Nimekaa chini ya BAHARI siku 5, walidhani NIMEKUFA, Niliona Mji, Nilirudi Duniani kwa njia ya ajabu

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 635

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 ปีที่แล้ว +18

    Umeambiwa usivute pombe nimeipenda iyo. Ila pia ucnywe bangi... Pole sana.Wee tuzugeeeee ila halafu kakojoe ukalale.

    • @amoor-km8tq
      @amoor-km8tq 4 ปีที่แล้ว

      sasa mm natka namba yako vp nitajaupata namba yangu +96896927224

  • @chigalomilu225
    @chigalomilu225 4 ปีที่แล้ว +43

    Ngonga like kama jamaa kafanana Marehemu Ruge Mutahaba.

    • @user-hi8le2vb7z
      @user-hi8le2vb7z 4 หลายเดือนก่อน

      ILA WABONGO MNA MENGI SANA😊

  • @umikulthumhamisi8311
    @umikulthumhamisi8311 4 ปีที่แล้ว +10

    Kamani nimecheka sanaaaaaaaaaaah lakini musiseme kuwa nimuongo huwenda ikawa ni kweli 254 kenya

  • @jescalutego3508
    @jescalutego3508 4 ปีที่แล้ว +6

    Hay mambo ni kiiman kbs km hujawah kutokew huwez kuamin ila hi dunia kubwa san kun watu wengine wapo uchi tunapanda nao ktk magar lkn kwa macho yao yetu tunaon wamevaa nguo...kikubwa usiombe tu yakukute endelee tu kusikia tu kwa watu

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +4

    ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER MALIMU RAMDHAN I AM PROUD OF YOU MY NAME IS SIDIK I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA. I AM PROUD OF PEOPLE OF TZ. MY DUAS ALWAYS WITH YOU AND UR FAMILY REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM 🇬🇧 LONDON WS

    • @Mwam_92
      @Mwam_92 2 หลายเดือนก่อน

      hello brother

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 4 ปีที่แล้ว +6

    Da huyu mzee kwa chai yupo vizuri

  • @twojay_ke
    @twojay_ke 4 ปีที่แล้ว +14

    Huyu jamaa anatafta kiki ya uganga wake ....ili wateja wamiminike🤣🤣😆😆🤣🤣
    Ila yote Tisa hapa duniani lazima watu waishi kwa ujanja falani hivi🙄🙄🙄🙄

    • @asmaally88
      @asmaally88 4 ปีที่แล้ว +1

      Mmmh hatari unaweza kuzimia

    • @asmaally88
      @asmaally88 4 ปีที่แล้ว

      TWOJAY _KENYA 😃😃😃😃😃😃😃😃noma

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

      Yaan hata mm nawaza ilo anatafuta kiki ya uganga

    • @sinaibariki5094
      @sinaibariki5094 4 ปีที่แล้ว

      Haya mambo yapo acheni ubishi

  • @hopechriss8739
    @hopechriss8739 4 ปีที่แล้ว +102

    Kam ujaamini kam mm maelezo ya uyu mzee gonga like hapa

    • @dionsangoa1428
      @dionsangoa1428 4 ปีที่แล้ว +4

      Hope Chriss @huyu anatengeneza mazingira ya kuaminisha watu kuwa ana dawa anatibu usenge last number ase na hivi vinavyojifanya ni vyombo nvya habari vina mic moja na Tape recoder mooja ni wasenge nao last number

    • @myself4128
      @myself4128 4 ปีที่แล้ว

      Nyie ndio wabishi msokuwa na ushahidi wowote...unanini cha kusimulia??? Mtoto wa mama

    • @godlivingmoshi124
      @godlivingmoshi124 4 ปีที่แล้ว

      Huyu mtalii wa majini anasema hakuwahi kutambua usiku na mchana, hizo siku tano alihesabu vipi?huyu alikuwa amezimia baada ya dhoruba

    • @ibrahimrukundo3064
      @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +1

      huyo brodher sio mong

    • @japhetndobeji5278
      @japhetndobeji5278 4 ปีที่แล้ว

      yanihuu niuongo nawewe mtangazaji Kama umekoswahabali achananahiyokazi

  • @naimaabdul142
    @naimaabdul142 4 ปีที่แล้ว +14

    Alipoteza fahamu ndiyo akaota

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +28

    Kwenye vitabu vya dini zote pia vimeandika kuwa hao viunbe wapo.kwa hiyo tumuombe mungu atuepushie kukutana nao.kwa hiyo tusiwe wabishi na story yake.

