Inaitwa ROHO MKONONI kwenye Meli ya MGIRIKI, AJALI mbaya yampasua Kichwa, mwenzake afariki hapo hapo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 เม.ย. 2023
  • #katembe
    Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 60

  • @DevisAlistides-tv9oc
    @DevisAlistides-tv9oc ปีที่แล้ว +4

    Noma Sana simulizi zako bro nazikubali sana

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 ปีที่แล้ว +2

    Ilikuwa Litsa mmanga repsent Panama, pear one Natal yeah SA 93 to Cali the lest is history, TZ watumbuwa chawa world wild one love from States.

  • @bochaochu2301
    @bochaochu2301 ปีที่แล้ว +3

    R.i.p guromo esco fanya uwende basi apo bangamoyo tujue kama kaweli baharia ngurumo amefaliki kweli dahaha

  • @zaharamlau8817
    @zaharamlau8817 ปีที่แล้ว +2

    Story zako ni nzuri sana, ESCO

  • @bochaochu2301
    @bochaochu2301 ปีที่แล้ว +6

    Esco Merci beaucoup papa Esco nafulai Sana kusikia vitu kama ivyo kwakweli ani from Mayotte là France 🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇧🇱

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว +2

      Mayotte vipi huko

    • @bochaochu2301
      @bochaochu2301 ปีที่แล้ว +1

      @@fahadfaraj6474 uku poa tu tuko tuna pambana na wazungu tu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว +2

      @@bochaochu2301 hahaa apo france bwana the oversea province

    • @jfourhumbhumb1754
      @jfourhumbhumb1754 ปีที่แล้ว

      Namtafuta mwanangu baharia tofa kilindo

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 ปีที่แล้ว

      Mayotte iko Africa japo France inatawala hapa

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 ปีที่แล้ว +3

    ESCO unesema baharia NGURUMO umesikia amefariki yan huna uhakika basi ni vizuri ufunge safari uende ukapate unauhakika uje utuletee taarifa kamili

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว +2

      Na wewe ni baharia wa kike nini😂😂

    • @nickbrown8350
      @nickbrown8350 ปีที่แล้ว

      ​@@Pedeshee01 😂😂😂

  • @kheriramadhan4603
    @kheriramadhan4603 ปีที่แล้ว +1

    🔥🏅🔥

  • @bashirhassantipa5581
    @bashirhassantipa5581 5 หลายเดือนก่อน

    Sele boss ndani ya durban natal
    Kipindi icho

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 ปีที่แล้ว +1

    SNS, kwann msitumie mic mbili, moja ya mtangazaji na ya pili ya msimuliaji?
    Nikama Kuna kauhondo flani mnatukosesha

  • @HelenahSian-hl5ue
    @HelenahSian-hl5ue ปีที่แล้ว +1

    Moyo mgumu jamani❤

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 ปีที่แล้ว +1

    BABA CHID BOY. Kichaa wake BARON usitoe siri za jandoni NATAL🇿🇦

  • @HasirIX
    @HasirIX 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ndio Super stowaway

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 ปีที่แล้ว +1

    Eaco me nna broh wangu yupo moshi alikuwa South sasahv amepata strok yupo home anaongea freshi ila kutembea ndio awezi ukimpata huyo watz watajifunza mengi sana

  • @emmanuelmwendo2073
    @emmanuelmwendo2073 ปีที่แล้ว +1

    Esco unachukua mda kufanya kipindi jitahidi unapotea sana

  • @kisjohn3435
    @kisjohn3435 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji kuwa na mic 🎤 2

  • @meshakmagolosa-fq5mk
    @meshakmagolosa-fq5mk 10 หลายเดือนก่อน

    daaaa baria ngurumo amefariki kumbee napenda sana ctori zake

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.

