakapata utajiri kupitia njia questionable.... Hivo ndivyo kunaedanga in such cases, Kila kitu huisha tu ghafla. Give your life to Jesus, you'll be fine IJN

    • @mariakibwana3700
      @mariakibwana3700 ปีที่แล้ว +1

      Eve hilo ndilo neno kubwa ulilosema.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Sasa unashanga nini mtoto wa miaka shirini na moja kupagalanganya mali acheni kutumbukizia uchawi huyo jamaa hakuwa na upeo ata wewe kama hauna upeo ukipewa fedha nyingi hautaweza kuziendeleza, hakuna uchawi hapo

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme jamaa muongo, miaka 20 kashasoma mpaka a level na chuo miaka 3 na karudi bongo tayari, shule alianza na umri gani?

  • @kizakadafiomar2067
    @kizakadafiomar2067 ปีที่แล้ว +2

    Hu jama namkubali story yak inamafunzo

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 ปีที่แล้ว +1

    Machawa ushawatia usenge Una wabafilisha na wao Wana kumwaga,hii ilikuwa mwaka gani?

  • @alexmabala1976
    @alexmabala1976 ปีที่แล้ว

    Duuh dunia imekwisha

  • @antonyvicent4701
    @antonyvicent4701 ปีที่แล้ว

    Davister interview zingne muwe mnapeleleza vizur watu wengne wanakhalibia mashabiki wa chanel zako kwan wanazungumza uongo uongo sana

    • @alenialex6941
      @alenialex6941 ปีที่แล้ว

      Kwani uongo unaupimaje au ndo wabongo amkosi Cha kukosoa

    • @antonyvicent4701
      @antonyvicent4701 ปีที่แล้ว

      @@alenialex6941 Tuna mjua vizur hyo mtoa story nasktika hata ktendo cha ksema mara baba yake kafa wakat yupo na hyo anae sema mdogo wake ni kaka yake yupo tu hko anakosema anafanya kaz bandalin hamna yupo tu. Kila siku tunamuona na hafanyi kaz bandalin

    • @antonyvicent4701
      @antonyvicent4701 ปีที่แล้ว

      @@alenialex6941 ukitaka ukwel Nenda nae nyarugusu geita mwambie akpeleke kwao km hto mkta baba yake na hyo kaka yake anae msema yupo bandalin

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Dogo hapaswi kukusimanga ummemsaidia kumpa elimu

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂mwamba kweli kweli

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 ปีที่แล้ว +1

    Majuto ni mjukuu

  • @afiahsalmin7508
    @afiahsalmin7508 ปีที่แล้ว +1

    Nashkuru nmejifunza kitu kikubwa sanaa coz pia mm nmeachiwa Mali juzi na wazazi wangu🙏

    • @madinakyabazinga-hr7kk
      @madinakyabazinga-hr7kk ปีที่แล้ว +1

      Nije tuziponde au utaki chawa🤣👋

    • @somiasomia2306
      @somiasomia2306 ปีที่แล้ว

      naomba kuwa chawawako 😂😂

    • @jacklinejerr2447
      @jacklinejerr2447 ปีที่แล้ว

      Chawa pro max nipo hapa

    • @yusrasalum
      @yusrasalum ปีที่แล้ว +1

      Mpenzi tuliza kichwa iyo ujue nini utafanya ukiweza ziache bank zalisha isa!

    • @fatumazuberi6753
      @fatumazuberi6753 ปีที่แล้ว

      Huhitaji chawa😂😂

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 ปีที่แล้ว

    Apeche

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 ปีที่แล้ว +1

    Duhhhhh

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 ปีที่แล้ว

    Unahoji mtu kashatia vyombo😄

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Kufilisika sio mwisho wa kutafuta

  • @matildamwakatuma1206
    @matildamwakatuma1206 ปีที่แล้ว

    Weweee acha hiyo imetoka sasa

  • @rab792
    @rab792 ปีที่แล้ว +2

    Good story

  • @marianachristophory5239
    @marianachristophory5239 ปีที่แล้ว

    naomba namba ya huyo kijana,

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv ปีที่แล้ว

    Bila shaka ulistahik hayo una tumikia ulicho kichuma

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 6 หลายเดือนก่อน

    Vijana.wanaachiwa mali za kifreemason.ndo.zinawapelekewa.kuwa.wafanya.anasa vijana Tanzania mnapoishi.jitahidi kumheshimu Mungu kutunza.heshima.ya.Mungu ili.Mungu.awatunze.yeye.kama.yeye

  • @masakakambesha4521
    @masakakambesha4521 ปีที่แล้ว

    Pole sana! Anza upya tu

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 ปีที่แล้ว +1

    Nipo kwenye siti

  • @bellyme6918
    @bellyme6918 ปีที่แล้ว

    nyanyuka futa vumbi endelea naa safari