    • @eugenyraphael4334
      @eugenyraphael4334 4 ปีที่แล้ว +2

      Mariam Fritsi hao viumbe wapo,mzee niliemjua alibebwa nao dk 2 yupo km 4 alirudi mwenyewe nyumbani usiku

    • @mariamfritsi9761
      @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +2

      EUGENY Raphael unajua watu wengine wabishi wa kuelewa kwa kuwa bado hayajawakuta,ila likiwakuta ndio wataamini,kuwa ni kweli.

    • @millionairejeffreysunofbez3766
      @millionairejeffreysunofbez3766 4 ปีที่แล้ว +2

      Kuna mijitu eti mganga anamwomba Mungu..!! sio kweli leo mmepata majibu, mganga anamwomba jini ...

    • @user-td6tr4kj6b
      @user-td6tr4kj6b 4 ปีที่แล้ว

      Tena sana my

  • @1lakiisha
    @1lakiisha 4 ปีที่แล้ว +16

    🤣😂😂 eti Alhamdulilah kumbe mie nishafika akhera 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mrchinal5407
      @mrchinal5407 2 ปีที่แล้ว +1

      hahahahhaha

    • @khaijakadija2082
      @khaijakadija2082 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀ingekua ivo watu wangeomba kufaa😀

    • @MuslimZubeir
      @MuslimZubeir 2 หลายเดือนก่อน

      Hhhhh

  • @lewalewa7509
    @lewalewa7509 4 ปีที่แล้ว +8

    Nauliza aje jameni .. huyu jamaa anaweza nitumia copy ya hivyo vitabu .. Nijivunie elimu .. Ikibidii nita lipia 🤗😇😇

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH AKBAR hestoria nzuri sana kama huyo ustadh ni mkweli ila usiwi mwenye kuomba msada wwte majini muombe ALLAH nimueza wayooote.

  • @AhmedSalah-ri3es
    @AhmedSalah-ri3es 4 ปีที่แล้ว +43

    Jamaa hamu kuambiwa muamini ila majini wapo na wa meumbwa na Mungu story ya huyu jamaa inaezekana au mpka ikutokee ww ndio ukubali tusiwe wabishi haya mambo ypo huwatokea sana wavuvii

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 4 ปีที่แล้ว +5

      Ahmed Salah
      hayo mambo yako tu kwa watu masikini ukiangalia matajiri stories zao ni namna ya kuenda ulaya ama china kununuwa na kuuza vitu , thamani ya dola imepanda au imeshuka halafu maskini kila siku zao ni uchawi, kurogwa, majini, na ujinga na kuto kuelimika kwingi saana

    • @neyjoseph813
      @neyjoseph813 4 ปีที่แล้ว

      @@antoinettedjumapili2522 😂😂😂😂umenifanya hadi nimecheka kwa sauti wallah, ila umeongea point sana🙌

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +1

      @@antoinettedjumapili2522 kweli, sasa kaona umaskini umemtawala anasingizia eti alikataa mazawadi uko chini ya maji, mapesa, dhahabu, sijui malumalu na mavyakula ya kila aina duuh, mie uyu kanimaliza sina hamu kabisaa

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว

      @@antoinettedjumapili2522 nimekuelewa sana 😂😂😂

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 4 ปีที่แล้ว

      @Mariam Abdullah
      you're comment doesn't make any sense any sense and I say it very clear only the poor believe and talk about those nonsense most people in third world countries look at the man who is telling stories he is smelling poverty to the core