  • @dj26number2
    @dj26number2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂niliondoka kiyondo sista tu😂😂😂⚓️⛴🛳

  • @mwegamfaume2818
    @mwegamfaume2818 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba hy hp toa hope tu kwa mabaharia, anaesema siri za jando hy bd sn,jando ni jando na ubaharia ni ubaharia ss unaficha ficha nn muhuni ni sawa tu unapiga story maskani na masela lkn hii ni world wide sio kesi kwnz wana kibao uliopoteana nao mnakumbukana kwa mengi bro

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว

    Sasa baharia umekompreni mkenya kunamatatizo gani kenya kidogo ungewapeleka ata somali burudi ruanda umetoka muangaishane na magresheni kama ujui kujieleza kila ukichukua meli utaludishwa bongo tu pamoja sea.man✊🙏🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷

  • @OLDSCHOOL-if7mi
    @OLDSCHOOL-if7mi 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani mtangazaji naomba namb ya ndgu yetu

  • @Kukuvillagepoultrysolutions
    @Kukuvillagepoultrysolutions ปีที่แล้ว

    Baharia ana roho ngumu siku zote uwez kuwa baharia bila kuwa na roho ngumu

  • @blezywatino1043
    @blezywatino1043 9 หลายเดือนก่อน

    Baharia Sele🙌🙌🙌😂

  • @TambaHamisi-gc1ye
    @TambaHamisi-gc1ye ปีที่แล้ว

    Vijana wa hawaend kihvyo

  • @ntakirutimanaetienne592
    @ntakirutimanaetienne592 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji anaongea sana duh

  • @tonsakimwely5913
    @tonsakimwely5913 ปีที่แล้ว

    Sema inabid ujue kuulizia Hao jamaa mwaka gan wameanza kusafiri

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 ปีที่แล้ว +10

    Nimeanza kufatilia story za mabaharia muda mrefu lkn hamna aliyetoboa zaidi ya kupoteza muda na direction ya maisha Kwa ujumla

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      umeona sijasikia mtu ametoboa ni kuzurura hovyo tu nilienda uku nilienda kule mara ivi mara vile ikija kwenye mafanikio hamna zero tupu daaah

    • @Officalnaph
      @Officalnaph ปีที่แล้ว

      ni kweli. maisha hayatak shortct

    • @josephlucas2786
      @josephlucas2786 ปีที่แล้ว

      Aisee nikweli hamna Alie toboa zidi ya usela tu pumbavu

    • @justinfranktv308
      @justinfranktv308 ปีที่แล้ว +2

      tatizo walio pass wapo uko tsyar maisha yanaenda

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว +2

      mabaharia waliotoboa wapo wengi ila wengi wako mbele na hata ambao wako bongo wako busy na mambo yao watangazaji ni ngumu kuwapata

  • @samweljoel6128
    @samweljoel6128 ปีที่แล้ว

    Ulikua wapi mjomba

  • @emmanueldeogratius3969
    @emmanueldeogratius3969 ปีที่แล้ว

    Leta vitu kama hivi

  • @ngalishindano-hq3sr
    @ngalishindano-hq3sr ปีที่แล้ว

    Mutangazaji jameni acheni baba huyu aongee siyo wewe kutoa maulizo mengi mengi kabla yeye kumaliza unatuchanganya

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว

    Inaitwa popote kambi

    • @makalanione9747
      @makalanione9747 ปีที่แล้ว

      Babar amina nataka namba zako amina ananisumbua

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Dalasa la saba kamaliza Anamiaka 20 kahanza shule Anamiaka kuminatatu13?? 😄🇹🇿🇬🇷⚓

    • @saidimwishehekienda933
      @saidimwishehekienda933 ปีที่แล้ว

      Zamani watu walikua wanaanza shule ya msingi wakiwa wakubwa ..........mfano mimi nakumbuka wakati wa kuandikishwa shule kipimo ilikua kushika ncha ya sikio yaani mfano mkono wa kulia ushike ncha ya sikio la kushoto bila kupindisha kichwa ukishindwa huandikishwi mpaka mwaka ujao .......wengi walibaki licha ya kua na umri sahihi kuanza shule.