  • @user-uw2fj2xw6s
    @user-uw2fj2xw6s 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah atueke wepesi kwakweli

  • @jamalilitamba7084
    @jamalilitamba7084 4 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahahah hii story wala si yakibaharia umetumalizia MB zetu. Hii ni yauganga
    Nataka kujuwa nani alikueleza kuwa huyu ni baharia

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว +7

    Kweli majini wapo,kuna mwengine Jamali yalimkuta sema yeye alipata mabalaa na alisumbuliwa mda mrefu mweee

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว +7

    Majini wote wamuumbwa na ALLAH hakuna mtu anayeumba jini

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna jini mzuri majini wote ni Giza ndio maana ukitamka tu jina la Yesu ambalo ni Nuru wanateketea na kukumbia

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu ปีที่แล้ว

      we kafir na wewe badilika majini ni viumbe kama wewe

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +30

    Huyu anasimulia hadithi aliyosimuliwa na babu yake zamani, sasa anaifanya reality!!
    I caaaan't!!!🙉🙉🙈😛😛

  • @user-ks8kg3es6o
    @user-ks8kg3es6o 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli mimi na ndugu yangu alivutwa na mamba Bahaliñi tukajua amekufa

    • @MuslimZubeir
      @MuslimZubeir 2 หลายเดือนก่อน

      We tuache hebu🤣😆😂

  • @hassanhamiduhassanbarwan1450
    @hassanhamiduhassanbarwan1450 4 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Ramadhan na hiyo ndio mitihani katika maisha, na kila mja ana mtihani wake alopangiwa na Mwenezi Mungu.

  • @asherhamidu7940
    @asherhamidu7940 4 ปีที่แล้ว +3

    Nilifilili kweli kumbe niyale ya wapigaji,Acha uongo.

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 4 ปีที่แล้ว +27

    Unaonekana mtunzi mzuri wa story 😂😂😂😂🤣 na utajiri wao wote hawajakupa hata kidogo ukakae kwenye nyumba nzuri

    • @emmanueldocha3968
      @emmanueldocha3968 4 ปีที่แล้ว +3

      Kweli hii story kumbe na wewe umeona ee

    • @songashaban1332
      @songashaban1332 4 ปีที่แล้ว

      HAHAHAHAHAAAAA WE MCHOKOZI BALAA NICHOZE NAMI BASI 0765932008

    • @agnesmwangi4784
      @agnesmwangi4784 4 ปีที่แล้ว

      Haa

    • @victormariki2419
      @victormariki2419 4 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂😂😂hata pikipiki hawajampa yaaani

    • @mayasadunia2495
      @mayasadunia2495 4 ปีที่แล้ว

      @@victormariki2419 😂😂😂😂😂

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 4 ปีที่แล้ว +8

    Haya mambo yapo ila huyu jamaa Katupiga bhana 😂😂 jamaa kalumbanalumbana na jini😂😂

    • @tamranadiya2962
      @tamranadiya2962 4 ปีที่แล้ว

      Amelumbana lumbana hahahaha

    • @zamzamhassan4159
      @zamzamhassan4159 4 ปีที่แล้ว

      Haaahaaa 🤣🤣🤣😂😂Yani katuburuzaaa

  • @sheilaporomoka8079
    @sheilaporomoka8079 4 ปีที่แล้ว +3

    Amepewa vitabu Lakini alirudi bila vitu jamaniii😅😅😂😂😂😂

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 4 ปีที่แล้ว +19

    Kama umesikia kinyume cha mguu mfupi ni mguu mnene kwene dk ya 7 sek ya 56-57, gonga like twende sawa.

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwamini yesu kk

    • @SaalimmodyAbubakar
      @SaalimmodyAbubakar 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mwambie amwamini Mungu na yesu kama mtume

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 ปีที่แล้ว +2

    Yeah ni ukwel utokea haya mambo

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 4 ปีที่แล้ว +13

    Dah kama nikweli bro tunashukuru kwa story na pole kwa kuzunguruka😎😎

  • @sinaibariki5094
    @sinaibariki5094 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hayo mambo kweli yapo acheni maneno ya dharau kikubwa nikumuomba tu mungu yasitukute mabalaa kama haya

  • @hosenimwelekwa6200
    @hosenimwelekwa6200 4 ปีที่แล้ว

    Duh!! Polesana

  • @katomayanja622
    @katomayanja622 4 ปีที่แล้ว +2

    Aise

  • @mohamedsalim7271
    @mohamedsalim7271 2 ปีที่แล้ว

    Mtakuja kubakwa na Majini maamae😅😅😀😂...,we sema uliuza roho ndo upate mahela

  • @kassimjigge4727
    @kassimjigge4727 2 ปีที่แล้ว +1

    Ningependa nipate mawasiliano ya Bw Ramadhani au huyo Esco

  • @nicholasamos3450
    @nicholasamos3450 4 ปีที่แล้ว +12

    Mbongo kuamni ni ngumu sana.

    • @mrchinal5407
      @mrchinal5407 2 ปีที่แล้ว

      hahahahahha kaka mbona mi mbongo na nimeleea

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 ปีที่แล้ว +6

    Songesha camera tuone vitabu @9:30. Ni kama hamjui kufanya interview. All interviews are same in Tanzania. Zero evidence. Speaking without backing what you say.
    Ndio manake na penda Kenya, nchi ya FACTS, sio story za kindergaten.
    Na ni kwanini Tanzania ndio majini wapo tu? Kuna siri wengine hawajui? Tupe siri.

    • @antoinekatembo595
      @antoinekatembo595 2 ปีที่แล้ว +1

      Majini wapo Tanzania tu? Mmh wewe mwenzetu upo sawa kabisa...

  • @irenejumba3989
    @irenejumba3989 4 ปีที่แล้ว +1

    haya mambo yapo, hufanyika haswaa maeneo ya pwani.

    • @abeidsaid9635
      @abeidsaid9635 4 ปีที่แล้ว

      Atakama yapo sio kwahizi chenga niuongo mtupu promo hizo

  • @geminigregory472
    @geminigregory472 4 ปีที่แล้ว +1

    Matatizo ya kuangalia muvi za kutisha ndo haya yaani huyu jama anatuadisia marudio ya muvi kabisa huyu😀😀😀

  • @hadijapazia684
    @hadijapazia684 4 ปีที่แล้ว +10

    Wa kwnz leo,Piga kelele wee,wewee,weweweeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 ปีที่แล้ว +6

    Et nilipo taka kuondoa walikua na huzuni

  • @livingstonelameck7501
    @livingstonelameck7501 4 ปีที่แล้ว +11

    Pete za nini izo mkuuu

  • @nathaliesaidi8775
    @nathaliesaidi8775 4 ปีที่แล้ว +5

    😹🤣🤣🤣🤣🤣 ahhhhhh! Una nichekecha kweli

  • @antoinettedjumapili2522
    @antoinettedjumapili2522 4 ปีที่แล้ว +5

    njaa inasumbua huyu baba muonekano wake pekee unaona ni shida

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana😥🙏

  • @msangazimsangazipapaandomb8761
    @msangazimsangazipapaandomb8761 4 ปีที่แล้ว +3

    Assumptions!

  • @ARUSHA_NAILS
    @ARUSHA_NAILS 4 ปีที่แล้ว +19

    Aisee si tupo mjini tunajiona wajanja et!! tupo town Kumbe kuna wazeee wapo vijijiji wanaa buni mbuni mbwinu mbiiiinuuu za kulaa helaaa zetuuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @doramkolo1745
      @doramkolo1745 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @onlytecna9498
      @onlytecna9498 4 ปีที่แล้ว

      Chidi chpoo yan w acha tu 😂😂😂😂

    • @gnlmutabazihamza9998
      @gnlmutabazihamza9998 4 ปีที่แล้ว

      Utasikia eti ooooh,sikuwai kuona USIKU wala Mchana, mara eti Ooooh nulipotolewa ilikua ni USIKU, chizi kwl huo jama, wajinga njo wali wak😂🙄

    • @lucyshirima7862
      @lucyshirima7862 4 ปีที่แล้ว

      I'm

    • @shukridjibril6848
      @shukridjibril6848 4 ปีที่แล้ว

      Gnl Mutabazi Hamza 😂😂😂

  • @pastorjkkarata7274
    @pastorjkkarata7274 4 ปีที่แล้ว +3

    Njoo kwa Yesu kristo....ndg utakuwa salama.....hao ni mapepo tunayakemea kwa Jina la Yesu kristo.

  • @ismailndayikeza1275
    @ismailndayikeza1275 4 ปีที่แล้ว +7

    Mzee muongo sana Mara akuwahi kuona mchana wala usiku,Mara usiku ndo aliwekwa kwenye box kurudishwa duniani da!

    • @hgfivcj1832
      @hgfivcj1832 2 ปีที่แล้ว

      Hata mimi mwenyewe sijakubali😂😂😂

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 2 ปีที่แล้ว

      Alimaanisha usiku wa duniani. Anyway story za uchawi zote za uongo tu.

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 ปีที่แล้ว +3

    Mguu mmoja mfup mwingine mnene

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว +3

    Maajabu huu mwaka sielewi

  • @merrynancesimoni2728
    @merrynancesimoni2728 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kingereza tunaita balamuda triangle watu huwa wanapotea meli, ndege pia ndio zao hivi viumbe vipo tru pole mwaya..

    • @albertpike6208
      @albertpike6208 2 ปีที่แล้ว

      Wacha uongo bermuda triangle iko atlantic ocean sio indian ocean

  • @jeromejoseph9127
    @jeromejoseph9127 4 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo tumerumbana rumbana pale, yaani uwongo dhahiri 🤣🤣🤣🙌🏼

    • @abigagogo3484
      @abigagogo3484 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂 ume ona

  • @officialsalmazayn9720
    @officialsalmazayn9720 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😅😂😅 Mzee niseme tu asante kwa kupoteza muda wangu bila kusahau #MB zangu 😂 ila wewe ni muongo sijawahi ona kheee jmn tanzania ina joto hadi nahisi baridi maana sio kwa vibwanga na uongo huo 😂😅😂😅 uwiiii

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 4 ปีที่แล้ว

    Mh wew muongo

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania wajinga Sana
    Nawabishi Sana kuamin matukio
    Ya adimu zaid dunian Kama Aya
    Majin wapo na watu wanapendwa
    Na majin

  • @AliSaad-yv6lc
    @AliSaad-yv6lc 4 ปีที่แล้ว +10

    jamani hawa walimu na wanganga siku hizi wanapenda tumia story ili kujipa umarufu...kabla hajaanza kusimulia nilihisi hicho ndio atakisema anyway mungu ndio anajua zaidi

    • @hgfivcj1832
      @hgfivcj1832 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mbungetz2520
    @mbungetz2520 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mpiga punyeto uyo anaongopa ana lolote k uyo

  • @mantoummantoum1392
    @mantoummantoum1392 4 ปีที่แล้ว +4

    Mmmh uyo baba muongo jamani khaa 😃

    • @tadeosaidiandrew6486
      @tadeosaidiandrew6486 3 ปีที่แล้ว

      mmm mantoum dunia hii hatuko peke yetu.kuna viumbe kama binadamu.lakini wako tofauti sana na binadam
      ni kweli.

  • @ruthwatson1366
    @ruthwatson1366 4 ปีที่แล้ว +2

    Esco brasa tupe namba za simu za bwana Ramadhani.

  • @joelcassian2388
    @joelcassian2388 4 ปีที่แล้ว

    Yanga bana

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 4 ปีที่แล้ว +9

    Story za wanyabi....

  • @angelbenmichael1613
    @angelbenmichael1613 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu 🙏

  • @jimmysele4871
    @jimmysele4871 4 ปีที่แล้ว +5

    Na wakubali sana SNS keep doing what you guys are doing naikubali sana SNS 💪👉👍🔥🔥

  • @jumasalim4380
    @jumasalim4380 ปีที่แล้ว

    Jamaa yupo seriously kama kweli vile kumbe muongoo,,, Yaani anamaliza majogoo ya watu tu mtaani

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +10

    Umejaribu kueleza vzuri ulimwengu wa majini, hiyo haikataliki ila kosa kubwa ulilofanya ni kuwa mfuasi wao coz, wanakutumia na watakutumia vbaya juu ya wanaadamu wenzako.

  • @raphaelmganga374
    @raphaelmganga374 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh hadi kwenye Miembe majini wanaishi.

  • @hudHud-lo3il
    @hudHud-lo3il 4 ปีที่แล้ว

    karibuni giningi

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 4 ปีที่แล้ว +8

    Mamae hii stori nilisimuliwa zamani na marehemu babu..wkt tunapata kahawa..inaonekana hasa ni uwongo mtupu..shenzi type..za alifu alela ulela

  • @wariditambi2077
    @wariditambi2077 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashetani wengine wakitaka kukupa uganga wanaweza kukupoteza ukawa unaishi porini tu mda wao wakitaka kukurudisha wanakurudisha

  • @lawamatu4221
    @lawamatu4221 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama urongo ungekuwa ni binadamu..Hawa ndio warongo Sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 11 หลายเดือนก่อน

    Mh huo ni ushirikina ndugu yangu Acha. Nashauri ndugu zangu tusiendekeze njaa itatupeleka pabaya. Haya upewe vitabu bila ya kujua kuvisoma mara ujue na kuanza tiba Mh yaan kutamani kula kwa wepesi? haya Rafiki yangu alizama kakuta majini wanawake wawili akaambiwa achague? MH jamani. haya wataalamu wa ujinini

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh hhhhhhh hii ni kaaliii kwikwiikwiiii hii stori sujuiii....

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 4 ปีที่แล้ว +11

    Na wewe mwaandishi ulimjuaje huyu mtu

  • @B-nayiva
    @B-nayiva 4 ปีที่แล้ว +4

    Naikubari sana sns tafuteni nyingine tena story kama izo mi zinanivutia sana

  • @nahsibusuleiman2812
    @nahsibusuleiman2812 4 ปีที่แล้ว +4

    We mzee ni mtu mzima acha uongo bhana,vua ayo💍💍

    • @abigagogo3484
      @abigagogo3484 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hgfivcj1832
      @hgfivcj1832 2 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅

  • @charlesyapuka4992
    @charlesyapuka4992 2 ปีที่แล้ว +6

    namsikiliza kwa makini kila point,Luna muda anasema alipokuwa huko alikua hajui usiku wala mchana afu siku walipo mota kurudi duniani walimtoa usiku.kizazi hiki ni makini mno unapo nini jambo unabidi ujipange haswa

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 2 ปีที่แล้ว

      Wao ndio walimwambia huu usiku lkn yeye hakujua usiku wala mchana kule hakuna jua nyota wala jua

  • @joshuajoseph908
    @joshuajoseph908 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumanina huyu mzee mwongo kinyamaa😂😂😂😂😂😂 yani anasimulia hadhisi zile za kwenye vitabu 😂😂😂😂😂

    • @faridaongala2324
      @faridaongala2324 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁 uyu atakuwa mchawi au anapenda mambo ya kishirikina coz anasifia mivitu yakipepo na anapenda

  • @mtuliboy8368
    @mtuliboy8368 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahahaha huuuuuuniuronga sasa dooooooo wambongo hapo mkiamini basi sijui nisemeje kabisaaaaa.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu Wabishi C Mfuatilie Stol Za Davista Mjue Mengi Majini Yapo Mtume Muhamadi Anajua Uwepo Wa Majini Nabii Yesu Anajua Uwepo Wa Majini Iweje Wewe Ukatae Kama Akuna Majini Wakati Wenye Mamlaka Kutoka Kwa Mungu Wanajua Uwepo Wa Majini We Nani Ubishe

  • @paulstanely6513
    @paulstanely6513 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaa sitory yako imenifulaisha sana

  • @williumnicholaus6701
    @williumnicholaus6701 4 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kudere uyu sio kweli

  • @aishahashim.5079
    @aishahashim.5079 2 ปีที่แล้ว

    Story inawezekana ikawa yakweli isipokuwa huyu mwamba ameridhia kumshirikisha mungu wake kwaajili ya hao mashetani.
    Yaani kifupi majini wanamtumia kupoteza watu kwasababu m.mungu yupo hai na hakuna msaada was jini unaotakiwa katika mambo

  • @kibokoyaotz4509
    @kibokoyaotz4509 2 ปีที่แล้ว +3

    Uongo ulioandaliwaa

  • @sarahogama9540
    @sarahogama9540 4 ปีที่แล้ว

    Haaaaahaaa Lioga sana hili,,,,ati alhamdhililah siko duniani tena niko ahera haaaahaaa

  • @wizyoung_tz784
    @wizyoung_tz784 4 ปีที่แล้ว

    Dah kweli tangazo hili la kganga

  • @hajjywapekeetz3293
    @hajjywapekeetz3293 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Hajielew pumbavu Zak macho kama mzee jenguo

    • @judthadhiambo644
      @judthadhiambo644 4 ปีที่แล้ว

      Hata.nieri.mzee.jenguo.macho.yake.mazuri

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Make hapo kwanza ncheke. Majini walimlilia. Liongo hili. Huyo mganga karithi anataka kutupiga fix😂😂😂

    • @mbungetz2520
      @mbungetz2520 ปีที่แล้ว

      Lizee lipiga punyeto ilo 😂😂😂😂😂😂

  • @mkiawachui6449
    @mkiawachui6449 ปีที่แล้ว

    Tanzania mnajua kiki kweli hata wazeee

  • @maryamzahor6527
    @maryamzahor6527 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hata namba ya simu hajatoa kama ni kwel anatafuta wateja🙊🙈😸

  • @janethmagadula6780
    @janethmagadula6780 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀woiiiii!!!!!😀😀😀

  • @davidgitau1798
    @davidgitau1798 2 ปีที่แล้ว +3

    Some vidios are for teaching people iam an old father having great genarytion and teach them that nk

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 4 ปีที่แล้ว +3

    Tangazo la mganga

  • @jorumkiungo303
    @jorumkiungo303 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mtu bas ataamini😂 jini akupe kitabu ukasome reallyyy si akusumarizie tuu kukurahisishia...

  • @eliakibandike345
    @eliakibandike345 4 ปีที่แล้ว

    Jini mwanamke ana ZIWA KUBWA na ZIWA DOGO kama unaamini hilo sema YEAAAAAAAAAAA

  • @yakaramayaka1456
    @yakaramayaka1456 4 ปีที่แล้ว +3

    Alfu Lela Ulela😁😁😁😁

  • @richardngowi6285
    @richardngowi6285 4 ปีที่แล้ว +1

    uyu jamaa muongo sana kasema cku ya 6 kajikuta ufukwen kachoka sana mara kafika home wanamwambia cku ya 5 ulipotea

  • @reliablespeedycourierservi8014
    @reliablespeedycourierservi8014 4 ปีที่แล้ว

    Achia mwingine microphone atupe story umemkatizia story mingi ata utamu wa story hajatupea juu unamnanganya mic badala uache atupe uondo i wish ningejua mtangazaji mwingine anamwoji nimsikize ww umetuaribia

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Daniel-ug6fi
    @Daniel-ug6fi 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😍😍